Umeeleweka kiongozi, tajiri mtoto mwenye pesa nyingi the king of the Real World💪💪💪💪💪💪
@jumong-gameplayer4 ай бұрын
Kumbe jombaa, leo ndio nimekuelewa, safi sana
@DavidOnesmus3 ай бұрын
Huwezi ongea ukweli ww shetani unapotosha watu ili upate kiki
@NgwaliNgwali-q7x4 ай бұрын
Mungu amsamehe na amjaalie mwisho mwema pumzi tu hizo
@NicholausKalolo5 ай бұрын
acha bwegeee weee tuko nae kwenye ndagu uyooo tunatoaga kafara😅😅
@kawauumemetz59635 ай бұрын
Hipo hivi Unatamani maisha ya watu unao wafuatilia kwenye mitandao na kuchukia maisha yako kumbe nao wana kuonyesha maisha wanayo yatamani sio wanayoyaishi
@mathayokihwelo61005 ай бұрын
Huyu jamaa anaishi maisha ya ndoto zetu kila siku..ingekuwa ana fake life basi angepotea muda maana anatafuta mwaka wa tatu mfululizo maisha yake yanazidi kuboreka mara dufu
@mathayokihwelo61005 ай бұрын
Huyu jamaa anaishi maisha ya ndoto zetu kila siku..ingekuwa ana fake life basi angepotea muda maana anatafuta mwaka wa tatu mfululizo maisha yake yanazidi kuboreka mara dufu
@sumaiyaAisha-gc4jx5 ай бұрын
Mzee wakazi naitaji nionane na ww mi mjasiria mali mdogo
@Trendingupdates2545 ай бұрын
Ameskia mchungajii😅😅
@liwalihamissi75925 ай бұрын
Munajisifia mihela???eti nyinyi ma Boss???mbone magali yenu anatembelea kwa babaa zavumbi?????eti munamihela???mwache ufara jengeni nchi
@jumarajabu16244 ай бұрын
Wewee muongo sana tena sana
@FarbbenChakali-h7vАй бұрын
Mambo vip my boss
@CHIEF_WA_BUJONDE3 ай бұрын
home boy naona unatuwakilisha dar
@FedrickTz-lg7od5 ай бұрын
Mbeya, kyela, ipinda mpk matema beach tunakuona jamaa una fake life tu,, usipotoshe watu😂
@innocentmakundi39305 ай бұрын
Sio kweli
@micksonnyamwez965 ай бұрын
Chuki Ni Laana Ambayo Haimuathiri Anayechukiwa. Inatia Sumu Tu Kwa Anayechukia. Usifuge Chuki Na Vinyongo Vitakudhoofisha Kiakili Na Kimwili.
@FredrickMajami5 ай бұрын
Nawew fake kwani unashindwaje
@Stephano-j5p5 ай бұрын
We mwenye real life uko ap 😂😂@@innocentmakundi3930
@Jimson-gm5jv4 ай бұрын
Wewe una nini
@GRACEGUILLAUMEMOISE4 ай бұрын
Kweli
@PopMsafi-ze5ye4 ай бұрын
Unajichannganya⁉️ kwenye group unataka Nini et pesa,kkk
@shabanhussein79034 ай бұрын
Mimi cjaona sababu ya kutukana tunao comment ujapenda ujaelewa potea
@AbdulEmmanuel-s6l5 ай бұрын
Sema kwer
@QueenKweka-b9l5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@GalileAmani5 ай бұрын
Broh ww ni unapata izo pesa ni ushirikina
@EventEmanuel4 ай бұрын
Bado sijakubaliana na chief godlove
@Longishusisaimon5 ай бұрын
Yan wabyakyusa mtuache kama pesa zpo kwa waganga wambie nao waende kwani wao awataki pesa.
@richmond-BLNАй бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@MOTENAJAY5 ай бұрын
Waandishi waongo kwelìi muache ubwege
@AlexJackson-ig2yd5 ай бұрын
Acheni ujinga kuweni waelewa siku za mwisho kutakuwa mambo mengi yatakayo poteza watu hasa hasa hizi pesa kafara hizo mnazo ongelea mulifundishwa na nani tafuteni ufalme wa mbinguni mengine mutazidishiwa wa Mungu
@KashindiRamazani-b1h5 ай бұрын
Tafuta pesa acha maneno
@franksean8425 ай бұрын
Kwani mafanikiyo ni nini??
@FadhiliNdunguru-lr1cr5 ай бұрын
Mafanikio ni kufikia malengo yako, mfano kama nilipanga kununua baiskeli, na nikafanisha maana yake ni mafanikio, ila Nikapanga kununua ndege halafu nikafel maana yake sijafikia malengo, hata kama nikawa na magari mengi lakini nimeshindwa kufikia malengo yangu ya kununua ndege hivyo nakuwa sijafanikiwa, hii ni kwangu Mimi maoni yangu
@HussenHassan-f9t5 ай бұрын
Tapeli kama una hela kweli mbea baba ako anaisha magumu na anakushangaa
@chrissmwambapa61675 ай бұрын
Sio mbea ni mbeya
@nassormasoudi85464 ай бұрын
🎉🎉🎉
@RobertChacha-hb9re5 ай бұрын
Waandishi wameokota leo 😅😅😅
@JadinMukali5 ай бұрын
Mbona sisi tuko natameliwa ww ulikutana Nani ambayo aliku onesha njiya ya mafanyikiyo broow
@brunojuma-gd3py4 ай бұрын
Mh! tatzo mtaji mdogo
@YayaMugisa2 ай бұрын
Mimi ni mekuku bali chief
@ndegeofficial99285 ай бұрын
🎉
@SulainaSirajiTwaibu27 күн бұрын
Mambo
@EmanuelJohn-q1h3 ай бұрын
Chifu godlove nimhuni taper kubwa sana sina hamu
@yamngukadai64145 ай бұрын
Huyo ni taperi mtoto wa mjini hy
@TheranceNdayishimiyeАй бұрын
Mbona wakisem mchungaji unakwepa sana linakuchoma awo?????
@Limbu-p8fАй бұрын
Acheni ujinga kama mumechoka kuskiliza musiagalie
@GalileAmani5 ай бұрын
Acha kutuchanganya bwana
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Jamaa liongo hili et mungu hayupo mbinguni subuhana llah kafiri huyu😂😂😂 ajui lolote kuhusu ilmu ya mungu