Пікірлер
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 сағат бұрын
Mpumbavu wewe huna la maana kenge kabisa wewe
@FadhiliMkisi
@FadhiliMkisi 5 сағат бұрын
Ku sana
@FadhiliMkisi
@FadhiliMkisi 5 сағат бұрын
Unaye hojiwa muma kwer
@victormkini2708
@victormkini2708 8 сағат бұрын
Na nyie nunueni
@pharesjumanne5085
@pharesjumanne5085 8 сағат бұрын
Kwanni mmefukuza wachezaji wote 😂😂😂😂
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 8 сағат бұрын
Makolo bwanjiiiii!!!! Hahahaha!!! Mna shida sana
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 22 сағат бұрын
Naona ktk comments kumetajwa yanga ....hii ni studio au maana sielew....i
@sundaymuyamba
@sundaymuyamba 23 сағат бұрын
sawa kaka
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 Күн бұрын
Kajuna kafanya kazi kubwa kwenye eneo la mapato Kutoka shs 13bn mpaka 25bn msimu huu, kwa muda wa miaka 3 si kitu kidogo. Nashauri abaki kama mkurugenzi wa biashara aendelee kutumia taaluma yake kubuni vyanzo vya mapato. Vinginevyo kiutawala tunaweza kuwa bora lakini kwenye mapato tukarudi nyuma.
@BenjaminiMathayo
@BenjaminiMathayo Күн бұрын
Hajaonyesha kitu acha aondolewe
@halson827
@halson827 Күн бұрын
Sipendi taarifa zinatotumia clickbait ni ushamba...
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 Күн бұрын
HUYO MCHAMBUZI AU NJA TU MUOKOSI WA YANGA
@patrickdaffa1207
@patrickdaffa1207 Күн бұрын
Heshima ya nini kama mtu anauza game heshima ya nn? Simba sio wajinga na simba ndo timu ambayo inaachana na wachezaji vzr sana.ukiona wanafanya hivyo ujue Kuna kosa kubwa kafanya.
@ufundi_tz
@ufundi_tz Күн бұрын
kwani timu ni azam tu .. huyu nae kavurugwa
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 2 күн бұрын
Sheria ya Tanzania Hairuhusu SIMBA NA YANGA kujenga uwanja zitaziwia mapato ya nchi
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 күн бұрын
Huyu jamaa hujui lolote kuhusu soka ni upenzi tu alionao kwa simba
@AhmedMussa-q9f
@AhmedMussa-q9f 2 күн бұрын
Wacha maneno ya kishenzi wee ngedere
@Feitoto-rk1tv
@Feitoto-rk1tv 2 күн бұрын
Lingekua kwa Yanga,ungeongea adi mishipa ingekutoka
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 күн бұрын
utoporo wanafeli wapi hawana uwanja hata wa Mazoezi Aibu sana Avic town si uwanja wa yanga
@tatalyzer382
@tatalyzer382 2 күн бұрын
1:49 mbona issues za Fei Toto na Yanga hukuacha watu au jamii iseme,uliongea mpaka povu lilikukauka mdomoni
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 2 күн бұрын
Uko sahihi kaka
@kasimumughuna201
@kasimumughuna201 2 күн бұрын
Wapi alipowavaa yanga mwandishi????😮😮😮
@musamusa6213
@musamusa6213 2 күн бұрын
Timu yako simba waseme kama unavyotoaga maneno machafu Kwa yanga
@hellenmchomvu6296
@hellenmchomvu6296 2 күн бұрын
Sura tu haina nuru😂kisa kuchukia yanga
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 күн бұрын
Mashabiki wa yanga kitendo Cha mumfata huyu jamaa kwenye mitandao yake na kumponda kinampa nafasi ya yeye kufanya anachota acheni kumtafuta itasaidia Sana kuliko kumjibu kama hivi msikilizeni mpuuzeni
@matiankomola2391
@matiankomola2391 2 күн бұрын
Huyo hana jambo jema la Yanga!
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe 2 күн бұрын
Sema nyie simba mna vihoro sana
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 2 күн бұрын
Utakoma na wachezaji wako (Haishi Manula). Azam haendi utakoma.
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy 2 күн бұрын
Wewe mmakonde kua muazi tu ww ni chawa wa simba
@SelemaniMarko
@SelemaniMarko 2 күн бұрын
Ingekua yanga tungeona makala mpaka yaliyoandikwa kwa kimakonde ila kwa makolo aaaah
@ramadhanimsangi9515
@ramadhanimsangi9515 2 күн бұрын
Aishi alikua duka,.kasahau heshima aliyopewa, akataka hela ya haraka, sasa aombe uwakala wa magodoro GSM
@HappyKitindi
@HappyKitindi 2 күн бұрын
Mbona ya Yanga unaonaga sio sawa, ila ya simba umesema ni kama umeolewa ukubali kulala bila nguo kwahiyo hata kama inaumiza inabidi ukubaliane nayo. Kwa mantiki hiyo ww ni simba au umeolewa na simba kwahiyo chochote wanachofanya huwezi kuwapinga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kutetea makolo tu, kusema mazuri kwa Yanga aaaaaah
@stephanSandika
@stephanSandika 2 күн бұрын
Uwezi kuwa kiongozi bila kuwa mshabiki
@MjMohammed-nt6fq
@MjMohammed-nt6fq 2 күн бұрын
Yaan huyu kumbe akiri hana yaaan anadai viongozi hawafati uweledi lkn yeye nae ni kiongozi amekiri boko kaisha lkn katumia uwongozi wake kumsajir boko jkt ambaye ameisha sasa uweledi wake upo wap mbwea wewe
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 2 күн бұрын
Msaliti Hana lolote mbwa aende zake na mwenzie chama wahujumu wakubwa Aishi muujumu
@raphaelkomba364
@raphaelkomba364 2 күн бұрын
Kuma la mamako we mchambuz
@DENISURIO-r3v
@DENISURIO-r3v 2 күн бұрын
Hujielewi wewe
@enockjlory1814
@enockjlory1814 2 күн бұрын
Ila huyu jamaa anajimalizaga sana ngoja tuone
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 2 күн бұрын
Kwakweli ni aibu kwa Simba na yanga
@user-wv2wr3kl2x
@user-wv2wr3kl2x 2 күн бұрын
Mbona mwandishi unachochea chokochoko Kwan unakijua kinacho endelea acha bwana kuchonganisha manura ni mchezaji wa simba sport
@Dula707
@Dula707 2 күн бұрын
Kama ww tu pia ni shabiki tu Ila unajikuta wewe umenyooka
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 2 күн бұрын
Hapo kwa simba unyooshi maneno wewe mchambuzi uchambuziwako ni wa kubabaisha tu sasa aish kukaajukwaani unaona sahihi semaukweli
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 2 күн бұрын
Yanga wa kisajili roho inakuuma
@bennieoswald8140
@bennieoswald8140 2 күн бұрын
Wachambuzi wengi Nanyi ni washabiki
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 2 күн бұрын
ingekuwa yanga ungetoa maneno .. haya ni maisha tu safari inaendelea.. lakin nibora ungekuwa shabiki tu kuliko kuwa mchabuzi wa kuchambua umeegemea mti fulani tu hivo kuwa shabiki hapo tutakubali wewe mtani tu kuliko unafki
@jofreymsomba4652
@jofreymsomba4652 2 күн бұрын
Mbona anajichekesha tu
@samsonmwaipaja5231
@samsonmwaipaja5231 2 күн бұрын
simba wahun hawana shukran watakula kumi
@robertchazya2351
@robertchazya2351 2 күн бұрын
Pumbav ndo maana hamuendelei
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 күн бұрын
Wewe umeendelea?
@josephmwise3177
@josephmwise3177 3 күн бұрын
Manura namuonea huruma, lkn kwa huyu Jemedar ni sawa tu, Natamani siku moja nisikie Manura kamtema Jemedar.
@adinanzacharia409
@adinanzacharia409 2 күн бұрын
Kwani kakosea wap
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 3 күн бұрын
Jemadari hilo ni kwa simba na azam. Lingekuwa upande wa yanga ugelisema sana chawa wewe. Umesahau ulivyokuwa wayasema ya fei toto
@fadhilisalmu723
@fadhilisalmu723 2 күн бұрын
Huyu ni shabiki wa Simba ndiyo maana anasema ninyonge, haijalishi vyovyote haipendi Yanga hata kidogo