Kuna nchi wanajeshi walifundishwa uzalendo yaani mwanajeshi ndiye nayekuwa mzalendo namba moja kwa hiyo hata kusimamia utawala bora wenye kufuata misingi ya haki kwa watu wote pia ufisadi wanajeshi walikuwa wazalendo namba moja sijui hapa kwetu kwenye kujenga umoja halisi wa watz siasa inatumika kuwabagua watu na kuwatenga Mungu ibariki Tanzania
@estherraphael47392 жыл бұрын
Congratulations to Our Army! God Bless them.
@lazarosilayo69182 жыл бұрын
Vizur saaana JWTZ we2, ushaur angu tuendelee kuadvance zaidi kwny teknolojia upande wa anga na hata silaha. Dunia imechafuka kwa sasa masuala ya vita yamepamba moto kuliko masuala ya Mungu😓
@mohamedimalesa29952 жыл бұрын
Matusi yanini sasa kwani umelazimishwa kukoment
@ismailmajala28022 жыл бұрын
Afande Miyala mzee wa Buku 2 nakumbuka sana 842 kJ
@robertphilip3852 жыл бұрын
Haya ndo majeshi yaki Africa bwana mbwembwe nyingiiiii lkn
@jeremiahkilato2952 жыл бұрын
Tunajivunia kuwa na Jeshi bora na hodari kama hili
@johnbernad39902 жыл бұрын
Jivunie Amani iliyopo na siyo jeshi unadhani hili jeshi lenu linauwezo wa kumzuia mmarekani au mrusi? wanajeshi wenyewe mpaka wameota vitambi hawana hata kazi za kufanya zaidi ya siku za maonyesho ya muungano na uhuru kwisha habari
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Maasha Alllah tabalakallah
@manrasiel80542 жыл бұрын
Wanajichosha tu, watu wanaiba rasilimali kila siku
@imeldabamba37792 жыл бұрын
Hahaha
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Kwa hyo we unatakaje
@nurdinngwegwe29432 жыл бұрын
JESHI langu NCHI Yangu. JESHI LETU NCHI YETU. AMANI ITAWALE DAIMA. HAKIKA MNATUPA UKAKAMAVU WANANCHI WENU. NINYI NI WAKUU WETU KIAMANI KIUFANISI KIUTENDAJI KILA KITU MPO "WHITE". MUNGU IBARIKI AFRIKA. MUNGU IBARIKI TANZANIA OYEEEEE 🇹🇿✔️👊
@kisiwaumwitakt13342 жыл бұрын
Kongo tu mmeshindwa tena na kanchi kadogho sana rwanda anawauwa tu kili sku wai kwannn yaan mmeshindwa kumzbit kabsa asichafue congo
@salumjumaruhaga25132 жыл бұрын
Kwanza ilikuwa muunze na upandaji wa bei za vyakula masokoni
@kisiwaumwitakt13342 жыл бұрын
Uimara wenu uko wapi mbona kongo kuna vta na sijaona mkisaidia chochote na n wenzetu
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
Nchi ya mavi kunuka kazi kweli kweli siku hizi watu wanapigana vita vya kidigitali ukubwa wa jeshi inaweza kuwa mavi kunuka tu.
@jambo37512 жыл бұрын
Nchi zetu ukisikia kuna mapigano ni ya wenyewe kwa wenyewe au vita na jirani kwahiyo jeshi letu ni zuri tu kwa kukabili hilo.Mataifa makubwa ndio yanazifuata nchi nyengine kutoka BARA HADI BARA jengine lakini sio sisi. Na tunapopelekwa kwa ajili ya PEACE KEEPING tunakuwa facilitated na UN.
@ezeedi8712 жыл бұрын
Daaa mwanangu unachuki Sana na nchi yako yaan kisa tuu haupo tz au unajiona unaishi peponi nn ndugu yangu maana sijawah kuona kitu Cha tz unakisifia we nikuponda tuu daily,najua upo ughaibun but jitahid kutofautisha ulipo na huku tz ni vitu viwili tofaut kabisa yaan km mbingu na ardhi so usisahau hilo kaka,we are not rich as Europeans countries.
@mbonimanakisenya41782 жыл бұрын
Haujitambui limbukeni mkubwa ww hiyo vita ya kidijitari pigana ww na mama yako usiku wa manane istoshe huko nje kipunga ww
@hussenhemed10502 жыл бұрын
Mwanajeshi ana kitambi
@simontamba12852 жыл бұрын
Tena anakimbia anachechemea
@jeraldboman30532 жыл бұрын
Hahhahhah......shangaa et ktambi!
@wilfredmlaki8222 жыл бұрын
Jeshi linalotumia zana za kizamani! Vita vya sasa hivi haviitaji misuli mingi Bali technology ya kisasa
@martinemifuko712 жыл бұрын
Uhame uhamie kwenye nchi inayotumia zana za kisasa
@abuunyalioto17522 жыл бұрын
Nendeni Ukraine kadadeki
@robertphilip3852 жыл бұрын
Haaahaaa Ukraine pagumu hawataweza pagumu pale
@joshuajofrey98322 жыл бұрын
Viongozi tulonao ndio shida kiutaratibu tulitakiwa tuanze pia kuzalisha silaha zetu wenyewe za kijeshi kuliko kutegemea silaha za nje .
@maxcharles54362 жыл бұрын
Nchi hii ya aman
@mathiaslaurent7562 жыл бұрын
Askari wetu wako vizur sana tatizo bado tuna vifaa vya kizaman sana kama helicopters, na vifaru ni vya kizaman sana
@salumjumaruhaga25132 жыл бұрын
Wewe Acha hizo ,
@salumjumaruhaga25132 жыл бұрын
Ukienda popote uende PEKE yako baana we unacheza na machizi ya somalia
@isaacjaphet13142 жыл бұрын
Kiukweli hata mm naliona hili tuna vifaa vya kizaman sio siri
@salumjumaruhaga25132 жыл бұрын
@@isaacjaphet1314 halafu uyo kamanda anajisifu ,vita vya siku hizi nivya tekenoroji Kwa mfano ndio aambiwe aende akasaidie yukrein kama atatoboa,,videge hivyo kama kipepeo ,,kwanza angalieni siraha wanazotumia urusi,na ukrein
@bekaashbai17812 жыл бұрын
Hawana ishuu bro labda kutupiga ss
@iddymangwela90492 жыл бұрын
Bado sana tuongeze tu juhudi
@jumafundi31332 жыл бұрын
Siku ya kura ndio ubabewenu tunauona kwa kuchukua visanduku vya kura bila ya kuhesabiwa.ila musisahau kua yupo mmoja wa kumuogopa.
@Mzena43432 жыл бұрын
Kiukweli bado tupo nyuma sana tumepigwa ata na guinea askali wanansiraha za kizaman sana hata combati hazija kamilika wanajeshi wetu hawana hawana vizuia lisasi nihatari naiomba selikali iwatazamame walinda amani wetu
@silasjacob91322 жыл бұрын
Helikopta ya mwakagani hiyo
@athmanhamid95782 жыл бұрын
Hata Russia
@yudaaraphati96732 жыл бұрын
Hamumuogopi pT
@saheedali74672 жыл бұрын
Tunajua nyinyi hakuna munaemuogopa kwa kua mumejiumba wenyewe na wala hamukuumbwa na mola. Kikubwa musisahau mwisho wa siku Kuna kaburi.
@christinemwita20792 жыл бұрын
Jamani, anaposema yeyote, hamaanishi Mungu maana Mungu ni Mungu na sio yeyote! Amemaanisha mtu yeyote mwenye Nia ovu na mipaka yetu! Maana ya yeyote hapo ni binadamu na sio Mungu
@charlesboniphace22492 жыл бұрын
Uelewa mdogo , Hajataja Mungu apo sikiliza vzr ,kumbuka vzr Mungu aliumba jeshi lake jeshi lake na sio jeshi moja ni majeshhi yake uelewe kua mwanajeshi yeyote ni mtu wa Mungu CK zote za maisha yake vita ya kwanza ilikua Kati ya ibilisi na majeshhi yake na Yesu na jeshi lake, popote unapomuona mwanajeshi mshukuru maana pasipo jeshi ramani ya nchi y'ako itafutika kumbuka Uganda na Tanzania tsingekua na hawa JWTZ wahaya saivi wangekua raia wa Uganda na Tz tungekosa kivutio cha watu wanaopenda sifa ,hongera sana JWTZ
@alexkiria19012 жыл бұрын
@@charlesboniphace2249 Braza we ni mtu makini sana Mungu akulinde uzidi kuwaelimisha vijana wa hovyo kama huyo asiye na uzalendo na nchi yake
@mwailubikamongo97742 жыл бұрын
Taifa linaangamia kwarushwa naufisad mpo kimya hamyaoni hayo
@johnbernad39902 жыл бұрын
Kama hamuogopi chochote na mnaenda kokoke Nendeni ukren sasa mkatoe msaada
@aminakunja2772 жыл бұрын
Basi apo Wana hamu ya vita daha 😂
@saikalyasi27072 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@DAMUSAFI2 жыл бұрын
❌‼️KAMA MKO VIZURI KAMSAIDIENI RAIS WA KONGO DRC HUKO KUNA makundi ya MAGAIDI ZAIDI YA 200 MKIMSAIDIA MPAKA PANABAKI HATA KUNDI MOJA BASI TUTAWAVULIA KOFIA NA TUTALIPA JESHI Miaka 30 mnaakula bure gari za bure na matibabu bure na watoto mtakao wazaa kabla ya vita na wale mtakao waza baada ya vita watalipiwa kila kitu mpaka wanamaliza chuo kikuu ‼️❌
@shufaamujarabu27052 жыл бұрын
Wewe hujielewi na comments zako za kitoto hizo. Unajua Siri ya Vita ya Congo DRC au unaongea tuu, kojoa ukalale.
@IbrahimKombo-f9b Жыл бұрын
Huna baya mialaaaa
@nsajigwamwakalonge57022 жыл бұрын
angalieni na mafisadi, nao ni maadui
@diolindanativo72682 жыл бұрын
Hamuogopi nendeni kwa putin uko
@mwigakatumpula56952 жыл бұрын
👏👏👏👏🙏😃
@deniccgabriel61532 жыл бұрын
Mjifunze vita iliyopo Ukraine ndio muanze midoidoi au bas ingieni you tube muone wenzenu wanavyo lambwa na hasali tamu
@flova70222 жыл бұрын
Helicopter mbona za kipindi cha Sylvester staron
@imeldabamba37792 жыл бұрын
Hapo kwanza ncheke
@konobao97092 жыл бұрын
Hatumuogopi yeyote... Hata Mungu? Hamuogopi chochote..... Hata tetemeko? Mnaweza kwenda popote.... hata Mbinguni? Wapumbavu Tu... Nyinyi kuleni kodi zetu mnyamaze tu hamna Lolote
@christinemwita20792 жыл бұрын
Mungu hawezikuwa yeyote maana yeye sio mtu! Ameongelea kwa muktadha wa kazi zao jamani.
@alexkiria19012 жыл бұрын
Ww lala usingizi mtamu ukiamka asubuhi zurura popote utakapo ukichoka kalale tena lakini jua kuna watu wanakesha kukulinda ndio maana unapata muda wa kuandika utumbo kama huo
@kakaaignas36752 жыл бұрын
Hatar nawakubalo
@japhetkanyara44642 жыл бұрын
Awezi ukasema uko imara nawakati bado atujaona uimara weno ili tuone nendeni ukreni mkawasaidie
@jambo37512 жыл бұрын
@@japhetkanyara4464 Tukawasaidie kama nani wetu?
@undersonmwombeki62192 жыл бұрын
Unaongea2 we unaeza kupambana na mataifa ya wenzetu?akt risasi ikilia sehemu mnafarakana2 we omba aman2 na mshahara wako uingie lkn huwez kupambana kwa siraha iz za mkolon
@lazarosilayo69182 жыл бұрын
Vizur saaana JWTZ we2, ushaur angu tuendelee kuadvance zaidi kwny teknolojia upande wa anga na hata silaha. Dunia imechafuka kwa sasa masuala ya vita yamepamba moto kuliko masuala ya Mungu😓