HATIMAE TUMEMKAMATA HAWA |TUMEMKUTA KIMBOKA NUSU UCHI |TUMEJIVUA NAE |ATANGAZA KUTUFANYIA BAYA

  Рет қаралды 75,271

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP KAMA TEAM MAXIMUM TV chat.whatsapp.com/CfaBdED329gJqvzl2P6bFr SHERIA ZJFATILIWE
@aishamtangi7272
@aishamtangi7272 3 жыл бұрын
Huyo hawa Kaka zahri amesha kuwa Teja msimfuatilie atawadhuru,kunguru hafugiki bwana
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 жыл бұрын
Jaman kuna watu hawana fadhala kabisa mweeee mtu umepata bahati umelipiwa kodi umelipiwa maji umelipiwa umeme na mtaji juu umepewa na na hela ya kula unapewa khaaa kweli kunguru ni kunguru tu hawezi kufugika kabisa huku waarabun hapawezi huyu maisha ya huku tunajua sisi tunao ishi huku hongera kaka kwa moyo wako wa huruma ulio nao
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 3 жыл бұрын
Nimejiunga name
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 3 жыл бұрын
Nimejiunga name
@naimaathumani1137
@naimaathumani1137 3 жыл бұрын
nahitaji msaada wako kaka zahiri
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Aminaaaaa....Mungu yu pamoja nanyi hatowaacha kamwe.Ahsante Mungu wangu.
@naipendatanzania3248
@naipendatanzania3248 3 жыл бұрын
Tunamshukuru Allah kwa neema ii kuwatoa ktk uu mtihan jitaid kuweka Imani zenu kwa Allah atawasaidia ktk kila jambo
@bethmsigwa6742
@bethmsigwa6742 3 жыл бұрын
Afadhari mmemkamata afungwe tu
@zaitonakondo4617
@zaitonakondo4617 3 жыл бұрын
Yaan mungu ni mwema kapatikana uyu shetani afadhali
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
@@zaitonakondo4617 😂😂😂😂shetan tena
@zaitonakondo4617
@zaitonakondo4617 3 жыл бұрын
@@Awatee yaan uyo ni shetani hana mana ata kdogo
@samiramahmud406
@samiramahmud406 3 жыл бұрын
Poleni sana kaka Zahir, Alhamdullillah Mmempata na Mmemkabidhi Pahali anapotakiwa Na Mmejivua Allah Akulindeni na Akunusuruni na kila Shari, Yaa Rabbi 🤲 Huyu Hawa anafata group mabaya, Hizo Ni Akili zake Potofu tu Za utoto lakini Ipo siku Atazinduka na Atajuta Na Shilingi keshaitupa Chooni, Maana kupata mtu Akakuchukulia kama Ndugu yake,baada ya shukrani, Ukamfanyia vituko Ni Akili mbaya sana Tumuombe Allah SWT Amzindue na Amuongoze Atoke kwenye hayo Ma group Mabaya Na Arudi kwa mama yake Yaa Rabbi 🤲
@bimkubwaothman3726
@bimkubwaothman3726 3 жыл бұрын
Alhamdulillah sihaba fabi kaepukana na kifungo Mungu ambariki huyo aliyetoa ushirikiano mukamkamata
@remiomar7154
@remiomar7154 3 жыл бұрын
Poleni Sana Kwa mtihani muliopata Kwa hawa nilikuwa n hamu iliapatikane mungu atawahidhi n kila mbaya wenu mola atawadhirishia vizuri mulivyo jivua nae dunia itamfunza maana alishashindikana kufunzwa n mamaake
@anifamickidard4555
@anifamickidard4555 3 жыл бұрын
Pole sana Zahir hakika mungu atakuvusha Kwa Kila jambo gumu unalopitia ,,,, Allah atakulinda Kwa Kila Baya ,,, huyu mungu si binadam atalipa kwa wote wanaokufanyia ubaya ,,,,
@sistajoy1
@sistajoy1 3 жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾😭😭ina humaaaaaaa,....
@husnaameen9309
@husnaameen9309 3 жыл бұрын
Bora salama ,nilikuwa nakuimbeeni dua kila kukicha apatikane ili mjivue nae mungu ni mwema ,imetimia hiyo endeleeni tu na huduma kwa wengine kwani wapo wenye shida na utu pia na malipo yapo kwa Allah inshaAllah mungu awape afya na nguvu mtimize m alengo yenu inshaAllah ,poleni Sana fabi na bro zahiri mungu awajalie afya njema ,Ameen
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 3 жыл бұрын
Alhamdulillah. Mungu awaepushie hili na jengine. Ameen
@reymaabintabdillah3727
@reymaabintabdillah3727 3 жыл бұрын
Mungu mwema Sana'a Mungu hafananishwi na chochote hutoa haki kwa yeyote alhamdulillah polen sana
@rukiasaidi3420
@rukiasaidi3420 3 жыл бұрын
Poleni Sana kaka zahri kwa usumbufu wa Hawa kunguru afugiki acha aone dunia
@dottokulwa9145
@dottokulwa9145 3 жыл бұрын
Asante kaka sasa umefanya jambo nzuri sana yule jibwa koko
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 жыл бұрын
Huyu binti Namuonea huruma.. Anasa zimemlevya. Akili hana maisha aliyochagua yanamteketeza mwenyewe.. Hapo alipo ata afya yake sidhan Kama yuko salama.. Amechezea bahati ila tu kaka zangu kuweni makini mazingira mnayoishi sababu anapafahamu asije kuwaletea matatizo..
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 3 жыл бұрын
Ahsante mungu yani bora Fabi kaepukana na adhabu isiyomhusu, hyu bintibona tulikuwa twampenda sana jmn! Leo nimeamin ni bora umfadhir mbuz mwisho wake utamla mboga. Aende jela tu hyo hawez ishi kwa kutisha watu hivyo mjinga hyo
@rokiroki1825
@rokiroki1825 3 жыл бұрын
ALLAH amnusuru amuokoe na hicho anachikifanya kaka zahiri mwenyez mungu nimwema pole na majanga ya hawa ALLAH atakulipa kak
@rahmarahma920
@rahmarahma920 3 жыл бұрын
Mungu nimwema Kaka zahiri poleni sana Mungu AENDELEE Kuwasimamia
@bennytyrant9805
@bennytyrant9805 3 жыл бұрын
Yani nilikua namuwaza Fabi wangu hahahahahhaa afadhali na kasura kamerudi ka furaha🤗🥰🥰🥰@maximum tv
@rahemaheri1615
@rahemaheri1615 3 жыл бұрын
Na mm nilikuwa namuwaza
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Alitia huruma sana.
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
🤣🤣
@aminanahimana7346
@aminanahimana7346 3 жыл бұрын
😁😁😁
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 3 жыл бұрын
Alhamdulh allh awanusur na jingine yarab
@fatmaothmanally9416
@fatmaothmanally9416 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Allah akuepushie na majini km hawa zahir na Fabian
@مباركا-ر3ف
@مباركا-ر3ف 3 жыл бұрын
Alhamdullah Alhamdullah tunakushukuru mwenyeez mungu kupatikana kwa Hawa kwa sasa Zahir na Fabi wako huru Alhamdullah mwenyeez mungu kubwa
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 жыл бұрын
Sijasikiliza bado.. Ila Namshukuru Mungu mmempata na mmejitoa na matatizo yake
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 3 жыл бұрын
Kabisa yani allahmdulillah km mumemkamata nijambo la kushukulu 😭😭
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 жыл бұрын
Sjaskiliza ila nimeinua milono kumpata huyu dem
@aminamsimbe4034
@aminamsimbe4034 3 жыл бұрын
Bange hizo
@nurazain6616
@nurazain6616 2 жыл бұрын
Poleni sana kaka zangu kwa miti hani hii kma mnavo jwa dunia mbaya sana lkn malipo kwa mungu msivunjike moyo bina damu wte si sawa
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 жыл бұрын
Wakwanza leo Tijuane' timu zahidi
@lucyemiliano9811
@lucyemiliano9811 3 жыл бұрын
Kwanini msiachanenae uyoawez kujirekebisha ataumpendevp kashazoea tabia zake
@zuwena1zuwena114
@zuwena1zuwena114 3 жыл бұрын
Karibu
@zuwena1zuwena114
@zuwena1zuwena114 3 жыл бұрын
Dah pole kahadhir yakisha mkuta atakuja juta
@saidmuhina7070
@saidmuhina7070 3 жыл бұрын
@@zuwena1zuwena114 hawa jamani shida vyombo muwape wahitaji alizo kula zimetosha hanashukurani jamani
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Hakuna kisicho kuwa permernent kila jambo huja na kusudi asante mungu kumleta hawa aende magereza huyo najuwa mungu alikuwa na kusudi mungu awalinde nyote azidi kuwapa hekima na maarifa katika hii kazi.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Kama mmefurahi kwa kukamatwa huyu kunguru piga keleleeeee 🤣🤣🤣🤣🤣
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂💃💃
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
😁😁😁😁narud baada ya muda mfupi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
@@naamohamed1042 poa karibu
@arafahassan5257
@arafahassan5257 3 жыл бұрын
Nice
@aishajuma7739
@aishajuma7739 3 жыл бұрын
😂😂
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 3 жыл бұрын
subhanallah sina la kusema isipokua namuomba mungu aniongozee watoto wangu mana ikiwa ni mzazi ni tuombe mungu wallah mana huu mtian
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Hayoo magunia ya mkaa pelekeeni mama happy simwanae anauzaa mkaa
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
umenena 🙏🙏🙏I support you dear
@janesemngindo4878
@janesemngindo4878 3 жыл бұрын
Poleni Sana Zahir namshukuru Mungu yameisha vizuri hawahusu Tena huyo na aendelee na nuksi zake atakavyo. Naomba mtoe sadaka kwa kupona balaa lililokuwa linawasubiri. Anzeni upya maisha kwa kutojihusisha na watu design ya Hawa ambao ni mikosi tupu endeleeni na wenye shida za kiukweli. Zidisheni ibada ili Mwenyezi Mungu awaonyeshee watu wenye ukweli na kuwaepusha na matapeli wanaotumia wema wenu bure kumbe ni waongo. Mungu aendelee kuwalinda.
@Raya-em8wz
@Raya-em8wz 3 жыл бұрын
Alhamdulilah
@edinahmaganga2722
@edinahmaganga2722 3 жыл бұрын
Nimejisikia vizuri sana kwa kukamatwa kwa hawa poleni sana kaka zangu Mungu hawezi kuwaacha nawaombea sana Mungu aendelee kuwatetea msipatwe na mabaya hawa ni mtu mbaya sana ni nyoka mwenye sumu kali muachane nae hana shukurani kabisa
@khalossalim213
@khalossalim213 3 жыл бұрын
Pole zahir wema saanyengine unaponza
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
Kweli kbs
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
@@naamohamed1042 🙄🙄
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
@@rehemasalim4590 😁😁😁vp my
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
@@naamohamed1042 powa sijui wewe wamuona mkaza mwanao😀
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
@@rehemasalim4590 😁😁😁akuuuu mkwe huyo simtaki mie
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
Duuh pole mdogoangu Zahir Muhimu umeshajivua Kunguru hafugiki acha aende Wala usikate tamaa ya kuacha kusaidia wengine sababu ya watu kama Hawa Mungu awabariki na team yako Zahir majaribu ni mengi na yanakatisha tamaa
@kadigatanzaniya4792
@kadigatanzaniya4792 3 жыл бұрын
Fabi na zahir wazur mashallah
@sifatiiman
@sifatiiman 3 жыл бұрын
Sana
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 3 жыл бұрын
Zahir pole Sana Kwa Matatizo yanayokuzunguka.Mwenyezi Mungu atakusaidia na utaweza kuwashinda wanaokuonea.Mimi nitapenda nikuone nikija huko Tanzania . ili nikupe pole yangu..
@rehemaathhmani357
@rehemaathhmani357 3 жыл бұрын
Pole sana zahiri mungu ni mkubwa
@fatumahamza3087
@fatumahamza3087 3 жыл бұрын
Alhamdulillah poleni sana vipenzi kwakumkamata uyo kiumbe mzito asiebebeka achaneni nae aozee jela
@maureenmashayo7401
@maureenmashayo7401 3 жыл бұрын
At long last
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
kama kweli wanadamu wengine wameficha tabia kwenye visigino Hawa akilia utathani malaika jama poleni sana brother Zahir Fabi na team nzima mungu awazidishia💓🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@aminaally2014
@aminaally2014 3 жыл бұрын
Hizo mike niliziona mbili kwa nini kila mmoja asiwe na ya kwake
@cattythebandtz3781
@cattythebandtz3781 3 жыл бұрын
Mungu akubariki zahiri' pia pamoja na kumrudisha kwao hakikisha umemsamehe.
@mwajabuamiri3457
@mwajabuamiri3457 3 жыл бұрын
Mungu ampe ufunuo wa akili ili ajue kuwa haya ayatendayo cyo mazuri. Mungu awatie nguvu Zahir na wenzio wote muweze kuwapa msaada wahitaji.
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 3 жыл бұрын
Kweli zahir bora hama uepuke balaa maana hao watu mtihani
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 жыл бұрын
Alhamdulillah jmn daah huyo mpelekeni police tu kaka zahir
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Arafu ni mzuli kwann lkn anafanya ivyo jamani
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Alhamdullilah, Zahir na team yako mlipambana vya kutosha, kwa ajili ya kumbadilisha sema ndo hvy kunguru afugiki 🤔🤔
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Mnakazingumu nyie munguawasamehe
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Mwambie atuliye hawa maradhi mengi mm namuoneya huruma huyo bado mdongo nzur mashauwalah mungu ajaliye atubu tena ulevi
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 3 жыл бұрын
Alhamdulklah hawa kupatikana ila huyo hawa niadui mkubwa mungu ataxia kuwasimamia kakazsngu
@aishamohammed2124
@aishamohammed2124 3 жыл бұрын
Nimefurah Sana leo kupatkana kwa Hawa, zahri na Fabian , Allah hawape Maisha maref pia muendelea na Moyo huohuo,
@joycenshala1310
@joycenshala1310 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kumuokoa Fabian kwenye matatizo
@mamakeaisha4926
@mamakeaisha4926 3 жыл бұрын
Amepoteza bahati adi namuhurumia msichana mrembo amejitia kwenye maisha magumu
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 3 жыл бұрын
Watu tunashda mpk miguu lkn tunatoa ili wezetu mnyanyuke nasis tutanyanyuliwa na mungu lkn khaaa hamunashukran why lkn tumejithd lkn ww si wakutufnyia hv hawa daah roho inaniuma yaaan😰 hawa na kuita hawa hii dunia mungu alimtuma zahir kuja kubdl maisha yk unasikiliza maneno ya watu unarud kwenye laaana tena Allah akupe wepes ili ujue unachotenda kibaya🙏
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Hata mimi sina kitu nilimchangia hawa lakini hawa umetukosea sana
@monirangerera7155
@monirangerera7155 3 жыл бұрын
Nilijuwa tu mungu awezi kukuacha hail mana umemtendea wema hilo ni lishenzi likubwa ndomana linastahili kupigwa kutolewa manundu kuna muda wema haufai kabisa Ila mungu mkubwa kwajinsi ulivyo mtendea wema lazima mungu akujalie mmmemkamata alhamdulilah siku nyingine husimtolee dhamana kabisa jitu hulijuwi
@monaa7418
@monaa7418 3 жыл бұрын
Alhamdulillahi mmejivuwa n isha allah atoweza kuwafanyiyeni chchte kwauwezo w allah
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 3 жыл бұрын
Duh sikio la kufa . Binti mdogo anachezea maisha
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 жыл бұрын
bora ameonekana changudoa sugu habebeki pole sana team maximum especially Zahir
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 3 жыл бұрын
Kweli ni changudoa sugu do habebeki hata apewe nini mmh
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
mume nifurahisha hadi nikacheka jamani huyo ni kuro fala asiye juwa thamani ya mwili wake jamani 😂😂😂
@leahally4618
@leahally4618 3 жыл бұрын
Ndio zahir Sasa awaangalie tuwachangie wenye mahitaj muhim walemavu wagonjwa wadangaji kuwaacha Sasa
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 жыл бұрын
Subhannahllah poleni sana Allah awalipe kwa ujira wenu.huyo kashachagua maisha yake.
@zanifazan1329
@zanifazan1329 3 жыл бұрын
Alhamdulillah bora mulivyo mkamata
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 жыл бұрын
Poleni kaka zangu Mungu atawasaidia Hawa mwulidishen kwao atawapa shida huyo
@julietmlaki2816
@julietmlaki2816 3 жыл бұрын
ASHUKURIWE MWENYEZI MUNGU,NILIANZA KUWAZA NAMNA AMBAVYO KES INAMRUDIA FABI.YAN HAWA DADA POA ACHANENI NAO KABISAAAAAA YAN MM NAUMIA JUU YA ALIYOYATENDA HAWA NA AKINA THREE MPAKA BASI.ILA ZAHIR KAKAANGU HUDUMIEN WAGONJWA WENYE MADONDA AMBAYO HATA WACHANGIAJI WANAYAONA,ILA SIJUI WALEVI,MADADA POA,MAKAKA POA ACHANENI NAO KABISA.MUNGU ATAWALINDA TU MAANA HII NI VITA NA USHUHUDA MZURI UNAKUJA KWENU NA MTAMSHANGAA HUYI MUNGU ATAKAVYOWAINUA.
@judithkatoto3316
@judithkatoto3316 3 жыл бұрын
Waoooo Asant mungu kaka angunzairi mungu atakubariji tu
@luluathanas1543
@luluathanas1543 3 жыл бұрын
Daaaaaaaaa hatar inaitwa tenda wema nenda zako pole kipenzi wa wengi zahir
@najmamimi5007
@najmamimi5007 3 жыл бұрын
Binafsi nimefurai sana kupatikana kwake hakika mwenye haki huwa haanguki na akianguka hawezi kuumia na akiumia ni kodogo maana Maana Mungu humshika mkono na kumwongoza.....Mungu azidi kuwa upande wenu daima
@asya6861
@asya6861 3 жыл бұрын
Alhamdulillah
@roselambert6700
@roselambert6700 3 жыл бұрын
Poleni sana Mungu ameona mlichokuwa mnafanya,msikate tamaa kwa ajili ya mtu ambaye ameshajikatia tamaa
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Alhamdulilah akatumikie kifungo chake
@mwajumakabesha5662
@mwajumakabesha5662 3 жыл бұрын
Alhamdulillah ALLAH Ashukuriw, Mfanye kazi acheni imani zawatu wasiyo jionea imani.
@ummulkurthumabeid2914
@ummulkurthumabeid2914 3 жыл бұрын
Dahu kweli mungu mwema ubaya hauozi allah atakuepushieni na mtihn hii
@deborabrown2114
@deborabrown2114 3 жыл бұрын
Poleni sana jamani
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 3 жыл бұрын
Pole San kaka zahir mungu yupo pamoja nawe atakulinda
@ummohammed8380
@ummohammed8380 3 жыл бұрын
Subhana allah Waswahili wameshasema Asofunzwa na mama ake hufunzwa na ulimwengu
@johntay8813
@johntay8813 3 жыл бұрын
Alhamndulillah yani mungu ni mwema kuona mmempata iyo hawa
@fidaally5618
@fidaally5618 3 жыл бұрын
Yani uyo kazoea msisha yake ayo
@neemakaluwa536
@neemakaluwa536 3 жыл бұрын
Malaya, hanithi, hawaaminiki kaangu, pole sana Zahar mungu akupe nguvu na subra usivunjike
@fettyharoun1333
@fettyharoun1333 3 жыл бұрын
Alhamdulillah nime furahi sana kuona amekamatwa ashukuliwe wallah 🙏
@ashamaggimba876
@ashamaggimba876 3 жыл бұрын
Mungu Ni mwema, namshukuru amewaepusha na janga Hilo Alhamdullilah
@abubakarramadhani6414
@abubakarramadhani6414 3 жыл бұрын
Daaaah zahiri allah akulipe kaka angu
@aishaathman7340
@aishaathman7340 3 жыл бұрын
Mi nilijua tu atakamatwa huyu kahaba mtoto. Mji haujui vizuri. mjinga sana asikutishe nyau! Zahiri chapa kazi zako kama kawa.
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 3 жыл бұрын
Alhamdulillahi,Alhamdulillahi,Alhamdulillahi 🙏🙏🙏🙏🙏nimefurahi sana Hawa amepatikana nashukuru kakangu zahir,na fabiani mutoke Kwenye hayo matatizo
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah
@zainabzz7241
@zainabzz7241 3 жыл бұрын
Kaka fabi bora umempata hawa maan mm nilikuwa nateseka sana kwa ajiliyako maana uendekufunga kwa ajili ya hawa
@azzahkhalid2094
@azzahkhalid2094 3 жыл бұрын
Alhamdulilah 🙏🏻
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Poleni kaka zagu mtieni dani akafanyie ayo maovu dani.do tujue mkubwa ni yy au serikali.bure ka chai ya sahani
@fatmasayid8895
@fatmasayid8895 3 жыл бұрын
Alhamdulilah tunashkuru M.mungu kwa kukuvueni na mzigo wa hawa
@estertiffathomas5651
@estertiffathomas5651 3 жыл бұрын
Afadhal mmempat kiukwel mm nilikuw namuwazia xaan Fabian yaan Hyooo atawakumbuk xaaan
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Mi niwashauri kitu kuanzia sasaiv mdili na wagonjwa tyu bas hao wenye mazingira magumu waaekeni kando mana naisi hata yule asna ambae nae katelekezwa na mzazi mwezie yawezekana ikawa yule dada ndo boss wake ambae alikua anaishi nae ila awataki kusema ukweli
@Atb300
@Atb300 3 жыл бұрын
Uyu dem sikio la kufa kitampata kitu tu
@veronicavenance6264
@veronicavenance6264 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 3 жыл бұрын
Wajina wako huyo🤣
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 3 жыл бұрын
Huyu ni jambazi alificha tu kucha
@deborahnsimire9728
@deborahnsimire9728 3 жыл бұрын
Pole sana Kaka zahir MUNGU Awa bariki nakuwalinda kwakila changamoto munayo pitiya. twaleni police wakuwalinda kwajili ya Hawa asije akawafanyiye kitu kibaya
@mundhiraliy1307
@mundhiraliy1307 3 жыл бұрын
Ninamuhisi anamaumivu makubwa huyu mama😔 Ninamuonea huruma 😪Allah akujaalie Subra Amin🤲
@paqchatygaga7276
@paqchatygaga7276 3 жыл бұрын
kaka zahir mung akuvue hili na jengine inshaallah..
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 3 жыл бұрын
Bora mmejitoa mungu ni mwemaa
@fatmasinde8596
@fatmasinde8596 3 жыл бұрын
Nimempenda Mama Hawa ni muelewa sanaa😘
@lilianphilemon907
@lilianphilemon907 3 жыл бұрын
🙄mchawi sio kwamba abebe tunguli huyu mtoto ni balaa
@nasraali8363
@nasraali8363 3 жыл бұрын
Alhamdulillah 🥺
@vero57
@vero57 3 жыл бұрын
. Mama hawa uje dar kuchukua mwanao tuu
@rajeep-ni7lh
@rajeep-ni7lh 3 жыл бұрын
Thanks Allah everything becomes alright InshaAllah
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 3 жыл бұрын
Afadhali fabi atalala usingiz 😊kilichobaki fanyeni dua na sadaka inshaalah Mwenyez Mungu Awakinge na mabalaa
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Yaani huyu mtoto hawa hana akili kabisa, na watakuja kumuuwa hana maisha hapa duniani labda Mungu tu amsimamie kiumbe wake,
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 жыл бұрын
Yaani Hapo Tatizo ni hiyo biashara ‘ amini usiamini ni wachache sana huwa wanaacha hata wakipewa MITAJI’ ...Watafanya tu katika mazingira tofauti...!...kiufupi hizo ni laana za hiyo biashara..! Kiufupi sehemu ya KUTOLEA WATOTO haiuzwi...!..lazma uwe na LAANA..!
@hildanzogolo1358
@hildanzogolo1358 3 жыл бұрын
Jamani fabi ni mpole mpk raha
@sabihahamed9682
@sabihahamed9682 3 жыл бұрын
Subhana allah..duhhh wallah nahic km niko mdotoni.
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Hili litoto jmn,mungu waongoze watt wetu
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
Amiiin
@nasratanzania1690
@nasratanzania1690 3 жыл бұрын
Amin kabisa jmn haswa wasichana jmn wanatuaibisha
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
Si aende akatafute huo utajiri mjinga mkubwa huyo ni hayawani hamumwezi Bora tuu mumesahau jela angalau huko akifa Watu watamzika
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
AaminaYaaarab
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 3 жыл бұрын
Amiin
@vivianrweyemamu1555
@vivianrweyemamu1555 3 жыл бұрын
Kweli binadamu vigeugeu unapata njia ya kutoboa kimaisha unaona Bora uuze k jaman dah wkt wengine tunataman tupate hata msaada lakin mungu ndo anaejua mwenye bahati huwa habaatishi
@ruthobiga4778
@ruthobiga4778 3 жыл бұрын
Good news, God is great 🙏
@asmhatanzania8697
@asmhatanzania8697 3 жыл бұрын
Subhanaallah Binaadam ni Mtu wa ajabu Sana, Huyo alizoea kujiuza na kuacha ni ngumu
@منايليسليمانالراشديالراشدي
@منايليسليمانالراشديالراشدي 3 жыл бұрын
Alhamdulillah🙏
@habtyaminasadala1943
@habtyaminasadala1943 3 жыл бұрын
Mm nashukuru tu mmempata muacheni na maisha yake
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 10 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 345 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 78 МЛН
INAUMA AKUBALI NDOA YAKE IVUNJIKE KISA MUME KUMUOMBA KINYUME CHA MAUMBILE
55:09
ZAHIR AFUNGUKA MAZITO YA HAWA |KUMBE AMETOROKA |AJULIKANI ALIPO
57:43
Maximum Tv Online
Рет қаралды 41 М.
HAWA ARUDIA KUJIUZA MWILI KUVUTA BANGI NA KULEWA |KAKIMBIA HUKUMU |ANATAFUTWA
1:19:25
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 10 МЛН