NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AFUNGUKA MBELE ya WAKUU wa NCHI - AGUSA HOJA NZITO ZINAZOTIKISA AFRIKA....

  Рет қаралды 12,307

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@globaltv_online
@globaltv_online 9 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 9 күн бұрын
MAGUFULIFICATION OF AFRICA 🌍
@BridgeterPilla
@BridgeterPilla 9 күн бұрын
Tanesco tuwashieni umeme Mbagala tuangalie mkutano mkuu huu wa kidunia maana ni historia kubwa Nchini kwetu
@SimonJoseph-j8q
@SimonJoseph-j8q 8 күн бұрын
pongezi kwa mama Samia Suluhu Hasani na watanzaia wote
@bene28april
@bene28april Күн бұрын
CDF amesema mpaka amochoka, jamaaa hao hapo,duuu
@emanuelmotta9802
@emanuelmotta9802 8 күн бұрын
Nilidhani angeongea kwa Kiswahili
@NICOLAUSMUGE
@NICOLAUSMUGE 9 күн бұрын
Jamani traore simwoni
@ObadiahLickson
@ObadiahLickson 8 күн бұрын
Uongo wa isaya mmeuona? alithibitisha kuwa traore anakija tz huyu jamaa Kuna wakati anathibitishaga vitu kama aliona
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t 8 күн бұрын
Where is Troure
@fredrickjoseph2907
@fredrickjoseph2907 9 күн бұрын
Tuachie tusikie live
@ObadiahLickson
@ObadiahLickson 8 күн бұрын
Mnaongea maswala ya umeme wakati umeme hakuna tz bhn
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 8 күн бұрын
Mwamba alikuwa magufuli tu nyinyi mnaiga na hamuwez kitu shida tuu ovyoo
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 8 күн бұрын
Tatizo la Hayati Magufuli alikuwa Hataki International Communications... Nchi ilikuwa imetengwa kimataifa..... Ila Ni mzalendo na mpambanaji hatokei tena...
@MACHAGGECHACHA
@MACHAGGECHACHA 8 күн бұрын
@@KS-iw7qvShida yako ni ipi? Katengwa kimataifa. Una ushahidi gani. Kuna faida gani kimaendeleo Tz baada ya huyo mwarabu kuwa raisi? Wizi uvivu na utumishi wa kuwafaa wa mabeberu na wanaojidai wawaekezaji. Wizi mtupu.!!! Tz sasa hivi inatafunwa na mataifa ya nje. Amka.!!
@AllyMshindo
@AllyMshindo 9 күн бұрын
Sasa lini kiswahili kitapewa nafasi ya kutumiwa ?? Je sehemu gani yapaswa kutumiwa na wapi hakipaswi kutumiwa ?? Sasa je lugha ya TAIFA letu ipi sasa ?? Mkutano uko TANZANIA Waandaaji mkutano TANZANIA Vipi kitumike kingereza??
@visionstudios6804
@visionstudios6804 9 күн бұрын
Sababu wageni wametoka mataifa yanayotumia lugha tofauti tofauti
@MACHAGGECHACHA
@MACHAGGECHACHA 8 күн бұрын
@@visionstudios6804hiyo siyo sababu kwani unapofanyika Mkutano urusi au uchina na watu wa mataifa mengine wanahudhuria mbona hawabadilishi lugha yao.? Watu weusi bado ni watumwa wa mabeberu . Upumbavu.!!
@MrA24G
@MrA24G 8 күн бұрын
Huwo ni mkutano wa kimataifa acha ushamba wewe Allymshindo
@gervasemartin
@gervasemartin 9 күн бұрын
MNAWEKA GROUP LA WHATSAPP ALAFU DOESN'T EXIST
@MACHAGGECHACHA
@MACHAGGECHACHA 8 күн бұрын
Aibu.!!! Kwa nini asiongee Kiswahili? Kingereza chako cha wasi wasi matamshi ni ya kibantu na sio ya mabeberu.
@fredrickjoseph2907
@fredrickjoseph2907 9 күн бұрын
ondoa hiyi kiswahili
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН