Q Chief tupo pamoja nafrah sana nikiskia habari njema kuhusu muziki wako.ndugu gonga like hapo kama unamkubali Q chief
@abubakaromarkhan13985 жыл бұрын
Legend in the house ,I love WCB represent from +254 ,Block 89 wapi likes za Legend
@balozibalozi52575 жыл бұрын
Nampenda sana chilaa ila tujifunzee y maisha Haya Jamani ukikosea unaweza changanyikiwa
@zuhrasulyman57015 жыл бұрын
chillah ni mgodi unaotembea komaa kaka Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi INSHA ALLAH
@Pedeshee015 жыл бұрын
Zuhra Sulyman hata mimi ni mgodi unaotembea
@Crownvalz5 жыл бұрын
dah, ameongea kutoka ndani sana nimependa moyo wake. kingine ni kwamba tanzania hawana mfumo mzuri wa kuwafanya wasanii wa zamani kupata heshima yao WCB hili naona wameliona sana.... pia watu wanawasema tu ni wavuta unga sijui ni wamekua mateja but hamna njia zozote za kuwafanya waheshimike na kupata heshima wanayostahili.. Bigup Harmonize bigup WCB
@mohameidshawj85823 жыл бұрын
Nakubar q- chief we n mwanaaaa una roho nyeupe
@bish_daddiyao5 жыл бұрын
My TOP 5 Vocalists IN EASTAFRICA baby Much Love Chief 🇰🇪❤🇰🇪
@TamuzaKale5 жыл бұрын
Angalau umekubali kama mdogo wako yuko mbali na amekuwa kaka na si dogo tena! Congrats!
@Seluh_classic5 жыл бұрын
Always a legend najua wanasubir ufe ndo watakupa heshima unayostahili
@abdallaabdulrahman83195 жыл бұрын
Napenda kuangalia interview zako brother mara nyingi hua unaongea ukweli,hujisifii na hua unakubali pale unapokosea but sadly im Reggae lover.Live long broo
@abdulazizazeez40585 жыл бұрын
Chilla😥😥😥😥😥 ...one of the musician in east africa#respect... Diamond angalia namna
@adammuki28315 жыл бұрын
Babu kubwa ata mungu anapenda mtu anaekumbuka hisani big up chilla
@pqeenmishiiz22985 жыл бұрын
Kaka qchila we miss u back to the game we n mkali wao wengine sukuma wiki tu
@amourabdallah29785 жыл бұрын
Hiko kidada cheupe sikipendi kinajiminya wakati anaongea kingereza anajibana ila huyo mweusi namuelewa sana
@M7-Band5 жыл бұрын
You also inspired me bro,nakumbuka masongi yako nilikuwa nayaimba yote
@bambuchabongomovie57465 жыл бұрын
jamaa upo vizur sana mond hii kichwa amini maneno yangu
@rasvegas89915 жыл бұрын
Michael Lweve tatxo heshima mzee
@listentoquranandmawaidhach49925 жыл бұрын
Q Chillah still you are our Legend we love your music still
@Mtamaduni145 жыл бұрын
Chilla legendary mkali wa vocals 254💥💥
@ollysneer56314 жыл бұрын
Hakuna kma yy bongo hii
@mashajohanes77275 жыл бұрын
Much respect chillah....
@hazjay46715 жыл бұрын
Hyo #Corus Alioimba Daahh #Chillah Hatar Kwa Masauti...
@mosesvpajitv66445 жыл бұрын
Uyu jamaa ningefurahi one day angekuwa Wcb kama nawewe umeliona ilo like yako ihusike
@bensonkyalo63825 жыл бұрын
He is too proud to be in wcb
@mkwenyachristopher93105 жыл бұрын
Kaza brO Q chilla muinyanyue KONDE BOYs
@theblackaraab50195 жыл бұрын
Mungu atakubariki aje kwa maasia msituchanganye
@abasialiy65385 жыл бұрын
One among the artist namkubali sana anajuwaa
@kelvintembo12285 жыл бұрын
q chief nakuelewa sana wewe ni legend
@miltonemusumbah25445 жыл бұрын
Best of the best . Chillah all the way
@jmm18405 жыл бұрын
Huyu jamaa abubakar katwira ni wakipekee. Hafichi uharisia wake.
@najmagudeh2035 жыл бұрын
Pambana kaka m.mungu atakubariki
@raybrankxbalozi36845 жыл бұрын
From 254 Chife in my legend 💪
@malafyaletistar76135 жыл бұрын
baada ya kuwa mpinzani na kushikiwa na watu ambao hata hawakuwa na msaada kwako ili nawe utumike kuwapiga vita wcb leo mwenyew umeshuka na kukubari harakati za wcb na i promise you wcb utafika mbali
@andrewkilave35325 жыл бұрын
Huyu hajawahi kuwapiga wcb hata siku moja na hajawahi kutumika hata siku moja kumbuka Mara ya kwanza kabsa diamond platinum kipindi bado hajatoka aliomba apande jukwan kwenye shoo ya qchief chilla alikubali na jamaa akaimba laiti kama angemubania sidhan hata kama hamo angempiga kampan
@yiyjnchop40645 жыл бұрын
Chilla, uko vizuri
@selemankiwande81625 жыл бұрын
Hii na iwefunzo Kwa wasanii wngne diamond amshukur ally kiba, na ally kiba amshukur mond pinzani wao umewafanya waweze kufanya vitu vzr zaid kuliko wasingekuwa na challenge. Ni sawa na Simba Bila kuwa na yanga at yang isingkuwa Simba zingekuwa za kawaida sn usijisif unambio msifu na anaekukimbiza
@richmelody9845 жыл бұрын
We na ww unaongea kwa kujilegeeza Unaskilizia maneeeeno acha hzo ongea kama mwanaume mzee Ndio Mana mnaambiwa wanaume wa dar mnamatatizo
@benjaminfataki68985 жыл бұрын
kisha ukatowaga nyimbo lakini nyimbo ilikuwaga ya dogo na mbaya zaidi haukumsaidiyaga,wakati alikuwaka na uwitaji,ila yote ni maisha yatapita sio kujuwa kingereza njoo kuwa tajiri
@bejos8455 жыл бұрын
Wewe ahuja elewa interview fatilia vizuri Q chef alafu recomment tena
@sylvestermatinde75275 жыл бұрын
I salute u bro chillah
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Love you Qchief
@HFILMSWORKS5 жыл бұрын
Kuna baadhi ya wasanii ukifanya nao interview lazima utulie unaweza ukamaliza interview ukawa umeuliza maswali matatu tu.
@khayriyamussa56805 жыл бұрын
Nakupenda mda tu q chief wallah....
@minayoalwena69705 жыл бұрын
254 we luv u chilla
@hassanbakari56075 жыл бұрын
Q chilla mnyama nakuelewa sana brother
@dsstanzania5 жыл бұрын
Asante kaka
@olotumdogo92605 жыл бұрын
Bro acha madawa ww mkali sana utapotea kama chidibenz
@ramsojimmykelly33795 жыл бұрын
Madawa kashaacha kitambo sana
@pachapamba75365 жыл бұрын
Nitaumia sana ukijiingiza kwenye madawa,nakupenda sana Acha hayo mambo utakuwa kama chizi unapenda hivyo please acha
@gunbizzo19705 жыл бұрын
😀😀😀😀nikama ngassa alivyoeda ndanda lazima nguvu itumike kurudi kwa line
@remmykambili49995 жыл бұрын
Much respect to the legendary king chilla
@devothasanga92285 жыл бұрын
Nakupenda chilaa
@mglmagala98765 жыл бұрын
Chilaaa nakukubari
@munnawwaryaqoob34145 жыл бұрын
Safi sana nakukubali Q
@munashabani13765 жыл бұрын
Kiu chilaa anaimba atari sana nakumbuka wimbo wake ulinizaa wewe ukanikataa sasaiwejee uone mi nafaa
@Sports-es2vx5 жыл бұрын
muna shabani Kali Sana ile
@esterbegina10225 жыл бұрын
Hongera watanzania tumelifurahia
@yusuphpenza48955 жыл бұрын
Q chilla.... Kizazi zaidi.
@alexnomba885 жыл бұрын
safi Sana q chilla
@AbduRahman-os2vx5 жыл бұрын
watangazaji wa redio wa bongo kwenye mahojiano yenu jaribuni sana kutumia Kiswahili fasaha, hamuoni bbc Swahili,kiswahili lugha kubwa duniani baada ya kuchanganya Kiswahili na kiingreza ,mnaturudisha kwenye utumwa wa kifikra,kama mgeni sawa ongeeni hata kifaransa ni sawa ila kwa hili tembeeni kama baba yenu dimond mtaona Kiswahili kina umuhimu wake hasa nyumbani….ushauri tuuu sina ubaya.
@sirj15975 жыл бұрын
Hivi Kule Upande Wapili Sikuhizi Wanafanya Interview na Nani Maaana Wasanii wengi wanakuja Block 89 Nahisi Baada ya muda wataanza kufanya na Wasanii wa Gosper
@yuusufnuur57525 жыл бұрын
Love wasafi group
@featurebillionaire54645 жыл бұрын
Hili tangazo la Vodacom kwani vipi?
@godlovemwashi15765 жыл бұрын
Awajuagii kwa kuyaweka🤣🤣
@victorsomba8675 жыл бұрын
Limetumwa Hilo😂😂😂
@pelegrinmwamba15945 жыл бұрын
Nampend sana huyu jamaa
@tuly_tulive_tv_online_01405 жыл бұрын
Bless
@sharifahamzahussein88005 жыл бұрын
Wasafi on the dread, kumamake
@zackchriss105 жыл бұрын
Daaaa jamaa akiludi Mpk collabo na post malone
@bukuruadam77714 жыл бұрын
Good like
@donald70225 жыл бұрын
Wenyemziki wao
@tuly_tulive_tv_online_01405 жыл бұрын
Toop
@mbodzebemasika74775 жыл бұрын
q wangu
@linetachieng55865 жыл бұрын
I love u bure
@abdulrahimchotta60615 жыл бұрын
full content ya kipindi hiki juu ya huyu nguli mbona hakipo? ziko hizi dk 10 tuu???
@tuly_tulive_tv_online_01405 жыл бұрын
Thanks
@abdihakiinmahamuud56625 жыл бұрын
Kiswahili ya MOMBASA saaaafi tuuuuu.
@kekemagori47325 жыл бұрын
Nakukubal chila
@mbidadaud12565 жыл бұрын
Q-chief
@ismailkasim79605 жыл бұрын
Nalubal qchif
@stanleytango70125 жыл бұрын
Q chillaaaaaaaaaaahhhh
@johngavile51065 жыл бұрын
Nakubali chilla
@ezemanvlogs89875 жыл бұрын
Nataka niulize Harmonize Hana mtoto?
@rashidimkunjila80963 жыл бұрын
2021 💥💥
@peterswambua525 жыл бұрын
give likes to our legend from +254
@KeKe-vp8nl3 жыл бұрын
❤️❤️
@abdihakiinmahamuud56625 жыл бұрын
Chuki binafsi in between us
@credolassana5554 жыл бұрын
Eeeenh mchiz una point
@tuly_tulive_tv_online_01405 жыл бұрын
Mkhn
@maestrotv82645 жыл бұрын
Nkubl
@kachawakikazi12175 жыл бұрын
unga mbaya sana jamaa linapayuka tu HAHAHAHAHA
@ussikhamisussi48825 жыл бұрын
Kacha Wakikazi; Acha kucheka kingese Mzee-hv vtu tunatakiwa tujifunze tu wala si kuleta vicheko vya kejeli.
@kelvintembo12285 жыл бұрын
ussikhamis ussi kabisa huyu atakua choko anacheka usenge
@yahyazainab555 жыл бұрын
We Kacha!!!Unajua Kama hujafa hujaumbika?
@permanaskusinjiru28353 жыл бұрын
Kumbe konde boy, yuandika nyimbo pia.
@udakutv69735 жыл бұрын
HIZI NDO MBINU 10 ZA KUMALIZA TATIZO LA KUWAHI KUKOJOA KWA MWANAUME WAKATI WA TENDO LA NDOA BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIA HIYO VIDEO ILI UONDOKANE NA TATIZO HILO kzbin.info/www/bejne/q5SqoaCrgbtld9U kzbin.info/www/bejne/q5SqoaCrgbtld9U kzbin.info/www/bejne/q5SqoaCrgbtld9U
@rodgersromio87565 жыл бұрын
makonfidenga
@64aaa5 жыл бұрын
Sijakuelewa
@norbertsongo90605 жыл бұрын
Kwa utangazaji wenu bbc, VOA na mashirika mengine ya habar mtayackia kwny bomba