HATIMAYE MTOTO WA MIEZI SABA ALIYETEKWA NA WASIOJULIKANA APATIKANA,POLISI WAFUNGUKA MAZITO

  Рет қаралды 50,678

DAR ES SALAAM NEWS

DAR ES SALAAM NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 409
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 10 күн бұрын
Kwanza kabisa Shukrani nyingi sana kwa Mungu wetu kwa ulinzi juu ya mtoto wetu. Pili asanteni sana jeshi la Polisi kwa kazi njema na utumishi uliotukuka Mungu azidi kuwaimarisha zaidi na zaidi hongeni sana
@oliverkyara8232
@oliverkyara8232 10 күн бұрын
Asante sana Mt Ruta wa Akashia Umejibu kwa Wakati Sifa na Heshima Zimrudie Mungu Mwenyewe. Mungu Ana makusudi makubwa sana na hii familia
@SarahRobert-o6e
@SarahRobert-o6e 10 күн бұрын
Asante Mungu Kwa kuntunza Huyu Mtoto,, na Mbarikiwe Sana wote mlio ombea familia Hii vyombo vya ulinz pia Mungu azidi kuwatumia Kwa visa vikubwa Amen 🙏🙏🙏
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 күн бұрын
Amina na kwako pia 🙏
@aminambughi9613
@aminambughi9613 10 күн бұрын
Hallelujah! Ashukuriwe Mungu aliye juu, hongera sana polisi kwa kazi nzuri
@NeemaMsongo
@NeemaMsongo 10 күн бұрын
Hongereni sana jeshi la police kwa kazi nzuri. Yani huyo mtoto ametuliza wengi jamani . Kwa kweli mungu ametenda.❤❤❤
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 10 күн бұрын
Badae mnailaumu jeshi km hawafanyi kz
@AidathRweyongeza
@AidathRweyongeza 10 күн бұрын
🤣🤣🤣 ndugu yangu haya ndo maumbile ya binadamu Kama mtu anamuasi mungu anayempa pumzi bila malipo iweje hawa ndugu zetu kikubwa ni subra​@@SaumuSaidi-z2v
@mrhekimasuleiman3884
@mrhekimasuleiman3884 10 күн бұрын
@@SaumuSaidi-z2v hakuna anae laumu jeshi la police! kama yupo hana ufahamu aombewe! hivi police wakiacha kufanya kazi week moja tu!! uharibifu unaoweza kutokea ni mkubwa sana. nawapenda police, napenda sana Jeshi letu. najivunia etiiii!
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 күн бұрын
Sana
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s 10 күн бұрын
​@@SaumuSaidi-z2vlawama zinakuja wakiawaachis
@JethaDololo
@JethaDololo 10 күн бұрын
Asante Yesu, unajibu Maombi ya watu wako. Hongera sana kaka na wifi nilifunga hata kama siwajui
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 10 күн бұрын
Kweli yani uyu mungu wetu apewe sifa siku zote
@CharityChao
@CharityChao 10 күн бұрын
Kama mtoto amepatikana sote twashkr Mungu wambinguni watching from Kenya
@umsoud3306
@umsoud3306 10 күн бұрын
Alhamdullaah RabilAlaamiin, tumshkur Allaah kwa kupatikana huyu mtoto akiwa Salama wa Salmiin
@Loishiye
@Loishiye 10 күн бұрын
Asante Mungu hukuruhusu baya litokee kwa huyu mtoto
@merrymoshi3148
@merrymoshi3148 10 күн бұрын
Haleluya. Yesu Atukuzwe. Nimefurahi sana kwa kupatikana kwa mtoto. Mungu ni mwema sana
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s 10 күн бұрын
Sema mungu
@machakuroger7068
@machakuroger7068 10 күн бұрын
​@@TatoTato-t7sandika Mungu sio mungu
@ceciliamsanga
@ceciliamsanga 10 күн бұрын
Mungu mkubwa Alhamdulillah
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 10 күн бұрын
Asante Mungu.kwa kuliongoza jeshi la polisi.Asante kwa kupatikana kwa mtoto.
@Allybinamour
@Allybinamour 10 күн бұрын
Hongera kamanda na hongereni zaid jeshi la polisi kwa kazi nzur.
@ezekielmlay8219
@ezekielmlay8219 10 күн бұрын
Hongereni sana makamanda wetu, stahiki zenu mmekwisha kwesha pewa Mungu atawafanikisha kwenye mambo mengi katika mahitaji yenu.
@lilylekulelilylekule5242
@lilylekulelilylekule5242 10 күн бұрын
Uhimidiwe Mungu milele... asanteni sana jeshi la polisi Kwa kazi nzuri.. ❤hongera zimueendee pia mama yetu kipenz Amiri Jeshi mkuu wa Tanzania ,Mh. Sana Samia Suluhu Kwa uongozi uliotukuka❤tukio hili liliumiza mioyo ya wengi.
@liliantemba1181
@liliantemba1181 10 күн бұрын
MUNGU utabaki kuwa MUNGU milele yote. Huyu mtoto alikuwa ananiumiza sana🙏🏼
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 10 күн бұрын
Sio wewe tu ni jambo la kumshukuru Mungu sana
@joharyMussa-kc5vs
@joharyMussa-kc5vs 10 күн бұрын
Nimefurahi sana mtoto huyu kupatikana Asante mungu hakika umetenda miujiza
@chinduhunja6945
@chinduhunja6945 10 күн бұрын
Asante sana Mtakatifu Anthony wa Padua, kwa kupatikana kwa mtoto. Ee Mungu wewe ni mtenda miujiza jamani, leo nitakula kwa amani nilikuwa nikimwombea huyu mtoto mbele ya Ekaristi Takatifu kwa roho yangu yote.
@witnessIzack
@witnessIzack 10 күн бұрын
Ndio nani huyo Anthony Jaman kama ndie kafichua walipokua kafanya kazi kubwa
@chinduhunja6945
@chinduhunja6945 10 күн бұрын
@witnessIzack ooh! Kwa sisi Wakatoliki tunaelewa ila ni hivi Dada Witness ni Mtakatifu anayerudisha watu waliopotea au vitu vilivyopotea hii ndio sifa yake kubwa lakini kifupi anasaidia mambo mengi .
@chinduhunja6945
@chinduhunja6945 10 күн бұрын
@@witnessIzack unaweza ku Google historia ya Mtakatifu Anthony wa padua utapata ufafanuzi vizuri. Asante sana kwa kuuliza.
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 10 күн бұрын
asante sana mpendwa MUNGU AKUBARIKI sana
@ShamyAthumani
@ShamyAthumani 10 күн бұрын
ALHAMDULLAH MUNGU MKUBWA TUNASHUKLU KWA KUPATIKANA MTOTO WETU TUNAKUSHUKLU ALLAH
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 10 күн бұрын
kamanda upewe maua yako,Wewe na vijana wako kwa kazi nzuri ya kumpata mtoto.maraika wa mungu asie na hatia yoyote.
@janebrighton8545
@janebrighton8545 10 күн бұрын
Nakushukuru Mwenyezi Mungu Muumba wa Vyote kwa kupokea maombi yetu, Jina lako lihimidiwe, uwalinde watoto wote ni Malaika wadogo hawajui kujitetea hawaelew chochote waepushe dhidi ya watu wakatili wanaotumiwa na shetan. Asante kwa wananchi wote mliojitokeza kusaidia jambo hili, Asante kwa yombo vya usalama kwa ujumla Mwenyezi Mungu awabariki kwa jitihada zenu hongera Sana.
@patriciawafula4705
@patriciawafula4705 9 күн бұрын
Aaaaaaaaah God is gooooood .....aaaaaah Mungu ni mwema. This is what i really waanted to hear ❤❤❤❤❤❤ 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@omariputto3315
@omariputto3315 10 күн бұрын
Mungu ni mwaminifu sana na kupitia hili nina Imani kubwa mno Kwa jeshi letu la polisi hakika kazi kubwa Asante sana
@SeraphinPelagiAssenga-t6x
@SeraphinPelagiAssenga-t6x 10 күн бұрын
#Kamanda nakubali sana MUNGU akutie nguvu kazi nzuri ccm oyeee mama mitano tena❤❤❤❤❤
@EugenieLarson-f7r
@EugenieLarson-f7r 10 күн бұрын
Pokea sifa Mungu wetu ❤🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@GloriaMillinga
@GloriaMillinga 10 күн бұрын
Eeh! Mungu ahsantee kwa Hili, litukuzwe Jina lako milele daima
@LearnwithMadamnaomi
@LearnwithMadamnaomi 10 күн бұрын
Amen 😢mweeh , MUNGU AWABARIK WOTE MLIOSHIRIKI KUMPATA MTOTO, NILIWAZIA UYU MTOTO DAH,
@liannsambu7264
@liannsambu7264 10 күн бұрын
Asante MUNGU na asante jeshi la polisi na wananchi
@sarahezekiel5170
@sarahezekiel5170 10 күн бұрын
Hakika Mungu ameona na kujibu.Sote tuliomba na kugusa picha ya mtoto apatikane na kuungana na wazazi na jamii.Asanteni polisi kwa kazi nzuri.
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 10 күн бұрын
Hengeren sana jeshi langu la police Kwa kazi nzuri sana mungu azidi kuwatete katika kazi zenu njema🙏🙏🙏
@marymremi1051
@marymremi1051 10 күн бұрын
Mungu awabariki jpolis kwa kazi nzuri sijali sana mali nilikuwa nawaza tu juu ya mtoto Mumgu nakushukuru kwa wema wako
@carolinemarie721
@carolinemarie721 10 күн бұрын
Jina la Bwana libarikiwe, Hongereni sana wananchi pamoja na Jeshi letu la Polisi. Ushirikiano siku zote unalipa Mungu ibariki Tanzania.
@SMEDIA298
@SMEDIA298 10 күн бұрын
Asanteni sana polisi kwa kazi njema na MUNGU awabariki
@LinahNdondole
@LinahNdondole 10 күн бұрын
Mungu awabariki sana huyu mtoto alikuwa ananiumiza sana Leo nimefrahi sana sana 🙏🙏
@RosemaryMalya
@RosemaryMalya 10 күн бұрын
Mkono wa Mungu ni mkuu Sana Asante Mungu kwako yote yanawezekana
@RehemaMohammedi-r5x
@RehemaMohammedi-r5x 10 күн бұрын
Alhamdulillah Alllah Kariim Ewe Allah wewe ndo kila kitu umekamata utosi wa kila kitu Allah akbar Allah akbar umeshinda kwa Nguvu zako kubwa Tunasema Alhamdulillah!
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 10 күн бұрын
Ahsante Bwana Yesu kwa ulinzi wako kwa huyu malaika
@annangailo9292
@annangailo9292 10 күн бұрын
Kwanza kabsa Asante mungu asante polis wote mlioahiriki kazi hiii mungu awaongezee siku zakuishi tumbo la uzaz linauma malaika hana kosa 🙏🙏🙏
@TumainiMwampashi-z2c
@TumainiMwampashi-z2c 10 күн бұрын
Asante MUNGU kumrejesha binti etu hakika tumefurahi hongera Sana polisi
@RehemaRamadhani-e5y
@RehemaRamadhani-e5y 9 күн бұрын
Asante mungu Asante kesho rangu mahili❤❤❤❤❤
@ireneinnocent4128
@ireneinnocent4128 10 күн бұрын
Asante sana Yesu. Sifa na utukufu ni kwako
@shabanngasa2501
@shabanngasa2501 10 күн бұрын
Asante Yesiu Kwamakamanda Watu
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe 10 күн бұрын
Mungu nimwema sana
@RuthJacob-hp8iq
@RuthJacob-hp8iq 10 күн бұрын
Namshukuru mungu alie haikupatikahuyo malaika mungu ni mwema Kila wakati
@stevenntahondi-md6xe
@stevenntahondi-md6xe 10 күн бұрын
Asee shukran sana jeshi tukufu la polisi mmetuondolea majonzi mimi nilikua naumwa kila nikifikilia mama na mtoto jamani inauma sana hongera sana makamanda wetu..Huu uchungu ulitimiza sana
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j 10 күн бұрын
Hayo majitu nyongeni kabisa hongera jeshi la polisi kwa kazi nzuri hakuthamini usingizi mmehangaika huku kule hatimae mtoto kapatikana Mungu awe nanyi
@agathaleonard5974
@agathaleonard5974 10 күн бұрын
Hongera kwa kufanikisha zoezi la kumpata mtoto hicho ndio kikubwa hivyo vingine vitatafutwa .Hongera san kesho la polisi,mkiwezeshwa vitendea kazi mnaweza hongera wote mliofaniksha kupatikana kwa mtoto n gari Mwenyezi Mungu awabariki, huyo mwanamke aliyeatikana na mtoto apate adhabu kubwa ya kufungw zaidi y miaka.30 ili akitok hela awe kibogo na miguu baja
@Maggie824
@Maggie824 10 күн бұрын
Asante Mungu hao.wezi wafinywe kabisa kabisa nawaaione mwanga tena😢😢😢😢
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 күн бұрын
Ashukuliwe alie juu 🙏🙏🙏🙏🙏
@justineMbukwa
@justineMbukwa 10 күн бұрын
Mungu atukuzwe kwa kupatikana kwa mtoto. Shukrani kwa Jeshi la Polisi kwa KAZI kubwa na uaminifu mlioonesha. Mungu atazidi kuwapa baraka kwa kitukio Hilo. Mungu ampe afya njema mtoto
@husnamadai7052
@husnamadai7052 10 күн бұрын
Alhamdulillah Mungu mwema, Kamanda hongereni Kwa Kazi nzuri 💐
@TumpeMwakaje
@TumpeMwakaje 10 күн бұрын
Asante mungu Asante kwa jeshi la polisi mungu awalinde polisi wwtu
@kashrajabu5744
@kashrajabu5744 10 күн бұрын
Wewe utabaki kuwa mungu uwai Wala uchelewi Alhamdul llah 🙏Asante mungu na pia ongelenisana jeshi letu👍
@LucyMathias-u7i
@LucyMathias-u7i 10 күн бұрын
Asante Mungu wangu nakupenda
@linahmacha370
@linahmacha370 9 күн бұрын
👏👏👏👏pongezi kwenu makamanda wetu
@angelakundi5736
@angelakundi5736 10 күн бұрын
God is great.Asante Mungu kwa kupatikana kwa huyu malaika.Pongezi kwa jeshi letu la Polisi.
@DafrosaNyamwiza
@DafrosaNyamwiza 10 күн бұрын
Asante Mungu.Asante makamanda.Yani hata nakosa maneno ya kusema kwa ajili ya shukrani kwa Mungu. Yesu Asanteee ❤❤
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 10 күн бұрын
Asante Yesu sifa kwa Yesu❤
@irenemichael
@irenemichael 10 күн бұрын
Mungu sina chakukulipa umejibu kwa wakati🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@صالحالاسماعيلي-غ3ب
@صالحالاسماعيلي-غ3ب 8 күн бұрын
Alhamdulillaah Alhamdulillaah. Jesji la police Allah awape kheir nyingi pamoja nasi
@RehemaKihoko-jz9od
@RehemaKihoko-jz9od 10 күн бұрын
Asante MUNGU wetu kwa kujibu maombi yetu mana ww hushindwi na jambo lolote pia MUNGU awabariki jeshi la police na majirani wote waliosaidia
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 10 күн бұрын
Mashallah Allah awasimiye kwa kazi yenu mzuli mapolisi
@DorcasKisula
@DorcasKisula 10 күн бұрын
Asante kwa upatikanaji wa mtoto huyu mungu ampe afya njema
@magdalenamayengo4482
@magdalenamayengo4482 10 күн бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya ulinzi wa mttoto huyu
@gililwise
@gililwise 10 күн бұрын
Sifa zimrudie Mungu wetu
@BettyMangu
@BettyMangu 10 күн бұрын
Amina
@EugenieLarson-f7r
@EugenieLarson-f7r 10 күн бұрын
Amen
@maryminja3147
@maryminja3147 10 күн бұрын
Asante Mungu wetu kwa ajili ya mtoto kupatikana. Tumtangulize Mungu kwa kila jambo maana hata wazazi walionesha kutokukata tamaa na Mungu akafungua Neema Yake. Amen
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 10 күн бұрын
Ukimtumaini Mungu hutaaibika milele
@AzizaJohn-w3r
@AzizaJohn-w3r 10 күн бұрын
Alhamdulillah ,tunakushukuru Mungu kwakuwa ,unaweza kufanya njia pasipokuwa na njia, Allhamdullillah, Allah umerejesha furaha na Amani za wazazi,Mungu awabariki wote
@elisantemakiko9061
@elisantemakiko9061 10 күн бұрын
Hongereni Jeshi la Polisi Pwani pamoja na wananchi wote kwa kazi nzuri na iliyotukuka ya kufanikisha kuwatia mbaroni watuhumiwa na zaidi mtoto wetu akiwa hai.,ilikuwa inaumiza na kusikitsha sana.big up na ""KAZI IENDELEE ""
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 10 күн бұрын
Hongera mkuu kwa maelezo yaliyonyooka.wananchi tunatakiwa tuliamini jeshi la polisi tusiwe na haraka japo kweli wapo Polisi wanaoharibu jina lao.Hongereni sana
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 10 күн бұрын
Asante kamanda mungu akujalie hao ni mtandao tusaidie wa🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏
@ZubaidaMrangi
@ZubaidaMrangi 10 күн бұрын
Asante sana mungu,shukran jeshi .la polisi
@LuckyPromise-o4i
@LuckyPromise-o4i 10 күн бұрын
Mungu asante kwa huruma zako kwa hii family. Serikali ya Tanzania mbarikiwe, hii ingekuwa Kenya hawangepatikana wakiwa hai, the God of another chance, thank you God🙏
@ziadayasin711
@ziadayasin711 10 күн бұрын
Allahmdulillah Allah kalimu mashaalllah hongereni san kwa kz mzli
@dorothyndege4555
@dorothyndege4555 10 күн бұрын
Mungu ashukuriwe. Hongera jeshi la polisi
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 10 күн бұрын
Asante Mungu mkuu, hongera kesho letu
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 10 күн бұрын
Mungu utabaki kuwa Mungu katika kila hali lakini sisi Tena sema Asante kwa mtoto huyu hukuruhusu mkono wa adaui kwa mtoto wako 😢😢 wewe unaupendo sana Mungu wetu
@Liberia-r2y
@Liberia-r2y 10 күн бұрын
Kwanza kabisa Mungu asante, umejibu maombi yetu
@dollahmakula6745
@dollahmakula6745 10 күн бұрын
Asante.mungu.wetu..mwema.hongera.jeshi.letu.kwa.kupambana mungu.azid.kuwalinda
@رحيمهعيدرمضان
@رحيمهعيدرمضان 10 күн бұрын
Mungu...ni..mwema..tunashukulusana...jeshi.la.polisi❤❤
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 10 күн бұрын
MUNGU ni mwema sana kwa kuokoa maisha ya mtoto. Hongera Wananchi wote wa maeneo hayo kwa kutoa ushirikiano mzuri kwa jeshi letu la polisi. Kwa namna ya pekee niwapongeze polisi mkoa wa Pwani kwa kuwashirikisha vema wanachi ktk tukio hili la kinyama. Commander uko vizuri sana.
@ashamfunga7875
@ashamfunga7875 10 күн бұрын
Alhamdulilah ametakasika muumba mbingu na ardhi twashukuru jeshi la polisi kwa umahir wao alla azdi kuwaongoza jambo la mtoto limetuumiza sana
@sudymgeni701
@sudymgeni701 10 күн бұрын
Asanteni sana mungu nimwema kwa kumuokoa malaika wake.AMENI MUNGU NI MWEMA
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 10 күн бұрын
Jeshi la polisi Mungu mkuu azidi kuwahifadhi na kuwaangalia hakika kazi mnayofanya Mungu atawalipa 🎉🎉🎉
@MosesMasunga-l3j
@MosesMasunga-l3j 10 күн бұрын
Jeshi la polisi Mungu awabariki kwa juhudi zenu
@happinessnyenyembe6552
@happinessnyenyembe6552 10 күн бұрын
Hallelujah sifa na utukufu apewe Mungu
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 10 күн бұрын
Asante Mungu 🙏🙏🙏🙏
@ScolasticaWillison
@ScolasticaWillison 10 күн бұрын
Polisi hongereni kwa kazi mzuri🙏🙏🙏🙏
@elsaMo-b5r
@elsaMo-b5r 10 күн бұрын
Asante Yesu jicho lako hakika halijawahi kufumba.
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 10 күн бұрын
😭😭😭😭😭 nimelia machozi ya furaha katoto ketu jamani kamerudiii yaaani asante Jeshi la polisi jamani
@MirriamDevis
@MirriamDevis 10 күн бұрын
Na kalivyo kazuri
@FatumaHamisi-u6l
@FatumaHamisi-u6l 10 күн бұрын
Awali ya yote ahsante mungu sambamba na ilo ahsante jeshi la police fanyeni kazi ivo ivo fanyeni kazi ima faima fanyeni kazi kwa ukwasi kwa umalidadi kwa umbunji tumieni cheo chenu vizr kama ivi ahsanteni sana police🙏🙏muongezwe mshaala amina
@Alicenyamwiza
@Alicenyamwiza 10 күн бұрын
Amina Sana mbalikiwe
@UpendoWalter
@UpendoWalter 10 күн бұрын
Mungu wa mbinguni apewe sifa,da niliumia sana moyoni asante Mungu
@Nyaso5417
@Nyaso5417 10 күн бұрын
HONGERA JESHI LET LA POLISI, MI AM SO PROUD NA JESHI LA POLISI TANZANIA 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 YOU ARE THE BEST🙏 PROUDLY 🇹🇿 TANZANIAN 🇹🇿👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️🙌🙌🙏
@Lydiah-wk3lm
@Lydiah-wk3lm 10 күн бұрын
Asante YESU
@sophiaDati-u6x
@sophiaDati-u6x 10 күн бұрын
Asante MUNGU kwa wema wako
@ACHP-o20
@ACHP-o20 10 күн бұрын
Asante Mungu wangu kila wakati nilikuwa namuwaza uyu mtoto
@Nyaso5417
@Nyaso5417 10 күн бұрын
Hallelujah, Hallelujah. Hallelujah 🙏🙏🙌🙌 Jina la Bwana LITUKUZWEE, 🙏🙏👍👍🙌🙌👏👏 Asante Mungu umejibu maombi yetu hureeee🙏🙏🙌🙌🙌🙌🎵🎵 Mtoto umemponyaa🙏🙏 Baba ASANTE 🙏🙌🎉🙌
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 10 күн бұрын
Jamani police wote Asanten kwa kazi nzito Kama hii tunashukuru mlinyosaidia mpaka mtoto kapatikana Got he is Great. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@kezianathan3963
@kezianathan3963 10 күн бұрын
Utukufu kwa Mungu mtoto kupatikana jeshi la polisi limefanya kazi njema Sana tunawapongeza Sana sana
@FransiskaJohn-fq1nf
@FransiskaJohn-fq1nf 10 күн бұрын
Asante mungu kwa hili la kupatikana mtoto
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 10 күн бұрын
Asante Mungu kwaku rejeshea mtoto wetu.
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 10 күн бұрын
Asante mungu asante mungu asante mungu sijui niseme nini mungu nalia machozi ya furaha
В Швеции ищут, кто разорвал подводный кабель
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 52 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Majambazi Waua Polisi Wanne Dar
9:42
Global TV Online
Рет қаралды 135 М.
Scammers PANIC After I Hack Their Live CCTV Cameras!
23:20
NanoBaiter
Рет қаралды 28 МЛН
I Turn Gas Stove into a Water Stove, Lifetime Free Cooking Gas
15:24
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН