Hivi ndivyo Billnass na Nandy walivyoingia Ukumbini Kwenye Sherehe ya Harusi yao Mlimani City
Пікірлер: 98
@Kidotii2 жыл бұрын
Hii harusi ni Konki true love still exist! Hongeren sanaaaa
@hamidayanga82242 жыл бұрын
Nandy kafunika harusi zamastaa wote bongo🙌🙌🔥🔥
@hamisasaid6419 Жыл бұрын
👌
@raelwere3300 Жыл бұрын
Ukweli
@quinvilleochiel2827 Жыл бұрын
@@raelwere3300 okkñi
@FrolaPaul-bv9wy4 ай бұрын
Kenge
@FrolaPaul-bv9wy4 ай бұрын
Mamb
@munaahmed84992 жыл бұрын
Naomba Allah anijaalie nipate mume na mie niwe na mwenza wng insha Allah
@CatherineNzeki Жыл бұрын
Mwamini MUNGU na usiache kuomba
@munaahmed8499 Жыл бұрын
@@CatherineNzeki haya dada yng nimekusikia
@CharlesMwanganyi11 ай бұрын
Amin InshaAllah
@zulfakibwana61932 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awalinde jamani Amina am from kenya.love you nanndi
@FrolaPaul-bv9wy4 ай бұрын
Oua👠
@DyfDyg-yc5hl8 ай бұрын
I love u both
@ChristinaMalonja2 ай бұрын
Niliipenda hiyo jamani walivyo ingia
@jacklinelyimo74072 жыл бұрын
Hii ndo weeding imefunika Tz wamejitahidi sana
@raelwere3300 Жыл бұрын
Na hakuna mwenye atafanya kuliko hii
@emilywambui91922 жыл бұрын
Waoooh the best wedding ever
@raelwere3300 Жыл бұрын
👍
@anicyaedward56052 жыл бұрын
Waha watu walinitoa stress zote yan kila nikiwaangalia nifeel happy more than them 🤗🤗🥳
@anicyaedward6257 Жыл бұрын
Sichoki kuwatazama billinas na nandy...as I was saying this couple is powerful proud of then..goo prove them wrong guys
@raelwere3300 Жыл бұрын
Nawapenda sana
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Sure
@ceciliaathanas7512 жыл бұрын
Beautiful❤❤❤❤ hii kweli ni wedding
@annnyambu23792 жыл бұрын
Yes after church here
@raelwere3300 Жыл бұрын
Inashinda hata ya president
@marymassawe97092 жыл бұрын
Mmetuweza,hongereni sana.Hatariiiii
@abdallahmchange1370 Жыл бұрын
Hii ni sherehe bora ya harusi kuwahi kuishuhudia kwa umri wangu wanandoa wapo vizuri wageni wapo vizuri na ukumbi ulikua lit Sana
@Christineonsongo8 ай бұрын
I always like this couple they are the best ever
@RodaMilinga8 ай бұрын
Nandy ndie staa aliependeza zaidi katika harusi zote za mastaa
@theresiamagnius15032 жыл бұрын
Mmm emsi nae kajitahidi jamani,haijawai tokea kama hii naona rahaaaa kwanyie kufikia lengo lenu
@mimiummie Жыл бұрын
Mc
@raelwere3300 Жыл бұрын
Haitawai kuwa
@merinankullua58742 жыл бұрын
Hii kweli ni Wedding na sio harusi
@tausiomary52942 жыл бұрын
Hii Ni fantastic kwakweli aitatokea
@nuuringoogle41042 жыл бұрын
Beutiful so beautiful 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽♥️♥️♥️
@benardmbukwa Жыл бұрын
Mungu awajalie maisha malefu
@emfamily24282 жыл бұрын
wachagga naomba likes zenu, toto la kipare nandera tumemleta nyumban nahavache thanaa vapare vosee
@ombogovincent4 ай бұрын
i really love your voice nandy
@mshangaemmanuel89642 жыл бұрын
Hongereni mastaa wa bongo
@sarahmeena34722 жыл бұрын
Waahooo nice wedding mayGod bless ue
@CherissaRukundo-wp9ph3 ай бұрын
I love so much
@PendoSolo2 ай бұрын
Akuna km iyo bongo❤❤❤❤
@winfridagama58322 жыл бұрын
Kumbe Nandy unapacha hongera
@azzamahamdu70392 жыл бұрын
Harusi ya TAIFA dr chen anaangaikia ugali wa wanae.umc kazi
@esupatthomas5881 Жыл бұрын
Nice nawaombea ndoa idumu Mungu awatangulie
@HUSNAHARUNA-zm4qz3 ай бұрын
congratulation to ue dr
@JaneSanga-b5n Жыл бұрын
Beautiful
@conymbetsa93772 жыл бұрын
Duuuuh cjawahu Ina 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@dorisjessy5960 Жыл бұрын
Ilikuwa sherehe ya kistar kweli
@furahamanju Жыл бұрын
Hujapata mpinzani my nandy.harusi yako bado ni namba moja bongo nzina
@sofiajohn55632 жыл бұрын
Wooow is so beautiful ❤️❤️
@mbwanakipande7792 Жыл бұрын
Woow
@shitirandenkya56674 ай бұрын
Nice couple ❤❤
@joycemassewa113 Жыл бұрын
Kila lakheri ktk maisha yenu kutoka moyoni nawapenda sana
@Annastazia-q8v7 ай бұрын
And good
@HellenaJulius-k4k6 ай бұрын
Nice
@mwanapilibaby26472 жыл бұрын
Mliokesha muniambie Billnass kavaa nguo ngapi
@shillah87912 жыл бұрын
4
@FatumaSaid-t4r4 ай бұрын
Watoto wamependeza. Wazazi wamefurahi. Na Mungu ameibariki.wazinifu amuigi,? Shida nini nn?
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Aiseeee,,,, mmeweza vipenz
@DorisiaVictorMututa3 ай бұрын
nitafute hela sasa😂😂
@leaherasto929 Жыл бұрын
Harusi kali kuwah kutokea mpaka sasa 2023 hakuna iliyovunja rekodi
@ndimyakejacob37932 жыл бұрын
Hiii kaliii ya mwaka
@Tobby2542 жыл бұрын
So much ,♥️♥️♥️
@lizahadongo18012 жыл бұрын
Wow 🇰🇪🇰🇪
@bhoken.nyantahe8472 жыл бұрын
Hapo kwenye MC angewekwa Gara B ndio ninja wa mambo hayo
@khadijaamour76542 жыл бұрын
Kweli , ila alipangiwa kwengine
@gracejonh40222 жыл бұрын
Bodyguard kapewa maua 😳
@zulfajuma95408 ай бұрын
Halusi hii haijawahi kuwa na mpinzani
@azizamvungi64092 жыл бұрын
Hadi raha
@zayanamaliseli16792 жыл бұрын
Waoooooo 💗💗💗
@angelaalibnuschacha22442 жыл бұрын
Hii ni konki nandy love sanaaaaaa
@chemutaijosephine68627 ай бұрын
❤
@princemozes992310 сағат бұрын
💐💐💐💐💐🌹🌹🌹👍👍👍
@fatmamrihani68282 жыл бұрын
Ila tuongee ukweli cheni hajui kusherehesha kabsaaa sema wanasapotiana tu yaan anamsimamisha dj uku kasahau kama kiti kinaendelea kuzunguka angestopisha vyotee...billnas alichukia😀
@jessalaisaac.a25992 жыл бұрын
Remember hakutaka watu wajue kama Tayari Wako juu... Na watu wote walikuwa wanaangalia mlangoni mc anasema shangilia watu wakawa hawashangilii maana hawawaoni watu mlangoni Akaona a stop kwanza mziki awatayarishe watu kushangiria then ndo miziki uendeleee wakati huo Ile stage Ina zunguka yaan haija setiwa iende na mapigo ya mziki...
@jessalaisaac.a25992 жыл бұрын
In short wabongo iyo kitu ilikuwa mpya kwetu
@onesmongenzikidegechanacho15872 жыл бұрын
Huyu jamaa hajawa upgraded, ni MC wa kizamani. Angalia hata uvaaji wa suti kaboa.
@dianamdaku98022 жыл бұрын
Kumbe na wew umemuona enh alivyorespond kwa mikono😂😂 yan aliboeka haswaa😂😂