Josephine Minza Ft Ambwene Mwasongwe And Nicole Ngabo - Hallelujah ( Live Music Video )

  Рет қаралды 70,972

Josephine Minza

Josephine Minza

Күн бұрын

Пікірлер: 151
@berthamwakitwange7124
@berthamwakitwange7124 Жыл бұрын
Huu wimbo umekuwa unaimba sana ndani yangu😭😭🙌🙌 Asante Yesu kwa neema ya WOKOVU.
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
Mungu ni wa Rehema sana
@Gabriel_Mwakina_Mwandoto
@Gabriel_Mwakina_Mwandoto 8 күн бұрын
I don't know why it took me this long to come across this powerful ministration. Thank you. May the Monarch of heaven, my Lord , bless you so much for ministering to my spirit through this powerful song. Am subscribed now, it won't take me this long again to meet another.
@aniamalex2250
@aniamalex2250 Жыл бұрын
Waoh, wimbo mzuri kweli, tunaomba lyrics ya maneno ya wimbo kwa kiswahili
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
UTUKUFU KWA YESU.sawa nakutumia
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
HALELUYA. Haleluya Haleluya Haleluya Haleluya Haleluya Haleluya Haleluya Haleluya Bridge. Njiapanda ya haki Na Rehema hukutania kwako. Wewe ni hakimu Mlipa dhamana Walostahili adhabu Hupewa Amana zaidi Walostahili zawadi huruzukiwa Uhai. Wa Rehema Wa Rehema Wa Rehema wa rehema×2 Nafuraha Tutaiona Mioyo ikitakata sana Kwako Mwokozi Kuonana Tena Na milele kukaa.
@oliverobwana287
@oliverobwana287 Жыл бұрын
Tanzania mko na neema ya kuabudu kamili. Huu wimbo unatia moyo sana.
@rollymadamme1829
@rollymadamme1829 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Mungu aendelee kukubariki na kukupa ufunuo zaidi na zaidi sisy. Nimetafakari kweli haya maneno: Njia panda ya haki na rehema hukutania kwako, wewe ni hakimu mlipa dhamana, Waliostahili adhabu kupewa amana zaidi Waliostahili zawadi kuruzukiwa uhai" 😭 Mungu ni wa rehema. Amejawa na rehema🙌. God is merciful and gracious 🙏 Ubarikiwe sana dada
@Kibibistore
@Kibibistore 11 ай бұрын
Njia ya haki na rehema hukutania kwako Wewe ni hakimu mlipa dhamana Waliostahili adhabu hupewa amana zaidi Waliostahili zawadi huruzukiwa uhai 🙌🏻 Is it just me or whenever I listen to this part I get goosebumps 🙌🏻
@deborahtalkuzurinanguvunda7291
@deborahtalkuzurinanguvunda7291 Жыл бұрын
Hiyo phrase ya njia panda ya haki na rehema...ni deep sana. Hongereni❤
@janemtoma1082
@janemtoma1082 Жыл бұрын
Haleluyah! Na furaha tutaiona mioyo ikitakata snaa.........
@mwlrenaldmlawi1331
@mwlrenaldmlawi1331 Жыл бұрын
MUNGU ALIE HAI AKUBARIKI MTUMISHI WA MUNGU UTUME WAKO NI MWEMA SAANA
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
Atukuzwe Yesu sana mwalimu.Utukufu wote ni wake.
@MsMamemy
@MsMamemy Жыл бұрын
Very powerful song.. Mungu awabariki watumishi wa Mungu
@user-bb4ky1gg3f
@user-bb4ky1gg3f Жыл бұрын
Mambo hongera sana wimbo huu umenibariki sana.Mungu alipeleke kiwango kingine cha juu
@evalinemchele6577
@evalinemchele6577 Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwako Bwana pongezi sana team yote
@EvansDavidKenya
@EvansDavidKenya Жыл бұрын
Amen. Nafuraha tutaina, mioyo ikitakata sana...kwako mwokozi kuonana tena na milele kukaa.... |||| What a JOY :) Blessings!!
@TalithaMeshack
@TalithaMeshack Жыл бұрын
Mumabaliki watumishi wa mungu❤❤
@annashoma4112
@annashoma4112 Жыл бұрын
Glory to the most high God! Ubarikiwe kwa kutumika Minza! Wimbo mzuri sana!!
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
Atukuzwe Yesu sana
@gracemfangavo4824
@gracemfangavo4824 Жыл бұрын
Na Furaha tutaiona Mioyo ikitakata sana, Kwako Mokozi kuonana tena na milele kukaa🙌🙌🙌🙌🙌 My all time lines oooh God🙌🙌
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hakika nimebarikiwa na huu wimbo Barikiwa mtumishi wa Mungu
@fabricemuganda1443
@fabricemuganda1443 Жыл бұрын
Amen amen 🙌🙌🙌 Nicole ngabo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@irenejustine2524
@irenejustine2524 Жыл бұрын
Wooow!!🎉🎉🎉best song ever NAFURAHA TUTAIONA MIOYO IKITAKATA SANA 👏👏👏👏👏
@kilifaithadventures
@kilifaithadventures 11 ай бұрын
This song....eeeh Mungu....so soul touching.....natamani kila mtu ausikie.....
@ahsantemgowole3563
@ahsantemgowole3563 Жыл бұрын
Hongera sana dada Minza kwa wimbo mzuri, Bwana azidi kukuinua zaidi.
@daniedavid94
@daniedavid94 Жыл бұрын
Umejawa Rehema.. merciful God 🙏
@neemaponeka9164
@neemaponeka9164 Жыл бұрын
Hongera dada.Minza kwa utumishi huu Mungu atukuzwe hakika. MUNGU.AKUONGEZE ZAIDI
@AlamKing19
@AlamKing19 Жыл бұрын
Kaka fabby nime kuona hongereni kwa kazi nzur 🙏
@annedishon8358
@annedishon8358 Жыл бұрын
Powerful worship song rafiki.Mungu azidi kukutumia na kuitumia timu nzima.
@selwinjohn
@selwinjohn 5 ай бұрын
Wimbo mzur sana naupenda sana Yan .MUNGU azidi kuwaongoza 🔥🔥🔥
@paulotanaki958
@paulotanaki958 16 күн бұрын
Oooh sweet Jesus, hallelujah
@elijahsaro6611
@elijahsaro6611 Жыл бұрын
Hallelujah wimbo wa milele
@victoriamkomwa2151
@victoriamkomwa2151 Жыл бұрын
Hallelujah Mungu wetu anastaili Sina. Nimebarikiwa sana na wimbo. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
@belindamlay5727
@belindamlay5727 Жыл бұрын
God's grace and faithfulness has been insufficient. Hallelujah🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Bless you for this master piece❤❤❤❤
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
Amen dear
@nwatz7185
@nwatz7185 Жыл бұрын
❤❤❤❤ zawadi yangu jumapil ya leo huu wimbo
@JacksonNoeltz
@JacksonNoeltz Жыл бұрын
Nimebarikikwa Sana na huu wimbo Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu
@RachelMlingwa
@RachelMlingwa Жыл бұрын
Hallelujah,furaha tutaiona, Mungu aendelee kuwainua zaidi
@seciliasanga6248
@seciliasanga6248 12 күн бұрын
Nice sound
@gideongerald2846
@gideongerald2846 Жыл бұрын
Hongera sana viwango vingine hvi
@joshpraisebuzaniye2958
@joshpraisebuzaniye2958 Жыл бұрын
Yesu Wasamehe hakika
@pearlgellix8485
@pearlgellix8485 Жыл бұрын
Wa Rehema Wa Rehema Mungu wa Rehema ni wewe. Be blessed!
@WinnieGeorge-p9z
@WinnieGeorge-p9z Ай бұрын
Mashallah 😘🔥
@kelvinKG-q4k
@kelvinKG-q4k Жыл бұрын
Nyimbo hii imenibariki sana...ni kweli mungu wetu ni warehema
@annamaryChacha
@annamaryChacha Жыл бұрын
This day i was live watching this song nilipofika nyumbani niliutafuta sanaa nikakuta hamna youtube nilijuta sana nilitaman that day ningerecord but ulipokuwa released nilifurahi i love this song jaman❤
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
Tunamtukuza Yesu.na uzidi kuhudumiwa kupitia ibada hii.
@annamaryChacha
@annamaryChacha Жыл бұрын
Amina sanaaa
@kelvinKG-q4k
@kelvinKG-q4k Жыл бұрын
Best song ever..naisubiri kwa hamu sana nyimbo hii🔥
@jamessteven8405
@jamessteven8405 Жыл бұрын
Utukufu utukufu🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🙇🏾‍♂️🙇🏾‍♂️🙇🏾‍♂️
@derickmarton
@derickmarton Жыл бұрын
GLORY TO OUR MIGHT GOD 🙏🏾💪💪 🔥🔥🔥🔥
@dorcasmmbaga9709
@dorcasmmbaga9709 Жыл бұрын
I glorify God for the good work in you!🙌
@johnmsemo3238
@johnmsemo3238 Жыл бұрын
His Loving Mercy Endures forever, Halleluyah to the most high King, Blessings team for such a powerful worship song.
@brightbrighty33
@brightbrighty33 Жыл бұрын
Am blessed 😇🙏
@davidmbago3883
@davidmbago3883 Жыл бұрын
Hiii kiko lulu !! Barikiwa sana Mwanangu .
@barakaelias7701
@barakaelias7701 Жыл бұрын
Hongera dada eliza nakuona Mungu akuinue zaidi pia
@marykisima
@marykisima Жыл бұрын
I am blessed..Glory to the Most High God
@aniamalex2250
@aniamalex2250 Жыл бұрын
mwenye kunisaidi hapo sijaelewa je ni njia pana ya haki na rehema hukutania kwako au njia panda ya haki na rehema hukutania kwako
@obadiabarakahango602
@obadiabarakahango602 Жыл бұрын
Incredible
@jescaalfred6062
@jescaalfred6062 Жыл бұрын
Halleluya kwa bwana 🙌🙌🙏🙏🔥🔥🔥
@Janeth_Eric_Shoo1972
@Janeth_Eric_Shoo1972 Жыл бұрын
Na Furaha tutaiona Mioyo ikitakata sana
@andreajames677
@andreajames677 Жыл бұрын
Naisubiri mtumishi wa mungu
@GetinspiredTz
@GetinspiredTz Жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@abisaymganga6663
@abisaymganga6663 Жыл бұрын
powerful song
@fridadenis
@fridadenis Жыл бұрын
Waliostahili adhabu hupewa amani
@jumachango
@jumachango Жыл бұрын
More grace
@vainesmwacharo6484
@vainesmwacharo6484 Жыл бұрын
Wowww my favourite God bless u
@peterisdory8844
@peterisdory8844 3 ай бұрын
So powerful 💪
@mwljameskamera3823
@mwljameskamera3823 Жыл бұрын
Pengine ndio wimbo nimeusikiza Mara nyingi zaidi kwa mwezi 10 na 11 huu ni ufunuo sio wimbo
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
Atukuzwe Yesu mwalimu wangu.Asante sana kwa kuniombea
@faithwangeci3347
@faithwangeci3347 Жыл бұрын
Hallelujah🙌🙌
@hoglamumbee344
@hoglamumbee344 10 ай бұрын
The song came in a perfect time. Lord my God you are the judge!
@pretoldboge1880
@pretoldboge1880 Жыл бұрын
Am blessed just a lovely collabo...Loved the way you mixed it up na Nyimbo za Injili....Hope to see more...From Kenya..
@edwinmsabila5350
@edwinmsabila5350 Жыл бұрын
This song gives me goosebumps❤❤😊
@maryanderson7241
@maryanderson7241 Жыл бұрын
Me tooo🙌🙌😞
@Yvetteyoni
@Yvetteyoni Жыл бұрын
Heeee
@esterusiri9023
@esterusiri9023 Жыл бұрын
Wasamehe mungu wetu best song mbarikiwe team yote
@brighton3693
@brighton3693 Жыл бұрын
Ni utukufu mkuu sana
@maggiemajeshi7408
@maggiemajeshi7408 Жыл бұрын
Waliostahili adhabu hupewa amana zaidi 🙌🙌, Asante Yesu kwa amana.. My favorite song!
@ishengomajosephofficial1861
@ishengomajosephofficial1861 Жыл бұрын
😂😂rekebisha kidogo hapo kwenye "adhabu" nadhani ilikuwa "adhama"
@maggiemajeshi7408
@maggiemajeshi7408 Жыл бұрын
​@@ishengomajosephofficial1861 Huwezi kustahili adhama ukapewa adhama zaidi mtumishi, tulistahili adhabu ikabidi Yesu awe amana (ransom) ili tustahili amana!
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
UTUKUFU APEWE YESU
@cynthiaperez9193
@cynthiaperez9193 9 ай бұрын
Hallelujah 🎉🎉🎉🎉
@FaithfullMbise-jc1ks
@FaithfullMbise-jc1ks Жыл бұрын
Hallelujah kwa mwanakondo🙏🙏🙏
@hendrymsuya7648
@hendrymsuya7648 Жыл бұрын
Mungu azidi fungua milango mikuu kwako Mtumishi Minza! Humility is the Way.
@josephineminza
@josephineminza 11 ай бұрын
Amen
@berthamwakitwange7124
@berthamwakitwange7124 Жыл бұрын
Hallelujah to the most high God.. this song is powerful 🙌🙌🙌
@glorymusa4869
@glorymusa4869 Жыл бұрын
❤ hallelujah unastahili Baba
@kyaruzifred7562
@kyaruzifred7562 Жыл бұрын
Hallelujah.... Hallelujah... Hallelujah... Ubarikiwe sana, japo nilikosa hii ibada LIVE lakini nimekuwa blessed
@ignasankoma5383
@ignasankoma5383 Жыл бұрын
Ohoo Roho Wa Bwana ananena ... Hallelujah
@scolasticanalle9105
@scolasticanalle9105 Жыл бұрын
Glory to God..... powerful song😢🙌 mbarikiwee sana
@hosenisamweli5500
@hosenisamweli5500 Жыл бұрын
Hallelujah to the King of Glory
@boazyamos8859
@boazyamos8859 Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@abumdurikarimu5667
@abumdurikarimu5667 Жыл бұрын
Amen nice
@Sharonaworofficial
@Sharonaworofficial Жыл бұрын
Your worthy of praises lord💥halleluhya to you lord😭😭
@lein4165
@lein4165 Жыл бұрын
Amen..! Sifa na utukufu na shukrani vije kwako Mungu wetu Warehema
@seciliasanga6248
@seciliasanga6248 Жыл бұрын
Serious still Jesus give us his glory
@LilianMassaga-kn7fh
@LilianMassaga-kn7fh Жыл бұрын
❤may our good Lord bless you abundantly for this song,I'm deeply blessed
@furahinishelukindo9300
@furahinishelukindo9300 Жыл бұрын
He is surely a merciful God and our guarantee. God Bless you for such a wonderful Song.🔥🔥🔥
@josephineminza
@josephineminza Жыл бұрын
Amen all the Glory belongs to Jesus
@furahinishelukindo9300
@furahinishelukindo9300 Жыл бұрын
Amen.@@josephineminza
@deleted.2416
@deleted.2416 Жыл бұрын
amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty song i have screamed with ts pretty song i have yelled with ts pretty song. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing😭
@davidnywage1461
@davidnywage1461 Жыл бұрын
May God minister to you as you continue to listen to the song. Amd let the Holy Spirot gives you more translation in your language and minister to you always.
@eliassoingei2046
@eliassoingei2046 Жыл бұрын
Blessed the name of Jesus! Hallelujah!🙌🙌🙌
@Victormumopremiere
@Victormumopremiere Жыл бұрын
Glory glory to God
@rodrickndanshau1587
@rodrickndanshau1587 Жыл бұрын
Glory to the highest King🙌🙌Hallelujah 🙌🙏
@suzanaemanuel3621
@suzanaemanuel3621 Жыл бұрын
Hallelujah to the Most High GOD
@angellufulan
@angellufulan Жыл бұрын
Amazing melodies
@YonaKamando
@YonaKamando Жыл бұрын
Cfumbi macho naisubili mtumishi
@aloycekaguhi7959
@aloycekaguhi7959 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah.....
@esteriapaul9883
@esteriapaul9883 Жыл бұрын
Blessings
@susanogumboofficial
@susanogumboofficial Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@alex_vincent
@alex_vincent Жыл бұрын
HALLELUJAH
@brendapeter2937
@brendapeter2937 Жыл бұрын
Hallelujah, Mtakatifu
@joychemutai2883
@joychemutai2883 Жыл бұрын
Glory Glory 🎉
@ignasankoma5383
@ignasankoma5383 Жыл бұрын
Hallelujah
@ruthmutuku3375
@ruthmutuku3375 Жыл бұрын
Powerful oooh Jesus🙌🙌🙌🙌
@Sharonaworofficial
@Sharonaworofficial Жыл бұрын
Glory to most high👏
@RachelMakalanga-du2oj
@RachelMakalanga-du2oj Жыл бұрын
Another blessing Haleluya 🙌🙌🙌
@RuhamaDaison-ul7wz
@RuhamaDaison-ul7wz Жыл бұрын
Nice song hallelujah
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 35 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Josephine Minza Ft Jackson Benty - Umenirehemia  (Live Music Video)
14:42
Patrick Kubuya - Sitakuacha (Live Recording )
15:53
Patrick Kubuya
Рет қаралды 1 МЛН
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 6 МЛН
Josephine Minza Ft Rehema Simfukwe - Wastahili (Live Music Video)
15:35
Zoravo Ft Takie Ndou - Uko Mwenyewe | Elohim (Official Live Video)
10:19
Zoravo Official
Рет қаралды 115 М.
Josephine Minza & Paul Mwangosi - Kwa Uzuri ( Official Music Video )
16:40
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 8 МЛН