Who still on 2024 very emotional keep pushing my African favorite ever i love your music Bro Much love from Masaka Kyabakuza Uganda.
@Coach_Toad6 ай бұрын
from MASAKA -- NYENDO💪
@annettemukiga28 күн бұрын
Abaana ba kyaguranyi ❤@@Coach_Toad
@lucygitari28698 ай бұрын
Kenyans is supporting the music again 😊
@nafisamohamad31826 жыл бұрын
Dah yan hii nyimbo imenitoa chozi kwa kweli😥😥hebu wazazi tujifunzeni kupitia apa tusiwaache watto wetu wateseke kisa mnaishi kwa hali duni ukaona bora uwakimbie na kwenda kutafta maisha mazuri kisha baadae utakuja kuwakumbuka ndio lazma utarudi tu, wangapi wanamkubali mayonize wagonge like zao apa.
@eliyapeter74966 жыл бұрын
Ngoma kalii sana harmonize konde boy from wcb simbaaaaaaaaaa
@stevoomurithi6252 ай бұрын
Hoyonice
@amorslegacy88322 жыл бұрын
Song Message: The lady you see there was the love of his life and had children for him but he was very poor and couldn't financially cater for her needs so she left him and the children for another rich man and to enjoy life. He is therefore, heartbroken and saying that he doesn't blame her because it is the poverty that made her run away to another but he shall succeed one day and she shall return to him thats the meaning of "Atarudi" meaning (She will return).
@munialoronald77682 жыл бұрын
Thanks for translation brother .truly amazing message in lyrical form
@ankadamuziq19902 жыл бұрын
Shukran sana kutuelezea👊
@zozacityakazozomastona75382 жыл бұрын
Jfx
@macmillanmumba2 жыл бұрын
Thank you for the translation
@hamdanmasuku48002 жыл бұрын
Nice song
@dakoochi65426 жыл бұрын
Naanza kuhisi huyu jamaa akiendelea hivi atakuwa uso namba 1 wasafi,, like wtf who does this surely? Diamond really was a genius to bring up such an artist.. Unapendwa Kenya vishenzi.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jameskaranja56526 жыл бұрын
From kenya 254 harmonize wewe mbaya kweli dude safi sijutii kua wasafii gonga like tuende pamoja 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@edwardsamsonmakoye7926 жыл бұрын
James Karanja salute man upo real
@jameskaranja56526 жыл бұрын
+Edward Samson pamoja sana
@jameskaranja56526 жыл бұрын
+Edward Samson pamoja sana
@emilynangunda69156 жыл бұрын
Harmonize I do love all your music I have a library of your songs you sing realities of life that no other singers sing ata Mimi nkaachwa lakini kwa sasa Nina hela na Kila kitu wakati huu mwanaume ananiomba msamaha wakati alikua anaponda raha kwingine watoto walishamsahau inakaa tu story yangu nlikua nawaambia watoto wangu vivyo hivyo kuwa baba atarudi na anawapenda ghai nmerudishwa kwa vilio mtoto wa kwanza ni mkubwa uniliver kijana msichana naye daktari mdogo wao angali shule aki umeniliza
@calebmasita88096 жыл бұрын
Kama kupata kwa zamu, yako ilichelewa lakini ilifika..
@mashaurikasala56496 жыл бұрын
Emily Nangunda pole
@Kijana.ya_mwingi6 жыл бұрын
like wise.lv u
@harrisonayweya39026 жыл бұрын
Emily Nangunda true
@christianlawrent24246 жыл бұрын
Pole
@wildlife-tanzania544411 ай бұрын
#2024 kati nyimbo itakayo ishi tena#na#tena!!!
@fauziarashid167510 ай бұрын
#2024 back here for this banger📌🔥
@Abdulkarim_dhowfurnitures6 жыл бұрын
Harmonize unajua sana sela wangu👊....Mungu akupe uzima wa milele uzidi kutupa ngoma za kututo machozi 😫😫😫😫😫😫😫
@kamatasangija3836 жыл бұрын
hahahaa apewe uzima wa milele nadhan utakuw mchungaj imekugusa xana,kiukwel n ngoma Kali xana
@hardnoel42106 жыл бұрын
Mi nimeshangaa kumuona wife akija home na mabegi begi yake navitu vitu kwaajili ya watoto wake bilashaka nahisi kausikia huu wimbo huu!! Thanks harmonize Umesolve huku kupitia wimbo wako tu!!
@e_designsmedia17106 жыл бұрын
Hard Noel hahahha
@user-uc7dr8rq1b5 жыл бұрын
Harmonize👑👑👑never disappoints his fans gonga like Kama unaamini haya maneno
@leilayahaya10214 жыл бұрын
My bae ataaaaru💕💕💕💕💕💕💖
@cristinakavishe17953 жыл бұрын
Napenda nyimbo yako
@nelliousmuiva441 Жыл бұрын
@@calebnyatwanga5428 .lilo
@briannjuguna97698 ай бұрын
Ngoma safi Sana, haizeeki wala. Huyu msanii yupo kileleni. Pongezi kwa ndugu zetu 🇹🇿, Kutoka 🇰🇪🇰🇪
@mwisakihaji37826 жыл бұрын
nimerudia kama mara nne hivi bado nataman nirudie kama mara 15...hivi ....naamini atarudi tu sio kwa msongi huuuu bigup kijana unajua
@theminutestv6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rJqsY5KHr56hqqc rich mavoko kafumuangoma mpya kumjibu harmonize
Ngoma Kali mstari mikali msanii wetu harmonize ana tuwakilisha vema sana kama unamkubali gonga like ya nguvu
@sebastiananderson19256 жыл бұрын
Inocent Jordan sawa
@barakasilanga3106 жыл бұрын
Inocent Jordan umeona
@mercymagara76403 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤i love harmonize songs...... Tena mwambieni aliyeninyima Mimi ndiye akampa yeye
@benardluvaga98355 жыл бұрын
Naye ni mwanadamu (And she is just human) Na, dunia tunapita (And, this world we are just passing through) Kama kupata kwa zamu (If getting is in turns) Oh zamu, Yangu itafika (Oh turns, mine will arrive) Siwezi kana damu (I cannot denounce blood) Kesho ataja nizika (Tomorrow she will be the one to bury me) Ila ningependa mfahamu (But I would like you to understand) Haya mateso alonipa (This suffering she has given me) Uhmm Tena mwambieni (And also tell her) Aloninyima mimi (all she has denied me) Ndo kampa yeye, yeaaah (is what she gives him) Kupata foleni (if getting is in queue) Nasubiri yangu mimi (I’m waiting for mine turn) Hata ichelewe, yeaah ooh (even if it is delayed) Sina furaha, naigiza (I have no happiness, I just mimic happiness) Ilimladi watoto wasijihisi vibaya (So that the children don’t feel heartbreak) Huyu mdogo anauliza (This young one asks) Eti daddy, mama ameihama kaya? (Daddy, has mom moved from the household?) Cha kujibu sina (I don’t have what to answer) Nabaki tu kusema (I end up just saying..) [Chorus] Atarudi (She will return) Atarudi mama (Mom will return) Atarudi Anawapenda sana (She loves you all very much) Atarudi Atawaletea zawadi (She will bring you all presents) Atarudi Eeeeh, Atarudi mama Atarudi (She will return) Atarudi mama (Mom will return) Atarudi Anawapenda sana (She loves you all very much) Atarudi Atawaletea zawadi (She will bring you all presents) Atarudi Ziwezi sema sijui tatizo (I cannot say I don’t know problems) Hali yangu duni imefanya ukanikimbia (My miserable situation has caused you to run away) Ni vyema ungefanya maigizo (Its better you could have caused drama) Mara kumi usingenizalia (Ten times you shouldn’t have borne for me) Uuuh Ingali mapenzi pekee (If it was only love) Ningesema ni changamoto nijifunze ( I could have said it’s a challenge and learnt) Ameniacha mpwekee (She has left me in solitude) Na watoto niwatunze (With children to raise) Hey Ila siwezi mlaumu (But I cannot blame her) Huenda yupo sawa (Maybe she is okay) Kipato changu kigumu (My earnings are difficult) Kutwa bumunda na kahawa (I find angst even with coffee) Hey Ila mwambieni (But also tell her) Aloninyima mimi (all she has denied me) Ndio kampa yeye, yeaaah (is what she gives him) Kupata foleni (if getting is in queue) Nasubiri yangu mimi (I’m waiting for mine turn) Hata ichelewe, yeaah ooh (even if it is delayed) Sina furaha, naigiza (I have no happiness, I just mimic) Ilimladi watoto wasijihisi vibaya (So that the children don’t feel heartbreak) Huyu mdogo anauliza (The young one asks) Eti daddy, mama ameihama kaya? (Daddy, has mom moved from the household?) Cha kujibu sina (I don’t have what to answer) Nabaki tu kusema (I end up just saying..) [Chorus]
@hoslyn54835 жыл бұрын
Wow kudos
@rumbidzayimunjoma48135 жыл бұрын
Thanks for the translation
@amakenyan5 жыл бұрын
This song is quite moving. Maybe I'm too emotional 🙂
@semenijumanne89755 жыл бұрын
Naipenda sana hii video
@ReachOut30045 жыл бұрын
aloninyima mm(who denied me) Ndo alompa yeye (Is the one who gave him) kupata foleni (receiving is by one after another, he believes his turn is near) so he basically talks of GOd d almighty n not her(wife)
@emedishebabinbawili47326 жыл бұрын
Twende kazi wadau hebu gonga like hapa kama una penda ngoma ihi ili tujuwane wenye tunapenda ngoma ihi maana duuuuh mimi penda sn ihi song
@halimadias81246 жыл бұрын
ulipo ondoka kweny maisha yangu,ndoto zangu zilikufa kwny taswira yangu ilipotea niliumia sana sikujua niazie wap na iliponiuma zaidi nipale mtoto aliponiuliza mama lini baba atakuja niona,kiukwel iliuma ila nilimjib baba anasoma na ipo siku atarud atakuletea zawadi ambazo mama ameshindwa kukununulia,atarud dady and tutakuwa wote tena wee muombee arud salama atakuja na zawadi nyingi kwajili yako mwanangu........kiukwel ukwel ulibaki ndani ya moyo wangu coz nilijua hautarud na mbaya zaidi uko na mwanamke mwengine tofauti ila sikutaka kumuumiza mtoto coz he loves you na bado anatumaini uko masomoni na siku utarud ,please if ever ulinipendaga naomba uje ata kumwangalia sura yake jinsi mlivyo fanana ata kama hautarud kwajili yangu basi rudi kwajili yake.............Atarud uliniimbia mimi Harmonize hiii nyimbo inaelezea maisha yngu
@yessayapiaza6306 жыл бұрын
Halima Dias pole sana
@jumahero69246 жыл бұрын
pole my sister .. e mail me hamesab@yahoo.com
@aishamtanda86206 жыл бұрын
Ucjali wala usilie sana futa machoz mwaya
@danielsifael74936 жыл бұрын
halima sikutaka coment kitu chochote but baada ya kusoma coment ako ukanigusa mno,,,, pole sana kwa uliyopitia and muombe mola azid kukupa baraka zake. God bless u and dont give up
@salmaqueen43826 жыл бұрын
Mshukuru mungu kwa kila jambo mana hujui kakuepusha na nn na amekuandalia nn..stay strong and be blessed dia.
@edwinmtenyi76489 ай бұрын
Kma una cheki hii ngoma mpk Leo 2024 gonga like hapa
@ZuuKarisa6 ай бұрын
Naipenda❤
@AnnaMkinga-n9u2 ай бұрын
Nimeachwa ndo bakumbuka umuimu wa hii nyimbo
@jacobmagawa53952 ай бұрын
@@AnnaMkinga-n9u haaahaaah😄
@timelessbeauty56776 жыл бұрын
i swear hii wombo ingefanywa kenya ingekuwa gospel ya willy poul thanks sana Harmo +254 ... mob lov
@mpmasanja28646 жыл бұрын
Wombo..........jaman
@timelessbeauty56776 жыл бұрын
+Mp Masanja typing era am good in swahili plz
@barakadaudi56376 жыл бұрын
Amos
@waziri25426 жыл бұрын
Heshima kwa kaka aise.. nipo 😷 hii nyimbo haiishi latha...
@Mosesy_Bright6 жыл бұрын
timeless beauty hope cupecake my
@fredrickfrancis65546 жыл бұрын
Daaah!! Harmo ww ndiye namba moja wa nyimbo za hisia 100%
@AcramuRamadhani Жыл бұрын
🎉
@abdulkakinga59976 жыл бұрын
Bonge la ngoma tena linaliza walah piga like kama umeingiwa na simanz ila ATARUDI TU😭😭😢😰
@Sadjofficial-477 ай бұрын
Wenye tuna sikiliza Hu wimbo 2024 tujuane Kwa like
@ashleyhartford60486 жыл бұрын
I really love Tanzania my father was the American ambassador in Tanzania for 8years under president Obama I was the only white girl in my school but Tanzanians are the most beautiful & very nice people I missed my Tanzania friends so much I'm happy I didn't forget my Swahili I MISS YOU ALL MY TANZANIA FRIENDS. 😘😘😘😘😘😘😘 I WANNA CRY.
@iwishtv79075 жыл бұрын
welcome back, Tanzania is your second home
@Philipoupdates5 жыл бұрын
We may communicate in whatsapp +255767204792
@catengina62645 жыл бұрын
❤❤
@mrwanzii81494 жыл бұрын
Swadakta dada nice never knew that
@khalidimwanga78972 жыл бұрын
😘😘
@philjonez33246 жыл бұрын
lil wayne alivomsaini Drake haiukupita miaka kadhaa Drake akaja kuchukua nafasi ya lil wayne.Ndo navyoona kwa harmonize na Diamond,Harmonize is a new version of Diamond platnumz.Inaleta raha unapomwona msanii uliyemsaini anakuja kuchukua nafasi yako ama anakuchallenge.Naamini kwa mwaka 2018,Harmonize ndo msanii bora wa mwaka hata kama mwaka aujaisha japo Diamond ametoa album.So keep it up Harmonize.we ndo mrithi wa Diamond.
@wilsonwizzo24836 жыл бұрын
Umeongea ukwel mkuu .👏👏👏👏👏👏👏
@yessayapiaza6306 жыл бұрын
sure
@bonifacekituo25336 жыл бұрын
Kabisa Harmonize 🔥🔥🔥🔥
@hemedtwiga30646 жыл бұрын
Aminia mwanangu
@sirdustanhamis67716 жыл бұрын
its true he is a top artist of the year
@akinyiteckler38646 жыл бұрын
Haya basi Edi imeanza huku sichoki kusikiza hii nyimbo...imekubalika ata huku uarabuni👏👏👌👌👌Imani hapa ni siku moja atarudi🤗👌
@shabankapona20156 жыл бұрын
Akinyi Teckler ntaludy
@nicholasamolo65226 жыл бұрын
Akinyi Teckler Kara iwinjo ga bongo
@osiyojuliet43526 жыл бұрын
Akinyi Teckler yes nitarudi siku moja
@sammiesammie14696 жыл бұрын
Akinyi Teckler 😂😂🤣
@DJSPARKVEVOs6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ioiUqKmJopiqa5o
@lydiahnekesa76182 жыл бұрын
My son loves this song...can't hold tears listening to it now that I'm in gulf countries so far from my home country kenya😭😭😭😭I will be back baby mama loves you
@louisrenemongo45985 жыл бұрын
Much love from Cameroon. I don't understand the language but I'm full with tears whenever I listen to this song. We are Africans we are one no matter the different languages. More grace!
@NicholasMunge4 жыл бұрын
Its such a deep message
@desmirado4 жыл бұрын
@@NicholasMunge please can you translate. I could guess from the video that the mother of the kids left them to go enjoy herself in the city while the father is struggling in the ghetto and swamps to raise the kids by himself....it can be far from it...lol I am a Nigerian, I love this guy Harmonize with a passion (Ayiola)
@NicholasMunge4 жыл бұрын
@@desmirado pretty much so, atarudi means she'll come back
@davidomondi56584 жыл бұрын
Cool
@semwenzimohamed76094 жыл бұрын
desmirado That is correct. If you sort out comments by top comments somebody has translated it word by word. What he is saying is, he is not angry because he understand he is poor and was unable to provide for her and that one day she may bury him. He is hoping one day she will come back (atakuja means will come back) for the sake of the kids since they are asking and longing for her. He is saying making it in life is in turns, the one (GOD) who has giver her, is the one who is not blessing him at the moment, but he is hopeful he will have his turn as well soon. Love from Tanzania.
@youngkillermsodoki76646 жыл бұрын
Hii ngoma kidogo ina fariji wale walo achwa na wanawake zao au wanaume zao na watoto juu Na imeonyesha zairi dunia tunapita kwa hio usikate tamaa kama ni kupata zamu yako itafika #Mwaminimungu, Big up inaeleweka **Harmonize**
@groliamushii42526 жыл бұрын
Kazi mzuri sana kjna sichoki kusiliza
@Roy-ns2ly6 жыл бұрын
Sasa nimejua mbona Diamond humbeba huyu jamaa kama yai....this is truly life realities big track
Mrisho ni kuelewa ndio kugumu ama??? nilichomaanisha sikumlinganisha Harmonize na Diamond bali Harmonize ni kitega uchumi kupitia kazi yake nzuri....
@miiattmore53496 жыл бұрын
Your right roy
@worldhappiness11813 жыл бұрын
Hizi hits songs zako ndomana wenzio wakakufukuza, walishaona unakimbizana na Simba wao, teh
@Fundikichwa6 жыл бұрын
Baada ya kuturusha ruusha na magoma ya club sasa umeamua utuflash na ngoma flan ya ujumbe mzuri, saafi #harmonize, mjanja sana
@LeonardMwakapusya6 жыл бұрын
dady music 😃😃😃😃😃
@enockmakombe92196 жыл бұрын
Konde umemaliza kazi ulicho kiwaza nadhani we nimsanii wapekee najiuliza sijui di amekupeleka anako endaga yeye afu we ukaenda zaidi hongera sana
@kodoshafi98066 жыл бұрын
Mungu ndo muweza wa wote
@aliarkam14136 жыл бұрын
Enock Makombe
@jastinieliudi20776 жыл бұрын
Dogo wemkaliii aseee acheniusenge wakusema watuwanakopi acheni usengee dogo imbaaa sisi tunakuelewa unachofanya binadamu tumeumbwa kusema ukiwa maskini unasemwa ukiwa tajiri unasemwa sasalipi binadamu ufanye uweze kuwarizisha wanadamu wanaokutazama kazikazi tuwa ngoma juu ya ngoma tunakuelewa sana hamonz
@edwardsamsonmakoye7926 жыл бұрын
jastini eliudi sure ukifikiria kwanini kuna wachawii utaona kuna watu roho choyo
@shaabanramadhan67706 жыл бұрын
jastini eliudi kweli kabisa
@jastinieliudi20776 жыл бұрын
Edward Samson bnadamu hatamfsnyie nini hariziki hatakidogo masikini kwamasini tunachukiana sasa wewe nikujijua unafanyanini kwenye maishayako kwasababu huwezi mrizisha kilamtu kwakila ulifanyalo ilimradikufanya jambo ambalo unajua kabisa hili haliwezi kukera watuu
@saidbakar24006 жыл бұрын
ATarudi
@jastinieliudi20776 жыл бұрын
Said Bakar umeona mbaba hiiingoma nikali sana asikwambie raiya anaeelewa nyimbo za hisia zinazokuna ubongo wafahamu zake atakwambiatuu hiinyimbo inaujumbe gani katika maisha yamwanadamu yaitwayo kilaleo dogoanajua sana aseee asikwambie mtuu
@ammylovealliy51743 жыл бұрын
Daaah 😂😂atarudi inshallah bado naiskiaga tu jamani 😂😂tupo 2021 wanao guswa tujuwane basi
@DEGESTAR6 жыл бұрын
Kama na weye uliisubiri iyi nyimbo kama mimi gonga like hapa😀 ALONin YIMA MIMI NDO KAmpa yEYE kama umependa hiyi line gonga 👍 hapa
@hashimsalum79066 жыл бұрын
Freshman
@hamzasalimu9246 жыл бұрын
Kweli anajua anaweza
@kassimujumbe3535 жыл бұрын
Namkubali San uyu anajua kuimba by. Mwene jr
@hassanovajunior69726 жыл бұрын
Hii Song imenipa matumaini Naamini wangu pia atarudi one day nimechoka na maswali ya mwanangu #Atarudi umeniimbia mimi Harmonize😥😥
@CindyCindy-xn1cj6 жыл бұрын
Hassanova junior ,🙏🙏
@davidgustavkomba25216 жыл бұрын
🙏
@jesca0sca8376 жыл бұрын
Hassanova junior usijal mwombe mungu atarudi tuu
@omarykipatimo8926 жыл бұрын
Pole
@user-vv5xd3ye4i6 жыл бұрын
Hassanova junior 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@haronjamesharon85256 жыл бұрын
Daah!!jameni wasafi!nakupa mia kwa mia....254 tupo...likes wapi jameni....wimbo safi sana...yaani clear sana...hamna tatizo kabisaa..napenda sana....harmonise maze....love iko sana...keep it up...entertain us bro....long live ....salute
@jamesmuthangia22873 жыл бұрын
Wewe muzee utafanya watu wanyinyonge punguza ngoma iko mwoto sana thanks men we love you good for nice music🥰🥰🥰🥰🥰💗
@nzisakasau82346 жыл бұрын
nyimbo Kubwa jamani love love from+254 atarudi mamaI dedicate hii nyimbo kwa watoto ambao wazazi wao wako mbali nikazi hau vyovyote vile hatarudi mama ❤❤❤❤imeweza gongeni like hapa
@nicholasamolo65226 жыл бұрын
Nzisa Kasau uko Kenya na wapi
@nzisakasau82346 жыл бұрын
Nicholas Amolo Nairobi
@nicholasamolo65226 жыл бұрын
Nzisa Kasau me pia niko nai we uko na wapi
@complexionredaction58826 жыл бұрын
Imenikusa nkiwa dubai...nmefeel nirudie watoi...point at home
@nzisakasau82346 жыл бұрын
Complexion Redaction pole sana lazima tuta rudi
@veritastvtv78166 жыл бұрын
Ndioooooo we ni jua kali aiseeee , basi gonga haba chini kama unakubali kama hamo ni jua kali🌞 ☀️ 🎤🎤🎤🌍
@hashimuyusuph3256 жыл бұрын
nakupa bingapu imeningusa nyimbo
@silverngimi6 жыл бұрын
Bonge moja la inspiration song kwa vijana GONGA LIKE KAMA UNAKUBALIANA NA MIMI👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥
@seifsaha6 жыл бұрын
Very nice song big up harmonize
@CaroAkoth-f8e Жыл бұрын
Hii wimbo inanikumbusha vile mumewangu. Aliuliwa kiunyama ooooo mungu. Nipe nguvu
@francisgitau15153 ай бұрын
Pole dada. Jipe moyo.
@francismsami21696 жыл бұрын
harmonize Ngoma imeweza Kali sanaaa so touching ...kuna jamaa nikimsikia juzi kati anakudiss anasema unaimba kama wanaigeria natamani aisikie hii Ngoma...wcb for life refuse to stop we are behind you forever ...am a big fan of u since aiyola mpaka Leo atarudi keep going nakuona mbali mnooo
@edwardsamsonmakoye7926 жыл бұрын
TID anaumwa tumuombeeee uliona simu yakee yeye na chid drug addict
@kitatakitata86786 жыл бұрын
FRANCIS MSAMI
@danielchacha15256 жыл бұрын
Nakuhaminiya da bigapu sana
@allymbwana80846 жыл бұрын
good song
@allymbwana80846 жыл бұрын
good song
@hassanluqman78236 жыл бұрын
Hongera sana kijana wetu kama unatambua hi Ngoma ndo Kali East African nzima gonga like yako hapa ATARUDI 💪💪💪
@jescawilliam73656 жыл бұрын
Atarudi
@brianmorata67596 жыл бұрын
hassan luqman
@arietochallaarietochalla52296 жыл бұрын
4
@nurusimba51166 жыл бұрын
we mkali bwana sio kwajibo ilo
@malugujames43836 жыл бұрын
Kalikinomaaaa
@leonrealnam16 жыл бұрын
every time i listen to Harmonize' songs i end up crying ,i dont understand the language but i can tell the song is so emotional .i go through this condition of not having money .im talented in singing but got no money to start my music career,People blame me for not using my talent,i explained but none could help .I still have 4 years ahead to graduate& im trying hard as soon as i graduate& get a job .watch me i'll be the next Harmonize.All the way from NAMIBIA,GOD bless you KONDEBOY.
@wendriyana166 жыл бұрын
Leon Rejoice Nashiwaya , hi
@leonrealnam16 жыл бұрын
hi,Wendri Yana
@januariesmbwika68256 жыл бұрын
Understand the song first and comment
@mwitabaranga35396 жыл бұрын
Brother k
@oromootube59726 жыл бұрын
That the truth bro . A big bro is a big responsibility just like mom & dad to serviyve oure family's But we relitve member is if we family's pour or helpless no one is support we family's if only God and you
@SulainahMasika9 ай бұрын
Mashallah tabarakallah thanks ❤❤❤❤❤
@VIVA_ROMEO6 жыл бұрын
Fire.....walai u made it kakangu...mungu akupe maisha marefu uzidi kutuliwaza... Wimbo huu umegusa mioyo ya waliowengi nikiwamo...inaumiza mioyo unapoptia wakati kama huu, ila tumeumbwa kuyaptia, lakink tusikate tamaa #atarudi tu hapa +254🇰🇪 ebu show love kumpea lyk hapa uyu kijana professor Harmonize
@timelessbeauty56776 жыл бұрын
hahaha +254 hapo ndio mashida zimeitania😂😂😂😂
@VIVA_ROMEO6 жыл бұрын
@@timelessbeauty5677 sio +254 pekee ju hii n elimu ya maisha....jambo hili hukumba kila mtu...so likikufikia basi kumbuka #Prof_Harmonize akikwambia #Atarudi
@daudmgallah22336 жыл бұрын
Rommy Jay Classic 003
@kulwayusuf84036 жыл бұрын
Rommy Jay Classic 003 hi
@aishahassanikichuna48206 жыл бұрын
Rommy Jay Classic 003 pole
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌much love from belgium 🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪yaaaani kali aaaaaajaaaabzzz ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@nicholaustegela16746 жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍
@rasvegas89916 жыл бұрын
Mambo moto ni fire
@allykassim98266 жыл бұрын
Rukia Laltia belgium ipi hiyo? Ya kidachi au kifaransa? Hahahahahaha...... Utarudi
@richardmhagama47636 жыл бұрын
Rukia Laltia Noma sanaa highness
@luckykarisa63386 жыл бұрын
Hata wewe utarudi tu.
@mrwanzii81494 жыл бұрын
Direct from🇰🇪 but this handsome Tanzanian soul has made our days and years perfect can you give him a round of applause please for all the effort he has made come on tusiwee wale watu wachuki let's gain love and chase hatred ♥️
@patrickjuma16282 жыл бұрын
Umebonga fiti.........much respect
@fayjanitormochama7405 Жыл бұрын
Andika kiswahili 😂 acha kuchanganya ndugu zetu wa Tanzania 😂😂
@Thekidp3702 Жыл бұрын
@@fayjanitormochama7405 the reason we always ignore you kenyans
@gwidjiqshabani20822 жыл бұрын
IYI NDIRIMBO NI NZIZA CANE.😎 IMANA IMUHE KURAMBA HARMONIZE🐘
@awardmnyakitz11586 жыл бұрын
Babu yangu mchungaji wa kanisa moja iv lakin hii ngoma ameilewa hatariiiiii
@sofiayusufu5796 жыл бұрын
Award Mwakyelu 😁😁😁😁😁😁
@JamviOnlineTV6 жыл бұрын
Nimefurahi sana kusikia kuwa Atarudi, maana nimemsubiri kwa muda mrefu sana....!!
@oopswouw9196 жыл бұрын
Topten Tv mmi pia..namsubiri Nina imani inshallah😊atarudi
@lashymreal65556 жыл бұрын
Topten Tv wolper we😂😂😂😂
@harolddickson99456 жыл бұрын
Topten Tv pole doctor atarudi
@dejong360tv76 жыл бұрын
hahaha
@adamnasoro38076 жыл бұрын
konde boy
@richieragz93426 жыл бұрын
Then some kenyan artists will be all over the media yapping that we don't support local Talent. Just look at this guy, He made Kwangwaru-A club banger the whole country freezed for a while, we jammed to that song like nobody's business and some like me still do even now. Now he's back with this 'Atarudi' a very slow song that you can listen to bedtime. Now this what artistry is all about being diverse and being able to adjust to fans needs not sticking to one line I would buy this song over and over again. Much respect Kondeboy
@isaachayes97836 жыл бұрын
short and clear, you said it all who will disagree with you unless they have put wool in their ears
@joseecontroversial87206 жыл бұрын
agreed... they should spend time in the studio instead of complaining
@edwardsamsonmakoye7926 жыл бұрын
Well said
@eladiuspeter5866 жыл бұрын
Year, but Tanzania tunamkubali sana khaligraph
@lwimikomwambene6 жыл бұрын
Kazi kazi
@saharaemscollege4153 Жыл бұрын
"Kupata foleni, nasubiri zamu yangu" Bonge la mziki na ujumbe. Big respect to ALL Tanzanian musicians.
@wilsonmaina44625 жыл бұрын
If you believe harmonize is the 👑 of bongo music gonga like apa tukiendaga 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@emmahwanza76335 жыл бұрын
DIAMOND KILLED THE BONGO WORLD LIKE SHIT NIGGA
@joramnganga57055 жыл бұрын
lovely boiz blsd
@joramnganga57055 жыл бұрын
inakill
@Mem30125 жыл бұрын
He's good but he's not the king, I think Diamond is, also mbosso and the whol wasafi team are fantastic.
@ashfordmuriungi70995 жыл бұрын
You are the king of bongo ndugu Harmonize!!
@ramagibbz95936 жыл бұрын
Kama wakubali HARMONIZE..💞 GONGA LIKE HAPA..👌👌👌.. 254..MPOOO...😍😍😍
@theblairfranktv9976 жыл бұрын
Gonga like hapa ka wakubaliana kuwa harmonize ni tishio si wasafi tu bali barani Africa.
@ramaluka83513 жыл бұрын
Hatareer
@avon_dido3 жыл бұрын
Licha ya kusurutishwa na wanaodhani unashindana nao Kisa unafanya kazi nzuri, jipe moyo afu tia bidii zaidi .. dunia tunapita tu
@hildamulewa90285 жыл бұрын
It makes me cry .Remembering those hard days raising my son by myself😭😭😭 back in Nairobi.Kweli siwezi kanaa damu kesho atanizika.Mwanaangu popote ulipo Nairobi nakupenda.we are strong together
@dimodimo92044 жыл бұрын
Mob love
@kipropering3 жыл бұрын
One love
@Blackbarry106 жыл бұрын
Am a Nigerian, I don't understand the language nor the message behind the song but honestly am super in love with this song,the beat and the voice makes me really wanna cry,nice song bro.
@Blackbarry106 жыл бұрын
Change Mindset(no wonder I felt so much love for this song, well Nigeria has many swamp areas and I guess this particular place is Bayelsa state,one among the few oil producing state in Nigeria,thanks so much for the brief explanation,ONE LOVE.
@husseinkhalfain51746 жыл бұрын
hormo ngoma yako tena pga Nazi saaan mungu atakusaidia
@hamisimtokoma52686 жыл бұрын
Harmonize shot this video at makoko community Nigeria this song is just inspirational song about how a poverty can be abandoned with the wife bcoz of poverty and remains with the children so he tries to calm down the children that the mother will come
@frankbubahe6 жыл бұрын
Chizoba Barisco polee sana
@Keyztz6 жыл бұрын
Chizoba Barisco 👏👏👏🔥🔥🔥🔥 Please SubScribe my KZbin Channel #I will be release my new single soon #Instagram @keyztz
@geofreykalokola60466 жыл бұрын
Ahhahaha 😀😀😀😀 Kuna brother wangu umarican mwingi leo kwenye gari lake nime ikuta hii ngoma Leo naona adi wkina lil wyn kaweka pembeni 😁😁😁😁😁
@gospelmixxes18342 жыл бұрын
I don't know if it's because I was brought up by a single mum or what! but responsible fathers have a special place in my heart❤️🇰🇪🇰🇪
@arinaitwemubarak4167 Жыл бұрын
Keep that HEART forever
@estherand-israel824 Жыл бұрын
me too.
@victorkanza35206 жыл бұрын
shout out kwako harmo hii inaitwa ngoma kuntu😁😁
@jayelias16546 жыл бұрын
Me Ndo naregister Team 254 Naondok ila Nitarud Like apa :) ☝☝☝
@emmanuellukindo92786 жыл бұрын
Japhet Elius👟
@brobox6 жыл бұрын
Head of Comments and Notifications from kenya🇰🇪🔥 Has approved this....
@floridahbridgite24826 жыл бұрын
Brobox 😂
@luqmansnatcher98846 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kamatasangija3836 жыл бұрын
nice song anajua kijana
@aziziumeme85176 жыл бұрын
Brobox nyimbo nzr sana harmonize
@beenoelz70896 жыл бұрын
😂😂
@lizzyireri1322 Жыл бұрын
This song manzy 😭😭he left me with a sick kid in hospital 😭..bt God is always there,,., today it's a true testimony she made it now we are enjoying Gods. Greatness 🙏
@valentineachieng8894 Жыл бұрын
Amen 🙏 ❤
@jumbebakari67066 жыл бұрын
Da@aaaaaaaa nimechelewa jaman naomben ata like moja inatosha maan so dude ili WCB
@goldiangodlisten11606 жыл бұрын
Jumbe Bakari umeona eeeeh
@jacobmsule51916 жыл бұрын
Jumbe Bakari msenge sana mwanangu
@raphaelmakwetta86176 жыл бұрын
Jumbe Bakari i
@jumbebakari67066 жыл бұрын
Jacob Msule 😂😂😂😂
@TopTenKaliTV6 жыл бұрын
Jumbe Bakari kzbin.info/www/bejne/mp6zpK17bd2Ul9U
@jessygoldnambua35906 жыл бұрын
This song has brought memories of my childhood when my mother died and me and my brothers suffered like hell in the hands of relatives 😭😭😭And everyday we were thinking that our mum went on safari and she will come back mmmmmmm But God!
@aizackjulius89496 жыл бұрын
Mkali wao
@alexkondela59606 жыл бұрын
Nambua Jessica 😭😭😭
@shabbyshaban42086 жыл бұрын
i really feel u d.a ... i lost my mum too when i was in class 3. my brother and i really suffered inthe name of relatives,sometimes we would cry and ask ourselves " why did it happen",,,, it so painful and its one of the thing up to date i cant cop wit
@abbysaad7476 жыл бұрын
Nambua Jessica you lost a sweat mom, I lost a lovely dad in that age. .. My condolences to your sweat mom.
@robsonkgosimore24736 жыл бұрын
God is great
@kelgk20866 жыл бұрын
Hoping Kenyan artists are taking notes.....classic artistry....while this is just a song to many...many are hitting the replay button because they can relate...This is what a significant number of men are going thru...a True story well told....Sijui Atarudi lini.
@awssazvzg3883 жыл бұрын
Sorry ma'am😭😭
@awssazvzg3883 жыл бұрын
Maan
@noventonemuheiya91593 жыл бұрын
Exactly
@jamesgithiora98842 жыл бұрын
True dat
@Nonsoezeifedikwa553 жыл бұрын
Wow, I’m still not understanding the language but I honestly love the song. It sound very touching and I feel like crying! I’m from Biafra lane in west Africa…
@diane87652 жыл бұрын
It's about ....a woman who had left his husband and children just bcz of poverty ...and the husband tries to answer the kids whenever they ask about mom and he just says to them she will come back
@swalehe57356 жыл бұрын
Mfalme wa pili wa WCB baada ya platinum. Gonga like kama una accepts
@yahayalugongo48256 жыл бұрын
Nice
@فرنسيهفرنسيه-م4س8 ай бұрын
Naitaji Urafikinaww@@yahayalugongo4825
@mwajumanjanga66316 жыл бұрын
Sina furaha naigiza ilimradi watoto wasihisi vibaya....daaah! God song Kama yamekukuta haya waweza toa machozi Najua umeikubari sana hii ngoma gonga like hapa!
@deograsianjovu23106 жыл бұрын
mwajuma njanga nice
@niceyohana56066 жыл бұрын
Dah noma Sana'a bro
@AdamAdam-bm5zm6 жыл бұрын
Sana tu
@ayoubjafari16156 жыл бұрын
yani we achatu
@wonjadenno9745 жыл бұрын
Mimi tayari nimetowa machozi iyi ni story yangu.
@jamesmoses56256 жыл бұрын
jibebe haijakaa sawa Mara hii tena dhu wcb noma kama unamini baada ya mond harmonize gonga like
@harithamandapati91556 жыл бұрын
James Moses kkeq
@harithamandapati91556 жыл бұрын
Ra going,
@harithamandapati91556 жыл бұрын
Jr
@wilbardjackson94206 жыл бұрын
one only
@josephwright75439 ай бұрын
It's now April 2024 and I still listen to this song..🔥🔥🔥
@boysondeniclousTv3 жыл бұрын
Nimeanzia attitude jeshiii uno hainishtui fall in love bedroom niteke , never give up now atarudii bado naendlea
@Pet25abc3 жыл бұрын
Karibu bongo🥰
@jym204 жыл бұрын
Oh, can someone kindly teach me this beautiful Swahili language. Lovely song. Greetings from Manchester, UK🇬🇧🇬🇧🇬🇭🇬🇭🇬🇭
@johnmwiyoha95674 жыл бұрын
🤙
@josephinemuia81094 жыл бұрын
Kuja nikufunze
@nyikasplace98864 жыл бұрын
@@josephinemuia8109 you go girl
@2ndhanddubaiautomotivecars4814 жыл бұрын
Swahili must be a great language
@rashaso75644 жыл бұрын
Yeah if you want to very easy
@moussatoure65454 жыл бұрын
I don't understand swahili. But i live every songs of Harmonize , his brother Diamond and others of Tanzania. GOD BLESS YOU. I am from Côte d'ivoire.
@tanzanianboy3 жыл бұрын
Blessings to you, bro. Welcome to Tanzania, bro
@lilywei79492 жыл бұрын
❤🙏🙏
@jaystar1004 Жыл бұрын
Ila mwambieni aloninyima mm ndo kampa yeye 🙏🕊
@mrnaseebukinyota89796 жыл бұрын
Kaka we ni fundi sanaaa Kama umeiyelewa ngoma hii gonga like apa
@adamhussein84696 жыл бұрын
dah,,mbona huo mkasa kama umeniandikia Mimi harmo!!!! dah !!!unakumbusha yaliyopita jamani ila Poa nice song
@purityokiru74446 жыл бұрын
Adam Hussein pole
@sophymoddy33706 жыл бұрын
Hahaha
@AbdulWahid-hp8qr6 жыл бұрын
Mmekwachi Mmakukaya' mbona mkanombolela
@AbdulWahid-hp8qr6 жыл бұрын
Kunowa vitukutuku jamani nnyako akatenda sana nsifile chihi
@nafisamohamad31826 жыл бұрын
I hope hii nyimbo itawarudisha wengi wale waliowakimbia wapenz wao, kama mnakubaliana na mm bc gongeni like apa from 254 plz msipitie hii comment bila kulike
@aysheraysher78046 жыл бұрын
Nafisa Mohamad Njoo upate dawa za kiasili utatue matatizo yako kimapenzi kibiashara kazi urembo na kutoa nuksi na mikosi ulionayo mwilini kusafisha nyota kuwa na mvuto WhatsApp kwa number hii +254740481107 +254721856601 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nancycherotich93816 жыл бұрын
Najua ipo siku atarudi
@diamondclassic88036 жыл бұрын
Nafisa Mohamad ok
@jerrykisula66186 жыл бұрын
Ngoma ipo vizrii sn
@nafisamohamad31826 жыл бұрын
Madam Spritual ahsante rafki yangu ila mm sina matatizo ayo ulioyataja apo nashkuru.mm niko sawa kabsa
@mwawughangakidelo24122 жыл бұрын
This is a perfect definition of music. It speaks to the inner self. Keep the fire burning
@fidelismuasya44216 жыл бұрын
Hapa Kenya tumeikubali moto sana.kama unaikubali gonga like hapa
@raffraffie77996 жыл бұрын
uko kenya Wapi? nataka kukuowa
@jamesnicholaus62205 жыл бұрын
danirod
@jamesnicholaus62205 жыл бұрын
Raff Raffie
@Danhamza5 жыл бұрын
Kenya
@wilsonmounde47655 жыл бұрын
Kweli kibao nakipenda kwa dhati
@bonifaceondieki16254 жыл бұрын
love the fact that his song is telling everyone that everything takes time, no matter the situation when your time is at hand you will be unstoppable ,,,now we, in this covid19 era..some have lost hope due to all the losses incurred ,,,but like Harmonize is saying one day our sufferings will pay off and will be but history and experiences.wakati kuna kucha kwa mkono huwa hatukati mkono hila tunakati kucha ina maana gani wakati shida zinaingia huwa tunakabiliana nayo lakini sio kufunja usiano hiyo ndio maana ya hii nyimbo
@chikutwemaybin3172 жыл бұрын
Thanks for that interpretation, I had have loved the song though I did understand anything.
@jafalieidrissah Жыл бұрын
TRA
@jafalieidrissah Жыл бұрын
TRAL
@benjaminmulwa6891 Жыл бұрын
You can't be more right than that, I was in a bad place myself 1yr ago and my relationship was ruined coz things were bad for me financially, I kept saying these words, kupata foleni, yangu yaja just like the song. Fast forward to today , I'm working in the UAE....
@stevemovich6726 жыл бұрын
Harmonize from +254 can't wait to host you again in Mombasa Keep Calm this is real talent salute.....
@niyosengadidas39052 жыл бұрын
Ngoma yangu kitu chenye napendea Harmonize nyimbo zake ninzuri nanajua kuandika haimbi matusi
@emmanuelsimon81226 жыл бұрын
Love from Nigeria lagos state. I wish I can hear what he is singing, so lovely bro I love all ur songs
@Baba-JJ6 жыл бұрын
He is talking about a girl whom he was dating with and they had been blessed with two kids but on the course of their love/ marriage the lady disappeared with another man. So the kids are keeping asking the father where is their mother and the father is replying in the chorus by saying "ATARUDI" which means "She will just come back".
@luckymohale95126 жыл бұрын
Much love from south Africa....
@samkite65626 жыл бұрын
Nice song
@emmanuelsimon81226 жыл бұрын
@@Baba-JJ wow! Thanks for this wonderful translation, I love this song
@MTALIITV6 жыл бұрын
rich mavoko atarudi....na atawaletea zawadi😁😁😁
@lucykaris81106 жыл бұрын
MTALII TV 😂😂😂😂
@tingetz6 жыл бұрын
ah ah ah ah ah ah
@mudirzoplatnumz80896 жыл бұрын
Pamoja sna konde boy
@floridahbridgite24826 жыл бұрын
😂 😂
@hamisigosse95576 жыл бұрын
MTALII TV hahaaaa😀😀😀😀
@nino_tz6 жыл бұрын
Director Kenny we fala unajua Sana mamake kama tupo Pamoja gonga like hapa
@jayyuleboi59586 жыл бұрын
Nino tz hanscana hatoshi bonga
@joiceqtr42152 жыл бұрын
Kweli kupata kwa zam Zam yako nyimbo yenye maudhu na mafunzo yaani usikate tamaa pambana iko siku utafaulu ♥️☝️
@musambyamakisanga93196 жыл бұрын
great song, i have never coment to a tanzanian song but this one uuuuuuuuh tokooooos. Musa from DR congo. felicitation ndugu
@emmanuelhotel68536 жыл бұрын
Good song
@chrisweru75146 жыл бұрын
Team harmonize..all the way!!
@nassorbandidu6436 жыл бұрын
Good song
@karanjamary28176 жыл бұрын
Musambya Makisanga did u understand the music or u liking the video..drc aint no swahili😆😆
@prepetuamichael25896 жыл бұрын
Beat kama love portion...wa mafikizolo but nimtazamo wangu ila ngoma kali kichizi midundo yakisouth kweli wcb kiboko ya artist wa tanzania
@paulomwiru98126 жыл бұрын
yaa ata mi namtazamo km wako..beat km love portion
@consolataemanuel72946 жыл бұрын
prepetua Michael Ni kweli hapa mwenyew nasikia hivyo japo kuna touch fulani hivi zimeongezwa
@faithrutendo81486 жыл бұрын
prepetua Michael that's true
@emmanuelwilfred75136 жыл бұрын
prepetua Michael hata wimbo wa Ben pol aloshirikishwa na Yule mdada mnyarwanda beat inaenda ivo... beat ikiwa nzuri watu wanaitumia issue ni msanii apite kivingne
@fellowyt30966 жыл бұрын
Hii ni kubwa big support from Kenya
@sserwanodeo20522 жыл бұрын
Ni vizur sana asanteni sana
@andrewkiplagat53736 жыл бұрын
Nipeeni like moja tu ya +254 kwa uakika harmonize konde boy unataeza anga za afrika mashariki.....katambe brothers
@jumahero69246 жыл бұрын
like
@junitorchepkemoi62716 жыл бұрын
Great song I love it!!mob love harmonize from 254.Hakika atarudi.
@sininamsukuta21356 жыл бұрын
MOHAMOEF
@junglekenya76566 жыл бұрын
+254 twende kazi sasa
@angelinamhando50026 жыл бұрын
dah kaka song kama nataman isiishe nikiwa nasikiliza da ww broo mungu akueke niaka buku uzid kutuliwaza kwa mzk wako mzur
@jym204 жыл бұрын
Swahili songs are so touchy. What a great song indeed. Greetings from Manchester, UK. Hope to visit Tanzania again soon.
@roseaugustine32562 жыл бұрын
You are so welcome 🤗
@jym202 жыл бұрын
@@roseaugustine3256 Hi Rose
@roseaugustine32562 жыл бұрын
Hi Joe
@khalidimwanga78972 жыл бұрын
Welcome
@mohamedkutwambi2 жыл бұрын
Karibuuuuu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏
@happykimario81455 жыл бұрын
Nani tupo pamoja October 15 2019 from 🇧🇩 I like this song wanangu nitarudi nitawaletea zawadi nawapenda Sana