Wewe dada acha kuingilia usiyo ya Juan doctor anasema kuwa maziwa yatarudi kuwa vile vile kama utanyonyesha .ndiyo ujue umbaaji wa mungu ndiyo sahihi hatautumie pesa kujitengeneza utakavyo lakini utabeba mimba yatakuwa na utanyonyesha yatarejea Asante mungu kwa uumbaji wako .
@ibrahimkasim922 Жыл бұрын
Wataweza kweli au wataweka Maputo yaleyale
@sheilalema9808 Жыл бұрын
Aki nikuomba kwa mungu nakusalisana aisee😢
@scollantandu23504 ай бұрын
Sasa simngesema hata bei jamani tujuee 😂
@henrymbilinyi-bt9mi Жыл бұрын
Soma Neno la MUNGU KTK injili ya Math,24 inasema maarifa yatakapo ongezeka sana maasi yaani uasi juu ya MUNGU utaongezeka pia .Hizo ni dalili miisho ya Cinia Asomaye na Afahamu
@saidjumasaid3924 Жыл бұрын
Mwanamkwe mwenye matako mtamu bana
@sskondopoleani9616 Жыл бұрын
Kama hatukubali kusoma na kuangalia dunia inakwenda wapi na kubadilika mambo mengi yatatupa SHIDA baadhi yetu. Hili jambo la kubadilisha maumbile halikuanza sasa, hii inaitwa Cosmetics Surgery kwa jina la kitaalamu, Uingereza kuna Mtaa unaitwa Harley Street ni maarufu kwa kazi hiyo, ukienda America kuna Beverly Hills Cosmetic hospital, kazi ni hiyo na kwingineko duniani zimeanza miaka mingi sana na wateja maarufu kwenye hospital hizo kwa wakati huo ilikuwa ni warembo wacheza filam. Sasa dunia imepanuka na sisi ni waigaji wakubwa wa mambo ya kimagharibi ndio sasa twalimbuka na kuacha tamaduni zetu. TUOMBEANE DUAA.
@ManajmaMashaka10 ай бұрын
Beii vp
@kiya0910 Жыл бұрын
Mm nataka kupunguza tumbo
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Жыл бұрын
Tatizo sio pesa tulinde utamaduni wetu
@nyabugongwe2933 Жыл бұрын
Kwangu hiki sio Cha maana Kwa sababu mnawapoteza watu yaani badala ya KUFANYA tafiti ya magonjwa mengi nyie mnaleta haya
@papyclavery3601 Жыл бұрын
huduma ya miguu iliyopinda inakuaje
@singidaone5628 Жыл бұрын
Yaan wameshindwa kutafiti ukimwi watu wakapata kupona na serikali ikapunguzia gharama za kuagiza dawa nje
@andrewjulius6796 Жыл бұрын
Wangeleta na huduma za kuongeza maumbile ya kiume ili tuone hiyo foleni kubwa kuliko hata upigaji wa kura
@safiasaleh669 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@lydi791 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Baba Levo ukifikiya apo kupuwa unanichekeshag😂😂😂😂iyo puwa ayina neno wewe ni dume