HARMONIZE: MSINICHONGANISHE NA DIAMOND PLATNUMZ/ KUONDOKA WCB/ SITAKI KUWA NAMBA MOJA

  Рет қаралды 1,219,987

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 694
@saikalyasi2707
@saikalyasi2707 3 жыл бұрын
Tunaoitazama hii interview 2021 tujuane
@youngtaiz8359
@youngtaiz8359 3 жыл бұрын
Tunakaangalia ka yuda
@yaxcowiz2873
@yaxcowiz2873 3 жыл бұрын
Ha🤣🤣🤣👌👌
@jamespallangyo2694
@jamespallangyo2694 3 жыл бұрын
Najua unamaanisha kaka
@jamespallangyo2694
@jamespallangyo2694 3 жыл бұрын
Hahaha yuda boy
@johajohar7777
@johajohar7777 3 жыл бұрын
@@youngtaiz8359 😂😂😂😂😂😂
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 3 жыл бұрын
From Mozambique 🇲🇿. Harmonze atimaye leo upo Wasafi Tv wow
@anassiamissi2938
@anassiamissi2938 3 жыл бұрын
Mozambique
@emflashtv6211
@emflashtv6211 3 жыл бұрын
Me naamin muda wa harmonze ni huu jamn 2021
@catherineraphael1589
@catherineraphael1589 5 жыл бұрын
Nachompendea harmonize ni mnyenyevu sana ana. Jua kujishusha
@felixmghuna175
@felixmghuna175 4 жыл бұрын
Ni sahihi kabisa
@emilydominick3123
@emilydominick3123 4 жыл бұрын
Kwani ulitaka. Ajipandixhe kwalipi Ana nini Chakujipandisha
@mirajiyasini7332
@mirajiyasini7332 4 жыл бұрын
Sasa wcb ndowanafundixhwag ivyo
@lusekelokijalo4480
@lusekelokijalo4480 3 жыл бұрын
Kwel
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 3 жыл бұрын
I love you KONDE Gang...yaani ulitishia hadi bosi ..haha
@ezapesambili2130
@ezapesambili2130 4 жыл бұрын
Leo tena nimerudii kucoment 2020 \5\5; Usailit wa harmonize kweli ulionekana
@ramseymayunga276
@ramseymayunga276 Жыл бұрын
Good harmonize 🇿🇦👍
@alexmurogo998
@alexmurogo998 5 жыл бұрын
I think harmonize ame outgrow wcb. Anafaa aondoke awe kivyake na pia awachukue wasanii chipukizi aanzishe label yake. Amefika ile place ya 'when your idols become your rivals'. As long as ako wcb atakuwa hindered kwenda to the next level.
@birikumanapascal6798
@birikumanapascal6798 3 жыл бұрын
sikuzote msani anatakiwa kujiongeza, i'm so proud kwa kuona ujasili wa konde boy, na jinsigani anavyo jituma
@Vickyoung_Ensanako
@Vickyoung_Ensanako 5 жыл бұрын
If you knew how you guys inspired us to start impressing Kiswahili in Kenya, you couldn't have forced that Kizungu. Lol
@abrahmaniomar9858
@abrahmaniomar9858 5 жыл бұрын
konde boy sio mwalimu wa kiswahili kashidwa nyerere nyie wafuasibwa wazungu mtabaki kuws slave2, siye wabingonwe take english as joke lunguage
@sara_228
@sara_228 3 жыл бұрын
Harmonize wcb
@gervasmlowe916
@gervasmlowe916 5 жыл бұрын
Baba atabaki kuwa baba konde boy usilewe sifa umejibu point nice it
@jofreykayomo7561
@jofreykayomo7561 3 жыл бұрын
saf sana harmonize yan ameongea ukweli baba uwezi kumlinganisha na mtoto big up sana ameongea ukweli diamond n level nyingne jaman
@ComedyPlustz
@ComedyPlustz 5 жыл бұрын
Konde boy ipo vzr
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 4 жыл бұрын
2020 watching😂😂 Interview tuliachia akina ibrah c jeshi
@abdihalimosman5771
@abdihalimosman5771 4 жыл бұрын
😂😂😂🤦🏻‍♂️
@zakiaathuman3636
@zakiaathuman3636 3 жыл бұрын
I don't wanna be number one akati sikuhizi majukwaani utaskia...when I say Harmonize say number one😄
@kulwabjoseph9242
@kulwabjoseph9242 3 жыл бұрын
Kwel jeshiii
@osmandingi
@osmandingi 2 жыл бұрын
Lazima ukiwa msanii ujione wewe ndo Bora
@jensennashon6147
@jensennashon6147 5 жыл бұрын
hollaaaaa kwa Konde Booooy...love yo Melody bro
@aljimmykabumbabinazam9904
@aljimmykabumbabinazam9904 3 жыл бұрын
I love you harmonize jeshiiii konde genge
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 5 жыл бұрын
Jibu nzuri sana najuwa wew unaelewa vizuri uchonganishi wawatu mbali mbali sababu kabla hujawa Harmonize wa Leo ulikutana na maneno mengi ukacgonganishwa wakakuzarau so huwezi kuyasikiza maneno hayo unaelewa na umewazoea big up sana
@yusuphmlangali7295
@yusuphmlangali7295 5 жыл бұрын
Big up kajibu kwa akili sana hapa konde boy
@patrickasifiwemugara4393
@patrickasifiwemugara4393 5 жыл бұрын
Harmonize ni namba 1 kwangu. He is talented than dian, with time you will...
@emilydominick3123
@emilydominick3123 4 жыл бұрын
We nifarasi
@emilydominick3123
@emilydominick3123 4 жыл бұрын
Namba moja awe Harmonize kwako bora ht ungesema Ryvvan
@shukurumakenga7172
@shukurumakenga7172 3 жыл бұрын
Toboa ap he is talented than Dian with time you will
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 5 жыл бұрын
Jamaa kavaa elen maskin ya mungu dah wanadai swaga.safi sana mdogo wangu rajab inasikitisha ila kwasababu maisha hayo ndio unayoyatala be blessed vaa mbaka gauni sisi tunalik tu
@abdulkhaleed9420
@abdulkhaleed9420 5 жыл бұрын
Acha ushamba wewe
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 5 жыл бұрын
@@abdulkhaleed9420 amjanja ww mtoto wakiislam jibinue tu lif goes on
@News254Kenya
@News254Kenya 5 жыл бұрын
Nani anatizama hii Leo? Like kama yesi.
@thecourtcourt1753
@thecourtcourt1753 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eIOkc3eJhbaWmpY
@bahatijeshi9087
@bahatijeshi9087 3 жыл бұрын
Jeshi nisha kubali unaweza unamuzidi mbona huwamini jeeeshii
@riamiurassa7765
@riamiurassa7765 5 жыл бұрын
Ereni za nn mzeee laana iwe nanyi wote mnaojifanya mastaaa kufanya vitu kinyume na sheria kama unaona. Ni vibaya kwa jamaa kuvaa Helen b like apa
@ayoayoo1222
@ayoayoo1222 5 жыл бұрын
Kama huwezi ku afford piga kimya
@hadijaabdallah5477
@hadijaabdallah5477 5 жыл бұрын
@@ayoayoo1222 ww shoga fala
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 5 жыл бұрын
Allaah anawaone
@soniadeliciaussonia9597
@soniadeliciaussonia9597 5 жыл бұрын
hawajielw sasa wanaume wavae heren nasis tuvae nini
@hassanmkungile6021
@hassanmkungile6021 4 жыл бұрын
Anaish kama star kua star muonekano bna
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 6 ай бұрын
Konde nimekukubar kama umekumbuka aliye kutoa kwenye mbali nimejisikia vizur mko poa♥️♥️🤝
@georgekagwebe2461
@georgekagwebe2461 5 жыл бұрын
Mbna you know!! You know!! Ming sema kiswahili lugha ya taifa mamaee
@judithpeter1174
@judithpeter1174 5 жыл бұрын
George Kagwebe hahahaaa
@linahmadame2128
@linahmadame2128 5 жыл бұрын
Wivu nawewe kwan amesoma unataka asiongee BA's secondary wasingweka tusome English
@takyatupu6839
@takyatupu6839 5 жыл бұрын
🤣😂😂😂😂anaka kutuonesha km ameaza Englishcouse
@takyatupu6839
@takyatupu6839 5 жыл бұрын
Wacha dharaau kutaja wasani wengine 🤨kiba anawajambisha
@evelynouma975
@evelynouma975 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@harmoniofficialtz6065
@harmoniofficialtz6065 5 жыл бұрын
Majina haya ni ya watu wakubwa tunatengenezwa then tunakuwa na malengo ya kwenda kujitegemea na sikuendelea kulelewa NakubaliSana unachokiwazia brother @Harmonize
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 Жыл бұрын
Saf sana
@khalilfeisal8647
@khalilfeisal8647 5 жыл бұрын
" I don't wanna" io kizungu joo. C mumpatie likes
@thecourtcourt1753
@thecourtcourt1753 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eIOkc3eJhbaWmpY
@gene2037
@gene2037 3 жыл бұрын
Who told you that😁
@amiriomari9568
@amiriomari9568 5 жыл бұрын
Harmoniz saivi anakujavizuri mungu amjalie
@sammysammy2001
@sammysammy2001 4 жыл бұрын
Big up yeye pia anafurahia mwanao akingara
@Driuddagascows438
@Driuddagascows438 2 жыл бұрын
Harmonize ni tofauti na platnum😍
@zainahali1274
@zainahali1274 5 жыл бұрын
Kondeboy ndio kusema 😍😍😍
@janerupia4189
@janerupia4189 4 жыл бұрын
Harmonizer nimeipenda hyooo KATIBU family WCB
@leeiddykgg8504
@leeiddykgg8504 5 жыл бұрын
shukran kubwa sana kwa simba alie mpokea wcb .pia homo nakupa hongela sana kwa mziki wako mzl i love u
@iddyjm4830
@iddyjm4830 4 жыл бұрын
good san brother unajua kujielez
@husnahassan4771
@husnahassan4771 4 жыл бұрын
Aaliyah icho kingerez vepe😶😶 mbn unafoc
@HassanHassan-dk5db
@HassanHassan-dk5db 3 жыл бұрын
Much respect harmonize
@TeresiahWairimu-ir7rq
@TeresiahWairimu-ir7rq Жыл бұрын
am watching this 2o22
@bobanjuma66
@bobanjuma66 4 жыл бұрын
mungu mbele sisi nyuma....diamond lazma akubali...tizama fally kwa koffi olomide alafu utaona kama kila kitu kinawezekana
@khamysamursally5932
@khamysamursally5932 4 жыл бұрын
Mungu atawasimamia wala msikubali kuchonganishwa pia Mungu awape masikilizano Utulivu na mapenzi yake kama zamani hongera sana kwa Interview nzuri Sanaa sanaaa tena sanaaaaa 💪
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 5 жыл бұрын
Unafanya vizuri konde boy ila level ya simba ni nyengine🔥bado sana bro hao wachonganishi wasikujaze upepo ukajiona umefika!!!
@sospetersiame906
@sospetersiame906 5 жыл бұрын
Wengi wanaoshindana na mondi kwa kutaka kujiona wao bora wanaishia kuwa under ground kabisa na kupotea mm rich mavoko kashuka kabisa
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 5 жыл бұрын
@@sospetersiame906 kweli kabisa
@yusufrajabu8425
@yusufrajabu8425 5 жыл бұрын
Mtu anaejishusha skuzote kamwe eshima yake haiwezi telemka, kwamaana yeye anajua fika diamond ndio kamfikisha hapo sa hiweje alinganishwe nae,
@hamidaabdallah8146
@hamidaabdallah8146 4 жыл бұрын
Kond 😍umejibu vizuri lakini usivae hayo mahereni tuna kukubali unaweza
@alfamolide4124
@alfamolide4124 5 жыл бұрын
Harmonaz nakupenda sana sana
@ludwickernest3588
@ludwickernest3588 5 жыл бұрын
Huna pesa unyanyaswe, ukiwa nazo tena unyanyaswee mzee baba ringaaaa tena huringi kabisaaa daah!! Harmo ringaaaa ndiyo maana ya pesa, unazo usiringe afu masikini afanye nini
@ramadhanimadanga9932
@ramadhanimadanga9932 3 жыл бұрын
Shbk wa kingkiba
@Official_Dabby
@Official_Dabby 5 жыл бұрын
Harmonize utu tumaringo umeanza utashtuka Bratheee..Ongea lugha yako,Kizungu hauwezi my friend
@aminashabani4970
@aminashabani4970 5 жыл бұрын
😄😄😄😄😄mbn utuuu
@fuadaladawi1255
@fuadaladawi1255 2 ай бұрын
Hatmonize for ever
@sofiakomba3641
@sofiakomba3641 5 жыл бұрын
ongezeni ubunifu WA maswali mko wengi ila maswali yenu yamebezi kwenye Umbea sana, wat about mtaa? mnasaidiaje jamiii?
@babachibu5410
@babachibu5410 5 жыл бұрын
Niko pamoja na we
@catherineraphael1589
@catherineraphael1589 5 жыл бұрын
Unaakili sana
@mzeemohamed8065
@mzeemohamed8065 5 жыл бұрын
Akili nyingi yaan kelele tu
@marcsthinker3882
@marcsthinker3882 5 жыл бұрын
Ndio mambo wanayoyapenda watu
@dorrisatieno3346
@dorrisatieno3346 5 жыл бұрын
Hmz nataka niku one me niko. Kenya
@kingrasdee445
@kingrasdee445 2 жыл бұрын
Kwo unaona saaafiiii kushndan na boss wak alokufnya mpka leo unashndana.
@speedreacts01
@speedreacts01 3 жыл бұрын
Likes za 2021 ssaru to the world eastern Africa hip hop lady am targeting Cardy B
@clarafavor5974
@clarafavor5974 5 жыл бұрын
Safi Kaka kaza we unajua wasafi nzima ,,,,,wanasubili ...unajua sanaa
@afrobongobeats1686
@afrobongobeats1686 5 жыл бұрын
Mondi hakuna wakushindana nae tz labda kama ni njia ya support
@selemanimsahani3919
@selemanimsahani3919 4 жыл бұрын
Block 88.9 haiktakiwa ifutwe kamwe kipndi kilikuwa makini sana jonijooo alikua mwenye maswali ya busara kuliko wote inaniuma Kama muhuska ndo mimi
@juniorlute9520
@juniorlute9520 5 жыл бұрын
Harmonize accent achia Khaligraph bana penda kiswahili ndo kimekuweka ulipo sasa😎😎
@nasranoor8500
@nasranoor8500 5 жыл бұрын
uwe na shukuran kumbuka uriko toka wewe mmakonde !!!ro
@ndihokubwayohilali476
@ndihokubwayohilali476 3 жыл бұрын
Nakubali boss we nimwanaume
@florawilliam5785
@florawilliam5785 5 жыл бұрын
M Nakupenda ila hizo Helen znanikela usipovaa hutajulikana au vip
@hamisjawewa572
@hamisjawewa572 3 жыл бұрын
Dada una wv
@TanzaniOman
@TanzaniOman 4 жыл бұрын
Kiengereza kimetutawala kiswahili hakina uhuru 😅 jaman eee mnatubana san mlio fundishwa kiengereza mkiwa na madevu yenu
@vincentsunhotlangwe5138
@vincentsunhotlangwe5138 5 жыл бұрын
Harmonize big up saana nikwel ulifundishwa na mama ,
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
🦁🐘msigombanee nyie mme toka mbali
@dianasamson9311
@dianasamson9311 5 жыл бұрын
Napenda Sifa zako... maana ni Mwanamme. Kanyaga twende! Aliye na kesi nae basi dua zake za kuku hazikumpata mwewe... tulizeni tuone kazi... maneno ya nn jamani... Rizki mafungu saba Mungu ndie atoaye... refusheni midomo tukaneni .. na laana zenu... al and all it's about God and a person. Leave him alone. Mtajamba mishuzi bure maisha ya wengine yawatie roho ninyi... wengine kula yao kama mm... ila makelele mengiii! Fanyeni kazi. Nawakumbusheni tu kauli mbio... Hapa Kazi tu! Harmonize ..Diamond wanafanya kazi na wanalipa kodi ww je?
@abrahburaheze8879
@abrahburaheze8879 5 жыл бұрын
We unaenita mi paka mm paka kweli tena paka wa africa tukiachana ushabiki Baba na mama wamekuza wewe vibalehe vinakusumbuwa unataka uanze maisha yako wakati haujakoma subiri kitakacho kukuta sasa We nishabiki wa nje usie juwa mambo ya ndani utakalia kupiga bwabwa tu ila nilicgokisema ni icho mm nampa tu hu mwana mmoja hana jipya tena kitendo cha kutoka tu ktk rebo kimempunguzia takribani ya mashabiki bilioni mm niwakwanza na ninaona siku zinavyozidi kwenda anazidi kupotea hi nikwamba mziki wa tanzania nafasi yetu na umarufu huwa tumezowea kuwa kitu kimoja unapojitenga tu basi umekwisha sisi tunabebana kimaisha mfano mdogo tu kanumba na rey walikuwa masta wakubwa lakini rey alibebwa sana na kanumba vip kanumba alivyokufa rey akuwa na jipya tena na shabiki alipoteza.....
@marcelvanemar474
@marcelvanemar474 3 жыл бұрын
mimi namupeda sana harmonize nawibo ariyiba kwakifo kya magufuli a namupeda sana sana
@mudifataki9440
@mudifataki9440 5 жыл бұрын
mmmhhh hereni mtt w kiislamu mwz mtukufu wote huu
@sophiaomary8627
@sophiaomary8627 5 жыл бұрын
MUDI FATAKI dah unapotea kakangu Helen tena pesa mwana haram broo muogope mwenyenzi mungu
@HarunaFernando-hc4kd
@HarunaFernando-hc4kd 6 ай бұрын
like hapa kama unatazama 2024
@PatrickLeyolo
@PatrickLeyolo 6 ай бұрын
Yan harmonize hunakilikweryani watutulkupendea kwasabu yakunzulumiwa manyanyAso watutuka kusapoty umetubowasana mashabikiwako
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 5 жыл бұрын
Yani amefaa mpaka earring ya wanawake kidogo kidogo tena unasikia yeye muislamu Subhanallah
@kihangasper
@kihangasper 5 жыл бұрын
Damn.. block 89 toeni iyo signature mix killer...tumeichoka kwenye back sound...
@bettymgonja1081
@bettymgonja1081 5 жыл бұрын
Kihangasper
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 5 жыл бұрын
Harmonize unajua kujibu maswali. Nakutambua konde boy.
@jumamuhammad9807
@jumamuhammad9807 4 жыл бұрын
U know zimekuwa nyingi mpaka kero tunajua kama mnajua #kidhungu
@rhinaamiry8535
@rhinaamiry8535 5 жыл бұрын
Yani mtihani hamo kavaa mielen mwezi wote huu 😱
@roselineawinja6604
@roselineawinja6604 5 жыл бұрын
Hapa Leo napita, nikienda kupambana na hali yangu
@kayumbasosthenes3596
@kayumbasosthenes3596 5 жыл бұрын
nmeipenda wcb media kwer nyinyi mnafanya kaz hamna kubebana
@theshadow9169
@theshadow9169 5 жыл бұрын
Harmonize yuko karibu sana akumfikia simba....ii ni fact....
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 4 жыл бұрын
Ukiisikia hii interview bhna dara mambo ni meng sana
@franklinrobert7727
@franklinrobert7727 Жыл бұрын
If someone likes this I will come back and watch again
@SpikesTrendy
@SpikesTrendy 3 жыл бұрын
April 2021 wangapi tuko hapa
@youngtwite7580
@youngtwite7580 5 жыл бұрын
harmonize ndugu usilewe sifa ukaanza ndugu kama unataka kushindana na mondi utapotea kama upepo jini huyoo
@mzungualex3373
@mzungualex3373 5 жыл бұрын
Elewa alichoongea
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 5 жыл бұрын
young twite Kweli wallhi
@runnahcrazy2556
@runnahcrazy2556 5 жыл бұрын
nakubali mzee hahahhhaha
@maltinmchite8615
@maltinmchite8615 5 жыл бұрын
Mond hatar
@nadiaemanuel8132
@nadiaemanuel8132 5 жыл бұрын
young twite 😂😂😂😂
@andrewemalli5188
@andrewemalli5188 5 жыл бұрын
Ataisha huyu manake naona hana shukrani.
@nakyboyrealprinc8011
@nakyboyrealprinc8011 5 жыл бұрын
Kweri kabisa my blood acha wachonge wew ni mtoto wadiamondi wanao chonga acha wachonge ustoke wcb chama LA wana real Prince konde genge
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 5 жыл бұрын
Bishoo sana Mmakonde, body guards wa nini ndani ya FM station? Kuna wa kukukaba au kukudhuru humo ndani? Wapeleke wakamchunge Sarah asipakuliwe na Mwarabu Fighter
@ismailngwali4945
@ismailngwali4945 5 жыл бұрын
Kauli Mbiu Misifa 2
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 utajua je hela zipo
@KladesKladseee
@KladesKladseee 5 жыл бұрын
Kauli Mbiu 😂😂😂😂😂
@joxeesalifsalif4965
@joxeesalifsalif4965 5 жыл бұрын
Harmonize anasumbuliwa na tamaa
@daveinspirations6649
@daveinspirations6649 5 жыл бұрын
Umejua kidhungu mdogo wangu hongera
@sammyboy2485
@sammyboy2485 6 ай бұрын
Kwan mara ya kwanza kaka nimekuskia ukiongea maneno ambayo Yana uzito mkubwa na funzo kwa jamii nzima keep it up broo
@naifathassan2607
@naifathassan2607 4 жыл бұрын
Daaah kaka mnafiki huyooo
@majaliwapili2928
@majaliwapili2928 5 жыл бұрын
Wewe harmonize unaakili kweli umewajibu vizuri hawa wahuni
@ayoayoo1222
@ayoayoo1222 5 жыл бұрын
Ww leta maringo utoke WCB alafu tukupe miaka mitatu tu tukupige na chini na kama huamini muulize Q boy na mavoko skuizi twaona kama wanatupigia kelele tu ata wakitoa singo hatushtuki..
@alovijoseph.1872
@alovijoseph.1872 5 жыл бұрын
Nakubali hizi studio.
@josephtemba10520
@josephtemba10520 3 жыл бұрын
Hiii nimeielewa mkuuuu...
@hamzachipisya5235
@hamzachipisya5235 2 жыл бұрын
Mkumbushe harmonize interview hii
@shagoldtz8866
@shagoldtz8866 4 жыл бұрын
Kijana wng😍😍❤
@daudimasese3724
@daudimasese3724 5 жыл бұрын
hamonaizi is the second after diamond is the good challenge
@khamickagere6158
@khamickagere6158 3 жыл бұрын
Hamoniz kajibu poa sana
@rashidmagona2711
@rashidmagona2711 5 жыл бұрын
mtot wa kiume unavaaje hereni ndug yng! daah kwel kuna kiba mmoja2 dunian
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 5 жыл бұрын
rashid magona Au sio bwana jama ampotea
@mgolakatembo9380
@mgolakatembo9380 4 жыл бұрын
Hapo nimekuelewa sana hamonaiz usikubali kuchonganiswa na bosiwako ambae amekutambulisha kwetu sisi mashabiki wake paka tukakufaham nawewe tena bilakujali umetokawapi mwishowe tukakuelewa paka hapo ulipo sasa nikwaajili ya simbaaa ushauli tengeneza ngoma zako fungua uklasawako usifananishe kabisa nazasimba unatuboa sana
@tonyboy9513
@tonyboy9513 5 жыл бұрын
Harmonize yupo vzur
@unyangobabu979
@unyangobabu979 5 жыл бұрын
Aaaaaah noma xanaaa harmonize awez kufany chochot bil mond
@dianasamson9311
@dianasamson9311 5 жыл бұрын
Kwa sababu Mond ni Mungu... subiri uone.
@neemdamas5457
@neemdamas5457 4 жыл бұрын
Mkishakua mastar Basi vingereza vyaajabu
@zulachama1067
@zulachama1067 5 жыл бұрын
Tatizo mnatengeneza sifa hamtengenezi kumbukumbu,gari moja Tanzania nzima
@dalalimollelarusha7151
@dalalimollelarusha7151 5 жыл бұрын
ukiwa star bana shida tupu konde boy analazimisha kunywa majiii😂😂😂
@elpinarichard1884
@elpinarichard1884 5 жыл бұрын
Inanikera hili pozi la kunywa maji😂😂
@angelangel-wq4sx
@angelangel-wq4sx 5 жыл бұрын
We atcha tu analasimichwa
@ommytz5302
@ommytz5302 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@antonmwadilo7244
@antonmwadilo7244 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂imebidi nrudilie io video nione io mambo na maji
@tausak4568
@tausak4568 5 жыл бұрын
MOLLEL TV 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 Жыл бұрын
We mchawii harmonize
@dullahthebarber326
@dullahthebarber326 5 жыл бұрын
Kaka kondeboy uko juu kufikia Sasa ila mafuns wasikufanye mkadharau mentor wako diamond... Dumisha heshma kama kawa
@michaelniyonkuru534
@michaelniyonkuru534 3 жыл бұрын
Respect to harmonize
@salvinamahondo3210
@salvinamahondo3210 5 жыл бұрын
Umejb point San bro
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 88 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 24 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 343 М.
Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1
39:49
YahStoneTown
Рет қаралды 467 М.
DIAMOND PLATNUMZ: ATANGAZA NDOA, MCHUMBA?
39:40
LilOmmyTV
Рет қаралды 500 М.
DW SWAHILI HABARI KUBWA LEO JUMANNE ASUBUI TAR.22.10.2024
9:30
Bad ROBLOX PART 2☠️ ​⁠@Yafgame38
0:11
Kan Andrey
Рет қаралды 7 МЛН
ЭТО НЕ СОЛЬ! Разоблачение мифов
0:42
Никита Артамошкин PRO Трезвость
Рет қаралды 6 МЛН
# 👍
0:45
- 𝐒𝐚𝐢𝐐 _ 𝐈̇𝐬𝐌𝐚𝐢𝐋𝐨𝐕 -
Рет қаралды 9 МЛН
Bad ROBLOX PART 2☠️ ​⁠@Yafgame38
0:11
Kan Andrey
Рет қаралды 7 МЛН