Hongereeni Sana waimbaji waliyojitoa kwa Hali na Mali kujito vema mungu awabariki sauti zenu zimesikika visuri na lugha nimeielewa vizuri
@RAPHAELKALOLOАй бұрын
Hengeraa sana rafiki yangu mokia nilikuepo kwenye harusi yako huko simanjiro haiwezi tokea Kama hii Safi sana masted shoo mmependeza sana mungu awabariki ndugu zangu
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Beautiful Masai wedding. this is my first time to see Maasai wedding and is very stunning. Tuwekee harusi nyingi za Kimasai tuone mambo amzuri ya kiMaasai. TZ Hoyeeee na makabila zaidi ya 120.
@SelemanMuhamed-ir5zl Жыл бұрын
Nawapenda sana hawa watu❤❤❤❤❤❤ ongeren sana
@NdeyoAlabara4 ай бұрын
Metamayana ntai engai naleng❤❤❤❤❤
@danielpetro43852 жыл бұрын
Hongereni ,tupeni jina la wimbo huo bana "engai metamayana ndai"
@raphaelmollel4427 Жыл бұрын
Hongerani waimbaji sauti zimesikika vizuri mungu awabariki
@nerymshana33332 жыл бұрын
Had nimependa mungu nijalie na mm
@saramuna11732 жыл бұрын
Haki kutoka moyoni nawapenda sana hawa watu Mungu awabariki sana . Mungu anipe na Mimi mume kutoka huko nawapenda mnoo👩❤️💋👩👩❤️💋👩👩❤️💋👩