Ewe Mungu muumba Arthi na Mbingu naomba nipate mapacha 3 waliofanana kama Hao tuseme Ameen kwa pamoja 🙏❤❤❤❤
@maikosaivu5515 Жыл бұрын
Amen
@necramsonpate Жыл бұрын
Amen
@mgayamgaya11 ай бұрын
mi ndo na hio mbegu ongea na mimi vizuri lamama😆😆😆😆
@PatricalBeti11 ай бұрын
Kidogo niseme Lisa mama Lucas na Suzen kumbe ni profile 2😂😂😂😂
@GnetIssah11 ай бұрын
Amen 🙏
@sumayyahally3199 Жыл бұрын
Mashaallah napokea huu uzao kwa uwezo wa Allah
@AlbertoKomme11 ай бұрын
nice sana....god bless u@by kitua
@MamaKarol11 ай бұрын
Napenda sn watt mapacha naomba Mungu na mm uzao wngu uwe wa mapach
@FaudhiaSalumuMkopi Жыл бұрын
Mungu nijaalie nami itokee nipate twins zenye mfanano inshallah
@عاملهمنزليه-ي8ض Жыл бұрын
Mungu awape maisha marefu inshallah 🤲🤲🤲🤲
@vedianamgube91110 ай бұрын
Mungu anipe mume nipate mapacha 2 wakike wote❤❤
@teresiaMajenga11 ай бұрын
Wanapendeza. Hongera wazazi wa watoto hawa
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Mungu awalinde na mie napokea twins 🙏🙏
@victoronyagootieno11 ай бұрын
Pacha watatu too gladness
@LucyJuma-w8iАй бұрын
Amina🎉🎉🎉🎉
@MinahAlly-uk2kg6 ай бұрын
Mashallah jamn
@VanessaNkyale Жыл бұрын
Mungu nijalie nami nipate mapacha❤❤❤
@Nascuteswai Жыл бұрын
Mungu nijalie nipate mapachaaa❤❤❤❤
@eusebiaurassa341711 ай бұрын
Mungu naomba na mimi unipee kama hawa😍😘
@samuelrondo80069 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉🎆🎆🎆🎆
@ElizabethAnthonyy5 ай бұрын
Congrats
@AshuraMaulid9 ай бұрын
Mungu na mimi naomba unipe mapacha watatu mmoja wawili wawe wakike mmoja wa kiume ameen na iwe hivyo
@JosephineMhandoАй бұрын
Hadi raha jamani😍😍😍
@winifridajaphet10 ай бұрын
My almighty God I receive twins in Jesus name but only if it's your will
@rachelgunagujemedan2082 Жыл бұрын
Mpk raha jaman Mungu awatunze km Mungu ataona nastahiri kupewa hyo zawadi anipatie kwa uweza wake🙏
@HappinessJohn-vw8hk10 ай бұрын
Ama wazur jaman
@Carlen-d9t Жыл бұрын
Napokea kama wao in jesus name
@AndrewMarino-d5z11 күн бұрын
Na me mungu nipe mapacha wawil wanaofanana
@LightnessRiwa Жыл бұрын
Oooh gwarara jojoiii na josamu nime wa miccc
@GracePaulo-hg4oz11 ай бұрын
Eee Mungu wa mbinguni na mimi unisikie kilio changu mwaka 2024 ukanipe watt mapacha
@MbogolinyoJp8 ай бұрын
Amen🎉🎉
@AgnesNyivaTV Жыл бұрын
Mungu awape nguvu♥️👏
@ElizabethPicket3 ай бұрын
Du ❤
@IreneBundala Жыл бұрын
Mungu nami naomba anijalie mapacha waufanane
@ScolaMashalo2 ай бұрын
Wawooo
@WitnessGodfrey-c7k7 ай бұрын
Jaman wakak wamefanan hatal mungu anifungulie nami wafanane Kama hai 🙏🙏
@HalimaHamudu Жыл бұрын
Mashallah
@pendomgalilwa6778 Жыл бұрын
Wazuli mashallah
@HappynessMaduhu-v1d Жыл бұрын
Mungu anijalie na anisaidie
@glorykimweri48468 ай бұрын
Mungu nibarikie uzao huu wa twins❤
@FersterPetro9 ай бұрын
Dah mungu anijalie nam nipate mapacha wanao fanana was like nawakiume
@gracenyudike6647 Жыл бұрын
Mungu awalinde 🥰
@DavidMlema-qk9lm2 ай бұрын
Mungu naomba wajukuu watatu
@DesderiaNdimbo Жыл бұрын
Woooow
@naomindulu230610 ай бұрын
Wow. All the best guys ❤
@EstherJerald-tc6ct3 ай бұрын
Hivi mapacha watatu wanaitwaje jamani? Kulwa ,doto halafu?
@reginamallya91512 жыл бұрын
Wooooow 🤔🤔🤔🤔🤔
@Godmaletz Жыл бұрын
Kulwa dotto na kashinde
@MaryamJuma-mi2si9 ай бұрын
Kabisa ata hauja kosea
@PatricalBeti11 ай бұрын
Wa3 anaitwa Sizya!! Nae ndio mkubwa jmn au? Maana tunasikia Maisemore isemwayo wa kwanza atakua wa mwisho😂😂 nina imani Sisya ndio wa kwanza kutengenezwa aknafata doto akamalizikia kulwa👀ndio maana kaanza kutoka kulwa!! Wanasayansi hp msaada wenu tafadhari!
@irenematokeo6116 Жыл бұрын
Weweeeee apo sasa
@ongesadorca45410 ай бұрын
Naomba mungu unipe kama hawa
@CharlesRutandula Жыл бұрын
Mungu naomba nisaidie na mimi uzao huu AMEN🤗🤗
@NeemaChinyaru-ub4ts Жыл бұрын
Safi
@Nanah-ni6bn Жыл бұрын
❤️🌸
@PreciousMremaro-xg6nk Жыл бұрын
Mungu awalinde sana hawa mapacha
@annalisagervas561011 ай бұрын
Kizi
@mwanahashim45952 жыл бұрын
Kulwa,Doto na Kiza
@office25558 ай бұрын
😮
@VailethSolomon9 ай бұрын
Mungu naomba Nami unikumbuke kwenye pacha
@briedadijaadebrave2810 Жыл бұрын
Nimejikuta nashangaa kwanguvu MUNGU fundi jamani
@gabrielbakilana77 Жыл бұрын
Anayetoka wa kwanza ndio actually mdogo kuliko wote! ...Kweli kaz tunayo...