Harmonize alinikatia simu | Nilimsubiri kuanzia saa 2 asbuh saa 6 usiku | Nimetesaka sana- Ibraah

  Рет қаралды 606,577

Dina Marios tv

Dina Marios tv

Күн бұрын

Пікірлер: 488
@promovannypeter7942
@promovannypeter7942 4 жыл бұрын
Nawapenda sanaa konde Boy na ibraaaa sanaaaaaa mnapendza mkiwa na mdogo ako ibraa Inshaallah mwenyezi mung awape nguvu amen
@romypanda8960
@romypanda8960 4 жыл бұрын
Jaman like hapa kwan mm ni (romy panda) kuanzia 2025 nitakuwa mwanamuziki maarufu in AFRICA kwa uwezo wa Mungu kwa ninakiamini kipaji changu
@deborahkilian7748
@deborahkilian7748 3 жыл бұрын
Stor ya Ibra imenifundisha hakuna kukata tamaa , ni kupambana mpaka kieleweeeke🙏🙏🙏🙏
@jjboy5157
@jjboy5157 4 жыл бұрын
Ibrah ndo msani wakwanza Kuingia kwenye bongo fleva Akiwa smart love from Capetown ❤❤ibrah❤❤❤❤❤
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 жыл бұрын
Kabisa Umaridadi huficha umasikini😊
@michaelkagine374
@michaelkagine374 4 жыл бұрын
Bongo tv ibraah una weza mwanangu
@lollatwapachannel.5132
@lollatwapachannel.5132 4 жыл бұрын
atujali ibra akuzwe uko tz...acheni mchezo.... 🇰🇪 🇰🇪
@Sanga_b
@Sanga_b 4 жыл бұрын
Harmonize anajibu kikubwa sana sometime big up
@ludaba2323
@ludaba2323 9 ай бұрын
Dinna mwanangu nimefurahi sanaa kukuona na kulisikia sauti yako baada ya miaka mingi sana❤
@aminamwinga270
@aminamwinga270 3 жыл бұрын
Mashaallah mola akuzidishie kipaji chako
@stanleymwangi2480
@stanleymwangi2480 4 жыл бұрын
Kutoka Kenya ibraah welcome to the world music.i love your voice and since harmonize is my best bongo flavor musician I'll give my support 100%
@jh17kdb91
@jh17kdb91 4 жыл бұрын
Ibrah anatufanya tunapo hitaji jambo lolote tusikate tamaa tutafanikiwa
@jh17kdb91
@jh17kdb91 4 жыл бұрын
Ola ola
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Asee IBRAAAH nimstaarab sana jaman hongera zake😊🙌
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
Naomb jina unalotumia instagram
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
@@buluush9741 chukua 😁
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣asante😂😂😂
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
Unatmia jina gani man kila nnapoenda lkn nikukutu huku youtube
@mohamedraahid1456
@mohamedraahid1456 4 жыл бұрын
Mambo munira
@esdaroyaute8992
@esdaroyaute8992 4 жыл бұрын
Welcome Ibraaz bonne chance, love from DRCongo-Kinshasa
@leonardhaule539
@leonardhaule539 4 жыл бұрын
Waliona harmonize anamwambia ibraah ongeza sauti like zenu jamani tujuane
@fatumajamil6425
@fatumajamil6425 3 жыл бұрын
Sawa
@judthsimon3714
@judthsimon3714 4 жыл бұрын
Kam na ww unaona ibra kafanana na meja kunta gonga like twende sw
@Surevoice-zo5nt
@Surevoice-zo5nt Жыл бұрын
Good
@davieskwayu8947
@davieskwayu8947 2 жыл бұрын
Big up Ibraa focus ur future usimtegemee konde kwa Kila kitu unatakiwa uwe wewe kama wewe na heshimu waliokushika maana wamekupa ramani so kazi kwako
@makokoropeter493
@makokoropeter493 4 жыл бұрын
Saf ibrah mungu akusaidie utafka mbal zaid
@mariamramadan6154
@mariamramadan6154 4 жыл бұрын
Acha kumshilikisha mwenyezi mungu na muziki navitu vya ovyo
@kijanaWaMamaBhajia
@kijanaWaMamaBhajia 4 жыл бұрын
Mungu akubariki bro ibraah
@josephmonteiromonteiromuen8673
@josephmonteiromonteiromuen8673 4 жыл бұрын
Salute from conde boy🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤘
@tumainimango8140
@tumainimango8140 4 жыл бұрын
Huyu mtoto atafika mbali Ni mtiifu
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 4 жыл бұрын
Nashukuru ibra yakawa umepitia Kwangu kigamboni community centre ni kwa maendeleo ya vijana nakutakia mafanikio
@hadiazahor6874
@hadiazahor6874 4 жыл бұрын
Dogo ibraaa km unafanan na meja iv 💕💕 💕 nikutkie xafr yk ya music iwe y kher 🙏🙏 temboo tupeleke👏👏👏
@yusuphfesto1931
@yusuphfesto1931 3 жыл бұрын
Harmonize hana choyo Mungu awainue kwa ushirikiano wenu mfike mbali
@davisterke7475
@davisterke7475 4 жыл бұрын
Kazi yke ibraah safi tunaitambua kenya sanaa
@knablessingkuri1032
@knablessingkuri1032 4 жыл бұрын
Love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@osmanosman551
@osmanosman551 4 жыл бұрын
Love from burundi
@dinanzeyimana5804
@dinanzeyimana5804 4 жыл бұрын
Ibra mwezi mungu yupo nina imani utawepasuwa inshaallah kwasababu muziki unajuwa allah akusaidiye
@devothakwesiga5129
@devothakwesiga5129 4 жыл бұрын
Samahani penda kuanza na herufi kubwa kwa majina ya ALLAH itapendeza ila samahan kama nitakuwa kikwazo kwako
@fatumajamil6425
@fatumajamil6425 3 жыл бұрын
Tena Yuko Sawa Nafuraisana
@shidiiz_
@shidiiz_ 4 жыл бұрын
Wajomba zake wamebarikiwa sana
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 4 жыл бұрын
Kama umemuona konde akionesha ishara ya kupigwa playback gonga like
@p-sherytv4878
@p-sherytv4878 3 жыл бұрын
Napendaa Sana mziki napoona Mambo kamaaya kiukwel machozi yananitoka sababu yasababu
@mbarakahmed3305
@mbarakahmed3305 4 жыл бұрын
Konde boy ana vituko, be professional brathee mcorect ibra mukiwa ndani not there infront of people... ibra bado mgeni2 lazim uwoga....One love tunakumind Konde B
@dannymziwanda6944
@dannymziwanda6944 4 жыл бұрын
Gonga like hapa kama unamkubali harmonize
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 4 жыл бұрын
Hormonize smart guy🔥🔥🔥👌
@redline5877
@redline5877 4 жыл бұрын
Nice
@fatumasalimali7422
@fatumasalimali7422 4 жыл бұрын
Mungu akusaidie
@ruthodongo775
@ruthodongo775 4 жыл бұрын
Ibrah mpole kisura likes zangu hapo down
@ommymzee6683
@ommymzee6683 4 жыл бұрын
Ebana mi nkuombee mafanikio mema tu naamin utafnikiw, never give up,💪💪💪
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 4 жыл бұрын
Ibrah Anajua Sana like Kama umeelewa
@ayeshal4395
@ayeshal4395 4 жыл бұрын
Kbsa yn huyu kijana nakpnda sn
@numerienndarufatiye6542
@numerienndarufatiye6542 4 жыл бұрын
VP nimeshukulu sana kumusajili ibraah na sisi tuko nyuma tunaitaj usaidizi by diam man zebedayo
@PatrickMOmolloh
@PatrickMOmolloh 4 жыл бұрын
I like your story bro you didn't give up, Kenya tunawapenda
@fabbykhanbackup
@fabbykhanbackup 4 жыл бұрын
Kama umemuona ibraah kafanana na Meja kunta like apa
@garbwavesolutions3947
@garbwavesolutions3947 4 жыл бұрын
Yeah
@adamkadiri3864
@adamkadiri3864 4 жыл бұрын
Mpo vizuri Sana 🔥💪
@nyabu1
@nyabu1 4 жыл бұрын
ibrah mmh ni atari uku kwetu uvira congo
@rwehumbizajonathan8689
@rwehumbizajonathan8689 4 жыл бұрын
Safi sana Chaliii...Unapangua maswali vizuri sana. Kipaji unacho mzeee, Work Hard, Keep ur head down..utafika mbali.
@daudilukumai4749
@daudilukumai4749 2 жыл бұрын
Kijana mstaarabu sana Mungu akutunze
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Maisha kweli Yana historia, kila mtu anazo sababu zakufanikiwa
@agustinofrqncc7477
@agustinofrqncc7477 4 жыл бұрын
Xxx
@starlife3550
@starlife3550 4 жыл бұрын
The boys so humble he will go far
@hassannoor6967
@hassannoor6967 4 жыл бұрын
Mkisiii wewe kuenda huko mbwaiii
@victorboneventure586
@victorboneventure586 4 жыл бұрын
mjerumani alisema ibrah ni msanii wa pili kusainiwa akimaanisha harmonize naye alisainiwa konde music world wide
@zawadimussa8894
@zawadimussa8894 4 жыл бұрын
Cjakuelewa mwamba unamanisha nn????
@mariammapendo6074
@mariammapendo6074 4 жыл бұрын
Jhaman uy mkaka ibra kapole jhaman
@Qeek_Smart
@Qeek_Smart 4 жыл бұрын
Ibra yuleee anaanza kula wadada wazur
@Fredw6
@Fredw6 4 жыл бұрын
Konde boy nakupenda sana baba ✌️✌️✌️✌️
@edwardyjuliusi1839
@edwardyjuliusi1839 4 жыл бұрын
Like za ibla jamani.
@bonifacemwakifwamba1545
@bonifacemwakifwamba1545 4 жыл бұрын
Dogo unajua,,,basi nimemaliza
@hermanmtunguja7902
@hermanmtunguja7902 4 жыл бұрын
Big up konde boy
@hermanmtunguja7902
@hermanmtunguja7902 4 жыл бұрын
Ibraaa kaza buti ...konde gang ikooo juu
@amadeadinane5616
@amadeadinane5616 4 жыл бұрын
Kondegang,eu gosto muito do harmonize e ibrrah
@FerraidFerraid
@FerraidFerraid 4 жыл бұрын
@@bonifacemwakifwamba1545 👌
@maromedia6272
@maromedia6272 4 жыл бұрын
Nekuelewa sana sister kwa pigo zako za uchesh pia unajielew san
@sajadkimwaga6663
@sajadkimwaga6663 4 жыл бұрын
sanaaaaaa coondeee boooyyyyyyyy 🔊🔊🔊🔊🔊📣📣📣📣📣📣
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 4 жыл бұрын
Mtwara juu usmati mbelee hakuna kuyumba saf kwako konde boy ongera kwenu Efm
@gasperygasperymelkion7470
@gasperygasperymelkion7470 4 жыл бұрын
Haruni Mfaume
@bansbans3802
@bansbans3802 4 жыл бұрын
Nikapole jamani love u ibrah
@hamzalaus9599
@hamzalaus9599 4 жыл бұрын
Hahahaha 😂 poa Sana bro ibraah saluti kwako
@samsonsafari3377
@samsonsafari3377 2 жыл бұрын
I will never give up nitafata step za ibraah
@yeftawakilongo2807
@yeftawakilongo2807 4 жыл бұрын
Love u from🇨🇩🇨🇩
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
Destin Destin Eray ❤️❤️
@siyaissa9093
@siyaissa9093 4 жыл бұрын
Nakukubali sana ibra nanyimbo zako
@ibrahimushaibu4363
@ibrahimushaibu4363 4 жыл бұрын
Vzr sana ibrah kwa mdundo mkalii
@successmoyosafi181
@successmoyosafi181 4 жыл бұрын
Waliyo ona hamo akimwambia ibra sauti like apo
@_KING1031
@_KING1031 4 жыл бұрын
Konde Boy Jr. big up💯💯
@lailahasan2200
@lailahasan2200 4 жыл бұрын
Swebe... Unanifurahisha sn na maneno yk
@simbapolin3255
@simbapolin3255 3 жыл бұрын
Nafrah sana kusikia saut zawakali wamusc
@julianamushi3392
@julianamushi3392 4 жыл бұрын
Mmakonde wa kwanza mwenye sura mzuri fanikiwa uwale kaka 🤣🤣
@eddyshirima5601
@eddyshirima5601 4 жыл бұрын
Umeona ee
@dennismusiba4836
@dennismusiba4836 4 жыл бұрын
Hahaaa pumbavu sana july
@purityndunge5837
@purityndunge5837 4 жыл бұрын
Na vile harmonize n handsome
@maaxhsaidi8420
@maaxhsaidi8420 4 жыл бұрын
Juliana tuombe msamaha kwaiyo wamakonde sisi wabaya
@fardeennasser2963
@fardeennasser2963 4 жыл бұрын
Uanze wewe kumpatia utamu.
@prosperndelwa4560
@prosperndelwa4560 4 жыл бұрын
#harmonize unapita mule mule km bro #mondi..una inua vipaji
@officiallzack9350
@officiallzack9350 4 жыл бұрын
Ibraah xkupng blood konde gang for life
@e-townridderquavo3904
@e-townridderquavo3904 3 жыл бұрын
Kali sana konde love
@johnernest3306
@johnernest3306 4 жыл бұрын
GONGA LIKE KAMA UMEIONA MIWANI YA HAMONIZE SIJUI KAMUAZIMA IBRAH
@fedrickagustino991
@fedrickagustino991 4 жыл бұрын
Tembo wa africa konde boy
@genleygermain3219
@genleygermain3219 4 жыл бұрын
Kweliiii tembo
@joveboytalent461
@joveboytalent461 4 жыл бұрын
Musc nisafar ndefu, ila mimi napenda kwasababu mtu kwahapo, hula jasholako. So me nimependa intrevyou ya iburah, maana kaerezea historya yamaishayakeya befou nikama nilionayo. Kwakwer hongerasana kaka iburah, name namuomba mngu aliekuvuta namme anisaidie isha allah.
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 жыл бұрын
MUNGU AKUSIMAMIE UFIKISHE MALENGO YAKO
@hgcbj635
@hgcbj635 3 жыл бұрын
Love from burundi🇸🇦🇧🇮
@shanganisaidi8165
@shanganisaidi8165 4 жыл бұрын
Woyooo motoooo konde gang
@thumamusa629
@thumamusa629 4 жыл бұрын
Wish to see ibrah marry zuchu so that they can bring WASAFI na KONDE MUSIC together😀😀
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 4 жыл бұрын
Haiwezi kutokea
@ludaba2323
@ludaba2323 9 ай бұрын
Umependeza sana mwanangu❤😂
@queensmapete2299
@queensmapete2299 4 жыл бұрын
Mh mmi shabiki wa diamond lakini harmonaiz kwa Sasa unaweza na ninachokupendea unajiamini Sana🥰embu niimbie for Lily uliyeimba na Sara na hule ona madiri yanavyogongana acha washindane na ibra😂ya mwisho huo ni ushamba pale mwisho unavyocheza napenda Sana hila ibra komaa utatoka mdogo wangu
@webbydanagu9667
@webbydanagu9667 4 жыл бұрын
Ila swebe akili zake zinamtosha mwenyewe😂😂😂 Ibraah kapambania kombe kiukweli
@misshelboe4118
@misshelboe4118 4 жыл бұрын
Jamii we ibra mpole saruti kwako
@josephtula5525
@josephtula5525 4 жыл бұрын
Anajichanganya sana kati ya buza na kigamboni pamoja na miaka ya kusota, ajajipanga vizuri
@rajabmsangi5700
@rajabmsangi5700 4 жыл бұрын
Real fighter
@ithianathitirightness1361
@ithianathitirightness1361 4 жыл бұрын
I Like this Guy 👌😍🔥🔥🔥👏
@g-zoman1081
@g-zoman1081 9 ай бұрын
Uko sawa kbx utafika tu kaza buti🇹🇿
@ahmadikauru6592
@ahmadikauru6592 4 жыл бұрын
Wanamtwala tunaweza
@aminakweka243
@aminakweka243 4 жыл бұрын
Kama umeona ibra kafanana na meja kunta kasoro mwanya t
@maaxhsaidi8420
@maaxhsaidi8420 4 жыл бұрын
Kwel Mimi mwenyew nilidhani ivo
@sadaally3556
@sadaally3556 4 жыл бұрын
🤣🤣👌👌
@malikhamad3323
@malikhamad3323 4 жыл бұрын
Hakika
@MrLionVictor
@MrLionVictor 4 жыл бұрын
Mmekata stori kifala
@URNiderTV
@URNiderTV 4 жыл бұрын
Mungu Ndie Mjuzi
@jannolutimba8643
@jannolutimba8643 4 жыл бұрын
bro mungu akup unachotak
@saddamswalehe5137
@saddamswalehe5137 4 жыл бұрын
Waimbe majugu waache pow
@zamdaminnah2942
@zamdaminnah2942 4 жыл бұрын
Jmn nampenda ibrah😭😭😭😭😭😭😭
@sannydaimu7971
@sannydaimu7971 4 жыл бұрын
Nami nakuja konde boy fireeeee
@dissartv4806
@dissartv4806 4 жыл бұрын
Harmonize respect the home.. WCB..kyuma wew
@mkanumbathegreat4631
@mkanumbathegreat4631 4 жыл бұрын
Hii imekua sawa
@ninialzahrani4098
@ninialzahrani4098 4 жыл бұрын
Nakupend san kond umenifurahish
@mwajumaselemani4014
@mwajumaselemani4014 4 жыл бұрын
Uko vzr ibr
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 4 жыл бұрын
Mmenifurahisha sana jmn eti nyani katoka 😂😂😂😂😂😂
@selemanimsahani3919
@selemanimsahani3919 4 жыл бұрын
Nani kamsikia makonde akimstua! Sauti😂
@THEDIVINE685
@THEDIVINE685 4 жыл бұрын
Selemani M sahani nimezani ni mimi peke nimesikia
@anaphyasini241
@anaphyasini241 4 жыл бұрын
jambo zuri xana konde mnjama wasaidie wenzio konde mungu ata kulipa pamoja sana
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 4 жыл бұрын
Hajamsuta kamwambia tu Ingres sauti
@hellenmanzi4740
@hellenmanzi4740 4 жыл бұрын
ila muhandsome hatar😘
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
Hujaniona mm ww😂😂😂
@dazk7861
@dazk7861 4 жыл бұрын
Big up janja pambana sana
@pascalkana3103
@pascalkana3103 4 жыл бұрын
Nice konde boy jeshi
@isayamecha6916
@isayamecha6916 4 жыл бұрын
Ibraah welcome world wide
@animalloverafricaexploring28
@animalloverafricaexploring28 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqvPY6Bnhq-pmM0
@ayeshal4395
@ayeshal4395 4 жыл бұрын
Brother wng lbra hmnz n mtu poa sn Hana shda
@joanmaresi2371
@joanmaresi2371 3 жыл бұрын
Big up🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@devydaniel1651
@devydaniel1651 4 жыл бұрын
Makini sana ibraah
@myseramatamu7409
@myseramatamu7409 4 жыл бұрын
KongeGang4Everybody Safi Sana
Ibraah Live Interview in (E FM) - Part 2
25:08
Ibraah
Рет қаралды 15 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Mrisho Mpoto X Harmonize - Nimwage Radhi (STUDIO SESSION)
18:00
Harmonize
Рет қаралды 758 М.
SHOW NZIMA YA NDARO CHEKA TU
7:16
Ndaro Tz
Рет қаралды 438 М.