Millard Ayo Big salute to you for giving us good news together with the true related information
@FulgenceangelusKomba19 күн бұрын
Nakubali mwamba wa wagadugu😂😂😂
@CreedySotte-ko8zj19 күн бұрын
Big up sana unafanya kazi nzuri mungu akubariki
@JoyceKileo-o2z19 күн бұрын
Oyoooooooo nimefurai sana jmn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yanga one fire
@NELEWARDYMWASILE-dn1ll19 күн бұрын
Oya APP ilikuwa imejaaa nimekutana na NELSON ORUMA na JEMEDARI SAID Kwenye app 🤣🤣😆😆 Hadi MICKY wao alokuwepo yaaan APP ni nzito MANGUNGU Pia na TRY AGAIN nimewaoana😅😅
@kulthumsaleh557919 күн бұрын
Tumezoea furaha wananchi ila karibu Tena
@Carolina-sm5zt19 күн бұрын
Mungu ni mwema tunashukuru kwa kubakia Yanga mwanetu 🎉🎉🎉
@LovelyOmbreSky-pu4jt19 күн бұрын
Tabuleleleeeee hahaha mwakahuu litakufajitu
@aloycemaarifa860319 күн бұрын
Makolo wanateseka wakiwa wapi now
@AminaTanzania19 күн бұрын
Wao mwamba wetu watu watakura 12 kwa bora Heer Makolo mjipange
@MankaMushi-s4s19 күн бұрын
Asante mungu
@dellyfundi910019 күн бұрын
Hata Adam alikula tunda,, ki ni nan kwa mobeto,,, sema ivoivo tutawapiga tu.
@AminaTanzania19 күн бұрын
Azizikii watu watakura mabao haya idadi
@Tee-King19 күн бұрын
Kila mwana yanga alikuwa anajua aziz ka sign toka jun
Mjinga sana yanga wanamtumia hamisa mobeto hadi azizi kachanganyikiwa. Hamisa amepewa pesa na engineer tangu juzi hamisa alichokifanya nitawaletea proof badae
@warakawayohana289619 күн бұрын
Hawana shukurani hao yanga asepe tu tunamtaka simba
@fatmafatu112819 күн бұрын
Nyie timu mbovu hawezi kushusha hadhi yake kucheza kwa makolo
@MTUMZIMADAWA19 күн бұрын
Daah Mungu mkubwa kweli ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Mumewangu19 күн бұрын
Azizi k utajutia wakati. Manake Binadamu sio samaki. Mabilioni ya mapesa umeyaacha ukivunjika umekula kwako. Lakin nakutakia Afya njema
@MasanjaMasanja-mz3ll19 күн бұрын
Unateseka ukiwa wapi kolozidad wewe?
@HalimaMatembo-nw4tb19 күн бұрын
Sometimes pesa sio kila kt
@hosea791919 күн бұрын
🤪🤪🤪
@HalimaMatembo-nw4tb19 күн бұрын
@@MasanjaMasanja-mz3ll unaeteseka ni wewe unaeingilia maamuz ya watu baad ya kushuughulika na yako yanayokuhus
@user-iz3hs8jl5p19 күн бұрын
anamvunja mama yako labda tena ushindwe na ulekee uyu sio mayele ni aziz k stephan mwamba wa uagadugu kolozipunda wee