Hongera da wema mungu akupiganie ndoa itimie ili wanao kusema KWA ubaya wote waifunge midomo yao mungu akisema ndio hakuna Wa kulipinga ilo inshaallah mungu atimize kusudio LA mioyo yenu
@shamyandward46236 жыл бұрын
nasema dada wema mungu akujaliee kila yenye kheri maana naamin ukisha olewa tuu Mamy utazaaa kwa rehema za mwenyez Mungu naamin lipo kusudi la mungu alilo kuwekea pengine hakutaka uje kuolewa ukiwa na mtoto wa nje ya ndoa mungu anakupenda sana Dada na piah akujalie salama katika safari yako 😘😘😘
@theopistafrank83046 жыл бұрын
muache wema aitwe wema sepeta
@evamcharo19596 жыл бұрын
hongera sn mdada wema uko vizur achen wiv jaman wema anauzee gan mungu akupe maisha maref ndan yandoa yako
@sarahsalum5026 жыл бұрын
Waoooooh, Ee Mungu na iwe kweli isiwe kiki Big up xana sister wema
@janepherimany18956 жыл бұрын
hoger xan kwakumpa upndae mwenywez mung hakujarie katk ndoa yk
@tumainmtitu60966 жыл бұрын
Wow cku hyo itakuwa poa sanaaa
@allykafyompos40446 жыл бұрын
sarah salum CDwxx
@gabrielibrahim58424 жыл бұрын
Wemawema usije kumukwaza huyo jamaa nadhani anatafuta umaarufu tu wema huzai wewe Sasa itakuwaje? Wema jaman unamtafutia Kiki huyojamaaa haya ngoja tuone
@anecentwaelewayote23524 жыл бұрын
MTU ni wa kwenu lakini mnamponda sana na maneno machafu kwan uzee ndo kusema nini watanxania styleup wivu ndo sana acheni ili nanyi mbarikiwe wema u r my world my dear good luck
@marryadam68306 жыл бұрын
Hongera Dada wema nimefurahi sana kuskia unataka kuolewa ili watu wapunguze kutaja mdoni mwao jina lako
@عليالشبيبي-م4ق6 жыл бұрын
umzaniae siyo jaman himesikika mwisho wema kupata mume mungu awabarik sana turia wema chunga sana sim zina acha nisha ndo my muesli much mumeo tuna kupenda sana mashari wako
@josephsilau57196 жыл бұрын
Mungu akufungulie njia ya maisha mapya katika ndoa yako
@saadasimeo24125 жыл бұрын
Nyie hamjierewi hata kidogo huyo wema mrimuzeesha nyie hongera Sana Dada wema bado mtoto mmbichi Kabisa anaripa Kira kona
@dianalyanga33106 жыл бұрын
tena da wema maneno Ya watu yaone kama mbolea tuu ☝achana nao. wasiokupenda itawacost. mungu ndie jemedari wa vita
@marinemodest17986 жыл бұрын
loo acheni wivu wenu nyie. wivu gani huo hadi kushindwa kuuficha. hongera sana wema. MUNGU aibariki ndoa yenu
@fadmediatz4 жыл бұрын
Kazi kazi
@ruthdorcas69626 жыл бұрын
Wema tunakupenda 254 sana,hata kama wanakuonea wivu hao sio mungu na usikubali media ikuharibie harusi,penda mwenye anakuoa na mungu abariki hiyo ndoa.mtangazaji yeye ndio mzee.😂😁😁
@peristinga13526 жыл бұрын
I lov u wema ...hongera always mwaaah
@sylviembirize Жыл бұрын
Mungu nimwema Sana
@josephinajohn37796 жыл бұрын
Achen wivu ucjal wema we ni mrembo sana zaid ya sana luv u wema
@irenebenson74183 жыл бұрын
Weny wiv wajinyong allah awe na wew sister pendaaa chan 😘 😘
@maureenanzemoh18696 жыл бұрын
Heheee wa Tz na umbea ni Number one Kenya atuishii na umbea mwacheni wema kaolewe na hamani banaa ata baka mzee unywa,maziwa
@dianalyanga33106 жыл бұрын
hahah.. watuwakishakuwa na wivu huzua vitu vya ajabuajabu... wema kijana saana hajafikia uzee.... binti mdogo wa kuolewa... Dada wema big up.. mung awe nawe.. penda sana ww
@sweetbertbashaya96194 жыл бұрын
Very nice
@emanuelkibwana6306 жыл бұрын
forever love you so much wema i dnt care wanachosema Kama wao vijana mbona awaolew best wishes MA love wema
@abelaernest99055 жыл бұрын
Hongera wema
@happyswai34946 жыл бұрын
hongera madamu wem mungu akutangulie kwenye ndoa yako
@benardzephania77286 жыл бұрын
WEMA BADO MPYA KABISA ACHENI HUSDA
@claramassoro33126 жыл бұрын
Mungu akuepushe na husuda za waja. Ndoa yako iwe ya Baraka. Anaesema wema ni mzee mbona yeye kijana hajaolewa..? Acheni wivu mwenzenu akifanikiwa mpongezeni, huu ndio wakat wa Wema Mungu karuhusu aolew ww ni nani hata upinge..?
@nasmanasma59924 жыл бұрын
Mashaalla mung akujalie
@brighttvchannel73706 жыл бұрын
waache wanga mungu akujaalie ndoa na pia mungu akujaalie upata katoto inshallah waja xero'
@mkazahamisi85085 жыл бұрын
Mimi naona kuolewa kweli ama
@rukiacassim59304 жыл бұрын
Jaman ni ya kwel hay
@linnwambui33896 жыл бұрын
Am so happy and congrats enjoy your new life
@rozalaizer59856 жыл бұрын
Mungu akutangulie wema nakupenda sana nitafurahi sana kuona ukiwa ktk maisha ya ndoa
@eliudmlolwa8916 жыл бұрын
Umbea utawamaliza tzn hampendi kuona mafanikio ya wenzenu
@davidphares53166 жыл бұрын
hongera sana kama kweli unaolewa mm ningependa unipe kad nishuhuudie live sio youtube
@kapondamsita4765 жыл бұрын
Hongera wema mrembo kutoka singida nyumbani
@marythomas84566 жыл бұрын
Jamn mwachen wema mbona hamwishi kumsema kwan alie waambia wazee hawaolewi nani?duh!acheni ivyo binadam hata mungu hapendi,mwachien mungu amuhukumu mwenyewe kwan kuhukumu sio kaziyenu,olewa mama huundo wakatiwako .
@salmasalma82034 жыл бұрын
Honger dada
@seyaorongo74665 жыл бұрын
Wakati Wa Mungu ukifika wanadamu hwz kuzuia Mungu aibariki ndoa yake
@jojimbecha3004 жыл бұрын
Kay
@telespholmathiasmathias74175 жыл бұрын
Hongeleni sana
@rabiaathuman58656 жыл бұрын
Hongera Mwaya mungu yupo pamoja nawe wem love ❤️
@edwardmisana90346 жыл бұрын
Rabia Athuman mshukuru mungu
@kaizboy30745 жыл бұрын
Kila. laeriWema
@rechomakungu53426 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu wema sepetu
@furahatarimo69476 жыл бұрын
Hongera kpnz uckate tamaa
@niyonkuruesperance55765 жыл бұрын
Wema sepetu congrats nakupenda sana
@godmillion99354 жыл бұрын
Inawahusi
@nahxiouxally90154 жыл бұрын
Yaaaah Allah bless u my dàda
@zuleikhaahmed804 жыл бұрын
New life and then may Allah bless you Insha Allah kila duwa Jema Allah ajibu
@tundaclassic27046 жыл бұрын
mabrouk wema hongeraaa
@kishokatz10584 жыл бұрын
mambo
@simbabbq44274 жыл бұрын
Namuhurumia bwanaharusi jaowa dimbwi atazamatu
@anacletferuz49546 жыл бұрын
Hongera sana mtangazaji unajua kuongelea myuma ya mike
@fredrickjulius37096 жыл бұрын
hongera saaana wema
@scayroad85005 жыл бұрын
NDOA HUPANGWA NA MUNGU HIVYO YAKE NDIO IMEFIKA NDOA HAIWEZI FUNGWA BILA MUNGU KUPENDA,WANAOLEWA WATU WAKIWA NA MIAKA 70 LEO MNASHANGAA NN WAJA WA MUNGU,KUOLEWA NI SHERIA KUZAA NI MAJAALIWA.
@rosekanyika47736 жыл бұрын
Majungu yenu kwangu nimbolea
@mawazomwamba75034 жыл бұрын
Sauti yenyewe ni ya Wema Hongera kwa Wema
@ntamugabobizi45805 жыл бұрын
Musimuseme muzehe shidanimoja hazare aone muzuri watamuchezeya dowa hayiko tusu biri ya mwenyezi mungu miye sikumbari wanamu danganya siamini ire dowa bogo
@ab3ab3135 жыл бұрын
wawoooo💖💖💖
@maimunaathman46646 жыл бұрын
Inshallah kila la Kheir mama zetu ni wazee tena bado wako kwa ndoa itakuja kua yy ana uzee gani ,hao wanao mkashifu think twice before you talk rubish
@rajabmkemi71375 жыл бұрын
RSI
@paulinacherement25345 жыл бұрын
Kweli
@bagenshaga31926 жыл бұрын
mung akujalie ufunge ndoa salama Na maisha mema I love you
@zaynababdullah67056 жыл бұрын
Bagen Shaga mungu akijaalie
@zaynababdullah67056 жыл бұрын
Bagen Shaga upate nawatoto mapacha wakike na wakiume
@shabanrashid53216 жыл бұрын
Bagen Shaga
@josephinajohn37796 жыл бұрын
Hongera da wema
@gracehizzanakupendahdnaumw35836 жыл бұрын
mungu akutangulie my dear
@marykel90366 жыл бұрын
Mtapata tabu sana lov yu wema
@walendeaenga98336 жыл бұрын
Ubarikiwe katika ndoa yako
@rehemamasoud36876 жыл бұрын
Ongera saana !!!
@abdallahdullah87225 жыл бұрын
Mukome watangazaji wema sio mzee mungu aiongoze ishaallwa
@shedykhamisi26916 жыл бұрын
hio ndio sawa wema
@hadijangoma82096 жыл бұрын
Hongera mungu akuepushe na husda za waja, na akulinde na ndoa yenu
@faithambugi10636 жыл бұрын
Hadija Ngoma mamb
@franccsebo15426 жыл бұрын
Mungu aibarik harusi yake
@ramseyhewas89926 жыл бұрын
Inshaalah dadaangu hao wanaoxema umri umekwenda xjui Mzee wao ndo wazee wapost picha zao tuwaone tuwache jeoloux manduguu
@georgesospeterwaimani17704 жыл бұрын
Congratulations to you
@helenadenis72345 жыл бұрын
Nikutakie kila lakheri Wema. Karibu kwenye chama cha wasiochoka kuvumilia.
@abdallahjuma81685 жыл бұрын
😂😂😂
@noorsalim46126 жыл бұрын
Mzee lkn nyota yake ya mtoto roho yake kama jina lake i love u wema
@kadarahbishop6936 жыл бұрын
Wenma.
@sunguramakono21294 жыл бұрын
Sungur makono
@michaelmusyoka19516 жыл бұрын
Wewe fala tafadhali mwache wema na maisha yake kila kukicha story za uongo I wonder even why I open your posts.From today on I'm listening to Millard Ayo pekee he know what he does ,doe it well and it's always the truth no lies ,no propaganda.watch my pace you goon.
@rahmajamalmakere58666 жыл бұрын
hongera dad
@MASELF8736 жыл бұрын
Am happy for you wema sepetu, congrats
@claraanthony16656 жыл бұрын
Waooo Hongera my love wema
@mariamkilasa45736 жыл бұрын
kwann mnamfatilia Sana zar inawezekana kawazid ujanja ,,,,,mnashindwa kufanya yenu mnakalia kumjaj mtyu namaisha yake
@happykomba24436 жыл бұрын
Mungu amjalie
@rahelngwavi47496 жыл бұрын
Mungu amujalie
@julianapetro38975 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@yaelvictor58096 жыл бұрын
Bora hata yeye kulikowanaozalishwa ovyo kama paka bila ndoa mnawasifia heshima ya mwanamke ndoa ushamba wenu tu prince hary akaoa mwanamke mlatikiwa actress kama wema miaka 36 lakini kwa vile alikuwa makini hakuzaa ovyo angeingiaje kwenye ufalme na watoto haramu? Kama kweli hongera sana wema hata ukipewa mtoto wa mume halali ni heshima kubwa kuliko kujifia unazaa na mababa kila mtoto ni ubatili hata kwa mungu
@mariamuramadhan22386 жыл бұрын
yael victor ongerawem
@khadijaseleman46916 жыл бұрын
Hongera sn my Dada wema
@tokanyefikirini58516 жыл бұрын
That's good Wema
@yvetteniyibigira38336 жыл бұрын
Ongela wemaaaaaaaaaa ni meku misssssss bureeeee na sijakuonaka ongela dada
@denisifransic24556 жыл бұрын
Hongera Wema mpe shemu haiiiiii
@faithelibariki31516 жыл бұрын
hivi ukiwa na miaka 29 ndio mzee, acheni wivu Dada wawatu bado mdogo sana hata 32 bado
@laurynnakitare40256 жыл бұрын
Journalist wa Tanzania mbona ni waongo hivi...mnaboo sana.
@sangalukas72016 жыл бұрын
Anae sema wema mzee yeye ndo mzee
@majimatitucharambe72546 жыл бұрын
Ndoa njema mami
@dadakaka99946 жыл бұрын
joti
@AnnahMwingira3 ай бұрын
Kaolewa na nani?😊😂
@zainabguthera79236 жыл бұрын
If its true wema all the best in ur marriage
@patricklyandu80766 жыл бұрын
Hongera sana
@ezekiahtvtawanyoanawembeka23556 жыл бұрын
love n Kitano bro
@halifaomary81206 жыл бұрын
ziara ya rais makufuli
@yohanampanzi88794 жыл бұрын
Uqendo kone
@beatricedaniel16016 жыл бұрын
Hongera
@kijadossa31846 жыл бұрын
hongela kwakuolew
@joanbwire19326 жыл бұрын
Nakupenda tu wema wangu
@bjzee19816 жыл бұрын
Haja fikisha hata miaka 30 mna mwita mzee wengine wenu mna miaka zaidi ya 30 na hamja olewa na watoto kibao kila moja na baba asie julikana halafu mnamwita mwenzenu mzee kwaku olewa. Mwenzenu mambo yakuvunjia nazi njia panda yame isha
@salumalawy75664 жыл бұрын
Hizo ndoa kila siku
@manasejames84045 жыл бұрын
Mmmh achen ushamba mbona ni mwenyewe
@wahidamohamed99656 жыл бұрын
Tunampenda wema
@missjasmine48826 жыл бұрын
wema kufungua ndowa lin acheni utuletea ujinga bana
@rachelkasheto39655 жыл бұрын
Mungu ni mwema, endelea kumwomba
@dianadeogratias75336 жыл бұрын
wema sepetu co mzee hacheni kumpeleka ambako hajafkia
@judithmlongeca16386 жыл бұрын
wahongo nyieee
@racheljohn12296 жыл бұрын
a
@racheljohn12296 жыл бұрын
nataka ekidi
@ab3ab3135 жыл бұрын
wawooo💖💖
@ummyissah14914 жыл бұрын
diana deogratias umeonaeeee
@alesnema95965 жыл бұрын
Aki orewa namimi ntapita nawowa hapo hapo gafra bira kutowa tarifa nasubiri uyu mwaka ira bado anachezewa
@jumaalli19794 жыл бұрын
Ni true
@nyadzlady87806 жыл бұрын
insha'Allah
@neemaayams39226 жыл бұрын
hongera wema
@tinnachriss4586 жыл бұрын
Hongera mamii yamitimia
@mtumishiwamungukazeni19582 жыл бұрын
Saf
@fatumakhan44114 жыл бұрын
Wemasepetu
@adiveernest50576 жыл бұрын
Majungu acheni jaman
@minahummar12595 жыл бұрын
Ovyooo
@shamilaalfred39896 жыл бұрын
hongera Da wema
@doricewavanesa11066 жыл бұрын
napenda cna wema apate ndoa na mtt piah love cna wema sepetu
@fredickaugustin14336 жыл бұрын
Wema nyumbu mugumba WA taifa na muzee hakuna kitu akili ziro