Hatua Njiani- Nicole Ngabo ( Official Music Video )

  Рет қаралды 178,903

Nicole ngabo

Nicole ngabo

Күн бұрын

Пікірлер: 280
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
nyimbo nzuri hongera sana mtumishi wa mungu
@favourite1
@favourite1 Жыл бұрын
You are blessed...am looking forward to you ...I love you mama
@salomehaonga3455
@salomehaonga3455 Жыл бұрын
God created you purposely your such a blessing
@rahelgabriel2913
@rahelgabriel2913 Жыл бұрын
Pppp
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
Asante sana!
@oscarlute1201
@oscarlute1201 Жыл бұрын
​@@nicolengaboMungu akuweke saana Nicole nakupenda,may God lift you to higher levels mummy
@BeritahWambani
@BeritahWambani Ай бұрын
Ameeen dada nicole napenda huduma yako mungu akubariki❤❤🎉🎉
@beatriceamolo8790
@beatriceamolo8790 2 ай бұрын
Maana ya kunisonga ni mengi Bwana, uniokoe Bwana Uwe kwangu nyumba ya kuniokoa🙏
@anyinyoawange3684
@anyinyoawange3684 20 күн бұрын
Baraka dada Nicole na kikundi nzima. Kazi safi ya kutia moyo.
@innocenttuyisengegospel
@innocenttuyisengegospel Жыл бұрын
RWANDA Kigali tunakupenda sana Dada nice song good message and good melody intro guitar solo it's good but it's short
@profweshytv4879
@profweshytv4879 16 күн бұрын
Je n'avais jamais su Nicole a d'autres chansons aussi douce comme celles-ci, je savais ´´Moyo Wangu´´ seulement..mais je viens de découvrir. Vous êtes bénit
@trevahshuma254
@trevahshuma254 Жыл бұрын
its a vibe ...@nicolengabo❤
@carolinemumo6993
@carolinemumo6993 Жыл бұрын
Amen Amen...Mwaka wa Bwana tutaimba Zioni...Atatimiza aliyosema
@felixbigorore4436
@felixbigorore4436 Жыл бұрын
Amen amen mwaka wa Bwana tutaimba sioni
@priscardanier8264
@priscardanier8264 Жыл бұрын
Hongera nicole wngu kunakipindi nilikuwa nasikilza wimbo wako dk1 kwa mungu inatosha hakika nikusikilza kwaa imani sana mungu ni mwema akanipa na mme ambaye sikuweza kuwaza kumpata nasema kweli kwa mungu dk1 inatosha mungu kubadili mambo
@lucyhauled404
@lucyhauled404 Жыл бұрын
Tiktok brought me here, nyimbo nzuri sana. Ubarikiwe sana.
@evalineokongo5228
@evalineokongo5228 Жыл бұрын
Uwe kwangu nyumba ya kuniokoa hallelujah
@sandraajwang8107
@sandraajwang8107 Жыл бұрын
Uwe nyumba ya kuniokoa mungu 😢
@FionahKmusic
@FionahKmusic Жыл бұрын
Who else is seeing Angela Chibalonza?😭😭 I just found myself crying so powerful
@StaniRobert
@StaniRobert 6 ай бұрын
Jamani dada yangu ❤❤❤ Asante kwa wimbo huu
@daphinbundi9793
@daphinbundi9793 Жыл бұрын
A blessing you are NICOLE. I HAVE FINALLY FOUND ANOTHER CHIBALONZA
@JAPHETHMBUSYA-ms6ro
@JAPHETHMBUSYA-ms6ro Жыл бұрын
Nyimbo iliyo na upako kwelikweli
@danielsimon8355
@danielsimon8355 Жыл бұрын
Kazi hii ilipatikana barazani pa Bwana hongera sana na utunzwe huo Upako.
@olivermwakyonya5683
@olivermwakyonya5683 17 күн бұрын
Acha mapambo mpendwa ni dhambi pamoja na kusuka nywele 1Petro 3:3
@goodluckmassero
@goodluckmassero Жыл бұрын
wimbo mzuri na ujumbe mzuri Dada Mungu akutunze aendeleze kazi aliyoiweka ndani yako
@joelmboko716
@joelmboko716 Жыл бұрын
Twende mbele na kurudi nyuma ww dada mungu kakujalia sauti asee unanibariki Sana dah! Mungu akuinue zaidi Nicole ngabo🙏
@ZipporahMaweu-mt7qu
@ZipporahMaweu-mt7qu Жыл бұрын
Nicole God bless u
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
Thanks alot
@mohamedchombobomu
@mohamedchombobomu Жыл бұрын
This is great mungu akubariki
@bisengobubasha
@bisengobubasha Жыл бұрын
Amina kubwa dada angu. I feel like you sang this song for me 😢. Mungu abariki huduma unayofanya 🙏🙏🙏❤️🙌🏽🙌🏽💯
@yusufumulori
@yusufumulori Жыл бұрын
Utukufu hadi utukufu 🎼🇨🇩🎧🙇🙇🙇 Mungu akuzidishiye mtumishi wa Mungu
@magrethshishwa5481
@magrethshishwa5481 Жыл бұрын
Ooh!!navuviwa nguvu za Roho mtakatifu,,Ewe Bwana uwe kwangu nyumba ya kuniokoa
@raymondfurahisha1975
@raymondfurahisha1975 Жыл бұрын
Amina kubwa sana ubarikiwe
@rizikilubula4078
@rizikilubula4078 Жыл бұрын
Bwana akuinuwe next level!
@richardntabo5539
@richardntabo5539 9 ай бұрын
Nakupenda huu wimbo ,ninapousikiza naudumiwa rohoni.
@DebraAchieng-d2t
@DebraAchieng-d2t 4 ай бұрын
I take this as my prayer in Jesus name
@gifftygabriel375
@gifftygabriel375 Жыл бұрын
Hongera my dada
@suzanaemanuel3621
@suzanaemanuel3621 Жыл бұрын
Your blessed 🙏 ( najua Bwana ataniokoa)
@JescaChibura-iv4bj
@JescaChibura-iv4bj Жыл бұрын
Yy sio mwanadamu hata aseme uongo
@WitnessSanga-c3g
@WitnessSanga-c3g 7 ай бұрын
Nakupenda sana dada angu mungu akuinue utukufu hadi utukufu
@eddanguhula7185
@eddanguhula7185 Жыл бұрын
Ameeeen nabarikiwa sana na wimbo huu.barikiwa sana watumishi
@mpelwamanyama3972
@mpelwamanyama3972 Жыл бұрын
Ni zaidi hata ya Dorcas💪😘
@EmanemChagula-je3kj
@EmanemChagula-je3kj Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@mikelangat8452
@mikelangat8452 Жыл бұрын
Naskia uwepo wa Mungu, Asante Dada
@sophiainjili6522
@sophiainjili6522 6 ай бұрын
Wimbo huu ni baraka kwangu kila ninapousikiza.Barikiwa sana Nicole
@FlorenceDaniel-bp7jk
@FlorenceDaniel-bp7jk Жыл бұрын
Mungu akuongoze dada
@OuterSpaceStudiosTz
@OuterSpaceStudiosTz Жыл бұрын
Nyimbo Nzuri Sana Dada , Ubarikiwe
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
Asante sana
@jscomputergenius3834
@jscomputergenius3834 Жыл бұрын
This lady is another level. It is my first day to know her. My goodness. Anointing 😭
@tutindagamtalege1295
@tutindagamtalege1295 Жыл бұрын
Nicole ngabo Mungu akubariki sana ,unanibariki sana kwa sauti yako mpenzi,zidi kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu Ili akuinue Zaidi ya hapo big up
@benedictwakorintho
@benedictwakorintho Жыл бұрын
Amina kubwa inanipasa niyavuke Katita Jina la YESU
@paulineminayo7397
@paulineminayo7397 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mungu uwe kwa nchi yetu nyumba ya kutuokoa
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 Жыл бұрын
Amen ngabo Sifa na utukufu ni kwa Mungu Roho mtakatifu azidi kusema nawe Ya kutulilisha ni mengi Uwe kwangu nyumba ya wokovu
@sephaniasaimon5755
@sephaniasaimon5755 Жыл бұрын
Nyimbo nzur dada
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
Asante sana
@graceomondi8758
@graceomondi8758 Жыл бұрын
Utukufu umrudie Bwana Nimebarikiwa sanaa
@rizikilubula4078
@rizikilubula4078 Жыл бұрын
Ubarikiwa !
@otisfunny2201
@otisfunny2201 Жыл бұрын
Watching from 🇰🇪
@jimmyamanga9191
@jimmyamanga9191 Жыл бұрын
It's great God bless you Nicole for singing that song it really strengthens me may you explore and move higher and higher
@erickmuhindomusondoli3643
@erickmuhindomusondoli3643 Жыл бұрын
Wow that is awesome Dada
@classicmediaenter10ment44
@classicmediaenter10ment44 Жыл бұрын
Hongera sana
@kimilahusseni
@kimilahusseni Жыл бұрын
Mtumishi wa bwana ubarikiwe sana
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
Thanks alot
@godleasembise5055
@godleasembise5055 Жыл бұрын
Iwe kwangu upendavyo Mungu wangu
@RuthViggy
@RuthViggy Жыл бұрын
Am going through alot in my working place najua ni hatua njiani napita tu najua bwana atanijibu singing this song ni jibu tosha bwana ametenda
@rahelgabriel2913
@rahelgabriel2913 11 ай бұрын
Hongel sana dada mungu akuinue sanaaaaa
@edwardgolle7052
@edwardgolle7052 Жыл бұрын
Nyimbo zuri sana nabarikiwa kupitia nyimbo zako hongera sna❤❤❤
@Ismaëlbiringaninejeje
@Ismaëlbiringaninejeje Жыл бұрын
Barikiwa dadangu was damu❤
@mathew2022
@mathew2022 10 ай бұрын
May God bless and anointing you more! A great worship! Amen! I will overcome all the obstacles by Him who delivers me!
@gloriawawire8849
@gloriawawire8849 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana ,nimeusikiza tena na tena,barikiwa
@merveillekakimba582
@merveillekakimba582 Жыл бұрын
Avance encore dada
@jovinusmutabuzi4647
@jovinusmutabuzi4647 Жыл бұрын
Wimborne mzuri sana.asante ninakuombea katika utume wako
@jonathangiftbaraka944
@jonathangiftbaraka944 Жыл бұрын
Wabariki sana
@kimilahusseni
@kimilahusseni Жыл бұрын
Watching from kigoma nearby 🇨🇩🇨🇩
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
Soon
@ZipporahMaweu-mt7qu
@ZipporahMaweu-mt7qu Жыл бұрын
Powerful song,mungu ongoza hatua zangu..
@priscardanier8264
@priscardanier8264 Жыл бұрын
Hivi hapo umeimba uwe uwe namna ya kuniokoa au uwe nyumba ya kuniokoa
@wardawarda6109
@wardawarda6109 Жыл бұрын
Jina la Bwana lihimidiwe hallelujah.
@nandsonjackson6910
@nandsonjackson6910 Жыл бұрын
Nyimbo nzr sana Mungu akubariki sana
@stanleyomurayi8799
@stanleyomurayi8799 Жыл бұрын
Thi"z more than a song to me....barikiwa my Siz
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
Asante
@RobertPk-wn2tv
@RobertPk-wn2tv Жыл бұрын
Mungu aku kumbuke na akupe adja y'a moyo wako ku pitiya kazi yako kwa kumsifu mungu mungu aku bariki.
@damaringei4107
@damaringei4107 Жыл бұрын
Uwe kwangu nyumba ya kuniokoa ❤️.Wimbo huu wabariki sana ...Neema zaidi Nicole🙏🙏
@princekeddymusic8381
@princekeddymusic8381 5 ай бұрын
🇿🇲🇿🇲loving this your music my sister more Grace ❤❤
@GroupeSouffleCeleste_RDC
@GroupeSouffleCeleste_RDC Жыл бұрын
Amen amen mamy Nicole ngabo 🇨🇩🇨🇩🥰🙌
@irinapardon4230
@irinapardon4230 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 Nakupenda
@nicholaskhisa9577
@nicholaskhisa9577 Жыл бұрын
Watching live from phoenix United States ubarikiwe dada Nicole na watu wote wa Congo! May God bring peace to Congo and east Africa!
@vincent_nyakore
@vincent_nyakore 11 ай бұрын
Amen, Mwaka huu ameniteua Israeli Nyumba yakuniokoa. eee Bwana.
@pascalenock4532
@pascalenock4532 Жыл бұрын
Baraka tele
@elviamaniofficieltv3859
@elviamaniofficieltv3859 Жыл бұрын
May God bless you abundantly mother servant of the Lord we are very blessed 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥
@atsachifamily4509
@atsachifamily4509 Жыл бұрын
Uwe kwangu nyumba ya kuniokoa..... so powerful
@sdorcas1715
@sdorcas1715 7 ай бұрын
Wende tena kiwango ingine ya utofauti ya huduma 🥰🥰 ume nibariki zaiidi 🙏
@rispermutai7725
@rispermutai7725 Жыл бұрын
Wonderful song. Watching from 🇰🇪
@rosebernard7983
@rosebernard7983 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@Pascalbisimwa-ox4lg
@Pascalbisimwa-ox4lg 11 ай бұрын
Avance, va de l'avant cette chançon est une benection pour nous corps du christ !Baraka Tele kwako maman Nicole
@thomasdimme7899
@thomasdimme7899 Жыл бұрын
So so nice song unabariki na kufariji
@lydiak9070
@lydiak9070 Жыл бұрын
Ooh Powerful sana Nicole
@abiudofficial7856
@abiudofficial7856 Жыл бұрын
Glory glory
@rizikilubula4078
@rizikilubula4078 Жыл бұрын
Wimbo huu unenibariki sana!!
@dorothyoketch5578
@dorothyoketch5578 Жыл бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪... Amen 🙌🙌
@vivianlyimo670
@vivianlyimo670 Жыл бұрын
Uwe Kwangu Nyumba ya kuniokoa 🙏🏻 Sina Mungu mwingine Zaidi yako 🙏🏻
@pretoldboge1880
@pretoldboge1880 11 ай бұрын
When am down this song rings in my spirit...I just start singing it..Nicole God continue blessing you.Am waiting for a new song.
@davidmuli896
@davidmuli896 Жыл бұрын
Your blessings sister....this is amazing 👏 🙌....nainua macho yangu ...aliye niteiuwa ataniokoa .....Amen
@arsenebisimwa7801
@arsenebisimwa7801 Жыл бұрын
Ongera saana dada
@seraphiniragi4673
@seraphiniragi4673 10 ай бұрын
Gloire à Dieu pour ce chant. La Soeur CHIBALONZA était partie mais Dieu nous a envoyé une autre étoile pour nous consoler
@priscarkyungai7942
@priscarkyungai7942 Жыл бұрын
God bless you my twin,kazi yako ni njema
@nicolengabo
@nicolengabo Жыл бұрын
Glory to God. Thanks alot
@MuhweziGerald-j6b
@MuhweziGerald-j6b Жыл бұрын
I have to say this is my best local African gospel 2024! We need to have you come to Uganda and minister my sister @Nicole
@beatricekimani6883
@beatricekimani6883 Жыл бұрын
Uwe nyumba ya kuniokoa Baba 👏 powerful en to God be the glory for this great ministration.
@PATIENCEKIRINDIRO
@PATIENCEKIRINDIRO 11 ай бұрын
Maman yangu nakupenda sana
@alex_vincent
@alex_vincent Жыл бұрын
Why not,,, JESUS is my way...HATUA NJIANI
@merveilleajabu
@merveilleajabu Жыл бұрын
I'm blessed again
Mwamba ni Yesu - Nicole Ngabo ( Official Music Video )
7:30
Nicole ngabo
Рет қаралды 646 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 6 МЛН
Nicole Ngabo - Dakika moja ( Official Video )
4:21
Nicole ngabo
Рет қаралды 135 М.
Pitson Legrand Ft  Karura Voices. PALE ULIPO Official Video.
6:23
Umhlatshelo (Live)
14:07
Gospel Goes Classical - Topic
Рет қаралды 77 М.
Nicole Ngabo - Ni Wewe- ( LIVE RECORDING)
7:14
Nicole ngabo
Рет қаралды 29 М.
Jina Pekee - Nicole Ngabo - LIVE RECORDING
9:08
Nicole ngabo
Рет қаралды 38 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 74 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН