Harmonise is very strategic aisee, unajua tunaingia kwenye uchaguzi, huyu mshikaji ni hatari sanaa, very strategic kuliko maelezo
@GilberthRajab23 күн бұрын
Mwakinyo nipondee hicho kisturi. Maana Hana Cha maana Apo #
@KhelefuHamad23 күн бұрын
Hiyo alibam mnjoo ufunguwe zanzibari km ww kweli unampenda samia
@bavonichristopha169323 күн бұрын
Konde ni chawa Kama machawa wengine tu
@Zoneemillion22 күн бұрын
Ila wew chawa zaid 😂
@HappinesMbhanyasima23 күн бұрын
Biap sana broo nakukubali konde gen 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌
@AllyBabu-kr6lg23 күн бұрын
Harmo mi shabiki ako laki opo unazingua bangi. Utafanya niamie kwa kiba
@AmanSamson-zo3nr22 күн бұрын
Zungumzia music Acha siasa broo Kwann mama mama,Sisi tunajua anachokifanya so cool
@awamiabbas22223 күн бұрын
Upuuzi na uchawa mtupu
@silivianjonh685122 күн бұрын
uvae kijani tu albam nzima
@bonnypaul151623 күн бұрын
Mama mugani
@abedsaidy726323 күн бұрын
Huyu kanenepa duu mashaallah
@josephlorri43122 күн бұрын
Bondia boga... eti anataga kupigana na mwakinyo... labda awe kwenye mieleka
@abeidomar243319 күн бұрын
Ni vidonge anameza doz hununua kwa yule bodyguard wake ndio huleta container ya hizo dawa ya gym sio mwili wake
@PatrickMwamba28919 күн бұрын
Harmonize hajiamini Tena anategemea uchawi kwenda mjini😢😢😢😢😢😢
@EdwinPaul-fr9ro23 күн бұрын
Hili jamaa jinga sana
@samnyambabe252923 күн бұрын
Nahisi hiyo do itakuwa albam mbayo zaidi coz kama itajaa kumsifia raisi itakuwa kama uchawa flani ivi hautoweza kufocus na mziki mzuri, zaidi ya kumsifia tuuuu raisi....!! it's boring mpk hapo
@m___ck79923 күн бұрын
Yaani😢maana siyo wananchi wote wanaomsupport huyo mama... atakuwa amelipwa pesa ndefuuuu for him to decide to make an album!
@user-wn4is4wf4v23 күн бұрын
Mwakinyo atakujakua ww
@mlebesitv262823 күн бұрын
ww kilaza kaa kimya 😮
@islamyasin720323 күн бұрын
Akuna chamana apa albam kumbe ya raisi sisi Waze wa mbembelezo wa mapenzi tunapingwa chini😢😢
@user-wd2bc7bf5x23 күн бұрын
marioo yupo jaymelod wasikilizen achaneni na huyu akasikilizwe na samia wake😂😂😂😂
@vibetz999123 күн бұрын
Kibongee
@AllyBabu-kr6lg23 күн бұрын
Nyie mashabiki wa domo mna wivu😊😊😊😊
@nzeyimanamwavita190421 күн бұрын
😂😂😂😂 kibongee kweli. Tembo. 😊😊
@JulianaMushi-nq3kc23 күн бұрын
umeniuzi san mim shabiki yako lkn kumsifu hapana nikikumbuka idara ya maji inavyotubambikizia bili cna hamu na maccm
@RajabuSuleiman23 күн бұрын
unapotea hovyo kaka konde
@lunangabenjamin312123 күн бұрын
Ili li harmonazy lijitume sana mazowezini juu bila ivo litanenepa mpaka shetani atamshangaa.
@niyorukizaelias814223 күн бұрын
Vijana mshawaharibu kwamambo yenu ya uchi uchi mungu awasamehe.
@petercostakisoka23 күн бұрын
Kwishaa mpaka mualikwe
@Shadrafa-th6le23 күн бұрын
Wa kwazani nipeni lenk zangu
@jackisonmlaari455622 күн бұрын
Huyu jamaa ni mzenge kweli
@SixbertMakoko23 күн бұрын
Huyu aliwahi kusema hatowahi kutokea rais kama magufuli
@chusseboywcb280823 күн бұрын
Mama Samia Tena du kweli😂😂😂nchi inamambo kama wasemavyo watupoli🙆🙆wasanii wa bongo wengi wanauchawa sanaaa kwenye viongozi hawana uchawa Kwa jamii inao wazunguka na kuwapa hera Hakuna mtetezi kwenye Jamii
@FrenkKilumile22 күн бұрын
Harmonize penda sana kuforce kupendwa na rais kwa kila mbinu
@ScopionScopion-zj9cd23 күн бұрын
unaongea kama mjinga frani iv watu tulijua unasema Nini kumbe bang tupu wewe siuna gari lini tumenunua mafuta 3314 kama sio kipindi hiki cha mama yetu acha uchawa fala ww
@babalao325021 күн бұрын
We tengeneza tu bode ili mwakinyo apate uwepesi wa kukuchana nyama bila huruma
@babalao325021 күн бұрын
Mi nikajua konde anaakili kumbe box tupu
@austinfoster451223 күн бұрын
Kisituli or kigoda 😅😅😅
@lenoxbuhanza492623 күн бұрын
Kiswahili ni kipana sana,ungepunguza kutumia neno “TOFAUTI TOFAUTI”yapo maneno mbalimbali yenye maana hiyohiyo mfano:mbalimbali,kadha wa kadha,hizi ama zile.msiigane sana kwa kutumia neno moja kila wakati,ukimsikia Ibra utasikia kitu hikihiki,ukisikiliza Diamond neno hili utalisikia kila baada ya sentensi.
@zomasamweli22 күн бұрын
Ongelea mziki acha siasa na kama unataka siasa gombea ujinadi ila sio mzk uchanganye na siasa au!!! Unataka kuwa chawa😂😂😂😂
@onisimbomasawe-be4mm19 күн бұрын
Ney wa mitengo ndo dawa yenu
@mohamedmbalazi74823 күн бұрын
Anaejua nne zilizopita atutajie hapa maana nakumbuka ile 1 tu aliyotoaga siku moja na diamondi
@ShinjeMackenzie23 күн бұрын
Chawa mashavu huyu pumbavu
@EzekiaMichael-jn5np23 күн бұрын
Maagano hayo jamaangu
@user-zx2pk4mg2k22 күн бұрын
Punguza uchawa fala ww
@davidmalogo710023 күн бұрын
Katiba mpya ndo suluhisho itafuta umungu walaisi watanganyika mana Kila kitu wanataja jina Eva ambae hanaalilo Fanya ila watunjaa wanasifu ili kupata mkate halam
@RajabuSuleiman23 күн бұрын
umeamua uimbe nyimbo zasiasa kaka ukimsifia Mama bc hio itakua nyimbo yachama cha CCM
@RajabuSuleiman23 күн бұрын
Saw
@RajabuSuleiman23 күн бұрын
piga nyimbo zakimataifa naso nyimbo yavyama weweee amka