Mungu nakuomba kutoka moyon isiwe kweli wallah hamo utakua umenipoteza shabiki wako nomb1 kabitha huenda hjonagi umuhim wa sisi mashabiki zako ila hakiamungu naomba isiwe kweli
@صالحالصوافي-غ5وАй бұрын
Nawaza maraika ataiweka wapi sura yake 😂😂😂😂
@HalimaKassim-yz3weАй бұрын
Yaan hom katika vitu umenitoa relini ni kua nahuyo bibi daaaa kutoka moyoni nampenda hom lakini sasa amsha nishush huyo bibi wa nn mwanamke gani huyo sijawahi kumiona sem watu wakamsifia daaa😢😢😢😢😢😢😢 kiukwli kabitha kama nikweli sitakufwatilia tena mpaka siku ukiachana na hillo li bibi au 💔💔💔💔🥹🥹🥹🕊🕊🥀🥀🥀🕊🕊
@joesplatnumzАй бұрын
Harmonize alipiza kisasi kwa kauli ya malaika kusema kua konde kwake ni uchafu 😂😂😂ule msemo wa usimtukane mamba kabla hujavuka mto ndo haya sasa
@samsonpaultzАй бұрын
Fanya na we uwe herm ungemkataa malaika na huo muonekano wake acha konde afraid
@vusumuzi_mathumoАй бұрын
Harmonize amegonga madem wote tanzania 🇹🇿 😊
@rehemayona2223Ай бұрын
Harmonize mlaa macombo
@issazalala4907Ай бұрын
Kwani wewe uyo ulienae ndio mtu wako wa kwanza ama😂
@riosingingandmore8224Ай бұрын
Safi sana @@issazalala4907 mwambie akisikilize wimbo wa penzi siti ya basi ukisha shuka anakaa mwingine mbona hamwambii whozu anakula makombo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rehemayona2223Ай бұрын
@@issazalala4907 😏😏
@btylove1870Ай бұрын
Kupenda makalio makubwa nako ni addiction! Harmonize ni teja wa makalio makubwa.
@BlackKing89-l1uАй бұрын
Hawa mastaa wanavyobadilishana wenyewe kwa wenyewe..kha!!! Si ukimwi uingie tuu tutengeneze mastaa wapya.