No video

HARMONIZE KUHUSU RICH MAVOKO KUJIUNGA KONDE GANG "KWANINI MNAULIZA"

  Рет қаралды 413,217

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 166
@DiCulture
@DiCulture 4 жыл бұрын
Kumbe Konde gang ni tawi la WCB,weeee diamond mwana siasa
@boazmasinde2764
@boazmasinde2764 4 жыл бұрын
Kabisaaaaaaa
@tonypaul3752
@tonypaul3752 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana Konde ila unazingua na hayo mahereni
@musasimba3689
@musasimba3689 4 жыл бұрын
Nakubali lakn hakuna mwanajeshi anavaa heleni aise
@jensennashon6147
@jensennashon6147 5 жыл бұрын
WCB for life..seeing you faaaaar
@afterx3172
@afterx3172 5 жыл бұрын
Daaaaaaah hizo hereni veepeee mzee baba au ndo umarekani unawaaribu
@josephmatonyi1802
@josephmatonyi1802 5 жыл бұрын
Sindio hapo
@zuberimkuba3674
@zuberimkuba3674 5 жыл бұрын
Mungu akupe mwisho mwema na hereni zako inshallah
@jifunzelughanapatrice5966
@jifunzelughanapatrice5966 5 жыл бұрын
Konde Gang...one love... WCB for life.
@vitukovyainstagram3071
@vitukovyainstagram3071 5 жыл бұрын
Wote Mlio Play Video na kuja moja kwa moja kuangalia comments, tujuane kwa likes zenu hapa.
@ikramlihuti3331
@ikramlihuti3331 4 жыл бұрын
Tutajuana tu
@Official_Sunday_Mjeda
@Official_Sunday_Mjeda 4 жыл бұрын
god bless u kuryaboyz from mara
@directorsebastindjsebastin6442
@directorsebastindjsebastin6442 4 жыл бұрын
Vituko vya Instagram navipenda sana
@user-ri6jn7rs2b
@user-ri6jn7rs2b 5 ай бұрын
Konde gang big up
@keamaoli
@keamaoli 5 жыл бұрын
Vijana wanapiga kazi hawa na wanasadiana kuinua wingine sio kila siku kunyenyekea media wakati social media ipo.big up...ila kunamafala wanataka kuwanagusha ila watashindwa..siku za kunyenyekea media zimeisha ....
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 5 жыл бұрын
*🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥UTAJUAJE KAMA UNASHIDA YA NGUVU ZA KIUME* *Mtu Mwenye Shida ya Nguvu Za Kiume Atajuaje?* Vifuatavyo ni viashiria vya mtu mwenye tatizo la Ukosefu/Upungufu wa Nguvu za Kiume. Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo: 1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake 2. Uume kusimama ukiwa legelege 3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa 4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake . japo katika hali ya u lege lege 5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu. 6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke. 7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa. 8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa ) 9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa. 10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa. HIVYO,zifuatazo ni bidhaa zetu ambazo zinaweza kumsaidia mtu mwenye tatizo hilo,ikumbukwe bidhaa hizi sio dawa bali ni chakula cha nyongeza(supplements ) #argi+ #multimaca #beepollen Kwa maelezo zaidi piga Whatsspp 0628942717
@directortreskas5419
@directortreskas5419 4 жыл бұрын
Powa
@lvinnyboetz4076
@lvinnyboetz4076 4 жыл бұрын
Nakubali konde
@majaliwapili2928
@majaliwapili2928 5 жыл бұрын
Hao mabodgad mbona watanashati sana wamepende kupitiliza
@braxidesnabwile5277
@braxidesnabwile5277 3 жыл бұрын
Napenda konde boy akishirikiana na mavoko
@selfumuruma1032
@selfumuruma1032 4 жыл бұрын
So cool Imekaaa bango ni kubwaaaaa
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 4 жыл бұрын
Hiyo ndo interview ya mwisho kwa mmakondo ndani ya wcb
@youngweezy3846
@youngweezy3846 4 жыл бұрын
Prince Nyakurungwi hahaha
@mmassadieudonnengomoya8607
@mmassadieudonnengomoya8607 4 жыл бұрын
Kizazi Sanaa ✌️
@lauriansimon6805
@lauriansimon6805 5 жыл бұрын
namshaur angetafuta jina lingine cz ni team mpya unayoiunda ya wasanii wa makabila tofauti kuliko kuita Kundi KONDE GANG BADALA YAKE TAFUTA KIANZIO THN GANG
@bonifasikalima9214
@bonifasikalima9214 5 жыл бұрын
Kweli kabisa ,,labda litakuwa kundi LA mtwala...tu.
@jumamaokola5376
@jumamaokola5376 4 жыл бұрын
Jeshiiii konde boy
@mbidadaud1256
@mbidadaud1256 5 жыл бұрын
Ongea tu kiswahili chako ngeli yako inaboa but nawakubali sana WCB
@josephmasenga7718
@josephmasenga7718 5 жыл бұрын
Ndo njia ya kuijua ngeli kama unaaibu hutokijua
@matesokamonga8101
@matesokamonga8101 5 жыл бұрын
First born hongera konde
@vicemedicalhealthcareoffic2311
@vicemedicalhealthcareoffic2311 5 жыл бұрын
Konde Gang noma xan...!!@ Chris Brown wa tz , acting like Nipplhusle
@hoptalentzhpz8817
@hoptalentzhpz8817 4 жыл бұрын
Kond boy wew muwongo san urikua burund ungasama kama musani wakwanza gusani kond atakua murund
@manchizemedia8060
@manchizemedia8060 5 жыл бұрын
WCB ,KONDE GANG' NA BLOCK 89 MNATUCHANGANYIA HABARI TU ACHENI IZO KIKI HAZIFAI
@suliamanwilliams4793
@suliamanwilliams4793 4 жыл бұрын
Fantastic
@Fgldesigns
@Fgldesigns 5 жыл бұрын
Sijui yunaosikiliza ni wazungu maana, hayo mavingeleza yanazidi... Haya ongeeni kiingeleza mwanzo mwisho ila mtuandikie tasfiri yake kwa Kiswahili kwa chini ili mridhike.!
@hiribaeomara917
@hiribaeomara917 4 жыл бұрын
Kama huwelewi ni ww
@Fgldesigns
@Fgldesigns 4 жыл бұрын
@@hiribaeomara917 Kama Kiswahili chenyewe kinakushinda sipatii picha hicho Kiingereza.
@meck_billions
@meck_billions 4 жыл бұрын
Punguza kingereza ww upo bongo hapa!kiswahili tunaelewa pia
@fahadfahmy
@fahadfahmy 5 жыл бұрын
Vijana wameipa mbele dunia wamesahau akhera
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 5 жыл бұрын
Issue za akhera utazkuta hukohuko akhera tatzo watu mnataman vitu ambavo mda wake bado
@alphaoscar1300
@alphaoscar1300 5 жыл бұрын
Napenda sana munavyoimba. lakini nachukia sana munavyovaa/munapovaa heleni
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 5 жыл бұрын
Heleni ni jina la mtu, alizovaa Harmonize zinaitwa herini au hereni
@mashalamusicempire1158
@mashalamusicempire1158 4 жыл бұрын
Kizazi sana harmo
@stanrockenterprise5108
@stanrockenterprise5108 5 жыл бұрын
Konde boy one love man..
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 жыл бұрын
Kiki mboooooovu sana hii . Hii kuondoka WCB ni kiki tu kama kiki nyingine .
@salumusalumuhamisi2902
@salumusalumuhamisi2902 4 жыл бұрын
Wasengee nyiee
@abdulhamidy8920
@abdulhamidy8920 4 жыл бұрын
Eti no 1 africa
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 5 жыл бұрын
Mapepe mengi Mzee.
@bonnysureolkokolaboy4342
@bonnysureolkokolaboy4342 5 жыл бұрын
Uo ujanja ujanja2 wa kutengeneza pesa mashabiki tufunguke akili, Hii Konde Gang navoelewa ni Team mokotu laliful, ni kutuchanganyatu mziki uzidi kua Bongo ila mi nimependa sana tupate mashindano kimziki afu mashabiki tupate mangoma makali
@abdullihmwamba3070
@abdullihmwamba3070 5 жыл бұрын
duuu sii kwa ulivyo vaa kama mvetinam
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 4 жыл бұрын
Akianguka ghafla unaezasema sufuria
@raphaelexvery7577
@raphaelexvery7577 5 жыл бұрын
Nakubari harmo
@vickyboymfalme7856
@vickyboymfalme7856 Жыл бұрын
hekima
@zulekhajumanne664
@zulekhajumanne664 5 жыл бұрын
Kha! Jaman hizo heren. Astaghafiru llah
@nassirhamad838
@nassirhamad838 5 жыл бұрын
Hhaahahahah
@asiatumbwambo133
@asiatumbwambo133 5 жыл бұрын
Zulekha Jumanne kwa kweli ni shida yaani mi nachukia 😏😏
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 5 жыл бұрын
😂😂😂
@hassanyahya5065
@hassanyahya5065 5 жыл бұрын
😃😃😃
@mwaks3347
@mwaks3347 5 жыл бұрын
Zulekha Jumanne waislsm tumejisahau na mambo ya dunia
@Official_Sunday_Mjeda
@Official_Sunday_Mjeda 4 жыл бұрын
i love ❤
@youngweezy3846
@youngweezy3846 4 жыл бұрын
Nimegundua kitu kupitia hii konde boy bado yupo wcb
@barakaaloycelaiza2339
@barakaaloycelaiza2339 5 жыл бұрын
Jo nizo anaweza sana.
@Notepad_TV
@Notepad_TV 5 жыл бұрын
kweli kabisa...kafanya kazi nzuri,ila kwa upande wa filamu fupi nina hakika utafurahia kazi zilizo kwenye link hii kzbin.info/door/HSti278EBBUyZTzly8vgbA mimi nimezipenda,zitazame na wewe
@saidyr6567
@saidyr6567 2 жыл бұрын
Hapa kidogo uliongea ukweli kwamba konde gang ni taw la wcb
@kassimally1803
@kassimally1803 5 жыл бұрын
Wabongo mkihojiwa lazima mchanganye lugha wakati weledi wa lugha yenyew ni dhaifu
@anoldjose7793
@anoldjose7793 5 жыл бұрын
Kassim Ally umeona ee
@kassimally1803
@kassimally1803 5 жыл бұрын
Yap hahahahhh
@Fgldesigns
@Fgldesigns 5 жыл бұрын
Sasa sijui tunaotazama ni wazungu.!? Nawaza kwa sauti
@richmuziki
@richmuziki 5 жыл бұрын
Rich gang konde gang
@pasleemnyama8548
@pasleemnyama8548 4 жыл бұрын
Fala sana uyu konde boy msenge sana
@francomselewa9844
@francomselewa9844 4 жыл бұрын
Sanaaa
@aminabashirhabib1904
@aminabashirhabib1904 3 жыл бұрын
Hapa alicheza ki yy huyu no nyoka
@alhajimuhjaj439
@alhajimuhjaj439 5 жыл бұрын
Helen jau kama wakike mwamba vp
@josephinemakungu8447
@josephinemakungu8447 5 жыл бұрын
wa hamo amenimbamba vipi mavazi 😂😂😂😂😂 askari au vipi 😃😃
@petrojuma1874
@petrojuma1874 5 жыл бұрын
amini kwamba konde boy ndani ya miaka miwili utakua n msani mkubwa mala mbili ya diamond
@leviskahonga3985
@leviskahonga3985 4 жыл бұрын
Labud kuvaa elen maan zinaashilia usho
@yusuphsimon8151
@yusuphsimon8151 4 жыл бұрын
daa ila vyenye inaznguaa ivo vipini masikio bro hamna taartibu zingne za kung'arisha muonekano wenu enyi wasanii make ivo vitu kaa ushoga ndani ake au mimi tu ndo tofasiri angu mbovu bwana Harno
@shabanalphonice6571
@shabanalphonice6571 4 жыл бұрын
Hako kakibur katakufelisha ustueke saw hio gang mbal sama na chama la simba sema haupogo tena
@israelivan3623
@israelivan3623 5 жыл бұрын
Unafer kaka ...sio kutoboa life uvae heren
@jumakhalfan6869
@jumakhalfan6869 5 жыл бұрын
Juma khalphani
@jabilichipila2456
@jabilichipila2456 5 жыл бұрын
Herenii tenaa duuuh
@abdallahngajua6216
@abdallahngajua6216 5 жыл бұрын
wew mtoto wa kiume unavaa VIP heren
@sophieaden5367
@sophieaden5367 5 жыл бұрын
Signed under WCB imekuwaje?
@ivantompoo7843
@ivantompoo7843 4 жыл бұрын
jeshi jonijo anakuforce mamb ya kiseng af we jonijo tunataka tujue jina lako ulipatej au umelipat kwenye mzk wa baba John
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 5 жыл бұрын
Pwaaaaaaaaaaa
@idrissaabdullahmbumulule5971
@idrissaabdullahmbumulule5971 4 жыл бұрын
Konde acha kuvaa elen ww mm nakuelewa sana
@mokotvonline6456
@mokotvonline6456 5 жыл бұрын
Tia like kama una mkabali konde boy
@officialjohn9420
@officialjohn9420 4 жыл бұрын
Yap!yap!
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 5 жыл бұрын
Mouuzi ww angalia
@erodeshayo8672
@erodeshayo8672 5 жыл бұрын
Hereni vua mzeee twelewane
@vincentokambo3199
@vincentokambo3199 5 жыл бұрын
Hahaha hahaha Sawa mmakonde
@rtmbilu841
@rtmbilu841 5 жыл бұрын
Swabri kama nimekuona
@salimsaidimu5512
@salimsaidimu5512 4 жыл бұрын
Harmonize ana roho chafu Sana. I use to be his fan bit apana. Mbona kamsarau diamondi ? Ambaye amemkuza Hadi akafuka mahala alipo Sasa ivi ?? Ivi binadamu hawana shukran??
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 3 жыл бұрын
Respect growth ya mtu ,ulitaka sushi chini ya mtu forever,that's not growth..ukikua unaondoka nyumbani ukajitegemee
@mashalamusicempire1158
@mashalamusicempire1158 4 жыл бұрын
Chapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@Safinatulshifaa
@Safinatulshifaa 5 жыл бұрын
Mmakondo ongea lugha yako as i told uuu wacha upuuzi Mahereni kama ziwa la NG'OMBE
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 5 жыл бұрын
😂😂😂 moja haitoshi eti
@viviyanviviyan2464
@viviyanviviyan2464 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kihanda2554
@kihanda2554 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Tanzania bwana raha sana
@abeer4201
@abeer4201 4 жыл бұрын
🤣😂🤣😂Ziwa ranini
@khalidsadick3690
@khalidsadick3690 4 жыл бұрын
Said Hamoud wivu huo
@officeabdurazak3120
@officeabdurazak3120 4 жыл бұрын
Nakukubal san
@leviskahonga3985
@leviskahonga3985 4 жыл бұрын
Ivi eleni zinaashilia nin
@ym_tv4234
@ym_tv4234 4 жыл бұрын
Sasa hivi eti hawa jamaa ni mahasimu
@djgeorgekiller3617
@djgeorgekiller3617 4 жыл бұрын
Leo nimepitia hii interview na nimegundua kuwa hamo na simba wapo na bifu LA kutengenezwa hawana ugomvi hawa jamaa
@yusufuhassan6524
@yusufuhassan6524 5 жыл бұрын
Anasema mtume ومن تشبح من كوم وهو منهم
@mustafamohdfo2814
@mustafamohdfo2814 5 жыл бұрын
Yusufu Hassan خطأت
@sophiapeter3471
@sophiapeter3471 5 жыл бұрын
DJ mbn mmembadilisha
@mansourmkanakuta6641
@mansourmkanakuta6641 5 жыл бұрын
ametisha
@NeemaKmussa
@NeemaKmussa 4 жыл бұрын
Mbona siku hizi dharau
@Safinatulshifaa
@Safinatulshifaa 5 жыл бұрын
Ngeli haikupendezi kabisa
@richmuziki
@richmuziki 5 жыл бұрын
Bado mmiTu rich gang ndo mimi
@petromsomar2652
@petromsomar2652 4 жыл бұрын
Kond nn xax mahereni ayo
@tuitoekkomen3484
@tuitoekkomen3484 5 жыл бұрын
Ana maarifa huyu,
@leganimwagala7684
@leganimwagala7684 5 жыл бұрын
Mbona hereni tena
@alimohamed4712
@alimohamed4712 5 жыл бұрын
Ushoga maherini
@hojamathias9989
@hojamathias9989 5 жыл бұрын
Umeambukizwa kizungu huo ugonjwa magu haupendi hata kidogo
@saidjjfour2844
@saidjjfour2844 5 жыл бұрын
Wild animals from serengeti natinal park Magu ni nani na maisha ya watu@ pumbavuuu.
@nyasioabdalla8056
@nyasioabdalla8056 5 жыл бұрын
Toa kelele hapo
@abeliisaya4680
@abeliisaya4680 5 жыл бұрын
Hereni hereni oyeeeeee,,,, unatudhalisha shabiki zako
@Eric-rx8vg
@Eric-rx8vg 5 жыл бұрын
Jiongelee pekee yako msenge ww.... Utakufa chuki bure
@ambelemgala6193
@ambelemgala6193 5 жыл бұрын
ushamba nao
@tonypaul3752
@tonypaul3752 5 жыл бұрын
Amekua kama Mwanamke na hizo Hereni hahahaha
@sideboy4909
@sideboy4909 5 жыл бұрын
Wewe hirine dadaako jee avae nn
@mashadaudi1134
@mashadaudi1134 4 жыл бұрын
Mumlindege na ezlael mana Hao mabod gani Sio poa
@ibrahimfrank1382
@ibrahimfrank1382 5 жыл бұрын
Hata shetani nae alikuwa malaika,
@amaniomary3044
@amaniomary3044 4 жыл бұрын
nakutakia maisha mema San kond
@jumamakaja8802
@jumamakaja8802 5 жыл бұрын
Ulimbukeni wa hali ya juu
@veronicakitundu3720
@veronicakitundu3720 4 жыл бұрын
Poa
@jovindavid4946
@jovindavid4946 4 жыл бұрын
Konde boy we bado dogo Sana'a sio wakujifananisha na mondi me naweza kukufananisha na akina fobi,b2k
@evaristmrope
@evaristmrope 4 жыл бұрын
Konde boy
@selemanimsahani3919
@selemanimsahani3919 4 жыл бұрын
Interview ya mwisho ya umakonde
@jadoob5421
@jadoob5421 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😁😁
@idarousphotography3302
@idarousphotography3302 5 жыл бұрын
NAKUOMBENI MUSITOWE KWA MASAA YOTE ZIFANYENI KWA PART KM DAKIKA 30 KIPIND KIZIMA NI OMBI WAKUBWA COUSE NA CC TUTIZAMEN NA CC WA HALI YA CHINI
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 5 жыл бұрын
Kama ni wanaotoka wcb wanaingia Konde gang, bc Konde itakua ni wahanga wa WCB, (WCB Expendables)
@batromeombogo7131
@batromeombogo7131 5 жыл бұрын
jamaa kavaa hereni au daaah
@allymtoto8334
@allymtoto8334 5 жыл бұрын
Unavaa mahelen ya nini sasa ww unajiharibu mbona unakua kama fala
@jumaantony8546
@jumaantony8546 4 жыл бұрын
Hahaha dah
MAISHA YANGU IKO ATARINI MY FANS NIOMBEHENI
10:42
Ken kijana ndeke yamuthanga feima
Рет қаралды 1,2 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 38 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 14 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 19 МЛН
🔴#LIVE:MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM -6/9/2024
Wasafi Media
Рет қаралды 85
#ROSTAM WACHANANA KISA #IOKOTE YA MAUA
4:07
VIVAROMA
Рет қаралды 733 М.
Vigezo vya kujiunga na Lebel ya WCB kwa Diamond Platnumz
3:26
Millard Ayo
Рет қаралды 203 М.
Harmonize - You Better Go (Lyrics Video)
3:18
Harmonize
Рет қаралды 482 М.
ALIKIBA : NIMECHEKA SANA BAADA YAKUONA HII VIDEO
7:25
Jonijooo
Рет қаралды 1,6 МЛН
USWEGE MURDERER ft JAYMONDY - POLISI MIYEYUSHO
8:12
Uswege Murderer
Рет қаралды 232 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 38 МЛН