Yaani ninyi ndo wachambuzi namba moja duniani mnaitendea haki sana mitandao ya kijamii. Nawaelewa sana walimu wangu.
@rizikiminga30103 күн бұрын
Si ndio mimi, nilivyo zani naenda chuo kusoma tena chuo kikubwa kama Udsm nikasema naenda kusoma mambo makubwa ambayo siyajui na kwa vitendo zaid, lakini nilivyo uzulia lectures kwa wiki 2 tu, nikawaambia wazazi nyumbani naacha chuo uku napoteza muda wangu, aki ya mungu hawakunielewa kabisa, saiz namshukuru mungu mwaka huu nimeitimu nimekuwa huru kutoka kwenye elimu ya kishenzi kabisa hii😢😢😢😢
Elimu ya nature siyolazima uwe uchawi fala tu ndo anaweza kaa kwny media kusifia uchawi lakin elimu ya nature is beyond that scope, uchawi ni level ya Chin sana ya uelewa ni ya MAFALA
@denismasao5203 күн бұрын
Hapa nawakubali ila kwenye kusema hamna mungu hapana. Siwaungi mko o
@AlliyMohamedAlliyКүн бұрын
🤦♂️Umejichagulia upande. Wa kuelimika.!😂
@AlexLeonardAthanasКүн бұрын
Nionyeshe picha ya mungu? Au sanam lake, ndipo uendelee namengine
@BarnabasFabiani3 күн бұрын
Naomba mwendelezo ❤
@geofreymilinga29652 күн бұрын
Mm nawakubari ila walipokosea kisema akuna Mungu apo nawaona nimatahila sana wote wawili na Mufe mukiwa mumekenua meno
@paschalbuzeri21113 күн бұрын
Yan mpaka Sasa.. ::mnatakiwa muwe washauri wa PrSder..maana mnadeselve
@AlexLeonardAthanasКүн бұрын
Na wewe kua, unamaanisha wewe, mimi na hao jamaa tuendelee kuongozwa na kiongozi akili kisoda? ambapo bila wao hawezi toa hoja???
@maukazalex35262 күн бұрын
Great mind think alike
@isackmachiyanshoka67543 күн бұрын
Dah an incredible ❤
@issahamadiissahamadi3 күн бұрын
Wachokonozi.kweli nakubaliana nanyi mnatumia akili yakuzaliwa siyo elimu ya wakoloni saluti nawakubali 🥺
@aronindibalema49643 күн бұрын
Vichwa vinafanya kazi
@IsabellaYoweri3 күн бұрын
Mnajitahidi sana kumtetea Nyerere naye alibugi Sana kuna mda nchi ilimshinda
@fahadfaraj64742 күн бұрын
Hua haiwezekani kulaumiwa sana kwakua alofanya ni makubwa na ndio alichukua nchi changa ingawa na yeye aliwahi sema kuna vingi tu aliwahi kosea na vyakipuuzi walifanya so iko ivyo
@AlexLeonardAthanasКүн бұрын
🫡🫡🫡
@ezrambilinyi67883 күн бұрын
The girl is cooking the boy😂😂
@farajakwilasa4713 күн бұрын
Kwenye elimu hapo ni sahii make watoto wanasomo mengi yasio na faida mtaani ni upuuzi kweli
@nelsonnyamle3 күн бұрын
Point sana wachokonozi
@yesseikungu78283 күн бұрын
Shule haiondoi ujinga, tamaduni zetu, jando unyago, ndizo zilikua zinaondoa ujinga, ulikua huwezi kuona mwanaume aliyepita jandoni Eti anajiua au analia kwaajili ya mpenzi au anakula vyakula vya hovyo vya kizungu Kama baga pizza na uchafu mwingine. Au analelewa Mario.
@Aviero_073 күн бұрын
0:00 - 0:13😂😂😂😂
@godchila8013Күн бұрын
Ndiyo ndiyo tupo nanyi
@DaudFataki3 күн бұрын
Elimm nyingi tanzania nivyeti nandiomana tunawaamin wapuuzi kututawala yan kipofu ndio anakuonyesha njia
@LushidulaJidamawi3 күн бұрын
Nyinyi.ndio wachambuzi wengine wafunge kabisa maana niwaongo tunataka ukweli kaama wenuu
@mohdali24083 күн бұрын
Nyerere alisomeshwa na wakoloni alikuwa na mindset za kikoloni ndio maana aliupinga ukabila na udini kwenye kinywa ila alitekeleza kwa vitendo
@anuarymyekakimolo47853 күн бұрын
Ukabila na udini hauhusian na ukoloni acha kuchanganya mambo km unafikri ni poa nenda Kenya kaangalie
@angelousnyisalya3 күн бұрын
❤❤❤❤
@simonmalegesi4143 күн бұрын
Wa choko nozi
@BenardBrown-q5n3 күн бұрын
💯
@WilliamKyando-u3z3 күн бұрын
Nakubali bro Ila muwe mnasoma comment msitupuuze maana atutaki kuwa mafala ndio maana mlipo tupo
@wachokonozi_3 күн бұрын
Karibu, tunakusikiliza...
@VictorOkello-ul2eh3 күн бұрын
Nawapenda2 bure hila kitabu ya akili nitakipata aje?
@Manunhya3 күн бұрын
Paid square umenikumbusha saiv hainisaidii
@jacksonmvera1908Күн бұрын
Kwenye Elimu hapo. History inafundisha binadamu alikuwa nyani maandiko ya Mungu yanasema binadam aliumbwa kwa Mfano wa Mungu tangu mwanzo yupo Hivi. Kipi ni sahihi?
@christopherlionga12653 күн бұрын
Kama mna vitabu naitaji Kuna tafadhali
@recapsultan24hr3 күн бұрын
Natamanii siku moja mzungumzie sports betting faida na hasaraa
@maulidi84793 күн бұрын
Kwani wewe ujui faida na hasara ya betting mpaka uchambuliwe
@recapsultan24hr3 күн бұрын
@maulidi8479 haikua na ulazima wa kujibu comment yangu kama huna utatuzii sahihi ata wakujalibu.. tagetii nikupata mawazo mapyaa na kuelewaa tofautii maana dunia hatuijui na hata yaliomo hatuyatambui vyemaa hivyoo tuna itaji uwepo wa watu wengine kutupa fafanuzii mbali mbali ilii kutukuza kifikraa ndio maana umeona Nipo hapa na ninafwatilia kila post Yao ya siku na ni subscribe haii nalipia nayoo jifunza kutoka kwao japo kwa kidogo ila naamini inawatosha ndio sababu nime waomba watusaidie kutoka somo kuhusu sports betting..maana ni jambo kubwaa linalo fanyika na jamii kubwaa.lengo nielimu.samahani usinielewe tofauti
@JosefNgulinzila3 күн бұрын
Wakuu mikakati Gani tunafanya ili tukae vizuli jamani isiwe nikuongea 2. Mi natamani tubadilike Yani tuwe wafrika kwelikweli werewa
@JomoKilawe3 күн бұрын
✍️✍️
@bonifaceferdinand5662 күн бұрын
Wametubrain wash 😂😂😂
@hikupskikons89142 күн бұрын
Wachikonozi
@karimudadi13233 күн бұрын
Akili Nyingi
@SaidiRaul3 күн бұрын
Hii ilikua ni wachokonoziiii
@Manunhya3 күн бұрын
Unakuta msom anajitahid kuongea kingereza iliafanane na mzungu
@AkaroNdungu3 күн бұрын
tafuteni suluhisho na sio kutafuta wa kuwabebesha mizigo
@EmmanuelMagesa-u1g2 күн бұрын
𝚄𝚂𝙸𝚂𝙺𝙸𝙴 𝚃𝚄 𝙹𝙰𝚁𝙸𝙱𝚄 𝙽𝙰 𝙺𝚄𝚂𝙺𝙸𝙻𝙸𝚉𝙰
@AlexLeonardAthanasКүн бұрын
Achakusikiliza habari zinazokuzidi kilo uku unawenge
@joshuasamson30233 күн бұрын
Ndio ndio ndio nawakubar san
@anuarymyekakimolo47853 күн бұрын
Inshu ya uchawi haija kaa poa sawa I argue it. Hiyo issue ni ya kifala sana tena ni ya kikma ni ile tu sitak kitukana wachawi ni mak sana, sikubalini nayo hiyo issue ingekuwa ya maana ingezuia madini yasiibiwe wala ukoloni usije , upeo katika level ya uchwawi bado upo chini ya uelewa hata wewe
@alijuma80093 күн бұрын
Wazungu waliharibu Elimu yetu wakatupa nadharia tu ambayo inashindwa kutowa majibu
@durangobasics61952 күн бұрын
Walifanya hivi kabla ya uhuru au baada ya uhuru?
@AlexLeonardAthanasКүн бұрын
Hi elimu ya kuchora panzi badara ya kuwafundisha watu elim ya kujihami na matatizo kama moto nk kabra hata yanapotokea aisee mfumo wa elim uspobadilishwa wajinga hawajaisha bado
@Manunhya3 күн бұрын
Tuanze kumroga mzungu
@bazzohtv94883 күн бұрын
Ku copy ni janga mbaka Sasa wasomi wanazalishwa kwa vitu na misingi ya ku compy mwisho wasiku tunatengeneza vizazi vya wapimbavu.
@OmbeniKivuyo3 күн бұрын
Ni kweli nyerere ni eeeeeee basi to ila ndo kutufanya taifa kuwa dampo
@asiliyetuonlinetv50633 күн бұрын
Wachokonozi Leo naomaba kuwachallenge,kuna video yenu moja ya juzi kati mliwahi sema nyerere alikuwa akili kubwa aliota bwawa la kuzalisha umeme miaka 60 ilopita na ndoto yake imekuja tafasiliwa Leo na bwawa la umeme limejengwa.,vipi Leo tena mseme alikuwa hana ideas ya maendeleo? Angali kitu alichowaza miaka 60 ilopita kimefanyiwa kazi Leo??
@richardkonzo57173 күн бұрын
Tungekuwa sio wajinga tungeuzwa? Tungetawaliwa?
@ujamaa96152 күн бұрын
Kwenye hoja ya mwl nyerere hapo nakupinga, mwl alipoanzisha sera ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa ni sera ya kufanya mapinduzi ya kimaendeleo kwa wanajamii
@IsabellaYoweri3 күн бұрын
Mnajitahidi sana kumtetea Nyerere naye alibugi Sana kuna mda nchi ilimshinda
@farajakwilasa4713 күн бұрын
Kwenye elimu hapo ni sahii make watoto wanamasomo mengi yasio na faida mtaani ni upuuzi kweli