congratulations harmonize for your music best one 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇿🇲💤
@omarybakunda25546 ай бұрын
Crouds muheshimuni mond bila shuruti sipendi mnavyo mfananisha mond na mdogo wake harmonize.
@selemanikinyonyi71636 ай бұрын
Kama ni kweli Chris brown kupost komasava ni jambo la kawaida basi apost na nyimbo zake ndo tutaona kawaida yani kajamaa sura imekavimba tumashavu tumejaa kwa ajili ya chuki, ebu tuache chuki jamani komasava ni dude moja kubwa na kama unaikubali like hapa
@hamzamkuti72576 ай бұрын
Sikiliza vizuri kijana
@AsmaMosh-mk8pu6 ай бұрын
Ww tafuta broo hyo wamashavu demu wako akimtext tuh ushaachwa broo cku hizi hatutaki sura cjui uzuri pesa broo.
@Rahma254746 ай бұрын
Single again 😅
@AmanaAmos-hv3yz6 ай бұрын
Vimba na yako
@sundaysenga76086 ай бұрын
@selemanikinyonyi wewe ndio mwenye chuki konde anaojiwa anajibu shida ni nini? Misomisondo alipostiwa na Chris brown hamjaona😂😂
@RaylaElmi6 ай бұрын
Hakuna kama mond hajawai kushindwa hongera baba lao naomba zawadi mm shabiki wako mkubwa❤❤🔥🔥🔥🔥
@RamadhanAnafiRamadhan6 ай бұрын
Aiseee umetisha sana ndg
@malitozzy35386 ай бұрын
Nakubali sana jesh lkn punguza sana siasa ukitaka kufanya albamu fanya ngoma za biasha napia ukitaka kufanya goma ya siasa fanya moja ata komba mwenyewe alikuwa hafanyi hivyo jesh ❤❤❤❤❤ bro
@KellyBaraka-u8i6 ай бұрын
Ila anaeweza mwamba
@BAGOTHEGRETY6 ай бұрын
Unatakiwa utofautishe mwanamsic na msanii Mondi ni msanii ila harmo ni mwanamsic katika hii Tanzania wanamusic ni wa chache sana namba 1 ni alikiba 2 harmo 3 Mr blue 4 samiri 5 chidy benz 6 Rostam 7 lavalava 8 young killa 9 dogo janja nawengine Ila mondi yuko kwenye biashala anawaimbia wale wanaofata mkumbo ila music hakuna
@walterngowi58356 ай бұрын
Fanya mziki wee K...... acha siasa 😎😎
@BarakaProtas6 ай бұрын
😂
@braysonkyungai6 ай бұрын
Haters
@theresiamilanzi59076 ай бұрын
Safi kaka langu nikubali pambana ❤😂
@merinakassembe1186 ай бұрын
Mbona alicheza Singel again
@LuluByams6 ай бұрын
Album zote Mbili Hata Moja Akuna Ilio Hit
@TeamJONGOO6 ай бұрын
Hahahahahaba huyu hakuna kitu huyu msani kwa Sasa
@BarakaHarrison-l4t6 ай бұрын
Toa album yko kenge ww
@AllyBabu-kr6lg6 ай бұрын
Mpaka umejua alba mahana ishait au unataka nae asuke kama yule dada enu
@svt36 ай бұрын
@@AllyBabu-kr6lgkwani kuna Album huu mwaka🤫🤫? Yaani kuna Album mpya na haisikilike? Daah pole saana haya wacha tuangalie Chris B anavyo cheza dance za Mondi
@FranklinMartin-tp5ss6 ай бұрын
et anavyocheza dance za mond sas hapo ndo umeongea nn
@ikramalmas70396 ай бұрын
Wasaniii mshakuwa machawa mamaeeee zenu
@richkaja33176 ай бұрын
Bdo sanaa tia elaa utoe hit home Boy harmonize
@RomanMwinyi6 ай бұрын
Ivi we una akili nyimbo sitemse na sio challenge na amna ki2 angalia semsema namba zilivyooo
@kadito-music6 ай бұрын
Trust me practice makes perfect so anyone can do it
@fuadaladawi12556 ай бұрын
Harmonize is the best & he will continue to be the best singer ❤
@aishaomar18456 ай бұрын
Chris is 😂😂😂😂😂😂 At you ,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Shame on you And ,🦁 do you IN SHAA ALLAH 🙏
@jameskasololo85946 ай бұрын
Umesemaje Aisha hii kizungu ya wapi
@BarakaProtas6 ай бұрын
Seri kali nyingi sana mdomon jaman😂
@roberttarimo49566 ай бұрын
Mr harmonize Chawa wa mama
@Allistar-20246 ай бұрын
Koma savaa ni ❤❤❤
@joselynesango44306 ай бұрын
usikosi kuweka congo harmonize
@GloireGotiman6 ай бұрын
Tunamtaka chinga kwenye iyo album bhn
@stannslousmusau80996 ай бұрын
Sasa album yako ,,, imefikia wapi
@Abu-Hamza2546 ай бұрын
Yani mtu anachora tattoo mpaka kwa uso alafu unaambiwa babake shehe Subhanallah🇰🇪🇸🇴
@PhiloteusMahundi6 ай бұрын
Ushehe wa baba ako u mtoto unakuhusu Nini u tafuta pesa kuwa na maono
@NduneBarrack6 ай бұрын
Album ya mwaka huu ilibuma
@svt36 ай бұрын
Kuna Album mwaka huu?😂😂
@RomanMwinyi6 ай бұрын
Mwangu kusoma ujui ata picha uonii co nyimnaomba dua konde afelii pale mwenzio kapiga ela yani we ana weza kuku fungia miaka10 upo ndani 2 jitambuee dogo
@kingsanya68606 ай бұрын
boss ajatoa aliyitoa y ccm
@pauluspaulinus4196 ай бұрын
Album ya maelekzo Ile pesa kashapiga pale
@ShadreckDreck6 ай бұрын
Ila mziki wa na nusu nimehikubali🫡🫡🔥🔥 mziki Bora wa mwaka kwa uwahandishi
@ShukuruLyimo-rl4eu6 ай бұрын
Adamu ajajua amewaza na kitu ndio maana ana sema haoyaoo😂😂😂
@hubimogela91676 ай бұрын
Siasa ikiingia sehemu kuna vitu vinakufa ,endelea kuchanganya siasa na music
@Farida-jx5nz6 ай бұрын
Ww unasaport serikari kinafiki tu kisa unapewa Hela lakin hujuwi uswahilini watu wanaishije pia wanakuchuliaje ww....... Kikubwa heshima kubwa ibaki kwa raia coz no government without residents!!!!
@FranklinMartin-tp5ss6 ай бұрын
we huna akli yan unaongelea mziki ambao ni biashar halaf unamsem mtu kisa anapewa hela sas ulitak awaimbie bure?halaf mzik n sanaa so kila anachoimb ndo kilichopo moyon
@Mizahh-ll5lu6 ай бұрын
Asha sahau shida za mtaa kipato huleta majivuno tunaoelewa ni wachache farida
@pastorpascalmuhinamamp36466 ай бұрын
Ivi ni wa kongomani kuinuwa zaidi mziki wa Tanzanie 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Dareaziz6 ай бұрын
Harmo❤
@MosesMzungu-v9j6 ай бұрын
Album kelele
@ndekelaausi71696 ай бұрын
Wewe ndo mwanaume wa Bongo flavor
@MosesMzungu-v9j6 ай бұрын
Mmmmm huyu anajipendekeza kwa raisi banaaà niafanye biashara
@Rizikialiamechannel7636 ай бұрын
@@MosesMzungu-v9j😂😂😂😂
@msafitheboss21306 ай бұрын
Amna..... Kitu uyu mpiqa madoqo... Uyuuuu...... Msanii mwenye ufalume wake c unamjuwa
@OswaldOnesmo-jh4bm6 ай бұрын
acha kukaa hapo nakupiga story za madem wenzako huku njia zimesha funguka
@FranceMwaijande6 ай бұрын
Yani chawa mpaka unakera
@shadrackjuliuskaboya52396 ай бұрын
Mwenge wa uhuru au mwenge wa muungano mmakonde kashakula Moshi mgum
@thompsonkiputa68426 ай бұрын
The next bongo flavor Icon
@joyhylton79016 ай бұрын
You wish he’s too ughhhhh
@jacksonjackson45326 ай бұрын
21:25 BREEZ KACHEZA KOMASAVA WHATS UR TAKE? Harmonize: Its good for the Game.
@fdizzo6 ай бұрын
Safi umeokoa muda
@yusufsong79936 ай бұрын
Watanzania bhana Misondo mbona kapostiwa na uyo uyo aliyepost komasava
@ManMoshi-lh5yu6 ай бұрын
1 one
@LeopordMkinga-gz9gc6 ай бұрын
Adam mchov kumb naw k,,,,,2 tangz kilicho really Acha chukii😂😂😂
@MWALIMUNASSORO-bj4ok6 ай бұрын
Mond juuuu juuu zaid
@fdizzo6 ай бұрын
Uchawa promax hakuna Msanii hapa
@stephenmsanzu98506 ай бұрын
Wcb for life
@JoshuaPaulo-z3f6 ай бұрын
Harmonize unaongea kuntu sana kk unajuwa mpaka unaboa hebu hyo World Cup Album itoe maana tunafuzu soon
@TeamJONGOO6 ай бұрын
WATANGAZAJI ACHENI UNAFIKI, ADAM MCHOVU MBONA MNAFIK SANA KAKA, NYIE NDO MNAPOTOSHA WASANIII WETU, HARMONIZE ANAONGEA UTOPOLO ALAFU UNAMSIFU KWEL HUU UJINGA kweli
@AllyBabu-kr6lg6 ай бұрын
Ila harmonize
@Jini-y3d6 ай бұрын
Kabisa ❤
@hassanalyjimmy26516 ай бұрын
Iv ni mim tu nime Ona ama? Harmo amemnongoneza mtangazaji kuhusu kumuliza challenge ya Chris brown 😮
@BabG-g7v6 ай бұрын
nmeona iyo
@TeamJONGOO6 ай бұрын
ADAM NAYE KUMBE ANAYUMBA
@Bitendomba-x2o6 ай бұрын
Nakupenda sana hormonize,napenda miziki yako yote hasa Aiyola,unajua,VP kaka?napenda ulivyokuwa na kajala samahan lakin naingilia mapenz ya watu
@YasreArafat-kk9en6 ай бұрын
Kwa hiyo ndo mmekuja Na hii sio Tunazungumzia Jambo la kutaifa wiki hii yote hebu tupumzisheni Kwanza Tuko Na Cris brown tunachat Hii tutaanza nayo next week Chain zibadilishwe Hadi zinaboa aisee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FranklinMartin-tp5ss6 ай бұрын
hahah hilo jamb la chris mbn si tushasahau labda ww unaekalili maisha,halaf hat mond anachain ya simb havui,mbosso anachain ya kichwa cha mtu kimevaa taji ya uking na haivuag sas sjui we unaropokag au vp
@YasreArafat-kk9en6 ай бұрын
Tunakushaurini bure bro Mnaweza kutumia Huu MDA WA kutujibu Ni Bora mkautumia Kwa kunshauri abadilishe chain Msiumie ndo hivyo komaeni mlichagua upande Huo #bado tuko Na breezy
@aliabdallahali69956 ай бұрын
Hahahaha makonde jiongo huli😂😂😂😂
@AllyBabu-kr6lg6 ай бұрын
Jeshi ana pigo za kirembo kama ao machoko wenu tazama kichwani wala ajavaa kikuku kama nan😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dizzomontana72196 ай бұрын
Komasava
@MoshiSudy6 ай бұрын
Wivu kk point kacheza wimbo
@LeonChoaji-n8z6 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza kumuona konde boy amenyolewa vibaya. Kama alinyolewa na Poshy Q, sawa.
@yusufsong79936 ай бұрын
Dogo tokA atoke wcb wakasema atapotea sasa kawa tishio kwa timu nzima ya wcb dogo nomaaa
@shuzashadyproduction84386 ай бұрын
Ila Adam Eti umepigaje hapo😅😂😂😂
@Ibrahim-ne3in6 ай бұрын
Tunakungulia dunua😂😂😂
@KhalfanSalim-v1x6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jay-bblueband71406 ай бұрын
Huku tuna hazard na Chris's brown
@RomanMwinyi6 ай бұрын
Sasa we ana kujua au uyo dada yako wana mjua inge kua wana mjua asinge postiwa TikTok boya ww
@riverlolence6 ай бұрын
acheni dharau clous
@tundaisabelle32186 ай бұрын
Ila Hamonaze bwana nyashi nyasi
@wabantuorganization20356 ай бұрын
wanakuogopa ulikuwa sura ya harmo rapa sura chachu
@Mohaa43096 ай бұрын
Kwa lipi??
@boubabizo2466 ай бұрын
Tuaceni kingereza kingi jakani
@robbyfany33956 ай бұрын
Wazee huyuu jamaaa sio wa level za bongo saivi an anafanya vitu vikubwa sanaa ndio maana ngoma yake ikishika trending kushusha pana kazii asee
@UchumizoneMwaihea6 ай бұрын
Wabongo kweli sisi niwajinga kwani Chris brown kucheza Ngoma ya dimondi ni ajabu mpaka mijadala media zimekosa vya kuhoji mziki nimziki2 Amna ajabu apo
@UchumizoneMwaihea6 ай бұрын
Roma kaimba tunataka katiba media zimekaa kimya na bunge kimya wanainchi kimya chrisbrown kucheza comosava mijadala kwenye media mpaka bungeni mitaani kweli sisi tunaitaji kutawaliwa upya kama alivyo sema tramp china inawekeza kwenye viwanda inamabilionea 365 na viwanda vya kutosha Haina msanii yoyote anaeitikisa Dunia sisi tunashoboka na dimondi msanii ambae Hana hata kiwanda anatuhela twakula na familia yake ukitaja mabilionea bongo hawafiki kumi na wengi ni machotara utakuta moe dewig bakhresa du mpaka aibu msukuma Amna mnyakyusa Amna na makabila mengine hamna Leo bunge Lina mjadili bishow chrisbrown wakati katiba imeimbwa na roma hatumsapoti wamevaa suti wanajadili comosava tutapona ushoga kweli hapo kama bunge linaweka kipaumbele ujinga ambao Hauna faida ningekua raisi ningepiga marufuku nyimbo za ovyo na media zinazo sapoti ujinga kama gadafi wa ribya pamoja na dini za kitapeli tukifanya hivyo tutajadili maendeleotu na kizazi kitapona ushoga na uteja ndo maana tukiimba bunge la mchongo spika wa mchongo vita vina suruhu kupona ni majaliwa mnasema wanahujum uchumi hahaha Tanzania bwana hatari sana....uchumi zone tz🇹🇿
@DivinGenicivil6 ай бұрын
Harmoniz ni mkali sana bongo ni yakwako
@masterhptv40656 ай бұрын
Mbona kama swali kuhusu chriss ameliomba mwenyewe?😅
@sharafimohamed59376 ай бұрын
Huyu jamaa anajuwa kuongea dah respect 😮
@King_Kalinga_Tz6 ай бұрын
Nachekesha buuure kabisa
@sibhonikealiko6 ай бұрын
Duh! Mwenge wa Muungano?????
@essah___6 ай бұрын
Harmokinyesi bhana 😂
@thehustlerafrica43686 ай бұрын
Korosho
@YasreArafat-kk9en6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@CrecenciaChisangula6 ай бұрын
Comfidency is everything
@LucyMichael-kp1nb6 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@sallysafisanakijanakazibut16886 ай бұрын
Ushamba tu kithungu hujui
@ShadreckDreck6 ай бұрын
Sasa kuhingiya nama Bodigadi ndo Nini sasa?Acha ushamba wewe kuna mtu atakukaba hapo?
@FranklinMartin-tp5ss6 ай бұрын
watu weng wamepota kwa kuamin watu hovyo
@RoseKipimo6 ай бұрын
Vipi kuhusu bandari?Misitu return je?Mauwaji yanayoendelea,wamasai je? Ardhi inavyogawiwa kwa wageni,Sasa tumeingia kwenye Bahari hii ni kami nzuri?MUNGU atusaidie tuone na tuseme kweli
@LeonChoaji-n8z6 ай бұрын
Ukitaka kupunguza siku za kuishi kw sasa, ni kuchukia hit songs zinamwagwa na @kondeboy TEMBO na toto bad @marioo. Hakika utapungua kilo chap kwaa. Hawa jamaa ni umeme wa china
@hollymore49046 ай бұрын
Senge
@King_Kalinga_Tz6 ай бұрын
Njooni na kwangu mcheke
@nkunzurwandakatibu96946 ай бұрын
JEALOUS KILLS DEEPLY.
@NasriMohammed-yw7lp6 ай бұрын
Anajitahid kuongea ni lugha ngeni mashallah!!
@ShadreckDreck6 ай бұрын
Ushaga muhona Jay z ao Rihanna Ao Rahisi anahingiya Studio ya TV ya inchi nawalinzi?Acha ushamba
@FranklinMartin-tp5ss6 ай бұрын
hujielew ww post vdeo ya raisi ikionyesha yupo kweny media za burudn? na kuhus msanii hakn msnii mkubwa anaeingia kweny media kam hzo bila ulinz maybe camera imuonyeshe yeye pekeak,alikiba mwenyew saiv ana bordgurd,toa comment kuhus mzk sio kasoro zngne
@Tanafa-j9q6 ай бұрын
Nachomkubal Simba la masimba dangote hajawai shindwa vita#anakujib kw vitendo
@salumumawaya6 ай бұрын
sema kinyozi kazingua kapindisha kumchonga jeshi😡
@BarakaHarrison-l4t6 ай бұрын
Jeeeeeeshiiiiii n jeeeeeeeeshiìii
@ibwaydigo6 ай бұрын
SIASA hamna tena msanii hapo,
@immaabukuku71806 ай бұрын
Harmonize umepigaje hapo yani my girlfriend which is almost my wife, kingereza bhn
@Aphan-h7h6 ай бұрын
Kama n kawaida apost nyimbo yako kibonge
@AgustinoJoseph-jq7or6 ай бұрын
Adam umerudii tenaa
@aishaomar18456 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 they two fools 😂😂😂😂 you can't ever be him our 🦁💯💯💯💯💯
@TamaduniZetu_topic6 ай бұрын
Story za Jaba 😂😂
@Minister_Jamesdavid_Tv6 ай бұрын
Hivi mwenge ni wa Muungano kumbe😂
@ramadhanmkombelwa30656 ай бұрын
Wimbo wa Harmonize ft Nick Minaj Uko wapi tumechoka kusubiri 😂 ,Nyie watu Mnajua kujitetea 😂sana ,ila uongo unakuwa wingi sana kwa Wasanii wa Bongo
@ABDHULFATAAHSAID-wf6le6 ай бұрын
Konde unafaa kuwa mfano mzuri kwa vijana ambao bado wanajitafuta lakini kumbe debe tupu mana tunaonaogopa kuwasaidia watu Sasa mana watakuwa na tabia kma zako lazima uweshimu alichofanya bosi wako kaa makini
@JackOchwele6 ай бұрын
Meek Mill cannot downgrade himself to your level bro! Ulitoa album lini kumbe?
@AbuFuzzy-c3f6 ай бұрын
Foolish boy like u, Harmonize is a super star lf u know,am from Ghana but I like Harmonize more than our musicians in Ghana,
@RaptorTechnician6 ай бұрын
Ila harmonize
@Aphan-h7h6 ай бұрын
Comasava
@onisimbomasawe-be4mm6 ай бұрын
Comasava nilikwepo ulaya nikajua nipo bongo jinsi ngoma watu wanairuka
@lovenessmartin36216 ай бұрын
Ttzo ufanyi mziki ila unashindana na waliokukuza kwny mziki... Pole kufika Kwa mond bado sana
@Mgema0016 ай бұрын
Ma girlfriend WHICH is almost ma wife....kingereza kingi kumbe utumbo tu😂
@LeahZabron-un4pe6 ай бұрын
Ivi nyinyi wa'bongo mnanin Kila k2 kwenu kibaya hata kama kiwe vip du""""""!!!!
@YasreArafat-kk9en6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@TeamJONGOO6 ай бұрын
Hahahahahahahahahahahahah Kumbe
@kinanaissango34926 ай бұрын
Ww hujui chochote errors kama za kawaida sana hususan kwa lugha ambayo hukuzaliwa nayo
@saidbabaali90826 ай бұрын
He is right broo or which school did you learn? coz he mean her girlfriend which she is almost be a wife
@Ombanebob6 ай бұрын
Tanzania munapenda kulamba serikali yenu sana. Hakuna opposition