Muandishi umeniangusha ktk mahojiano yako, umeacha gaps nyingi sana za msingi 1. Ilipaswa umuulize Lugumi ilikuwaje mpaka nyumba zake zikapigwa mnada enzi za JPM 2. Ungehoji kwa kina urafiki/kujuana kati ya Lugumi na Kikwete kulimpelekea vp yeye Lugumi kuwa tajiri 3. Lugumi anajishugulisha na biashara gani au kampuni zake zinahusika na biashara gani. 4. Aliposema hana marafiki, basi muandishi ungehoji kwa kina kwann anasema marafk ni wanafiki 5. Kwann katika maombezi yake juu ya viongozi Marehemu kamuweka Hayati AH Mwinyi tu na sio JPM wala BWM 6. Ungehoji kuhusu alivyoanza biashara zake mpaka kufikia yeye kuwa tajiri Kwa kifupi ndugu muandishi hukujipanga vizuri na maswali yako, ni kama hukuwa na appointment ya interview na huyu Lugumi Kwa interview ilivyo chini ya kiwango kama hii tena dhidi ya mtu mashuhuri kama Lugumi, nawapa lawama crew nzima ya Ayo media kuruhusu huu uchafu kuwekwa humu. Ikiwapendeza basi nakushauri ndugu yangu Millard Ayo nenda Kairudie interview tena na Lugumi
@nikrahayubu-sz3pw2 ай бұрын
Hana akili
@aminiismail33712 ай бұрын
Kabisa. Hakuna muulizaji hapa. Mm nilikua na hamu ya kumjua lugumi ila bado sana
@mubaraqotyeno90612 ай бұрын
Muandish kafel pa kubwa sana kutupa faida
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur2 ай бұрын
Kweli kabisa muandiishi inaonekana alienda kuuza sura
@nasriabdi90462 ай бұрын
kweli kabisa amefeli sana maana hatujalidhika kabisa, waandishi wasio na vyeti ndio hao
@Juliusmganga47342 ай бұрын
Huyu Bwana anaonekana ana roho nzuri sana. Tabia aliyonayo ndio ambayo Mungu anaitegemea kila mmoja wetu awe nayo. Mungu akubariki bwana Lugumi.
@nakundwamkubwe78232 ай бұрын
Swadakta Rizki mtoaji ni Mwenyezi Mungu. Namuomba Allah aendelee kukubariki ktk maisha yako.
@luckyluchano12 ай бұрын
"Sina rafiki,ni wanafiki tu...rafiki yangu mama yangu amefariki sina rafiki mwengine" nimependa sana swala hilo,hili ni somo kubwa sana kwenye safari hii ya maisha😊
@NdizeyeEric-wx4fe2 ай бұрын
Lugumi ..mungu agusaindie ..upate zaindi ...usiwuje nyumba yako Amen
@dotnatajoseph26202 күн бұрын
Mahojiano kama haya makubwa inabidi wasifanye hawa wanafunzi ilibid afanye mirad mwenyewe huyu baba anaroho nzur sana mwenyz mungu amuhifadhi kwa jiri ya wanyonge INSHALLAH 🙏
@rahmahussein-m9o2 ай бұрын
huyu baba ana maneno ya hekma sana mungu azidi kumuweka...hii interview km hujatulia huelew ana points nyingi za kujifunza kwa sisi vijana watafutaji....na anaishi maisha ya kuigwa hajajigamba km anauwezo wa mal nk..yupo kawaida sana hakika nimejifunza kitu🎉❤
@AndrewShiratu2 ай бұрын
Said hapo uko sawa kabisa.watu wengi wanazarau kwenye juhudi za mtu.
@AmaniManase-x1i2 ай бұрын
Hii point ya usidhulumu mtu akienda kuongea na Mungu wake utapata shida sana
@hanifa91532 ай бұрын
Tanzania hii tu kmbe kna watu wana roho nzuri ivi Allah akuzidishie kwaajili ya watoto yatima baba etu🎉❤❤❤
@msambalamjukuu38662 ай бұрын
Hii dunia Kuna Siri kubwa sana
@ole_larusai5872 ай бұрын
Jidanganye! Watu wantimiza masharti ya utajiri wao.
@hanifa91532 ай бұрын
@ole_larusai587 leta ushahidi hapa hatutaki maneno ata kwenye kanga yapo😂😂 wakristu mna wivu sana mkickia kitu kizuri kwa waislam
@mwanaikaomar86282 ай бұрын
Kabisa@@hanifa9153
@IddiAllykh2 ай бұрын
Mashaa allah mungu aziku kukupa riski ya kuishi katika haya maisha uzidi kuwasaidia hao watoto
@ShoppingMall-eo1vt2 ай бұрын
Masha Allah
@AlliMohamed-q2y2 ай бұрын
Daah interview inatia huruma sana😢 safi sana boss lugumi
@BakariAbasi-h8c2 ай бұрын
Kila muda anatamka kumtaja Mungu sihaba baraka umepata muda ukautumia kwa ajili ya mola wako hongera sana kaka
@KhadijaMikidadi-j6pАй бұрын
mashaallah mung akulipe na uendelee na moyo wako hivy hivy❤❤❤❤
@EnthusiasticFencers-rg2td2 ай бұрын
Mungu akuzidishie mkubwa wangu maisha uliyoyachagua niyakimungu mnoo
@issaissa98732 ай бұрын
Mashallah akuzidishie na akufungulie milango ya barka duniani na akhera
@disanatv44852 ай бұрын
Kama unahitaji Milard hayo afanye na LUGUMI interview yake tujifunze sisi, akiwa amekaa naye kabisa gonga like apa zifike 500.#Milard Ayo.#LUGUMI.
@Mina.152 ай бұрын
Good luck 😂
@godsonrwamugata36462 ай бұрын
Mtu mzuri sana Bwana Said Lugumi. Niliwahi ishi nae Kasulu, tumekutana Morogoro. Respect kaka Lugumi.
@mejaopang2 ай бұрын
zungumza na moyo wako tu sio kuusifu moyo wa mtu mwingine mioyo ya wanadamu anaijua ni mwenyezi mungu tu,hao watu wameiba sana utawala uliopita wameuwa mnoo xav wanafanya kuludisha kwa mungu
@hajikatanje59612 ай бұрын
Boss upo Allah Aendelee kukupa riziki na salama ktk umri wako
@SuleimanMuhammed-g7q2 ай бұрын
Mashaallah natoka na machoz wallah maan huyu mzee ananigusa mno anajua Mali sio yake yake ni ile anayoitoa,yarab nipe uwezo nifate nyayo za huyu mzee,Allah akupe umri mrefu akuondoshee husda maradhi amiin
@AlexAbraham-o2t22 күн бұрын
Daaah nimekupenda sana we Mzee hakika kama.unachokifanya ni halali hakika MUNGU akuzidishie mara mia
@fatimarizvan31192 ай бұрын
Mashaallah mungu akuzidishiye boss na Asante kwa maneno mazuri 🙏
@eliamtani28402 ай бұрын
Mwandishi wa Habari, huyu jamaa huwa anazingua sanaaa kwenye interviews zake nyingi tu. Kazingua sana kwenye kuuliza maswali, hakamilishi swali, hajapangilia maswali yani anauliza hili baadala ya kuendeleza swali la miongeza yeye analeta swali lingine tofauti na la kwanza. Inshort Millard kwa huyu jamaa kafeli pakubwaa. bora vido vidox angeenda bhana.
@barbarasara40332 ай бұрын
NDO HUYU ALIYEWAULIZA WATU KWENYE SHIMO KARIAKOO K😂😂😂😂😂
@MichaelLeonard-y6sАй бұрын
Mashallh , big boss lugumi Allh akuzidishiye
@40kstore2 ай бұрын
Huyu kweli kaishia la 7,hana inspiration yoyote,connection na mkuu imemesaidia
@ChoroTesla2 ай бұрын
Yuko smart sio mtu talkative sana mtu cool sana afu hana mapepe hata JPM alimuandama yote alikua anataka kumfilisi huyu mwamba ila akakaa stable the niqqa is gone na jamaa anaendelea kupambana JPM aliandamwa na vyawa wambea wambea
@Mwakaismsociety2 ай бұрын
Napenda alivyo humble,anajiamini afu yupo so serious=thats success
@Dr_MoMD2 ай бұрын
Allah akujaalie... Mtu muungwana sana 🙏
@jeremiahcharles60272 ай бұрын
Connection ni muhim kwenye haya maisha ya bongo,,,,,,,,,,
@ChoroTesla2 ай бұрын
Kokote duniani
@mohamedothman57922 ай бұрын
Hakika
@faustinombilinyi98092 ай бұрын
Mungu akuzidishie sn kaka akubariki sn katika hili umenikosha sn kaka wapende Hawa malaika kaka nashukuru MUNGU nimewahi pata taarifa zako kaka huna Hila hata kidogo ukiwaona vijana wamekaa unawajali sn.. hongera sn
@AllyAmir-e9c2 ай бұрын
Wale ni watoto sio malaika malaika hawaonekani kwa macho yetu haya ya kulia Ugali na Wala hawabadiliki Kwahiyo watoto tuwaite watoto tunapata dhambi ya bure kuwaita watoto malaika. Sisi wenyewe watu wazima tulikuwa watoto yaani malaika .Je,bado tu malaika ?
@JemaMhagama-oz6me2 ай бұрын
Kwa sababu upo na watoto yatima MUNGU azidi kukuongezea Mr rugumi
@HasaniShahidiАй бұрын
Mwenyez mungu akujalie mwisho mwema inshallah
@KidiOne2 ай бұрын
Ngosha, salamu kutoka Mwanza wilaya ya kwimba. Amani iwe nawe🙏
@faithjonathan38452 ай бұрын
Ana akili sana na hela zake ni za kutafuta kwa haki na hajikwazi. Wangekuwa hawa vijana wanaotapeli na kupata hela ghafla utashangaa atakavoropoka hapa. Jamaa smart na very straight
@fidelMlonsi2 ай бұрын
Sina RAFIKI 🎉 mhimu sanaa❤
@brownngullo40512 ай бұрын
Ukitaka kutoboa jitahidi sana kuwa jasiri na mwenye uthubutu. Watu ambao elimu zao ni darasa la 7 wana nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasomi.. Wasomi wengi ni waoga wa maisha
@tatually13662 ай бұрын
Mashallah mwenyezi mungu akulinde akupe Nuru moyo na njemaa amina
@SalimSalimu-z5c2 ай бұрын
Tajiri Lugumi Mungu Akupe Maisha careful Tupo Kongo hatuna njia ya kuja tz
@ovicsmnene48112 ай бұрын
Mungu akubariki Saidi Lugumi follow from Dubai mimi pia Said
@juliasbeda2894Ай бұрын
Mpaka machozi yananitoka nimekuelewa sana mkuu . Mungu akutunze baba
@AllyHamran2 ай бұрын
Allah akuhifadhi Lugumi.
@cullenlembris26862 ай бұрын
Lugumi seems yupo interested na interview sema mwandisi ndo yupo hovyo sna .hajui kuuliza maswali dadekk..hovyo kweli .
@JoseHaule-tx7lu2 ай бұрын
Huyu mzee yupo vinzuri sana Mungu amubariki sana
@ellsonmkonyi13192 ай бұрын
Safi mkuuu unachokifanya n kitu kizuri na ni watu wachache wanaoweza kufanya kama ww
@ZainabOmar-z5wАй бұрын
Mashallah uwe NA MOYO huwo huwo wakusaidia wasio jiweza
@kelvinlimbe12632 ай бұрын
Kaka mungu akubariki sana.najifunza vitu vingi sana. kutoka kwako
@innocentnziku19142 ай бұрын
Muandishi huyu mnamuelewa kweli???? Daaah amezingua sana
@saidilome-ue2df2 ай бұрын
Imam natamani nimsikilize na kumuangalia wakati woote.Allah amuhifadh sn na amjaalie afe ni muislam wa kweli
@richnuch18732 ай бұрын
interview mbaya sana mtangazaji umeacha kuuliza maswali ya msingi
@zoladking2 ай бұрын
pure soul salute big lugumi
@johnmussa54892 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie zaid mzee
@sullekasaleh231526 күн бұрын
Safi sana ni mekuelewa brother kwailo
@happyodran4347Ай бұрын
Nimekupenda bure , Mungu akuweke daima
@RobertMachenga-tz3re2 ай бұрын
Mimi nilikutana na Lugumi said Airport Dar akasema hivi bwana Machenga umefika lini hapa Dar? nikasema nilifika jana akasema sasa nisubirie hapa nakuja akaingia ndani ya uwanja wa ndege nilikaa toka saa4 asubuhi mpaka saa 8 mchana ndiyo akatoka alichokifanya kwangu siwezi kukisahau alinipa hela ambayo sijamuomba na ilinisaidia kiasi kwamba nikajua kweli wapo watu ambao mungu kawajalia moyo safi na mpaka leo hii niko Mwanza Aspen Hotel nafanya kazi nikisikia Lugumi kafungua Hotel pamoja na uzee wangu huu nitamfuata nokafanye kazi kwake. Ambao hawamjui Lugumi basi tuishie tu hapo kwamba Lugumi ni mzuri basi.
@hassanimam24542 ай бұрын
Alaah akujaalie Mr Lugumi.
@Elisha-b8wАй бұрын
Mungu azidi kukuinua baba na upate zaid
@Roll_Julaizer2 ай бұрын
Nimependa sana mungu hakuzidishie❤
@deokessy65962 ай бұрын
Huyu mtu ni mwema sana....na Mungu atakuzidishia
@HakizimanaFiston2 ай бұрын
Yes kabisa mungu Akuzudishiye
@JaneJohn-zp6rg2 ай бұрын
Kuhusu mama Samia Raisi wangu umeongea ukweli kabisa M/Mungu amlinde 2025 mama Hana mpinzani ... inshallah.
@faudhiasalum72792 ай бұрын
Hongera sana na pole 😢kwa Rafik ako kufariki😢😢.
@Jjbfm2 ай бұрын
Mtu mzuri Sana Allah akulinde ❤❤❤❤
@NeemaGumbo-k5n2 ай бұрын
Mungu akujaze mzeee usipungukiwe hata yone
@dameboyboy206810 күн бұрын
Dah mungu akubarki sana mzee
@saidybhoky-lb7hg2 ай бұрын
mashallah kaka mungu akuongezee neema kubwa kuliko hy
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm2 ай бұрын
Mahojiano bora mafupi kuwahi kuyaona duniani😊😊😊😅😅😅
Apo kwenye kudhulum kwanza jaman watu tunaumizwa sana😢😢😢 inshaallah mwenyezi mungu atalipa kwa yote
@billaljuma62972 ай бұрын
❤❤Allah Akuhifidhi Lugumi
@joachimgolola622 ай бұрын
Kawa mutu wa watu Mungu,akuzidishie kumbuka na nyumbani.
@philemonmagesa55482 ай бұрын
Yani mpaka Lugumi, chiefgodlove ni rafiki yake ila hajui biashara anayoifanya hiyo kali sana
@MsobweMsobwe2 ай бұрын
Marafiki wabaya kwenye utaftaji Hilo ni kweli
@hamzakimaro37642 ай бұрын
ukisikia watu wanamsema vibaya mama samia raisi wetu mpendwa,fahamu kwamba ni ktk wale watu wenye roho mbaya!!wenye. mioyo ya korosho!! Allah amhifadhi mama SAMIA!!!
@hamisimuhunzi79162 ай бұрын
mwenye roho mbaya ni yule ambae serikali yake inateka na kuua watu wasio hatia au wale wanaokemea uovu?
@RajabuKitalambo-q2u2 ай бұрын
Watu wengi wanakiu ya kumsikia lugumi akitoa madini kulingana na elimu yake lakini Muandishi aukujipanga kwa maswali mantiki ili mzee lugumi atupe madini ya utafutaji Maswali yako ayajajenga hoja ya msingi kwa umma
@MwanakomboNassor-bw3by2 ай бұрын
MashAllah hongera sana
@rizikimtui89922 ай бұрын
Aliiba vizuri sana
@OdangaIsaiah-rh3cmАй бұрын
Tanzania you are lucky people U can pray for Ur leaders.
@giztony20092 ай бұрын
Huyu jamaa maneno yke nayatumiaga kama faraja nikiwa namawazo!
@TitoRufizi-xb2ub2 ай бұрын
Endelea kufanya hivyo Mungu akupe afya njema
@user-to6up4hg2w2 ай бұрын
Masha Allah ❤ may Allah protect you
@erdekingtv95632 ай бұрын
Mwandishi hujatupitisha kwenye masuala muhimu mfn historia yake, amefikaje hapo alipo n.k hii interview ingekuwa kubwa sana kama ingegusa maeneo muhimu
@JOSEPHPETERMACHOTA2 ай бұрын
Nimemaliza bando langu kuangalia huu upumbavu crew nzima mnatiwa na huyo lugumi hamna weledi na kazi yenu
@davidkihiga35312 ай бұрын
Kama kuna mtu ana moyo wa kweli ni huyu Bwana. Amesema hata nyumba itauzwa kwa ajili ya kulea watoto hao
@faridhassan68342 ай бұрын
Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu long time Nyamagana Ziwa,kumbe ndio lugumi Duu dunia hii wacha
@faustinedeogratias43372 ай бұрын
Alkua anajihusisha na nin kpindi icho
@PinsonMuhoza2 ай бұрын
Dah! Uyu ni mtu wa kipekee sana
@BakariMalembeka2 ай бұрын
Bradha we huwa unafact za kichamugu Sana
@MsobweMsobwe2 ай бұрын
Kweli dhuluma ni mbaya Kweli lugumi anajua
@frankmushi87362 ай бұрын
Ogopa sana watu kama hawaa ni waongooo hatariii kauli ya nitauza nyumba imeniuzunisha sanaa
@LovelyMountainLandscape-dd4xe2 ай бұрын
Safi lugum ishi miaka mingi
@zowmemes99232 ай бұрын
Soma historia ya maisha ya mtu yote ndo umuhoji, hongera hata hivyo
@daughterofthemoon6802 ай бұрын
Muandishi umezingua maswal ya msingi umeacha unauliza mambo godlove😭😭
@AminaKissawagaАй бұрын
Mashallah mashallah safi sana ndugu yetu
@AshaJuma-s7l2 ай бұрын
Hivi Milady huyu bwana mkubwa hivi unampa mwandishi mdogo huyu amuhoji? Daah! Katika hili umefeli. Nimekosa vingi kwa Lugumi!😢 Basi namshukuru Mungu 🙏
@MsevenAloyce-g9b2 ай бұрын
Tajiri wa kweli
@HappyatHome-bn8wm2 ай бұрын
ukiona HAMISI hv ujue kifo kinakaribia mtu anajutia madhambi yake na alivyoumiza watu na kuibia watu.
@ibrahimmaradufu52352 ай бұрын
Rukusa, nimeipenda iyo mkuu
@Brunotarimo102 ай бұрын
BIG UP LUGUMI
@Mwakaismsociety2 ай бұрын
Mwandishi hakujipanga,maswali yake ni casual.wakat interview kama hizi ni exclusive.millard wewe ni master wa hizi kaz.ulitakiwa uwepo,umetunyima madini aiseeh. Mtazamo wangu.
@abdallahsaid81572 ай бұрын
Bado maswali ya mwandishi hayajakidhi kiu yangu. Lkn pamoja na hayo yote hongera kwake kwa ukarimu alionao!