No video

KWA UCHUNGU MKUBWA DUDU BAYA ALIA NA WAKRISTO NA WAISLAM ATOA SOMO KUBWA MWAMPOSA NA DR SULLE WATAJW

  Рет қаралды 14,267

Maks Media

Maks Media

2 ай бұрын

Пікірлер: 71
@user-ly4jw9qi9x
@user-ly4jw9qi9x 2 ай бұрын
Mungu akufunike mtumish wa Mungu.leo nakupa jina jipya.wewe sasa unaitwa mwana mwema nasi dudubaya tena
@EmmanuelMaganga-be7bl
@EmmanuelMaganga-be7bl Ай бұрын
Wew ni hatari sanaaaaaa brother ❤❤❤❤
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 2 ай бұрын
Dudu baya akili Yako moja ni sawa na wasanii wa Sasa hivi 20000
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Zaidi ya 20,000 😂😂😂
@lameckmathias1188
@lameckmathias1188 2 ай бұрын
Mamba!, konki!, konki! Master. Uko vizuri wachache watakuelewa, ipo siku mtu mmoja atakuelewa na malaika watashangilia.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
Ubarikiwe kiongozi dudu baya ❤
@ramadhanisakalani8372
@ramadhanisakalani8372 19 күн бұрын
Mungu aku simamieee inshallah
@T-Fellow
@T-Fellow 2 ай бұрын
Dah, uncle Dudu Baya Nakubali sana unasema mazuri mapana manene!
@eliankota570
@eliankota570 2 ай бұрын
Great thinker 👏👏
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 2 ай бұрын
Mwenye masikio ya kusikia na asikie
@user-el4pg9zg8w
@user-el4pg9zg8w Ай бұрын
The master mind. The dudu
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 2 ай бұрын
Sawa kabisa manenoyako
@JustinaPeter-nq6dn
@JustinaPeter-nq6dn 2 ай бұрын
Naitwa justina hiyo nmeielewa sana kka yang
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 2 ай бұрын
YES DUDUBAYA UKO RIGHT VIONGOZI WA DINI SASA HIVI NI WASANII.
@ramadhanisakalani8372
@ramadhanisakalani8372 19 күн бұрын
Wallah Tena dudu baya umengea point sana
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 2 ай бұрын
Maneno ya Mungu halisi hakika maadiki yetu yamemomonyoka Mungu akutumie.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Ай бұрын
NIMEIPENDA HIYO.; MTUMISHI WA MUNGU UMEAMBIWA KUNA MGONJWA WASHA NDINGA UNAENDA KUTIMIZA WAJIBU❤❤❤❤❤❤. 😂😂😂😂😂😂. HAPO VIPI HAPO ❤❤❤❤❤❤
@abdulisike
@abdulisike Ай бұрын
Konk konk konk master hua nafrai sana interview zako .
@alexandersangi1724
@alexandersangi1724 2 ай бұрын
Aminaaaaaaaaa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Matendo 1:8 Kaeni humu mpk mtiwe nguvu..... Ila yuko sahihi mtu unapambana eti upate kiwanja katikati ya makazi ya watu badala ya kwenda nje ya mji
@arjunmutotowadzaleka
@arjunmutotowadzaleka 2 ай бұрын
Niatari Sana
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Huwezi kuwa kiongozi wa dini bila pesa kwa sababu kufanya kazi ya Mungu inataka pesa
@raymondthomas3960
@raymondthomas3960 2 ай бұрын
Konki kweli una akili kaka nimekipenda bure
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 2 ай бұрын
Dudu baya yupo sahihi
@user-qq2oc4bt3i
@user-qq2oc4bt3i Ай бұрын
Mtumishi wa Munguu fanya Kazii Mungu ameshakuita tayariiii
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@njiasalamatv4794
@njiasalamatv4794 12 сағат бұрын
DUDU BAYA FATILIA HOPE CHANEL TANZANIA....... UTASIKIA AMRI KUMI ZIKIFUNDISHWA KWA UPANA SANAA KUPITIA WAHUBIRI MBALIMBALI.. MUNGU AKUBARIKI KWA KUJALI AMRI ZA MUNGU
@user-uk6vv8ug1g
@user-uk6vv8ug1g Ай бұрын
Kweli
@IsraelUrasa
@IsraelUrasa 2 ай бұрын
Kweli duduu
@morisanicent6339
@morisanicent6339 9 күн бұрын
We kichwa..
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 Ай бұрын
Anaishi nje ya mda Dudu Baya yuko really
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 ай бұрын
Dudu baya ... Uko sahihi
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c Ай бұрын
Amri 10 zilikua ni adhabu ya izrael walishindwa kumwamin mungu ,na sio mataifa ,maana sisi zilikua sio adhabu zetu hizo ,ila sisi amri tunayotakiwa tuifaate ambayo ni asili ya utu wa ndan toka hapo mwanzo ni upendo ktk nafsi na wala sio hizo amri tunazozifuatilia ,wakati zilikua adhabu kwa izrael kwakua walimuuz kwakutomuamin yy, kikubwa sheria au amri kubwa ya moyon hua ni kuishi kwa iman ktk pendo na sio sheria hizo ambazo ni adhabu. Ila kwakua watu wameshazoea pasipo kuelewa uhalisia ,unakuta ndio maana wanakua wabaya zaidi maana wanafikilia amri za adhabu kuliko kufikilia haki ilio ktk sheria ya nafsi ya mtu kwa asili ambayo ni uoendo.
@mnyama8
@mnyama8 2 ай бұрын
Kiukwel Mungu alieko agano LA kale ambaye ni OG mwenyewr ni tofaut na Wa agano jipya ,Wa agano LA kale keshasema kabisa hakuna Mungu mwingie apasaye kuabudiwa juu mbinguni ,dunian au chini ya Maji ,lakin Mungu Wa agano jipya aseee , 😂😂😂😂😂anasema Yesu pia ni Mungu ,aaabudiwe na kuombwa uliniz na mahitaji Mengine ,sas a izo amri kumi zitakumbushwa SAA ngap
@abelmwakipesile9868
@abelmwakipesile9868 2 ай бұрын
Nakubali
@moussamoss2786
@moussamoss2786 2 ай бұрын
Kwa muda mdogo tuu nime muelewa Dudu Baya kuliko jinsi nilikua sija muelewa Kwa muda mrefu. Wewe ni dhahabu ambayo haija safishwa, Ila ipo siku uta safika tu kaka.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Simama na Mungu mtumikie Mungu tu
@johnfaustinechannel746
@johnfaustinechannel746 Ай бұрын
Dudu baya! Limebaki tu jambo moja ! Soma Kutoka 20:3-17 uzijue amri 10 za Mungu za kweli ! Alafu zilinganishe na za kwenye Katekisimu utagundua kuna mahali tumepigwa!
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 2 ай бұрын
Dudu baya umeongea ukweli
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino Ай бұрын
Kwenye jamii hayo yapo, wengi wenye wake wazuri wasiojua Mungu ni tatizo kubwa 5:31
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Dudu Baya zinaa ni jambo la kawaida kwa binadamu hata wakioana.😂
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Ай бұрын
Dudu Baya nyumba za Ibada zinajengwa jirani na makazi kwasababu ya kutaka wewe Kama DuduBaya Ifike kwenye nyumba ya Ibada ya kumuabudia Mungu. Hujajua kwa hata Yesu aliwafuta wenye dhambi majumbani mwao Kisha akala nao ndipo akawahubiria habari za Mungu na kuwaasa waache kufanya dhambi, kama ingekuwa kama hivyo unavyo fikilia basi angeenda kilimani au polini ili wenye dhambi na wanao taka kujua habari za Mungu wamfuate huko lakini Yesu alienda katikati ya miji na kuhubiri habari za Mungu.
@josejosepg6601
@josejosepg6601 2 ай бұрын
Dudu bayaa master
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY Ай бұрын
MISIKITI HAIFAI KUKAA MBALI. MISIKITI NI SEHEM YA MAISHA. 5-TIMES SWALA MISIKITI NI SEHEM YA MAISHA
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 Ай бұрын
Ahsante sana kumbe unajua
@AdilianoSiwale-pt5mu
@AdilianoSiwale-pt5mu Ай бұрын
Amrikumi zimebaki kwa kakobetu maana yeye anakemea dhambi mpakaleo
@user-uk6vv8ug1g
@user-uk6vv8ug1g Ай бұрын
Dudu unatisha
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Ай бұрын
NILIWAHI KUWAAMBIA HUYU NI ZAIDI YA WALE MITUME NA MANABII WA SASA HIVI MTANIELEWA TU NAMAANISHA NINI.
@williamkavishe397
@williamkavishe397 2 ай бұрын
Amri kumi Ni zipi tunaomba uzitaje nami nizijue mungu akubariki
@MajaliwaLechipya
@MajaliwaLechipya 2 ай бұрын
Usiibe usizini usimshuhudie jilan yako uongo usilitaaje jina labwana Mungu wako bule usitaman usiseme uongo uikumbuke siku yasaba usimtumikishe mjakaz wako wala mnyama alieko malangon mwako
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Soma kutoka 20 itazikuta hapo
@IsraelUrasa
@IsraelUrasa 2 ай бұрын
Tumetoka somo baba siisawana watoto wa mbarikiwa kikosikazi
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Ай бұрын
Israelliiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 10 күн бұрын
Unacho sema niukweri mtupu
@user-ly4jw9qi9x
@user-ly4jw9qi9x 2 ай бұрын
Tunaomba namba zako mwana mwema
@user-uk6vv8ug1g
@user-uk6vv8ug1g Ай бұрын
Maokotoooo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Wapo bwana Ila wachache😅
@josephkadeghe4720
@josephkadeghe4720 Ай бұрын
Sasa kwanini kwa mganga unatoa sadaka, lakini kwa watumishi asitoe sadaka?
@MasterG-dc1tx
@MasterG-dc1tx 2 ай бұрын
Duh mwamba umeeleweka kiufupi
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Ай бұрын
Mb zangu sijuti
@profs.a5412
@profs.a5412 Ай бұрын
Watu hawa wasipopiga kelele, mawe yatapiga kelele🤔 imefika hatua wanaojiita wanadini , wanahubiriwa na watu wanao waita wapagani
@user-rn6ej2fs1l
@user-rn6ej2fs1l Ай бұрын
Umeongea ukweli
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Unafuata amri 10, umekuwa myahudi😂😂😂😂😂😂😂
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 2 ай бұрын
Dudu Baya nakutakwajinakubwa sana mpendwa hata mimi napenda ufunguwe kanisa tutakuhungamkono ndugu mpendwa wewe utakuwa mchungaji mzuri sana kabisa wa Chana Nahao wachungaji wamchongo mimi niko apa ujerumani tutakuhinua usihogopi kabisa
@sarabura8933
@sarabura8933 Ай бұрын
Uchungaji bila wito
@user-xm9wr1lk4t
@user-xm9wr1lk4t Ай бұрын
Wewe nae huna akili kabisa yaani; unaposema usioe mwanamke mzuri ndiyo upumbavu wa wapi!! Kuoa au kuolewa ni kibali, ni jambo la rohoni na halina uhusiano na muonekano wa nje!! We vipi!!!? Binafsi, nadhani huyu dudu sijui nani ameanza kudata!! Sehemu Gani mtume Paulo alisema bado!!!!? Acha uongo bro! Kama maandiko huyajui piga kimya na usiyaletee mazoea maandiko ya Mungu; Paulo anasema sikuyaasi Yale maono ya Mbinguni. Halafu mtu aliyeitwa kuifanya kazi ya Mungu ana muda wa kusikilizia; Na wewe dudubaya usije ukajidanganya kwamba wewe ukiacha kazi ya Mungu basi ndiyo haitatendeka, eti anataka nimtumikie Mungu kama mapadre wa Roman Catholic! DUDUBAYA HUNA WITO HUO; Kina Paulo, Musa, Petro, na wengine wengi waliacha kazi zao
@josephkadeghe4720
@josephkadeghe4720 Ай бұрын
Tatizo unazungumza vitu kwa akili zako, neno la Mungu linasema wataendeaje bila kupelekwa?
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Ай бұрын
Umeandika kwa akili zanani?
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 2 ай бұрын
Kama amri za mungu ni kumi peke yake kila mmoja angeenda peponi. Halafu wewe ni unaongea ujinga tu nyinyi wasanii ndo mnaongoza kwa kutuharibia watoto kwa maadilu yenu ya kijinga. Ungeanza na wasanii wenzako ndo uje kwa viongozi wa dini. Halafu ulitaka mchungaji aje nyumbani kukushika mkono au? Acha upumbavu. Maadili yangeanza na wewe kwanza ndo utoke nje kuongea.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 Ай бұрын
Wewe mwombe Mungu akupe neema na akuchague kwenye kazi yake
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 51 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 37 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 53 МЛН
DUDU BAYA AMCHANA MANARA KUHUSU MAKONDA| PUNGUZENI DHARAU SASA MMEUMBUKA
56:25
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН