kama una shauku ya kupata elimu ya biashara ili kuikuza biashara yako Au unatafuta elimu ya kukusaidia kuanzisha chanzo kingine cha mapato ili kuongeza ustawi wa maisha yako
Upo mahali sahihi, Jifunze pamoja na Misana Manyama, mfanyabiashara mwenye uzoefu biashara wa zaidiya miaka 15. Atakupatia vidokezo vya maarifa na mikakati ya biashara pamoja na uhalisia wa stori za kutia moyo na matukio ya nyuma ya pazia katika safari yake yake ya ujasiriamali.
Iwe ndiyo kwanza unaanza au unatafuta kuongeza biashara yako iliyopo, ushauri wa Misana unaweza kutekelezeka na elimu hii itakuongoza kwenye njia yako ya kupata mafanikio katika biashara.
Karibu tujifunze pamoja.
www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1
📲 +255759263287
📧
[email protected]