Huyu Mzee alikuwa na utunzi usio wa kawaida Mwenyezi Mungu Ashukuriwe Kwa yote Nampenda sana kazi zake
@alialbusaidi91307 жыл бұрын
ISA matona Allah akusamehe dhambi zako iyo nyimbo inanikosha pia inaniliza lait kungekua Na wanaume WA kuwafanyia ivo km usemavo BC talaka zisingekuepo
@khaniphaayubu61744 жыл бұрын
ali albusaidi nikweli kabisa
@fatmasaid36834 жыл бұрын
ali albusaidi Amin. Watoke wapi na siku hizi wake kwa Wayne kila mtu anataka kujifanya anajua zaidi.
@muhammedomer92562 жыл бұрын
RIP issa matona
@fatmajama8968 Жыл бұрын
Amiin alaah amrehem
@hassanabdalla27415 жыл бұрын
Baraza la Sanaa wakumbukeni hawa Magwiji wa nyimbo walohai na walokufa,hakika wamefanya kazi kubwa sn za kijamii.
@muhammedomer92562 жыл бұрын
Mungu amrehemu mzee Issa Matona huu wimbo Harusi ; mlete bibi harusi hapa tuhangaike nae ee bi harusi jihadhari na mashoga wasije wakakunyanganya
@hamissuleiman77003 жыл бұрын
2021 still listening like zenu basi maana mi ndo wa kwanza
@ISMAILIGHALYIGHALAMMULUMEАй бұрын
Allahu Rahiim akupumzishe salama babu Issa , tunakumbuka kila tusikiyao wimbo wako
@mpuyangotv20642 жыл бұрын
9/12/2021. 12:11 still watching....hakika ardhii inabeba Inalilahi waina ilaihii sheikh Issa MATONA one of the greatest Taaarabuuu song mwamba daaaah Old is GOoood
@gloriarush6110 Жыл бұрын
Inshaallah katika harusi yangu nitaucheza huu wimbo
@Asa-nr3ip Жыл бұрын
Vipi uliucheza?
@alialawy21296 жыл бұрын
R.I.P. Matonya huu wimbo unafunza sana na unatoa darsa tosha kwa wenye akili na wenye kutarajia kuingia kwenye ndoa.. Once More.....
@ahmedalwy5 жыл бұрын
Who is watching in 2019 🤩🇰🇪🔝
@khaniphaayubu61744 жыл бұрын
Ahmed Alwy I'm here
@ahmedalwy4 жыл бұрын
@@khaniphaayubu6174 👈🍾🍻
@sabreenally87314 жыл бұрын
2020😂
@issahblack4 жыл бұрын
Kusikiliza huu wimbo ni raha sana. 2020💕
@moussajumapili54693 жыл бұрын
Issa Matona Tarabu
@qeenlatty53807 жыл бұрын
dah uliimba hpa bba etu Issa matona Allah akusamehe dhmbi zko na akupunguzie adhabu
@fatumaabbas33413 жыл бұрын
Ameen
@ayyamisalim89363 жыл бұрын
Amina Ishaallah
@halimaomari75895 жыл бұрын
From kenya still watching 2019
@mohamedomar403711 жыл бұрын
Hii ni nzuri kusikiliza Old is gold kuliko takataka za siku hizi.mungu amrehemu.
@khaniphaayubu61744 жыл бұрын
Mohamed Omar naam
@lameckmmassi63276 жыл бұрын
Mimi nimepapenda pale wakija mashemeji zako semanao barazani hii ilimaanisha kwa wale macho juuu. mzeee ulitoa elimu tosha kwa wanandoa.