Mimi nipo stage ya kwanza implementation nimejifunza namna ya kuanza I hope nitafika mbali
@linnetmbotto72125 ай бұрын
Unaongea vizuri na unaeleweka
@shafiimpilika35742 ай бұрын
Nakuambia bro we akili kubwa sana kichwani, tumegee madini hayo mzee na tunayafanyia kazi hatukuangushi
@misanamanyama242 ай бұрын
@@shafiimpilika3574 Glory to God
@misanamanyama242 ай бұрын
Glory to God
@JustusJackson-bl5gk5 ай бұрын
Somo zuri sana tuko pamoja.👍
@zakariachacha75745 ай бұрын
Bro pamoja sana
@athumanahmad73412 ай бұрын
Kk asante sana ninaku elewa hakuna ambacho sijaelewa
@misanamanyama242 ай бұрын
Asante sana nimefurahi kusikia hivyo
@selemanihussein50735 ай бұрын
Nimeipenda hiyo
@Abdulrahmanhassan185 ай бұрын
Dah leo nimejifunza, ndiomana kwenye viwanda unakuta mtu mmoja ana kazi moja tu hata kama kiwanda kimeajiri watu 3000 lakini kuna mpakiaji, muoshaji, muweka stika na kadhalika kumbe lengo ni kuficha ujuzi 😅😅😅 ahsante sana mwalimu
@misanamanyama244 ай бұрын
Ni mbinu za biashara hizo, kila hatua ina mbinu, mchakato na kanuni zake. Mbinu hizi sio siri tena ndo maana tunazifundisha ili watu wapate uelewa wa kina.
@Abdulrahmanhassan184 ай бұрын
@@misanamanyama24 ahsante sana kwa maarifa endelea kutufundisha zaidi
@stephanosospeter17095 ай бұрын
Asante sana brother
@omarymohamedndondo18015 ай бұрын
Asante MWALIMU
@daudkanyelele48625 ай бұрын
Kaka nimekuelewa kwa ujumbe huu inanipa afya ya akili ....Mungu alibariki sana endelea kuleta maarifa ninayafanyia kazi
@daudkanyelele48625 ай бұрын
Nawezaje kupata mawasiliano nimefuatilia mada zako wewe nimoja ya mtu naona nilikaa karibu na wewe na kunitatulia changamoto za elimu ya biashara kitafanikiwa nahitaji mawasiliano kama inawezekana
@khamisrajabu11075 ай бұрын
Leo umetoa darasa zuri sana,na sasa ndio unatufunza biashara sasa....elim ni muhimu
@swahilistories015 ай бұрын
Naomba mawasiliano yako plzz
@Saidmarez5 ай бұрын
Thanks
@shaddaadkengwah86195 ай бұрын
Fact
@HafidhOmar-rs4ty5 ай бұрын
Misana hii kitu ya kutengeze ushindn huu nimeushuhudia live mpka mwanzilishi kahama mjini
@EfesoMahanga5 ай бұрын
Elezea mkasa watu tujifunze
@HafidhOmar-rs4ty4 ай бұрын
@@EfesoMahanga kumzee wa makamo kma miaka58-60 alikuwa anauza juice ya miwa kwa mafanikio sna wateja kma wote akamvuta jirani yke ambae nikujna kma miaka 40 wakatihuo alikuwa hna kazi akamfundisha kazi vzuri mwisho akawa mzee haingii tna kazn yye akawa anafatilia miwa2 yule kibarua akamleta mtto wke kusaidiana mm alikuwa ni rafkiangu sna akawa aninihadithia ile biashara inafaida sna sna ,kwamaelezo ya yule mzee kumbe alikuwa anamtengenzea mazingra magumu kwa wateja wke ,akaanza kupunguza bei ya juice akawa anafnya mambo mengi ya kukorofishna na boss wke kumbe alishapta boss ktk wale wateja wke ambae alikubalianae amsuport mashne bc akafnyaivyo mdamfup kafungua mashne jirn yke2 kwakweli yule mzee biashra imekufa yote mpka kma ameshort coz hakuwa ametarajia gafla