mmasai umetisha sana kwa iyo rafiki alijipigia boss wake, na mimba juu, tena kamuongeza na offer ya mwingine, hongera sana rafiki umeliwakilisha Taifa vyema.
@gustybabymedia41635 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@sarahedom50445 жыл бұрын
Akajipigia
@mamaangel26715 жыл бұрын
Hahaaahaaa
@caromwende43744 жыл бұрын
Hey
@caromwende43744 жыл бұрын
Vipi
@halimahnah3555 жыл бұрын
kama umempenda Osca like
@thomaslukumay76015 жыл бұрын
Safi sana Oscar
@deniserneus89815 жыл бұрын
Halimah Nah Nimeipenda sana iyo
@moykilinga96415 жыл бұрын
kiukweli osca fundi
@solar61205 жыл бұрын
Halimah Nah Mzungu still stealing African culture
@hildakaaya69245 жыл бұрын
Oscar i really appreciate you...napenda kuongea kimasai sjafankiwa ila ww unaweza saluteeeee
@graytonndamgoba48055 жыл бұрын
"HUYU BABA YANGU,,,,ALIKUWA MLINZI HAPA" What a courtesy boy! Well mannered. You humbly brought your self to the ground. Simple sentence/expression but it means a lot to us.Keep it up
@namirihamisi38995 жыл бұрын
kwa mtazamo wangu anamaanisha huyo bwana wa mama ake alikuwa mlinzi wao mama akamzimikia ndio wanaendeleza maisha.
@josephisaya81665 жыл бұрын
Wamasai sio mchezo mlinzi kachukua na boss mtoto hadi ana lafudhi ya Masai
@gloriousnp5 жыл бұрын
Namiri Hamisi babake mazazi(ambaye ni mmasai) aliwahi kua mlinzi hapo ambapo nahisi mamake alikua anakaa Ndo wakapendana akazaliwa yeye
@christinaayubu75135 жыл бұрын
Mmmh noma kweli
@feypeace16555 жыл бұрын
@@gloriousnp huyo mtoto sio mixed race kabisa
@anethbaguma39645 жыл бұрын
Huyu mtoto kanifurahisha sana, amejikubali! Thanks for likes am humbled # Chakula NiAfya
@masimejnr29575 жыл бұрын
Nyama ya mbusi!!!!! 😂😂😂 daaaaah!!! Nakupenda bureee Oscar!!! Excellent!!! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@claudiajames20035 жыл бұрын
I like this boy! Creative and intelligent.
@premierjoseph98715 жыл бұрын
Huyu mtangazaji hajui kuuliza maswali hajui kuvutia watazamaji tunaangalia kwa sababu ya dogo tuu siyo mtangazaji...
@halimayusufu63054 жыл бұрын
Namimi naombeni Like jamani hata nisipocoment
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Hongera sana kijana Oscar . Nilifuatilia wewe ni shujaa na Mungu akubariki utakuja kuwa mtu mashuhuri duniani
@beatricewillium92415 жыл бұрын
we umezaliwa Tanzania au mmasai alieelewa hapo agonge like
@basilisamsaka84694 жыл бұрын
Ndio nimechekaaaa
@fahimally39233 жыл бұрын
HUYUU SIO MZUNGU NIMMASAI KBS BIG UP YEROOO
@justinanthenge6195 жыл бұрын
This boy has a great father figure and he loves him. Irrespective of how the couple met, they have nurtured this boy. He has identified himself as Maasai and Maasai he is. The mother said "follow your heart" and I believe her. Fantastic family. When we make our choices please respect them. The interviewer has tried to bring it out but she needs to do some homework on presentation.
Safi sana oscar small maasai Lomaiyani true spirit kutoka moyoni
@sofiaahmed88805 жыл бұрын
Mashallah good boy! May God bless you!
@francismuiruri65783 жыл бұрын
This boy is a future leader.
@barakamathayo34305 жыл бұрын
Yan huyu mtoto ni Mmasaai mtupu 🙌🙌🙌
@amaninaupendo.35395 жыл бұрын
Amen amen. Karibu sana kijana. Wamaasai tunawapenda sana watu. Mungu akusaidie. Amen.
@princessj41575 жыл бұрын
Dogo anasema nyama ya mbusi😂😂 Yani anaongea kiswahili chakimasai🔥🔥🔥
@paperyadams62495 жыл бұрын
😂😂😂
@bigboss94645 жыл бұрын
@@paperyadams6249 hatari
@neemapemmanuel26815 жыл бұрын
😁😁
@marydiaz49485 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@bigboss94645 жыл бұрын
@@marydiaz4948 wow mtoto
@emillyzeeh11732 жыл бұрын
Wao kijana Oscar masai, anaongea kiswahili muzuri 🙏🙏🙏🙏mungu amubariki mutoto huyu na wazazi wake asanten 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍
@reyca_v.i.p5 жыл бұрын
Smart boy ever😘😘😍😍❤❤
@fatumahassan82125 жыл бұрын
Huyu mama ana upendo wa dhati kbs,piya mungu amempa mtoto mwenye ujasiri na hodari wa kueleza hisiya zake bila woga na kupenda mila ya baba yk,kuvuwa vazi la kizungu na vazi la kimasai " Mungu ampe makuzi mema "
@farahatiomaar79995 жыл бұрын
Nmempenda cn Oscar
@movielecture6366 Жыл бұрын
That Maasai accent, nakubali Sana Karibu Sana ngorongoro home of maasais
@SSs-tb9yo5 жыл бұрын
Huyu mtoto nishujaa mpaka kuongea mashaaAllah
@ifgodsayyes.nobodycansayno17965 жыл бұрын
KABISA
@shanimhanga78965 жыл бұрын
Wamenifurahisha sana hawa watoto,Duuh hako kadogo sasa wametisha,safi sana
@ruthwatson30575 жыл бұрын
He is soooo cute n has a masai accent. Love it.
@zebede79725 жыл бұрын
Hajui kuuliza
@venitarugemalila92902 жыл бұрын
Yupo vizuriiii saana
@mimizlove69925 жыл бұрын
dogo yuko smart sana!! Big up Oscar
@oscarmwacha1685 жыл бұрын
Asanteh,Sanaa Wajinaa Wangu.
@abdulyabubakar62475 жыл бұрын
KAMA MNAAMINI HUYU DADA HAJUI KUMUHOJI MASWALI HUYU DOGO MASAI MZUNGU GONGA LIKE HAPA
@brownjulius85145 жыл бұрын
Wazungu wana akir sana zakutafuta pesa mama kaona watoto wajifundishe kimasai wakishakijua2 wanaenda piga pesa swiden kupitia mavazi yakimasai na e.t.c daah good Oscar
@dodilasmathias52455 жыл бұрын
When i watch this i really proud to be maasai ,always people talk shit about it because they don't know the reality of maasai they jus listen the negativity people spit about that tribe ,anyor olosho lengai 😍🙌
@mercynayian30975 жыл бұрын
True osotua lai
@susannemakwayanyange7514 Жыл бұрын
Be proud but also be aware , time change and you have to let your children go to school, life is NOT cow, 😂sorry, I love you all but also feel sorry because you are more than 100 years back ❤️
@shaasaid81645 жыл бұрын
Ni noma sana
@nabiilathman24215 жыл бұрын
Hahaha kama umeskia oscar akisema sijakuelewa ... like hapa🤣🤣
@wilma18664 жыл бұрын
Whoah....Whoah. He speaks such sanifu Kiswahili. He is so cute too...
@mariamkhalifa11435 жыл бұрын
Nawashangaa sana wanao mkandia huyo mtoto kuiga mila za kwetu watanzania mbona sxsx tunafata mambo yao yakizungu ambayo nimabaya hayampendezi mngu kweli sisi nyelengumu badoniwashamba mtoto huyu anatakiwa angaliwe na serikali ya kwajicho pevu sana hikini kivutio kizuri kwa utalii pia atakuwa na amsha popo kwa wazungu wenzake mngu ametupatia ridhiki big up dogo
@evamlay89975 жыл бұрын
Hawana akili maana hata kubusiana wameinga mzungu bora huyu mtoto anaiga mambo ya mila
@vanlago75805 жыл бұрын
Asante sana umeongea ukweli kabisa
@godblessjrtz.86525 жыл бұрын
Kwanza mtoto hajaiga mila, Bali amezaliwa na mmasai so ni mmasai
@jbmaru965 жыл бұрын
Da boy don't look even close like the father you guys amazing make things up
@mntwanawabantuacademy41705 жыл бұрын
facts , his facial look like his father but he is too white, no melanin at all, i feel the same way, perhaps maasai is a step father, I have Kid with white chick and i am lighter skin than Maasai guy, but ma baby look more darker than oscar
@Rageedii5 жыл бұрын
Kwani kiswahili kimewashinda? Mlinzi ni baba wa kambo au stepfather wa huyu kijana. Mama alitoka sweden na watoto wawili tu kisha akaja kuelewana na mlinzi wake. Oscar si chotara.
@mercynatalia69565 жыл бұрын
Sooo cute, ata ascent ni kimasaai ..
@robertkoila15262 жыл бұрын
I like the calture.hongera Oscar
@brokenigga28425 жыл бұрын
Huyo presenter sasa😂😂😂🙌
@veronicasamwel16765 жыл бұрын
Dogo kaniacha hoi jinsi anazungumza kama Masai og kabisa "nafaa" mbusi"yuko vizuri kama unaukubali ujasiri wa dogo nipe like
@rosandasrose75765 жыл бұрын
He is clever,in 5 years he learnt swahili and kimasai👏👏
@Mokiwa5 жыл бұрын
Ndagu Rosette it's normal for a child
@AP-uk3mq5 жыл бұрын
For kids its normal
@amadabas15355 жыл бұрын
This
@irenesisamo21845 жыл бұрын
Oscar you are the best
@ashaissa5015 жыл бұрын
Love you tot
@dionisjabir28635 жыл бұрын
Karibu Sana tz..
@nancyshamba24415 жыл бұрын
Duh huyu mtoto mbn Kama mtanzania. Anajua kuongea kupita kiasi na hvo atakuwa ni mtu sio wa kawaida
@Mpakauseme5 жыл бұрын
Sasa km kakulia na waswahili unataka azungumze lugha gani , pia na huyo ni mtoto wa kimasai baba yake ni masai . Ni kawaida sana .
@aloycemacha98945 жыл бұрын
mtoto ni bright mwaka mmoja anaongea kiswahili na kimasai sio rahisi
@shabanishabanii62035 жыл бұрын
Nancy Shamba m
@esterbegina10225 жыл бұрын
Hongera sana dumisha mila
@100truth2know5 жыл бұрын
Sema ni kweli uzunguni huku akunaga heshima hakiamungu yaani ni inchi yawa kosefu wa adabu kweli
@dn.n49835 жыл бұрын
Wow l like this boy anaongea k8masai vizuri sana
@seifdisail30075 жыл бұрын
Yaani apo kwenye kupenda SIMBA tu nimekuelewa mzungu masaai
@abdulazizalrawahi68475 жыл бұрын
Hongera baba yoyo
@thebrazz63825 жыл бұрын
The interview though 🤗
@sportsupdatesurebettingpre6325 жыл бұрын
Simba fc mpka kwa mzungu masai gonga like mashabik wa simba
@barakakings5 жыл бұрын
Du,hicho kiswahili hakija kaa sawa. Sema Mmasai mwenye asili ya Kizungu,asili ndio nature ya Mtu ndugu...
@adelamutayabarwa26323 жыл бұрын
Hongera my wf
@janethkimaro34105 жыл бұрын
Mtoto ana akili sana. He build his future. Anatengeneza jina atajulikana sana na atakuwa maarufu. Mungu amtunze coz ni kwa nia njema maana ukitaka maisha yakunyokee lazima utafute kitu cha tofauti na wengine utafute title yako pekee
@simaloyful5 жыл бұрын
I love this! Ashe mbaba lai...
@leylahley35425 жыл бұрын
Watu wengine banaa!! Hivi mlitaka huyu dada amuulize huyu mtoto maswali ypi?..mbona povu jingi tulieni basi.
@omarimkuya5 жыл бұрын
raha sana
@azizimuhibu77715 жыл бұрын
Wana boer
@Mfh6505 жыл бұрын
Hiyo ni poa. Kimila za Africa ni poa sana. Sisi waAfrika ndo tunapenda kusitoroka. WaAfrica wote tusome na tuongea Kiswahili
@zephasafaritv70945 жыл бұрын
mtangazaji ayupo competent kbsa
@mankialema64905 жыл бұрын
Ashenale oscar Yero oscar!!
@guracha2002 жыл бұрын
Very confident boy
@alikhamisame96365 жыл бұрын
Nimempenda mdogo wake Oscar mana na yy hayupo nyuma kujirusha rusha 😂 😂 😂 😂 😂
@ramlahamad54835 жыл бұрын
Nawewe nawe🤣🤣🤣
@nelibaba4 жыл бұрын
sijapenda namna unavyomuuliza maswali..
@felixernesto13665 жыл бұрын
Mwandishi umeshindwa kuwa creative
@Mimi-wf7mb5 жыл бұрын
Mtangazaji kweli maswali yako hayatoa taarifa kamili kuhusu Oscar. Angekuwa Millard Ayo tungejua mengi zaidi.
@queenyahaya31475 жыл бұрын
naipenda tanzania sana yani tunge enjoy kwa Millar ayo
@shuk-bofficial10815 жыл бұрын
Mbona mtangazaji yuko powa
@asmahkibanga58404 жыл бұрын
Kwel asili inatoka Kwa baba mzung kawa mmasai
@juliusjohn94535 жыл бұрын
Ningependa kufahamu maisha ya shule/elimu ya mtoto
@fredernestonline60115 жыл бұрын
Wamasai oyee. Atejo asheee Oscar
@dunsitonik18375 жыл бұрын
A thousand likes to u oscar
@oscarjohn4775 жыл бұрын
swal la kwanza et nngependa kujua kama ww n mtanzania au n mmasai 😂 😂 😂 😂.. mtangazaji eko sana 💪
@getrudepius12025 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 Labda masai sio mtanzania 😲ila dogo noma kiswahili chake kama wamasai original
@josboy53845 жыл бұрын
Hahahaaaaaaa
@fredrickdaudnanga905 жыл бұрын
måvęriçk 26 hapo kachemka
@mtaalamwamambo20995 жыл бұрын
Mtangazaji 😂😂😂😂😂😂😂
@maryamabdalahmakyalue405 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Hak nimecheka
@satatv74973 жыл бұрын
Karibu Tanzania
@dicksonulotu97175 жыл бұрын
Oscar upo vizuri mno,hongera sana
@judithodwar71123 жыл бұрын
The best presenter I've ever seen. Talent
@halimatanzani85875 жыл бұрын
Mtoto mashaallah
@venitarugemalila92902 жыл бұрын
Amejazwa ujasiri safiiiiiiiii iyo
@footballlover23584 жыл бұрын
Dogo aliwahi piga mtu wa miaka 20😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijatonge36364 жыл бұрын
Nampenda Oscar anavyoongea❤️
@asiaasia-pl4fl5 жыл бұрын
Naumiya sana @miladi ayo .kukosa apo kumuogi uyu mtot
@judylee16775 жыл бұрын
Kwel asee
@caromwende43744 жыл бұрын
Ako sawa sana mtoto
@muliamadi8595 жыл бұрын
Kweli uyo mtoto mkweli kabisa, ata apa marekani mtoto anaambia mkubwa hi
@vitalisndailagije2103 жыл бұрын
Nakupa heko OSCAR, Masai bwana
@paulshija76325 жыл бұрын
Itabidi tumtume Millard Ayo
@whitedaniel58395 жыл бұрын
Paul Shija haswa ndo tutaelewa
@caromwende43744 жыл бұрын
Watu wa napenda vya Burr lakini ungemuomba wewe ungepewa neno moja tu ukakimbia
@aminakawawa19355 жыл бұрын
Wow nice
@joshuasamson41745 жыл бұрын
safi sana mtoto mzuri wengine wainge
@happymsaki17205 жыл бұрын
Uko vizuri Oskar
@mtotomzuri88215 жыл бұрын
Kwa maoni na mtazamo wng nahisi CIA wanahusika lkn Mungu inusuru tanzania yetu
@loner_wolf5 жыл бұрын
CIA na Sweden wapi na wapi ?
@mtotomzuri88215 жыл бұрын
@@loner_wolf kua uyaone
@allymadunda79315 жыл бұрын
Haha usiwe na prsha unahisi maandalizi
@mardone88865 жыл бұрын
Acha woga bro,dunia imechange mwingiliano umekuwa kwa kasi kote duniani
@rechokezia82135 жыл бұрын
Hongera sn
@menalikechildren88365 жыл бұрын
Dada mtangazaji ww ni mrembo Mungu autunze urembo wako na husda za watu
@ismailmajala28025 жыл бұрын
Farris Ikrimah 🤣🤣🤣🤣🤣
@erickmroso2115 жыл бұрын
Acha unafiki
@emmanuelzao5 жыл бұрын
Bro huendi mbinguni😜
@josboy53845 жыл бұрын
Da utanivunja mbavu aisee
@menalikechildren88365 жыл бұрын
Eric Mrosso kwaivo ukweli wangu ndo umekuwa unafik?
@DannySJ5 жыл бұрын
Duuuuuuuuh ananyoooosha kiswahili balaaaaa
@saidnassormohammed95895 жыл бұрын
Mnarukia kazi za watu za uandishi wala hamujui
@RahelLemburis10 ай бұрын
Uko juu mtoto
@yusratmmbaga93725 жыл бұрын
Daah Oscar atakuwa na dhakari kama ya wamasai kwa kuwa havai nguo za kumbana bana 🙊🙊🙊🙊😄😄😄
@aminakawiche68675 жыл бұрын
hujielew wew YUSRAT
@yusratmmbaga93725 жыл бұрын
Amina kawiche 😅😅😅😅😅najielewa ila ni imagination tuu
@mariamukajiru18985 жыл бұрын
KWANZA WAZIRI WA UTALII AMTUMIE HUYU MTOTO KUTANGAZA UTALII WA NCHI ILI DUNIA NZIMA WATAMBUE VIVUTIO VYETU, PILI NYIE MNAESEMA HAJUI KUHOJI MBONA ANAMUULIZA VIZURI TU MASWALI YANAYOENDANA NA UMRI WAKE.