HARMONIZE: Sijampa MKONO ALIKIBA / Alimfanyia HIVI DIAMOND!!!

  Рет қаралды 301,373

LilOmmyTV

LilOmmyTV

6 жыл бұрын

LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interview kutoka kwa masta unaowakubali.
Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp au mitandao yako ya kijamii (facebook na twitter).
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com

Пікірлер: 429
@eustarmwambanga5131
@eustarmwambanga5131 6 жыл бұрын
Your are so humble harmonize... Love love love all the way from Kenya. .. Wajibu maswali vizuri hujigambi I just love you
@congoboymbeyas2440
@congoboymbeyas2440 6 жыл бұрын
#wcb 4life support from Arizona United States
@thepulsetv-healthcorner504
@thepulsetv-healthcorner504 6 жыл бұрын
Nimesikia Hermoniz akimention Kakamega....fan no one
@nimubonashabani2827
@nimubonashabani2827 6 жыл бұрын
LIL OMY. WEE NIMTANGAZAJI BORA KABISAA. UMEULIZA MASWALI MEUPEEEE MAZUUURII. BIG UP BROO
@papafikiri
@papafikiri 6 жыл бұрын
Hatari sana milioni zaidi ya mia mbili...
@hamzahdaimond2791
@hamzahdaimond2791 4 жыл бұрын
Kama umerudi kuingaria tena 2020 January gonga like
@buluush9741
@buluush9741 6 жыл бұрын
well say harmo unajua kujielezea huna kinyongo 🔥🔥🔥🔥wcb 4real🔥🔥🔥🔥
@sheilahluchombo6570
@sheilahluchombo6570 6 жыл бұрын
Harmonize is just on another level,,keep going
@dickwaynemoorey7699
@dickwaynemoorey7699 6 жыл бұрын
Daah waun hamlali aise minkajua ntakua wakwanz kukoment🙌🙌
@princeprince3020
@princeprince3020 6 жыл бұрын
My all time best musician from east Africa keep it up Bro . Naija boy
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 6 жыл бұрын
Msanii mwenye pesa Bongo ni Diamond,ufe ufufuke ila ni Diamond,kama hutaki jamba ila Diamond ndo msanii mwenye pesa ndefu Bongo😂😂😂😂WCB 4 life
@topesafi9742
@topesafi9742 6 жыл бұрын
Khadija Juma 😁😂😂😂😂
@tsagytz6755
@tsagytz6755 3 жыл бұрын
Akakutombe Sasa akukojoze
@kimah9855
@kimah9855 6 жыл бұрын
Harmonize karibu kwetu Kenya😍
@francemusic1850
@francemusic1850 6 жыл бұрын
Harmo nimependa san The way ulivyojibu maswali..keep it up👏
@sulleyalmass9814
@sulleyalmass9814 6 жыл бұрын
Unajib fact Harmonize, that’s perfect 👌
@ayubukassim7995
@ayubukassim7995 6 жыл бұрын
Smart nakuelewa Harmo unajua kujielezea Show Show Ila wakwanza Diamond platnamz
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Harmonize mashallah uko vizuri, nisaidie na mimi japo kidogo tu nimalize nyumba yangu, show ya kizazi sana.
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 жыл бұрын
Jenga Kaka Harmonize jengaaa hizo M200 kwa kuzitamka nyingi ila katika matumizi ndogo jenga hakuna aijuae kesho msingi wa Nyumba mzuri kosa kula lakini sio Nyumba Kim Anna mwenye Nyumba hakuna Baba mwemye gari vitu vya kawaida kma umeanza kujenga congrats lakini kama bado jenga Kaka
@nickymeel986
@nickymeel986 6 жыл бұрын
Safi mkali..unaongeaga kiutu uzima...lov you
@chakobalichako5784
@chakobalichako5784 6 жыл бұрын
lil ommy we muongo umemdanganya harmonize wa watuuu..etiii pijini nyooooooo ni yoruba na igbo kaka umemudanganya jamaniiii daaaaaaaaaah una dhambi kaka
@jenifamosha1611
@jenifamosha1611 6 жыл бұрын
Yupo vizuri mnaosema anaiga nathani akili zenu zina kasoro.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 6 жыл бұрын
HARMONISE uko vizuri na wanaokuambia unaiga POA tu.
@aboubacarfitbae1661
@aboubacarfitbae1661 6 жыл бұрын
nchi hii watu wanaroho mbaya yani ukifanikiwa unachukiwa waz waz muacheni apige kaz mlitaka awe kibaka awakabe mikundu yenu😈
@bilalbinali1227
@bilalbinali1227 6 жыл бұрын
Your fav boyfriend 😂😂😂
@rashidnassor2946
@rashidnassor2946 6 жыл бұрын
Kwang'waru ndio hbr ya mjini, Wasafiiiii!!!!
@peterkimwaga8725
@peterkimwaga8725 6 жыл бұрын
Konde boy🔥🔥🔥🔥
@innocentsilayo4678
@innocentsilayo4678 6 жыл бұрын
dogo yupo smart......anajua kujieleza
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 6 жыл бұрын
Huyo harmonize ni Mtu makini saana kwenye maongezi Great inspiration
@kedmonmaquiz
@kedmonmaquiz 6 жыл бұрын
nakukubali sana harmo... pga kaziii
@salmamajesh3044
@salmamajesh3044 6 жыл бұрын
Kedmon Maquiz wachawi
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 6 жыл бұрын
My favorite artist all time napenda sana kazi zako bro
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 6 жыл бұрын
kumuiga anae jua sio dhambi tuwaombee sana wasanii wetu wanajitahidi sana
@dogobyalimasilubunga5110
@dogobyalimasilubunga5110 5 жыл бұрын
Kama Kawa simba mtoto umetisha Sana 🚶🚶🚶 big up Sana konde boy Bila kunisahahu mtangazaji shupavu African lil ommy
@japhetbaraka587
@japhetbaraka587 6 жыл бұрын
harmonize safi sanaa mzee
@shabanikhalidi4875
@shabanikhalidi4875 6 жыл бұрын
Mbona mnasema anaiga kunaubaya gani,Nyinyi inauma au nivipusa nyinyi anaiga brother wake
@augustinepaul8739
@augustinepaul8739 6 жыл бұрын
I love the playlist
@abdulmudy4595
@abdulmudy4595 6 жыл бұрын
Dogo yupo smart sana
@winnerbm5812
@winnerbm5812 6 жыл бұрын
Dogo una hekima sana nimependa
@jeanmalilo6128
@jeanmalilo6128 6 жыл бұрын
Wa kwanza ku comment
@milimomashini9432
@milimomashini9432 6 жыл бұрын
Jean Malilo umecoment nn au hujui maana ya kucoment
@estherjoshua2250
@estherjoshua2250 6 жыл бұрын
Hongera kwa Mkwanja Mrefu kaka ila kumbuka na wahitaji, pia naomba kuuliza ao wake zenu wote uwa wanashida ya mimba kutoka ? ebu wachunguzeni wasiwe wanawafanyia madrama umri unaenda ujue hizo pesa zinatakiwa zitumiwe na watoto ndo utajua raha ya kuzitafuta
@saidasalim6372
@saidasalim6372 6 жыл бұрын
konde boy nakupenda unavyo jiamini frm Kenya
@didierkiss1542
@didierkiss1542 6 жыл бұрын
Safi sana
@bilalbinali1227
@bilalbinali1227 6 жыл бұрын
hivi tuna Team mbili tuu...team simba na team Harmo hao wengine sijui kiba sijui nani😂😂😂pelekeni huko.
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 2 жыл бұрын
2nao angalia mwka 2021 hapaaa🥰🥰🥰
@muktartz7314
@muktartz7314 6 жыл бұрын
Leo heinesderic ametisha Sana sio kuzunguusha camera nice editing
@papaajrrm7360
@papaajrrm7360 6 жыл бұрын
UKITAZAMA VIDEO ZAKE ZA MWANZO ALIKUA VERY HUMBLE .WHAT CHANGED??? KUWA MPOLE BABAAAA. BE HUMBLE
@godsonshoot7438
@godsonshoot7438 6 жыл бұрын
Tucheki kutazama VIDEO/MOVIES ZOTE MPYA ZA BONGO 🔥🔥
@marymbithe712
@marymbithe712 6 жыл бұрын
Ako chonjo... pia ni kaka Wa bidii.
@adidjasikitu5082
@adidjasikitu5082 6 жыл бұрын
For lifes support from Florida Tallahassee
@ruqsaynahussein9559
@ruqsaynahussein9559 6 жыл бұрын
Good homo nakupenda..na unajua Sana.huyo kiba Hana lolote kwani yeye kashindwa kukusalimia .alafu mi nawashangaa nawaona muona alikiba km yuko sawa.wakati yeye ndio mwenye makosa...nakuomba tu kaka yangu hmz endelea kupiga kazi achana nahuyo jeuri kiba binafsi na mchoyo Sana.nawapenda Sana wasafi..mungu azidi kuwabari Sana...
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 6 жыл бұрын
Aly kiba in msan mkubwa huwezi kumlinganisha na armonize,Fikilia armonize kaanza lini muziki na kiba in wa lini hapo armonez anatafuta kiki hapana chezea kiba heshi la mtu mmoja halinaga mgombo wala chipukizi
@jameskilasa759
@jameskilasa759 6 жыл бұрын
Bora ulivyoacha kumsalimia
@husseinc
@husseinc 6 жыл бұрын
Nimeangalia interview mwanzo mwisho Nimekupata harmonize na lilommy
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 6 жыл бұрын
Bigi up sana hamonize
@dauditryson7452
@dauditryson7452 6 жыл бұрын
Nakukubariii sana lil na Ma boy harmonize
@babakenurah9534
@babakenurah9534 6 жыл бұрын
Wabongo tuna nongwa sana, et unaiga unaiga! Kwan nyinyi kwenu huko hamuigi chochote, vyote mmeanzisha nyinyi. Tubadirike bhana. Yeye ndio mrith wa diamond kama diamond ataacha mziki hatupati shida kumpata mrith wake, na ndio mana leo tunapata tabu kumpata sharo milionea, na wengine wengi
@tsagytz6755
@tsagytz6755 3 жыл бұрын
Leo Kiko wap😆😆😆😆😆
@teresiawanjiku7652
@teresiawanjiku7652 6 жыл бұрын
Other than diamond rich mavoko is my favorite from WCB,, love from 254
@jeffwasulaya3322
@jeffwasulaya3322 6 жыл бұрын
Kondeeeeeeboy nakuelewa san mzee baba,,piga kazi
@ellyfrank8953
@ellyfrank8953 5 жыл бұрын
nice explaination
@saadmgendi8537
@saadmgendi8537 6 жыл бұрын
#Kwangaru 🔥🔥🔥🔥🔥😍
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 6 жыл бұрын
nmependa harmonize anavyojibu maswali big up bro
@tomemakwae9951
@tomemakwae9951 6 жыл бұрын
Kuna Yoruba,Igbo, Fulani, Hausa, south south...... masomo muhimu
@jeanmalilo6128
@jeanmalilo6128 6 жыл бұрын
Wcb for life
@emmaleejr6670
@emmaleejr6670 6 жыл бұрын
Mmakonde una ela wew
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 6 жыл бұрын
😃😃😃 eeeh nifike kwa Zari kwani mm ni diamond
@danielpaschal554
@danielpaschal554 6 жыл бұрын
Pamoja sana WCB.
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 6 жыл бұрын
Kizazi sana lilomy upo vizur
@asianassoro153
@asianassoro153 6 жыл бұрын
ommy napenda swager Zako
@shabanikhalidi4875
@shabanikhalidi4875 6 жыл бұрын
wanao sema kama anaiga inawauma wapi Nawashangaa.Mond ni Bro wake,Sema angemuiga KIPUSA ndio ingekuwa vibaya acheni ujinga
@ngwarutomohammed
@ngwarutomohammed 6 жыл бұрын
Amazing interview
@dorcasgitari8278
@dorcasgitari8278 6 жыл бұрын
Very wise answers bro
@aminarashid4474
@aminarashid4474 6 жыл бұрын
hamo ukovizur sana
@amirikachemah5616
@amirikachemah5616 6 жыл бұрын
Nyie huo, wivu wamaendeleo, dogo harmonize umetishaaaaaa
@hilmybullo4884
@hilmybullo4884 6 жыл бұрын
awa wanao dis .. kuusu Hamor .. ni mashoga itakua . kwani na nyinyi si muwaige baba zenu majumbani na akuna atae kukatazeni ... mashoga nyinyi
@suleimanengineer9712
@suleimanengineer9712 5 жыл бұрын
diamond tosha
@ellytz1785
@ellytz1785 6 жыл бұрын
Konde boy nakukubali xana
@ambelemwakanyamale9856
@ambelemwakanyamale9856 6 жыл бұрын
harmonize yupo good sana
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 6 жыл бұрын
Safi sana 👏🏾👏🏾👏🏾piga kazi tu
@husseinjuma8985
@husseinjuma8985 6 жыл бұрын
Kweli harmo alikib hata hakuamka alikaa wakati anasalimiwa
@rosemutisya2073
@rosemutisya2073 6 жыл бұрын
God bless you Rajih
@moshimongelwa7795
@moshimongelwa7795 6 жыл бұрын
Kumanina zenu wote ambao wanasema anahiga kwani amjui Kama hawa ni P-Square pambane na Hali zenu alafu tz ukifanikiwa tu unachukiwa wazi wazi
@doramarcel1013
@doramarcel1013 6 жыл бұрын
unamuiga diamond mpaka unaboaaa
@wcb4rever600
@wcb4rever600 6 жыл бұрын
Tim kiba wasenge mtutue mizigo yen pumbavu
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 жыл бұрын
Team mond wasenge wa vipupu na ww ukiwemoo.
@darasahuru4532
@darasahuru4532 6 жыл бұрын
daaaah hamooooo 😍😍😍😍
@jenifamosha1611
@jenifamosha1611 6 жыл бұрын
Harmonize yupo vizuri wasenge nyie mnaosema anaiga.
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 6 жыл бұрын
Hamoniz leo umepenxeeza hizo nywele hazikupebxezi na hayo macheni ya misalaba bira leo umeonesha cheni peke yake sibora kuliko misalaba.umependeza
@abdullnatosa2720
@abdullnatosa2720 6 жыл бұрын
namkubal konde boy xana mtwar kucheleee
@liberathmrema2698
@liberathmrema2698 6 жыл бұрын
Jenifa Mosha msenge bb yako
@abdulikijanga4704
@abdulikijanga4704 6 жыл бұрын
una ustaa mkubwa Sana ndani yako konde boy
@abubakaryakout1596
@abubakaryakout1596 6 жыл бұрын
P1 sanaaa harmonize
@martinezsiwale4419
@martinezsiwale4419 6 жыл бұрын
Harmo love a boy from WCB
@diamondplatnumz7400
@diamondplatnumz7400 6 жыл бұрын
Konde boy baba misuti ya mond kabisa😁😁😁
@jemedary6271
@jemedary6271 6 жыл бұрын
Dah, harmonize your good
@kenty101
@kenty101 6 жыл бұрын
hahah sio pigin bana ni yoruba na igbo language iyo pign ni sio lugha ni slang ambayo pretty much all nigerians ar using and on top of that correction nigeia hamna lugha mbili ziko nyingi tu ikiwemo iyo yoruba ..hausa,,..igbo na zinginezo...s/o lil ommy ama big fun all the best bros
@henrypodolski3652
@henrypodolski3652 6 жыл бұрын
hongeraaa sanaa konde boy
@mkatavitv1014
@mkatavitv1014 6 жыл бұрын
safi sana harmo
@sabintana1755
@sabintana1755 6 жыл бұрын
kizazi sana
@ashykajojo6736
@ashykajojo6736 6 жыл бұрын
kaz kaz broo
@ommydee
@ommydee 6 жыл бұрын
wcb nomaaaaa namkubal san
@papykenedy5
@papykenedy5 6 жыл бұрын
Alikiba ahache kiburi nahana lolote ahache kutuhimbia kwaya kama anataka kuimba kwaya ahende kanisani na abaki jina tu kwasababu zilipendwa lakini kwasasa nibora ahache kuimba.
@brightonchannel4997
@brightonchannel4997 6 жыл бұрын
Papy Kenedy Acheni kumshobokea kingkiba fanyeni yenu
@devicedodo9781
@devicedodo9781 6 жыл бұрын
Very nice for interview #lilomy
@Fanuel_0L
@Fanuel_0L 6 жыл бұрын
Pa1 san
@algwiji
@algwiji 6 жыл бұрын
I really think education is important, kama ungekuwa umesoma sidhani kama kweli unaweza kumchukia mtu humjui, am not talking about harmonize, am talking about the rest of the guys on you tube
@gabrielmichael534
@gabrielmichael534 6 жыл бұрын
chakula ya daimond hyoooo......mm pia ukinizingua dem wangu anakukaushia maana ndo tabia zao mabinti
@cedricnitunga468
@cedricnitunga468 6 жыл бұрын
kizazi🔥🔥
@karthala6676
@karthala6676 6 жыл бұрын
Lugha mbili muhimu nchini Nigeria. Ni Yoruba na Hausa.
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Huyo hormoniz ana madharau sna puuuu!
@iam_mobam
@iam_mobam 5 жыл бұрын
Harmo nakuelewa ngoma zako ila una ufala ndan yake
@Kiulaini
@Kiulaini 6 жыл бұрын
kama wanavotawala wanaigeria mziki wao ndo unaoneka mziki wa africa..hua inaniumiza sana...hapo hapo nyimbo zenu bets sample za kinaijeria na umeomba maneno ya kinaijeria ukaweka kwenye nyimbo yako...suali ni kua utaufanya vipi muziki wa tanzania kua muziki wa africa wakati wewe mwenyewe unaubabaikia muziki wao...jami huu ni mtazamo wangu tu mskasirike wadau haya ni mawazo tu...nakubali kukoselewa lakini kiubinadam..
ABDUKIBA AWEKA WAZI KILICHOMPELEKA NYUMBANI KWA DIAMOND PLATNUMZ
30:16
EastAfricaRadio
Рет қаралды 13 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,9 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 39 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 50 МЛН
SALLAM SK: RICH MAVOKO HAJARUDISHA HELA YETU / BADO YUPO WCB
30:12
Smart thief😳 لص ذكي…
0:19
MARYA & AMINE
Рет қаралды 31 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
1:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Три с половиной в дюймах, ууу..😂
0:56
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15
ДоброShorts
Рет қаралды 9 МЛН
Fun Fun TV short film: 🙏baby save water😍
0:28
Fun Fun TV
Рет қаралды 3,6 МЛН