Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1

  Рет қаралды 464,891

YahStoneTown

YahStoneTown

3 жыл бұрын

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪KZbin Link bit.ly/KZbinSalamaNa
Kutoka kwao Mbeya mpaka Dar es Salaam kwaajili ya kutafuta maisha bora na maendeleo kama wengi wetu ndo ilikua nia na madhumuni ya Raymond wa enzi hizo. Ingawa kuna kipindi ilifika alikua hataki kabisa kuskia habari za muziki, ila alipoambia kama kuna pesa ndani yake katika huo mchongo wa mashindano ambayo aliitiwa na akiangalia nyumbani moja haikai na mbili haijulikani ilipo akaona basi sawa, kwani nini? Na huo ndo ulikua mwanzo wa safari nzuri ya ki superstar ambayo anaishi nayo sasa.
Najua wengi wenu mlikua mnadhani labda yangezungumziwa madhila alokua nayo sasa ila kwa bahati mbaya (kwako) na nzuri kwetu, sisi tulizungumza naye kabla. So hii ilikua free na natural kama ambayo utaiona au kuiskiliza. Wengi wetu huwa tunapitia madhila na mitihani mingi tu kabla ya kujielewa na kusimama sawa sawa, na kupitia hayo ndo kujifunza na kuwa BORA kunatokea. Kuna msemo mmoja wa Kiswahili unaoenda kama, ‘asipo chafuka, atajifunzaje’, something like that.
Mimi Ray huyu nilianza kumsikia vizuri zaidi kutoka kwa AY ambaye ali spend naye muda mwingi hapa Bongo wakati wanafanya rekodi remix ya Zigo na nchini Afrika ya Kusini wakati Zee ameenda ku shoot video ya wimbo huo ambao Diamond Platnumz ndo ameshirikishwa, ila Vanny Boy alikuwepo all the way na mpaka kwenye video akatokea. AY aliniambia kuhusu ucheshi wake na uhodari wake, na uhodari huo ameuzungumza humu kwenye maongezi yetu mimi na yeye. Aliniambia jinsi ambavyo alikua akitumia kipaji chake enzi hizo kwa kuwaandikia wenzake wimbo mmoja na pengine mpaka album kwa shilingi ELFU THELATHINI TU.
Njia ambazo watu wengi wamepita haiwezi kuwa ndo njia ambayo kila mmoja wetu atapitia pia, ila kunaweza kuwa na mifanano ya hapa na pale, na hii ndo nia na madhumuni ya kipindi hiki. Tunataka wewe usikie na ujifunze ili ujue ‘unatokaje’ au watu walipenya vipi mpaka wakafika!
Sasa ni mmoja ya wasanii wakubwa tu hapa barani Afrika na duniani anafahamika. Bango la album yake linaning’inia kwenye mitaa ya Times Square huko NY City kwenye mji ambao raia wa nchi mbalimbali duniani wanaishi na kupitia. Sidhani kama wakati anahangaikia kufua nguo zake zilizomwagikiwa mafuta ya mawese wakati akiwa safarini kwenye lori kutoka Mbeya kuja Dar aliwahi kuwaza jambo kama hilo.
Mimi na yeye tulizungumzia pia mahusiano yake na wazazi wake, familia ya kufikia ya Baba yake ambaye aliachana na Mama yake na kuhamia na mtu mwengine si mbali na wao walipokua wanakaa. Tumeongelea mapenzi yake na muziki na kipaji chake cha uandishi. Tumeongelea jinsi ambavyo Madee alimpokea na Babu Tale ambavyo alikua na kama kusita hivi kwenye suala la yeye kusajiliwa WCB na mambo mengine mengi ya maisha. Yangu matumaini kama ilivyo ada, hapa utajifunza jambo pia.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 659
@mrishomasudi7103
@mrishomasudi7103 3 жыл бұрын
Kama unaangalia huku unasma coment naunainjoy kumsikiliza vavvy boy LIKE hapa
@jumongjr5837
@jumongjr5837 3 жыл бұрын
Tuliokuja apa kwaajili ya vann boy tujuaneeee 🖐🖐
@lizzjahsolja1240
@lizzjahsolja1240 3 жыл бұрын
Salama ni best interviewer so far,coz she is asking important stuffs from Artist sio umbea
@carolinemualuko5192
@carolinemualuko5192 3 жыл бұрын
Mimi sitaki kabisa muachane....nahisi kama mimi ndio nimeachwa...tumewazoeaaa rudianeni .....
@DRIPPINGPAIN
@DRIPPINGPAIN 3 жыл бұрын
TULIA WWWE
@DRIPPINGPAIN
@DRIPPINGPAIN 3 жыл бұрын
@@carolinemualuko5192 PUMBAVUU
@andrewndambuki2207
@andrewndambuki2207 3 жыл бұрын
Kila nkimwona Salama she reminds me of Angie Martinez, her interviews, knowledge ya music, laughter etc...
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 3 жыл бұрын
Dat 2rue 💪
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
Kuanzia leo naungana na hii chanel Kwasababu ya Ray vanny
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 3 жыл бұрын
Salaamaaa😭😭😭achaaaaaa Asikwambiee mtu, penye ugumu mkubwaa pana nguvu kubwa itokayo kwa mwenyez MUNGU
@magreth7981
@magreth7981 3 жыл бұрын
Nimeipendaa hiyo Oliver !🙉
@ireenramsey951
@ireenramsey951 3 жыл бұрын
Watu wa mbeya naombeni like zenu hapaaaa
@agent48classified40
@agent48classified40 3 жыл бұрын
Madee mtu mmoja freshi sana kumbe. Haongei haya mambo ila kumbe kambeba rayvanny na pia nilimsikia dogo janja alibebwa na madee. Bog up madee
@yusuphmakurunge2684
@yusuphmakurunge2684 3 жыл бұрын
Of&
@tmedia9226
@tmedia9226 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hYa3ZWx-drBnd6s
@mercynthemba59
@mercynthemba59 2 жыл бұрын
Vanny gave me the inspiration to keep going, I don't know why I'm crying though.....his story is one of the many of young artists out there
@mwanjekeyz8671
@mwanjekeyz8671 3 жыл бұрын
Daaaah naskia rah kupaskia home nzovwe kwa mbembelaa
@theresiamushi8006
@theresiamushi8006 3 жыл бұрын
Ila Rayvan unafaa kua comedian kiukwel😁😁
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 3 жыл бұрын
Honestly Rayvanny ana busara sana. Such a nice interview... Been his fan toka enzi za Collabo za Nzovwe na akina Stannah. Vanny💥
@ireenramsey951
@ireenramsey951 3 жыл бұрын
Ukinitajia nzovwe namiss home jaman
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
16:40 nime jua kwamba kumbe rayvani ame pitia shida nyingi ndomana akaimba wimbo wa KWETU daah ina sikitisha ila Mungu ni mwema ame kupa maisha mazuri kaka🙏🙏🙏
@cj_ixi6865
@cj_ixi6865 3 жыл бұрын
Nainjoy sana kumsikiliza vanny jamni
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
Sound from Africa album bola ya mwaka by Ray vanny
@salmaseneda5324
@salmaseneda5324 3 жыл бұрын
Vanny to the world ❤️😍smart artist with superb vocals
@MrMbwelwa
@MrMbwelwa 3 жыл бұрын
Walisubiri kusikia jina la paula gonga like hapa
@zenoswai2621
@zenoswai2621 3 жыл бұрын
Van umenichekesha apo kwenda kubonyea kimyakimya kwa mandogo ila saf
@duncanmercy9148
@duncanmercy9148 3 жыл бұрын
Jamaa mnoma sana Sema I really wanna see Frida amani kwahii meza if it possible
@isaacdendula9735
@isaacdendula9735 3 жыл бұрын
ile kichwa ingine naungana na wewe
@hillary792
@hillary792 3 жыл бұрын
This is beautiful interview they are free mtu anaweza kufunguka bila kujua
@johnjeremia879
@johnjeremia879 3 жыл бұрын
Nimeisubir kwa hamu sana hii, kama unamkubar vanny boy like
@manenomkugo6378
@manenomkugo6378 3 жыл бұрын
Kelele ya kwanza kwa vany kwa weeeeee
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 3 жыл бұрын
Nani alikuwa anatamani kuyaona aya maujiano kama mm😍😍😍
@shiru_choppa7654
@shiru_choppa7654 Жыл бұрын
🤣🤣sikujua vanny nimzuri hivi kwenye storytelling walai 😂😂 he can act comedy as well👌👌💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mashairiyamachinga2379
@mashairiyamachinga2379 3 жыл бұрын
Kama nisingekoment ningekuwa mchawi, V vanny boy unajua haipingiki. Mungu akuongoze kaka
@johnbernad6806
@johnbernad6806 3 жыл бұрын
Rudi kanisani umuimbie Bwana Mungu wa majeshi
@Mike-xt9sb
@Mike-xt9sb 3 жыл бұрын
Salam leta Diamond please kwa show
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
soon lazima
@allenshoo2346
@allenshoo2346 3 жыл бұрын
hawezi...interview za diamond huwa anazielekeza kwa radio yake tu,its business.
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
@@allenshoo2346 mawazo yako pia yanafaa kuheshimika
@hassaniphilipo6751
@hassaniphilipo6751 3 жыл бұрын
Pambana sana mueshim kilammoja alie kufika ulipo lakin usiache kumshukuru mungu
@bibiejumabibie8835
@bibiejumabibie8835 3 жыл бұрын
Jamani masikin anasambaza mwenyewe
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Yn vanny kila sehemu anakaa ht kwenye vichekesho atauwa
@arabgandaempire
@arabgandaempire 3 жыл бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@dafxclass
@dafxclass 3 жыл бұрын
Tujuane waliokua wanasubuki kipindi hiki na VanyBoy likes hapa nione.🙌👍🤘👌
@hellokittylover7641
@hellokittylover7641 3 жыл бұрын
Mimi apa kila dakika nilikua naingia kutizama
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣Mimi
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
Huu
@hoseamuwanji1894
@hoseamuwanji1894 3 жыл бұрын
San
@salminejuma5454
@salminejuma5454 3 жыл бұрын
Madee hongera kwako umeshiriki kwa kijana huyu kaka.
@playtvtanzania8468
@playtvtanzania8468 3 жыл бұрын
Yes good
@amraabdallah9446
@amraabdallah9446 3 жыл бұрын
Anaonekana yupo very friendly nimefurahi sana kuona interview yake thnx Salama ❤
@frankgerald9992
@frankgerald9992 3 жыл бұрын
Ninafuraha sana kuona mahojiano ya rayvann salama unajua sana na van nae anajua kiufupi interview ilikuwa poa
@Heal-with-Dodo
@Heal-with-Dodo 3 жыл бұрын
Jamani😂😂😂i love this guy...he is very real🤗🤗🤗
@ulricamakalla5565
@ulricamakalla5565 3 жыл бұрын
Nakupenda ad najionea huruma rayvany❤❤❤❤
@paulamasanjatv6195
@paulamasanjatv6195 3 жыл бұрын
Mi shabikinambamoja wchui nanyimbozakekamazote napendasana ryvany
@tmedia9226
@tmedia9226 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hYa3ZWx-drBnd6s
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 жыл бұрын
Humble artist ever, rayvany boy to the world, entertainment is only our take 👏👏🐆🐆🐆
@nevers7561
@nevers7561 3 жыл бұрын
Salama ongera kwa fikra ulonayo Mungu akujalieeee
@geraldfrank7641
@geraldfrank7641 3 жыл бұрын
Kama na wew umeona kimin na paja la salama gonga like hapa
@dkt.mohammedsaid8337
@dkt.mohammedsaid8337 3 жыл бұрын
Napenda sana kuona analetwa mkojani ( Abdallah mzindwa ) a.k.a kipupwe.
@kelvinphilbert6105
@kelvinphilbert6105 3 жыл бұрын
Kaka umenena
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 3 жыл бұрын
Staa mkubwa sana huyo
@Filopolazalo
@Filopolazalo 3 жыл бұрын
Haaapanaaa😂 mkojani
@saumrashid8086
@saumrashid8086 3 жыл бұрын
Na mm naunga mkono mkojan aletwe💟💟🙏
@kelvinphilbert6105
@kelvinphilbert6105 3 жыл бұрын
#fight for mkojani
@adrianohungu5160
@adrianohungu5160 3 жыл бұрын
KK napafahamu nimesoma Rungwe high school, Safi sana
@mwakipundahenry5235
@mwakipundahenry5235 3 жыл бұрын
Mwaka gani mkuu? Mi pia nimesoma Rungwe high school
@asueddy1465
@asueddy1465 3 жыл бұрын
Nyie Rungwe mlikuwa wakorofi sana
@mejuomar4397
@mejuomar4397 3 жыл бұрын
My best artist ever Big up v vany boy Mob love from Qatar
@omikiss1868
@omikiss1868 3 жыл бұрын
👍🇹🇿🇴🇲
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 3 жыл бұрын
Wangapi tulimsubir vany kwa hamu
@ireenmichael131
@ireenmichael131 3 жыл бұрын
Nakuelewa Sana Kaka vany boy asanteee umetupaisha Wana tukuyu na mby kwa ujumla msalimie nay
@mohamedomary6883
@mohamedomary6883 3 жыл бұрын
Salama ure very beautifull, love you
@djfiremoto3429
@djfiremoto3429 3 жыл бұрын
Wa Kwanza Kuangalia😂🙌
@Paplick9
@Paplick9 3 жыл бұрын
Leo wa kwanza mimi dondosha like apa
@sosydee3767
@sosydee3767 3 жыл бұрын
Paplic music
@Paplick9
@Paplick9 3 жыл бұрын
@@sosydee3767 Sosy Gang
@monicakayombo4770
@monicakayombo4770 3 жыл бұрын
Vanny angetengeneza ka movie ka story yake....its amaizing
@Iamraychris
@Iamraychris 3 жыл бұрын
Damn bro, u just give me the reason to keep doin what I’m doing , thx 🙏🏾 salama for the interview
@amislam2050
@amislam2050 3 жыл бұрын
so fine Ray vany😂😂😂Nimeceka mwanzo mwishi
@nururamadhan8938
@nururamadhan8938 3 жыл бұрын
Daddy akeeeeeee aweweeeeee
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Hahaha Vanny umeniacha hoi hapo kwny itakuwa ngumu kuwasilisha mkuu🤣🤣🤣🤣
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
😃😃😃😃kanichekesha
@r.kassimtoutautre3432
@r.kassimtoutautre3432 3 жыл бұрын
Nakubali sana 🇧🇮Who lives 🇹🇷
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Rayvanny free of makeup🤗
@brayanoscar6617
@brayanoscar6617 3 жыл бұрын
hiyo itakuwa ngum kuwasilisha mkuu
@mwanaidisaid7457
@mwanaidisaid7457 3 жыл бұрын
Vanny boy namkubali sanaaaa msanii wangu naemkubliii kinomaaa
@furahajacob506
@furahajacob506 2 жыл бұрын
Home boy Ulwalabwe hatari sana mwaisa
@joycegacheri5177
@joycegacheri5177 3 жыл бұрын
Watu tumekusanyika hapa ukona kama Rayvanny yuko 😃😃
@vanessajames2192
@vanessajames2192 3 жыл бұрын
Mamaake Van boy kiboko🙌🙌
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 3 жыл бұрын
SALAMA YOUR THE BEST LOVE YOU
@jameel__rhymes3479
@jameel__rhymes3479 3 жыл бұрын
Its a great learning.... a wonderful change from a zero to a hero.... big up bro♠
@mbembelatv
@mbembelatv 3 жыл бұрын
Zahanati y ilalabwe ndipo marehem mzee wng Mbembela alikua alihudumu km daktari hd umauti unampata 😥
@oscaremanuel664
@oscaremanuel664 3 жыл бұрын
Hiii mmekaa nayo sana tulikuwa tunaisubiriii sanaaaa
@geoffreybasesa2015
@geoffreybasesa2015 Жыл бұрын
So funny this guy😁 "If u can't beat them, join them"
@nibagwireesther4579
@nibagwireesther4579 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 3 жыл бұрын
Am muna from TZ BABA DOGO LAO FUNGUKA MY BRO WAACHE VIHERE HERE 🤩🔥WCB RAVANNY👈
@Fghhjjjjksdzzhhjjkkzt
@Fghhjjjjksdzzhhjjkkzt 3 жыл бұрын
Wangapi tulikwa na subiria kusikia vya zaidi kutoka vanny boy?
@img-foundation
@img-foundation 3 жыл бұрын
Wengi tu
@iptysammasood6337
@iptysammasood6337 3 жыл бұрын
@@img-foundation mhhhhh ww mbea😂😂
@img-foundation
@img-foundation 3 жыл бұрын
@@iptysammasood6337 kwa nn
@evatadeo4610
@evatadeo4610 3 жыл бұрын
Jhgi
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Mm nampenda sn vanny yn yupo muelevu mno
@hassaniphilipo6751
@hassaniphilipo6751 3 жыл бұрын
Kila mmoja ana history yake yamaisha alipo pita mpaka alipo nahuwa zote zina sisimua sana ongera van boy
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 3 жыл бұрын
Nimezid kukupenda pale ulipotufanya sie tulio single kwenye valentine tuka enjoy San na siku kuwa fupi love you Daddy😀
@shalonbufabusha4535
@shalonbufabusha4535 3 жыл бұрын
Daddy gani tena jamani
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 3 жыл бұрын
@@shalonbufabusha4535 😂😂😂
@replaymoulla6470
@replaymoulla6470 3 жыл бұрын
Lov uu dadddyyy😂😂 27:55 hapo hapo
@Jackiedaniel75
@Jackiedaniel75 3 жыл бұрын
Asanteeee
@fatimaabdullah6888
@fatimaabdullah6888 3 жыл бұрын
Thank you
@shanishosho911
@shanishosho911 3 жыл бұрын
😘😘
@balegadaffi4472
@balegadaffi4472 3 жыл бұрын
Baba Paula you can heard that natokea Malawi nampenda sana Raymond 🙏
@dazawadi1896
@dazawadi1896 3 жыл бұрын
Wawooo
@devidone9022
@devidone9022 3 жыл бұрын
Iwe wavuta
@scottishmalone1331
@scottishmalone1331 3 жыл бұрын
Hahah mtoto wa Migo Migo we🤣🤣🤣hahaha
@benardmurage5125
@benardmurage5125 3 жыл бұрын
Wakenya pia tuko......tunaishi humu
@godfreyeliabu2582
@godfreyeliabu2582 3 жыл бұрын
Kati ya intervew nili kuwa natani ni hii ya vanyboy dah kari sana
@Belalargib
@Belalargib 3 жыл бұрын
If you can't beat them join them 😂😂🙌🏽
@goldenhubylove
@goldenhubylove 3 жыл бұрын
Ulivyomwambia ray chakula anachokula kinaitwaje nimekipenda kidogo nikwambie salama rudia.. Kwa ufup enterview kaliii
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 жыл бұрын
Nakupenda sana salama pia na Revn
@vanessajames2192
@vanessajames2192 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie kwakweli
@carolcutymedia2658
@carolcutymedia2658 3 жыл бұрын
Nimejifunza kua bila ata vany kuwa pahali ako sai na hizo talent zote bado angekua famous tu,
@ramahassan9171
@ramahassan9171 3 жыл бұрын
Ametoa nyimbo ngapi hakuna hata moja imesikika paka alipo simamia wimbo wa kwetu na laizer ww fikiria MTU anauza wimbo elfu 30 ya tanzania
@carolcutymedia2658
@carolcutymedia2658 3 жыл бұрын
@@ramahassan9171 am saying he is talented hatakam aliuza I don't know,the talents he mentioned cud have made him famous
@djrautz733
@djrautz733 3 жыл бұрын
Hii nikiisubili sana
@mwajabumalekela5563
@mwajabumalekela5563 Жыл бұрын
Aiseeeee!¡ Raha sana. Kila la kheri Vanny. Mungu aendelee kukutumia vyema #salama
@hasheemrashid4412
@hasheemrashid4412 3 жыл бұрын
Best Tanzanian artist at the moment
@Ashley_family123
@Ashley_family123 3 жыл бұрын
😯🙈🙈🙈🙈🙈
@allymalenga9598
@allymalenga9598 3 жыл бұрын
Eti best Tanzanian artist😁
@boxpoacher1072
@boxpoacher1072 3 жыл бұрын
Very true, his album is way hot
@junior-zj6bs
@junior-zj6bs 3 жыл бұрын
Namba zake zntisha kakaa🔥🔥🔥
@stanzaafrika5206
@stanzaafrika5206 3 жыл бұрын
Very interesting interview, from Rwanda nimeipenda sana hii!!!
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 жыл бұрын
Salama umekua mpole sana Na umekua mkubwa saiv
@isunaslabs4733
@isunaslabs4733 3 жыл бұрын
Jessica ni waitress maarufu Tanzania nzima 😂. Inabidi siku naye apate interview hapo aisee. 😂😂
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa interview inamuhusu
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 3 жыл бұрын
Kweli asee
@Dapeopletz7
@Dapeopletz7 3 жыл бұрын
Point kubwa sana
@jescanyanguva9165
@jescanyanguva9165 3 жыл бұрын
Wewe
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 3 жыл бұрын
na ana mashabiki wengi kinoma😂😂
@geniousjustin3274
@geniousjustin3274 3 жыл бұрын
Vanny boy boy frani namuelewa Sana sometime hutakiwi kuwa msaliti ili utoboe
@jumandabirorere3737
@jumandabirorere3737 3 жыл бұрын
kubali sana Chui
@jujadiva2394
@jujadiva2394 3 жыл бұрын
Ohh My goodness I Love that song..KWETU..
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
Ewaaaa 😀😀😀kwa sauti ya koffi
@neemamagige7668
@neemamagige7668 3 жыл бұрын
U so amazing nmeenjoy show mwanzo mwisho keep it up vanny kinyago cha mbeya salama love u nataman niwe kama u cku moja napenda vpindi vyako vyote unavyofanyaga toka mkasi u are amazing ma
@nevers7561
@nevers7561 3 жыл бұрын
Uzidi kututaftiya na wengine kwakweli interview ya pacha langu Rayvanny nime enjoy
@mwanaidisaid7457
@mwanaidisaid7457 3 жыл бұрын
Vanny boy namkubli sanaaa msaniii wang naemkunlii
@bongomistari305
@bongomistari305 3 жыл бұрын
Nimecheki interview nyingi sana..... But this is my favourite 🔥🔥🤝
@youngbilioners4631
@youngbilioners4631 3 жыл бұрын
Bhujah kwa kyala mdogo wangu
@Funny-rl9lf
@Funny-rl9lf 3 жыл бұрын
Let go
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Uko na mtu gani sasa hivi?😂😂😂😂itakuwa ngumu kuwasilisha hilo mkuu😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka mimi jamani.
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
Hunizidi😄😄😄😄 nimecheka kufa mtu😂😂😂
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@danmutoka1193
@danmutoka1193 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kibwanasuleiman6158
@kibwanasuleiman6158 3 жыл бұрын
Salma nkupenda buree
@zailulu7781
@zailulu7781 3 жыл бұрын
V vany boy niowe mke Wa 2
@selemanichiga5828
@selemanichiga5828 3 жыл бұрын
Uwe wa Kwanza kwangu Ila Sio tajiri
@elishakalengo6368
@elishakalengo6368 3 жыл бұрын
Hii ndio tulikaaa kuisubili
Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 2
16:12
YahStoneTown
Рет қаралды 218 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 35 МЛН
Mkasi - SO6E01 with Kajala (Msimu Mpya)
28:59
MkasiTV
Рет қаралды 161 М.
SNAKE BOY | ep 28 | SEASON TWO
40:50
CLAM VEVO
Рет қаралды 310 М.
BEHIND The GRAM (MOM & DAUGHTER) Ep 1| kajala amlilia paula kuhusu Harmonize|
3:51
Feysal Daudi Films. 457k views.5hrs
Рет қаралды 9 М.
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
MSASA PODCAST
Рет қаралды 59 М.
BOFLO STAR SEARCH | MBEYA & IRINGA - USWEGE & ELIUD
34:34
Uswege Murderer
Рет қаралды 131 М.
Тигра в команде Вафельки! А ты? 🐯#симбочка #тигра #симба
0:42
Mafia Boy Gets Revenge 🖤
0:38
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 24 МЛН
Они поймали того , кто уничтожал их дома
0:40
DO YOU HAVE PARENTS LIKE THIS?
0:19
dednahype
Рет қаралды 32 МЛН