Huyu Harmonize nilikua sijamsikia akiongea lakini leo nimesikiliza nikiangalia na kusikiliza hii imenifanya niwe na moyo wa kusupport kazi zake zaidi. He’s a very humble person na hiyo itamfikisha mbali sana. God bless him.
@FrankjumaNdakama-g1c Жыл бұрын
Kumbe shida imeanzia kwa huu wimbo dar!!🐘🐘🌷🌹🌷♥️♥️ Huna kosa Kaka anguu alikuonea sana
@browellingtone20406 жыл бұрын
Harmonize am from Kenya I am not so much of a bongo fan but the character of accepting things the way you did behind these scenes is what makes you a big start bro, you know Diamond has been in the game and I think by now you see how big the video is big, here in Kenya Kwangwaru is played in every matatu here in Nairobi keep working hard team Wasafi
@princessjc27103 жыл бұрын
I wish this two guys could join up and do something big like kwangaru,,,,2021still🔥🔥🇸🇸
@vihigacomendian99133 жыл бұрын
Real
@olekomoise74492 жыл бұрын
merci beaucoup merci officier
@samuelypaulo79815 жыл бұрын
Wangapi wametazama hii behind the scene tena baada ya konde boy kuandika barua ya kesepa wcb.tujuane kwa like 👍☝✌✋
@wisangoripheteugene5385 Жыл бұрын
Tupo kk
@hellenahgithinji71175 жыл бұрын
Harmonize is so humble and Diamond seems to be taking advantage of that...big harmonize you so creative
@chief21773 жыл бұрын
I've seen that too
@leonkitenge50053 жыл бұрын
Diamond
@phillippeneymar1093 жыл бұрын
😂😂
@joseecontroversial87206 жыл бұрын
Safi sana Simba, najua Harmo amejifunza kitu... kwa jinsi ulivyokuwa serious na hiyo project, the energy, mavazi, moves, sura ya kazi n.k. He has learnt the hard way...
@johndenakayajn633 Жыл бұрын
Duuuuh,iyi ilikuwa Big shooting kwa kweli Congratulations @harmonize Wangapi tumeona hii behind the scène mwisho wa mwaka huu 2023? Tujuani kwa ku like hapa
@kyopis4344 жыл бұрын
kumbe kufanya kazi na Diamond ni ngumu sana ....anajitakia tu
@barakakoi59762 жыл бұрын
Sku zote mwenye kukupea mashindano ndomwenye kukupeleka mbele nduguyangu hilo amin , hak bila upinzan hauz kazana
@catherinebettymusembi47836 жыл бұрын
Diamond aki natamani niwe moja wanaocheza ngoma zako...hata mimi wanicheki kwa TV.
@qupidmemes96232 жыл бұрын
Diamond anajipendelea sana, na ngoma ni ya Harmonize😂
@MusicKE23884 жыл бұрын
inakaa diamond huwa na ubnafsi ikifika kwa ma stage scenes anazitaka zote rayvanny ndo humueza hehe Love Kenya
@silasomolo30956 жыл бұрын
Hii ngoma iko freshi kabisaa.. Harmo na Dangote hii kazi imekubalika sana nje ya East Africa
@ndamayapejr77254 жыл бұрын
Hii scene ilikuwa na vitu vingi sna vya kuchekesha xna lakin napenda mond +Harmo == Brothers Harmo Mpole xna kwa Mond na alionesha big respect although kuna sehemu mond alionyesha ukubwa na akili nyingi
@selemaniyasin22614 жыл бұрын
Simba wauwe baba. Mkalishe mtoto huyo. Video yake ila kwenye nucleur umemkalisha haswaa. Baba 👍👍👍
@explorabongotvonline51606 жыл бұрын
hapa ndipo nina gundua kitu kimoja katika Maisha Daa ebhana Diamond harmonize mi napenda sana life style mnaloishi pamoja yaani ni full kuzinguana drama kibao na hakuna anaemjia juu Mwenzie ndio maana mnafanikiwa #BLESSED
@eastlandosauce2544 жыл бұрын
Kaka Harmonize hapo ulichemsha bure now I know the reason why you guys parted ways...small misunderstanding can cause war
@amathakabumbire83206 жыл бұрын
Diamond kwa kuvaa na kupangilia aaaah,,salute
@zakyahya46454 жыл бұрын
Diamond ndo mana anaumia alimpenda sana harmonize
@aliceumuhoza72462 жыл бұрын
Mukaka wawatu kadharaurika hapo ira akajikaza we Domo kwer wewe hufai harmo unamoyo mungu akujarie
@shashauwase97456 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Simba!!!!!!!Harmonize, you are just a nice and a humble person, I love the way you respect Diamond; anakutaniya sanaaaaa hihihihih .
@lilym7044 жыл бұрын
Hiyo nguo ya rangi rangi ya diamond utasema pajama ndo kaona inapendeza?
@mahmoodalghefeili53704 жыл бұрын
@@lilym704 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jamaafrican38272 жыл бұрын
Fr this is example of diamond alikua anamzungua harmonize mengi sana...pole hamo
@desirenizigiyimana51263 жыл бұрын
JAMA ALIONEKANA TU TOKA ZAMANI KAMA NI KIROHO MBAYA. BIG UP KONDE BOY 😎
@tracywaithesh56426 жыл бұрын
Wow I hope Kenyan artists see this! Shady behind the scene nothing much spent but massive hit! Diamond tunawagojea seattle
@محمدعثمانبشيرالفان3 жыл бұрын
Bobs it iot3nb proud m zhdfke🇧🇲🇧🇲🇧🇲🇧🇲🇧🇲🇧🇲🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨 johns ouewbndn
@cestlaviecestlavie40734 жыл бұрын
Mondi ulimuingilia sana ndani ya mwimbo wake kama vile ni wako, na mlimzarau kwa kweli 😏...
@habbydaimu53133 жыл бұрын
Kuelekezwa ndiyo kakosea mond ana bahatisha kwenye nziki huyu dogoo alisha kuwa tyr anaakili mpya yakuondoka ila sio mbayaa mtoto kakuwaa huyooo
@williamkeitha12623 жыл бұрын
Mbona diamond yupo sahihi coz hapo hizo nguo za harmonize hazinge lifaa wala serious.harmo mbishi sana xo right upo konde shoti tu Man.but nasikia hadi jina walikubadilishia kukupa harmonize.
@saitabaukaraine15756 жыл бұрын
Harmonize is a very humble artist and Mungu anakupeleka mbali
@coltunga94946 жыл бұрын
Seconded..
@boazmasinde27645 жыл бұрын
True point taken
@salamajuma54814 жыл бұрын
Inshallah walikuwa wanamkejeli Harmonize na huyo momo sio mtu mzuri kumbe
@emmanuelhelandogo33984 жыл бұрын
do m. m
@emmanuelhelandogo33984 жыл бұрын
do m. m
@blackiesparkle37646 жыл бұрын
hahaha.... üoor Harmonize!! Diamond shamelessly full of himself, but he was right on the mavazi bit. I salute Harmonize´s humility- its what makes him greater than Diamond. Thank you freaks for embracing brotherhood and giving us a lovely video
@محمدعثمانبشيرالفان3 жыл бұрын
Bobs with the same way as well as a lot of people have been a lot of people have been a good landline 🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿
@artburnsolutions18996 жыл бұрын
Scene kali, big up Harmo en Simba u guys u both soo humble. Harmo usifeel vbaya wen ur dad akikusoa kwa kazi juu he is expert in de game en he luvs u dats y then hii B the Scene iko na itilafu sna huku mbele
@princewawaziguatz15636 жыл бұрын
Hivi kuna Tuzo Za BEHIND THE SCENE BORA YA MWAKA..Tuwape kabisa...😂😂😂Nawaza tu Mana sio Kwa moto huuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@eustachpeter55706 жыл бұрын
sure hii ni kali kinomaa
@princewawaziguatz15636 жыл бұрын
eustach peter ni hiviii 🔥🔥🔥🔥
@vibrokhala72646 жыл бұрын
hana akil kahamo
@isaiahmorara20546 жыл бұрын
Hi scene ni Kali mno,imefanya niyaone aliyoyapitia Harmonize,lakini mwishowe wakatoa ngoma Tamuuuuu
@alwattanchinga2 жыл бұрын
Dah kweli brother,likua yuakunyima freedom , check venye uko mnyonge
@MukiKyuls3 жыл бұрын
Missing them days when we all got along. This song was huge in Kenya sijui uko kwengine.
@sammaisak75033 жыл бұрын
But surely Harmonize had to leave wasafi to find himself, i think it was a good move, Diamond is so full of himself, i kind of felt bad for Harmonize in this clip, the way they were making fun of him.
@AROMAA-KING_KENYA11 ай бұрын
Reconcile with diamond and give us another big hit like kwangwaru
@madimj50222 жыл бұрын
Aminia mwamba ur humble kitambo mungu akushikie kwa kila hatua Big up for it, tunaishi nao 🍁✌♥️🙏
@jeffmwema49922 жыл бұрын
Diamond mwalimu kweli👌
@suleimankibombwe52684 жыл бұрын
Izi ndio sababu harmo akawa gang big up
@tamanjilogodi46453 жыл бұрын
Simba aliua iyo scene ya mabati, venye Kenny amesema, cjui kama konde angefanya vizuri ivo, Enyewe nguo ilikua kali
@actresskarembo91063 жыл бұрын
Nimeona Mbosso Nampendanga sana coz ye hufanana boi wangu sanaa wanakaa mapacha💗💗💗💗
@Blackmachamdizi3 жыл бұрын
It's just that diamond was ahead in many things sanasana confidence and harmo was just growing in many things but now he's ok with full of confidence
@fikirinijuma61583 жыл бұрын
Alie msikia rayvany jamaa anapenda kutumia madaraka gonga like
@favourspapatv6 жыл бұрын
Tofauti na watu wengine,kilichonipendeza zaidi ni ufahamu wa wasanii kama Chama la wana wanagombana lakini mwisho wa siku wanaafikia mwafaka.Mimi ni muigizaji,mfawidhi na nakutana na hivi vitu mara kwa mara.Heshimah kaka zangu
@nickymustafa43064 жыл бұрын
You were a good group with WCB. I miss you together. Konde boy from Mozambique
@lydiaomito32536 жыл бұрын
Diamond ana juzi sana kwa video shoot mashallah.ushirikiano ya wcb raha
@slimjazzyman6 жыл бұрын
Diamond was right about the outfit. Yaani alikuwa ushauri mzuri
@mcpest91814 жыл бұрын
Harmonies I know bing calm is the only way fowerd thanks bro for bing calm good luck keep it up 💪👊
@shielasamvura73604 жыл бұрын
Can't hear all u saying bt u guys put effort on yo videos shem kondeboy & Diamond 4 the world & yo crew ...u deserve every cent u gain...love 4rm Zim🇿🇼
@fatmamariam72946 жыл бұрын
Hii ngoma kwangwaru yanitia wazimu Dah! .Nalala usingizini nikiimba kwangwaru.
@prinzonic98966 жыл бұрын
Diamond Platnumz and Harmonize are the brains behind Tanzania musical industry.👍 👍 👍 Thanks for promoting Africa 👊 👊 💘 💘💯%✔ ✔
@shebbytz71116 жыл бұрын
Leo Nimegundua simba anampenda saana harmonize. The way anavyomuongoza. Nguo anazokua anaziandaa harmonize sio pouwa kabisa. Sasa hiyo ya mistar mistar wap na wap.
@slimsan38596 жыл бұрын
kweli kupata kitu kizuri ni kazi, nimependa mabishano ya hapo na mwisho wasiku mmepata kazi nzuri sanaaaa
@nyangiadamu75535 жыл бұрын
Diamondi. Anawaka sanaaa 2
@ChochoteTv26 күн бұрын
Aya tuliorudii 2024 december 21 where are you??
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Ushindani piya ndouliwaeka kado Lakini DIAMOND alimpenda sana harmo
@afrarugakingira58626 жыл бұрын
Kwa mtizamo wangu alichofanya mondi.kimependezesha sana wimboooo Nguo zake zimenogesha video .na moves zake ndo kabixa...
@constantinochalle8564 жыл бұрын
Mwenye wimbo kawa mpenzi mtazamaji tu!
@directorneva3 жыл бұрын
Diamond grab that set from Harmonize
@chrisnazary91834 жыл бұрын
This guys were very good frnds n lovn each naomba wamalize tofauti tu wafanye kazi pamoja hata kila mtu akiwa na empire yake
@emmanuelchacha12164 жыл бұрын
I like it broo
@suleimankibombwe52684 жыл бұрын
Wcb malofa sanaa mlikua mnamfanyia vibay san konde sasaiv kawakimbia anafny anachokitakaaaaaaa big up tembooooooooooooooooooo
@fadhilsanga28474 жыл бұрын
😃😃😃. Mond ni msumbufu hilo halipingiki. Lakin kazi zake.n balaaa ni fireeee Nakukubal simbaaa
@rehmakhalid25286 жыл бұрын
nguo sio tatizo kikubwa kufanya kitu mashabiki tukipende so good job mmeifanya
@linustobodi68833 жыл бұрын
Kama. Unaview ten 2021 like hapa👋👋
@niyongabotherence89404 жыл бұрын
nimeangaria hii video nimefarijika Sana mulikua Kama ndugu wadamu imenifurahisha Sana. Kizazi Sana.
@madawamchuwa82532 жыл бұрын
Aki nimetamani warudi km zamani angalia vanny anavyo care anawakataza watu wasichukue video
@jlaizerkatitia69026 жыл бұрын
Big up harmonize fight for your life u are next lion
@afixjuma85834 жыл бұрын
Angalia tetema behind-the-scenes rayvany anamuuliza mond nan kamshirikisha mwenzie hat hi Hamro kamuuliza mond nan kamshirikisha mwenzie
@gb-one64353 жыл бұрын
Una maanisha nn
@bbs58026 жыл бұрын
Nimependa jinsi mnawapa vijana wengine nafasi kwenye industry...director wa humu myumbani..big up
@innocentkasabundi15156 жыл бұрын
KENNEDY GADSON atal
@francissospeter45336 жыл бұрын
Haaaaaaaaaa, nimefurahi sana hiyo behind aisee inafurahisha unaweza kupigana, nakumbuka hata diamond alichukia kipande furani, haaaaaaaa, safi sans
@berylawuor32016 жыл бұрын
Harmonize you are so humble God bless you
@crazyafrica89434 жыл бұрын
Chibuu anaelewa hiyo game... Hamo ajifunze kwa utaratibu. Yote sawa.
@elissmwangi3 жыл бұрын
Hii ngoma watu hadi wakadhani ni ya mondi....kumbe ilikua ya mwana
@drjualit28304 жыл бұрын
Harmonize ako humble sana, diamond ako na kiburi sana. Hadi anaruhusu harmonize kutaniwa na wafanyikazi si mzuri.............
@buluush97416 жыл бұрын
harmonize jiangalie mondi nimoto wakuotea mbali yy ndo anajua hayo mambo ww bado mtt lazm ufate anachokwambia bilaivyo utajiharibia broooo 🔥🔥🔥KWANGWARU
@lm63734 жыл бұрын
Ona vile diamond jacho zina mtoka kwa Haya anajuwa si sawa anavo fanya Bora harmonize Ali wacha wasafi
@heriethmsigwa13896 жыл бұрын
harmonize mpole sema diamond alitaka kumfunika mwenye nyimbo yake sio kwakupania ukokhaaaa
@davidmuli4639 Жыл бұрын
Ndio kupitia scene iko lit sana
@sarahwanja70506 жыл бұрын
I love that you rocked in Philipp Plein wear. Expensive brand !!
@vgtfhkkkj3 жыл бұрын
Hamonize bola umeondoka wasaf kumbe hao walikuwa ndugu ndomana likado momo alikuwa yuko saana upande wamond kwel walikutenga bora umeondoka waache hao we mkali jesh kumbe kwenye vdeo wewe uliuwa momo anamtetea saana mond safi konde nakupenda mskaj wangu mond mnafk
@slayingtee60445 жыл бұрын
Nimemuonea harmonize huruma kwenye hiyo scene ya mabati,,,,your a humble angekuwa mwenyine angepigana
@rozeypwizzy64726 жыл бұрын
hahahah, diamond unamfanyia mwezio joking sana mpaka kavimba,, hahahahahha, nacheka hapa unavyomfanyia mwezio. sema hamo kapambana brow wng. love WASAFIIIIIIIIII
@brendaluyange2706 жыл бұрын
😂😂for real the striping red colours though...Haibambi manze...Anyway you guyz at the end mlitoa kitu on fleek..Much luv team #254
@adamondmsafi98346 жыл бұрын
Ukwli 💎 DIAMOND BADO MKUBWA MAANA HARMONIZ AWEZ INGIYA KWENY IY KIPANDE NA ILE NGUO WALLAH DIAMOND KAUW SNAAAA
@ammalmabeny12733 жыл бұрын
Harmonize is humble man .
@mitchellmichell96545 жыл бұрын
Am from South Africa i love harmonize but I dnt understand the language but it doesn't matter i will dance 💃💃💃💃i love this song 😘
@newgentruckernocbakay4gyou9156 жыл бұрын
You guys are the best. Second to none. 254 kama kawa.
@lukasielibariki31816 жыл бұрын
Diamond anajuwa Sana ila hamo akiwa na nidhamu atafika mbali Sana sana
@daimually48654 жыл бұрын
Lkn mond kwa hapo kwenye bati yy mond ndiyo haaswa
@chybuwagwantaz80543 жыл бұрын
Njoo
@hamisikarisa23496 жыл бұрын
harmonize hongera mdogo wangu kwa kuwa mpole na kumuachia hiyo ni hit song yeye mwenyee haezi pata hit song kama iyo
@jameswesonga59183 жыл бұрын
Mbona mkanyima jeshi Mahala pake, simba wwe mchoyo, heri jeshi adumu kivyake, big up hermonize kwa kujishusha, but we moto bro
@cynthiasawe41356 жыл бұрын
TEAM HARMONIZE.....always
@محمدعثمانبشيرالفان3 жыл бұрын
Anyway looks diligent onsite surgeon our way that uig3 douche the eicsjf3 objxbdj
@oxyrio12244 жыл бұрын
Diamond is a genius but harmonize aliumia saana.
@zabymahfudh476 жыл бұрын
Simba nakubali na outfits zako..very much unique.
@kipendokipendo71125 жыл бұрын
A
@_mshati22804 жыл бұрын
harmonize hiii ndo ilimfanya aondoke wcb
@ceciliabaltazar86606 жыл бұрын
mpo vizur isee ngoma imenogaaaaaaaaaaaaaaaaa team simbaaaaaaaaaaaaaaa wap simbaaaaa
@officialconfident463 жыл бұрын
Yaani Hapa mondi alijipenda kweli
@amanizokora78573 жыл бұрын
Missing those days
@nimubonashabani28276 жыл бұрын
RAYVANY. KAFANYA KITU CHA MANA SAAANA. KAZIWIYA WATU KUSHUTI KWENYE HIYO VIDEO. ONYO SASA NEXT TIME MSIKUBALI WAINGIE KUONA SHOOT VIDEO NA SIMU ZAO BILA HIVO VIDEO ITAWEZA VUJA AYSEE. BIG UP SAANA. UMEWEZAA BROO.
@dkensmopainvevo36836 жыл бұрын
diamond kwenye movement anaongoza Africa nzima
@baitaoboytz.37224 жыл бұрын
Ilo unasema wewe
@jaymtemi73226 жыл бұрын
Jins ngoma inavyo hit ad unahisi harmo hatotoa hits song like this good song for harmoniz ft diamond (kwangwaru)
@rajabseif66806 жыл бұрын
tatizo wajui kuva
@samkanyoi86436 жыл бұрын
kutoka Kenya tunasema imeweza!
@jaymtemi73226 жыл бұрын
Rajab Seif hich kitu nimekiona yan km diamond antumia nguo za rangi saaan
@wadenya16 жыл бұрын
I just can’t get enough of the moves by that girl at the extreme left at 36:32. She slays it.
@atislapape-chay79245 жыл бұрын
Harmonize Respct for You my Man.beautiful Music.good,good.work
@stevelumumba18246 жыл бұрын
proud of wasafi you really work around the clock to entertain us much love from 254
@starnewstvtv11266 жыл бұрын
nyakwar Ageng'o sirkal yore Nakubal sana
@mohammedselemani2056 жыл бұрын
Harmonize kaka mungu awape miaka mingi mana muna tu wakilisga vyema