Huyu sio muda mrefu atadhalilika maana akubaliata mpango wa Mungu!
@muhamedjaffar5653 Жыл бұрын
Jamaa anadharau kama kweli we mwanaume.panda ulingoni na kiduku.
@babiddi8620 Жыл бұрын
Ww sio muelewa
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣mtaji wa promota mdogo
@richardgeorge537711 ай бұрын
Hivi kweli ww mwandishi uko makini ?
@DaudiJosephat-tk4qx Жыл бұрын
Bondia Gani huyu ana maneno mengi kuliko vitendo yupo kama muimba taarabu ndio maana alipolwa mikanda mpuuzi huyu jamaa
@sesanyisesanyi-mh7ug Жыл бұрын
ACHA CHUKI BINAFSI. Maneno yake yanakuumiza nini. Acha ROHO MBAYA
@ibrahimally8073 Жыл бұрын
Khaaa eti huyu bondia Gani ?? Panda nae ulingoni ndio utalipata jibu lako
@DaudiJosephat-tk4qx Жыл бұрын
Je? Unaweza mshauli nn mwakinyo kama hata ww huelewi nilicho kiandika au umejibu Kwa ajili ww unampenda sana si ndio huyu jamaa alivyo Anza ngumi alikuwa ni bondia mzuri ndio maana alipata mikanda Ile alio nyanganywa laki siku hizi ni muimba taarabu atuambie lini anaachia Ngoma yake hiyo mm ninavyo jua mpambanaji haongei sana baada yake KAZI inaongea zaidi
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Bob jamaa ana uwezo mkubwa. Jiipuche usije kuwa miungoni mwa wanamchukia kwa kulinda hadhi yake.