No video

ALLY KAMWE ATEMA CHECHE/AUGSBURG WAMECHEZA RAFU/ALIYEFUNGA GOLI NI JUMANNE BALEKE SIYO JEAN BALEKE

  Рет қаралды 27,557

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe, maarufu Mwenyekiti wa Wasemaji Afrika, amezungumza na Mpenja TV baada ya mchezo wao wa kirafiki kumalizika nchini Afrika Kusini wakifungwa magoli 1-2 dhidi ya Augsburg ya Ujerumani.

Пікірлер: 61
@josephnyota-hb4ck
@josephnyota-hb4ck Ай бұрын
Clement mzinze achapwe viboko, sababu umri wake anastali adhabu ya viboko, mzinze mpira anaujua sana lakini papara nyingi atulie. Hongera Eng Jicho la bali unalo, Yanga daima mbele nyuma mwiko
@faidha23
@faidha23 Ай бұрын
Mpira ulikuwa mzur ila baat aikuwa kwetu lakini mzize mim huwa simuelew kabisa ivi lango huwa alioni au vipi maana anapata nafasi afu azitendei haki kabisa
@amonmfuruki939
@amonmfuruki939 Ай бұрын
Mzize ni ugonjwa mbaya sana Yanga, mashabiki washamlalamikia mno ila mambo ni yale yale
@sittandaki2135
@sittandaki2135 Ай бұрын
Safi sana Ally kamwe kuwa msemaji wa mfano kwa wasemaji wengine 🎉
@Mmenga_junior
@Mmenga_junior Ай бұрын
Mim napenda sana mzize akicheza kutokea pembeni kama winger ndo anakuwa hatari sana
@user-uo6nw1gb8b
@user-uo6nw1gb8b Ай бұрын
Mungu ibariki timu yangu pendwa Yanga, uwe nasi msimu huu
@AMINIELIHAALI-xv1rd
@AMINIELIHAALI-xv1rd Ай бұрын
MZIZE ANAJUAAAAAAAAAAAA
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Ай бұрын
Amina Inshaallah
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Ай бұрын
Umekondaaa kwa daakika. ...
@KapataMkali
@KapataMkali Ай бұрын
A week and half into pre season Yanga created a lot of chances, they made Augsburg look very ordinary. We just needed to iron out a few things and focus on finishing our chances. Always forward…
@ShaibuMkullu-ck6sl
@ShaibuMkullu-ck6sl Ай бұрын
😂😂😂Ally kamwe!, daa
@bbanyikwa
@bbanyikwa Ай бұрын
Mimi kweli mzize simuelewi kabisa ila basi tu Yanga ni nzuri kwa ujumla
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je Ай бұрын
Dirisha liko wazi
@AsifuSule
@AsifuSule Ай бұрын
Ali waambie hao makoloo tunawasubr tarehe 8
@user-fg8cf9lu9j
@user-fg8cf9lu9j Ай бұрын
Uko mpoleeee ,,yaan ungeshindaa usingekuwa mpole hivi
@murshidyabdallah1356
@murshidyabdallah1356 Ай бұрын
wee bado bwana mdogo
@fabianmbughi-z2m
@fabianmbughi-z2m Ай бұрын
yanga tamu
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Ай бұрын
Umeishiwaaaa
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Ай бұрын
Mzize anatakiwa anaanza kipindi cha pili
@user-dd8oc6yw9n
@user-dd8oc6yw9n Ай бұрын
🎉🎉
@dauditillya-gy5ge
@dauditillya-gy5ge Ай бұрын
Mleten jumapili baleke sasa😅😅😅
@neemamwijage
@neemamwijage Ай бұрын
Ungeshinda ww,ungeshinda ww,ungeshinda ww hapo ungekuwa unaiongelea sana simba maneno mengi yangekuwa ni simba wamekuweza na bado
@benjaminjackson8567
@benjaminjackson8567 Ай бұрын
Lkn mmefungwaaa
@alitante4279
@alitante4279 Ай бұрын
Ndmn mzee magola anaitwa nyinyi ndo wahuni na matapeli , eti jumanne baleke
@LovelyFields-jp2co
@LovelyFields-jp2co Ай бұрын
Yan hat mm huwa simwele w kbx
@KaresiamosiMwanjari
@KaresiamosiMwanjari Ай бұрын
Kwaiyo tiyali j4 tiyali katambulishwa tiyali
@Medikombovuai
@Medikombovuai Ай бұрын
Jumanne baleke
@chng1990
@chng1990 Ай бұрын
Obuntu botho wanateseka muda huu
@deniskabavako9329
@deniskabavako9329 Ай бұрын
Alikamwe anatia huruma😂😂😂
@sittandaki2135
@sittandaki2135 Ай бұрын
Kivipi sasa mbona yupo vzri tu
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Ай бұрын
Kiuhalisia nyinyi makolokwinyo ndio mnaotia huruma 😂😂😂na bado mtaendelea kuteseka sana tu 😂😂😂
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 Ай бұрын
Makolo msubiri trh 8, kelele za nini.Mnadhani nyie Ausburg ya bundersiliger 😂😂
@fabianmbughi-z2m
@fabianmbughi-z2m Ай бұрын
tunainjoi
@LovelyFields-jp2co
@LovelyFields-jp2co Ай бұрын
Hv nkwel anachoxm all kamw
@IdrisuMabuda
@IdrisuMabuda Ай бұрын
Unaumwa
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz Ай бұрын
Ally 😁😁😁😁amekua j4 baleke
@freddyjonasjonas
@freddyjonasjonas Ай бұрын
Mumepigwa😂😂😂 tayali
@RashidiAlly-et1sg
@RashidiAlly-et1sg Ай бұрын
Maneno mengiiii nani kafungwa sasa hio timu ulio cheza nayo mchezaji wa kikos cha kwanza ni mmoja tu
@khamisally9559
@khamisally9559 Ай бұрын
Tarehe 08/08/2024 sio mbali. Ongeeni sana lakini mtajuta huu upuuzi wenu. It's just a matter of time.
@awessuhafidhimzee
@awessuhafidhimzee Ай бұрын
kama ulizimia marahii utakufa kwa ubaya ubwela
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Alizimia kwa kolo kula 5, atakufa kwa kolo kula 10😂😂
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
​@@daudimichael7338😂😂 mwambie huyo
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 Ай бұрын
Simba ikiacha wachezaji yanga ndio wanakimbilia tena wanawalipa pesa ya ajabu kwa simba wanakuwa washachuja wametemwa
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
Mmewatema wao ndiyo wamewatema wakat bado mlikuw mnawahitaji
@issahpaul4510
@issahpaul4510 Ай бұрын
Endeleen kuwatema na yanga wataendelea kuwachukua .....mtakuja kushtuka baada ya miaka 10 haumna kombe la ligi kuu kuanzia mwaka 2021
@khalfanabdallah5559
@khalfanabdallah5559 Ай бұрын
Umefungwa wacha maneno wewe tunakusubiri lupaso
@joshuaerasto8677
@joshuaerasto8677 Ай бұрын
Wahudumu wa hoteli ni akina nani, badala ya kuzungumzia team yako unazungumzia watu wengine
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Ай бұрын
Ni wahudumu wa hotel
@husseinsaidlembeli453
@husseinsaidlembeli453 Ай бұрын
Bwege ww.
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Acha ukuma wewe. Unamuita Bwege kwani amesema kipi kibaya. Fala wewe..
@DoreenDaniel-m2u
@DoreenDaniel-m2u Ай бұрын
😂😂😂😂huondio mpira vinamuda bas
@IddGeka
@IddGeka Ай бұрын
wambie dogo
@tingathebest
@tingathebest Ай бұрын
Mmekula kilambo 😂😂😂😂
@user-ik2fg6iu2m
@user-ik2fg6iu2m Ай бұрын
Sema ukweli umechapwa comedi wa yanga wewe
@user-ik2fg6iu2m
@user-ik2fg6iu2m Ай бұрын
Mmecheza na ya pili wachezaji kibao hawajacheza wanane sifa tu zako wewe mdomo tu
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
Hat sisi wengine hawajacheza 😂😂
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 Ай бұрын
Unaongea utumbo mtupu!
@franccoz94
@franccoz94 Ай бұрын
Very stupid, unafurahia kisa mzungu kakufungaa ,utaacha lini utumwaa
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Ай бұрын
Wewe ndio mtumwa 😂😂😂unajua kwa nini...kwa sababu mihemko yako ya kikolokwinyo ndio inayokufanya uwe mtumwa.... actually you're the one who is stupid because you're trying to avoid facts with your stupid emotions
@AsifuSule
@AsifuSule Ай бұрын
Ali waambie hao makoloo tunawasubr tarehe 8
@bundalamabula6264
@bundalamabula6264 Ай бұрын
Jumanne baleke
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
RobbyMedia
Рет қаралды 389 М.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 6 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 47 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
FULL MATCH HIGHLIGHTS YANGA 3-1 TP MAZEMBE I CAF CONFEDERATION CUP
24:42
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН