HAWA SIO WATU WAZURI | MNAOGOPA MASHIA MNAPEWA 20 MUWATETEE MUKAE KIMYA | MKIWEZA TUUWENI - SH SAMIR

  Рет қаралды 17,156

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 101
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 2 ай бұрын
Hayasimahali pale kuzungumza hayo nenda kwahao unaowashutumu kanao mujadili kwakina kamaalivyotufundish mwenyezi mungu uislam ninasaha siokupelekeana uwadui
@hassanadam2708
@hassanadam2708 Жыл бұрын
Huyu sheikh kwa upande wa kutetea swahaba nimemkubali sana. Anajua nusuus vzr
@samirhumud7408
@samirhumud7408 Жыл бұрын
Allah akulinde dhidi ya maadui wote ln shaa Allah.Allah atujaaliye elimu ili tuweze kupambanua baina ya hakki na baatwili ln shaa Allah
@omarmakame5713
@omarmakame5713 Жыл бұрын
Daah uyo shekh hamna kitu kabisa
@omarmakame5713
@omarmakame5713 Жыл бұрын
Uyu ndio anae tegemewa na taasis ya mahdy shamsul maarifa mbona ana ata element za usomi
@samirhumud7408
@samirhumud7408 Жыл бұрын
Wew unazo ushukuru Allah.Huenda na yeye akapata akakuzidi kwan hakuna aliyezaliwa anajua ila yule anayemtaka Allah mwenyewe.Allahu aalam
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Жыл бұрын
Kimeumana masufi wanajanjaruka huku njoooni.
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Shekhe huyu ni mtu wa mungu kweli. Binafsi nampenda sana.yupo wapi? Nataka anifundishe
@rashidabuu9406
@rashidabuu9406 Жыл бұрын
MASHAAALLAH SHEKH UJUMBE MZURI SANAA NA KINACHOLENGWA HAPO SIO MASHEKH BALI NI VIZAZI NA WAUMINI WASIJE RUBUNIKA NA USHIA
@gift-AA
@gift-AA Жыл бұрын
ALLAH akuhifadhi na akuongoze kwenye Haqi
@jamalsalum8726
@jamalsalum8726 Жыл бұрын
Maashaallah Shekh Samir, Haqqi idhihirishwe mpk was ilimu upya hawa mashia
@abdallahmohamedi444
@abdallahmohamedi444 Жыл бұрын
Allah akulinde na maadui inshaallah Sheikh Samir!
@gulamomar6394
@gulamomar6394 Жыл бұрын
Allah akulinde mudir wetu 🙏
@sabihiathumani6612
@sabihiathumani6612 Жыл бұрын
MashaAllah. Shukran
@jimjam4148
@jimjam4148 Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 2 ай бұрын
Ndivyo walituvuruga mayahudi halitumeambiwa as tusiwekama wao mwitenduguo mjadilivizuli
@ustadhisampakatema3812
@ustadhisampakatema3812 Жыл бұрын
Maashaallah
@jamalsalum8726
@jamalsalum8726 Жыл бұрын
Mashia ni makaafir khasswa
@mussalayla4575
@mussalayla4575 Жыл бұрын
Bila shaka Sheikh
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Jamani, hyu shekhe yupo msikiti upi? Mimi nataka kusilimu🙏🏻🙏🏻
@jakuabdull34
@jakuabdull34 Жыл бұрын
Yupo tanga shamsia mfuate ukaslim
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
@@jakuabdull34 asante
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 Жыл бұрын
HAKIKA NIMEKUELEWA
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
sheikh kaelezea vzuri kuwa aya yahusu vita vya tabuk kwa taarifa kuwa baada ya kurejea kwake vita taabuk wapo maswahaba wapo njiani wamwinda wamuue na mtume saww akapewa bishara akamwita SWAHABA HUDHAIFA NA kumwambia unawajua WANAFIKI? AKAMWAMBIA ANDIKA MAJINA YA WANAFIKI 12 na asimweleze mtu yeyote..
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 10 ай бұрын
Hamynas wew ni muongo.Hakuna swahaba Aliyetaka Kumuua Mtume.Chunga sana Ulimi wako.Pia Wanafiki hawakuwahi kwenda Vitani.kama Quraan inavosema
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 5 ай бұрын
kumbe mashekhe wengi wa kisuni wanatakiwa warudi madrasa kusoma historia ya uisilam hili ndio tatizo lao kubwa hawaijui historia ya uisilam
@FrankGiroli
@FrankGiroli Жыл бұрын
Shekh ujumbe wako una hekima,ucha mungu,na uzalendo ndani yake!!, hapa hakuna waislamu wala wakristu?!!!! ss wote ni wamoja na mungu wetu ni mmoja hakuna mwenye mungu wake hapa,mm ni mkristu,na mungu yupo nyuma yenu kwa watu kama wewe!!
@jamalsalum8726
@jamalsalum8726 Жыл бұрын
Wanaafiq(Mashia) 1 na sera yao ya TAQIYA
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
Watu Kweli wamechoka
@MohammedMashaka-wk6yd
@MohammedMashaka-wk6yd Жыл бұрын
Shekhe huyu mm nataka kuja kusoma kwako
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm Жыл бұрын
Sheikh wangu kwa nini usifanyike mjadada au munaqasha wa wazi na hawa watu tukaonesha makosa yao na pia kuelimisha umma juu ya upotofu wao?
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 2 ай бұрын
😅😅😅 muambie Kama yupo teyar aje
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 2 ай бұрын
Waiteni haomnaowatuhumu siokukwepa haomaswahaba wamekwisha fikisha Yale walio pokes kwamtume hizonituhumazisizokuwa nahoja kweli saidina huseni hakuwawa aliuwawa nandio watu haowameona wasimame zotehizo leads hakunahaj as tumeamrishwa kutenda mematu
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 2 ай бұрын
Shekh taarifu ya takiya ndio hiyo?
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 Жыл бұрын
Hawa Shia bila kujichanganya nasisi hawapati kuungwa mkono
@abujaffar2153
@abujaffar2153 Жыл бұрын
Sheikh wacha kudanganya watu yaani watu wauone kisha iwe kujitahidi
@abdalamakajula3883
@abdalamakajula3883 Жыл бұрын
Sheikh Pumbavu...
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Mashia ni makafiri 100%
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Wewe ndio sufaha..!
@ustadhisampakatema3812
@ustadhisampakatema3812 Жыл бұрын
Huna jambo ww tulia dawa ikuingie...
@abubakarmustwafa8662
@abubakarmustwafa8662 Жыл бұрын
Pumbavu babaako na mamaako,wenye mtoto baradhuli mfirwaji,kama weye Mshia
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
Mpumbavu ni wewe ambae mpk Leo hujaiona haki Bado uko ktk ujahilia wa kishia.!!
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 2 ай бұрын
Shekh samir mi ninakuomba kuliko kuwahutubia waumin wako hawo hayo unayodai ni madudu ya shia hali ya kuwa hawo wa umin wako 90 hawajui hata kuswali tafuta mda hapo hapo tanga kunavyuo vya kishia vingiii nenda hapo au andika barua waambie mkutane uwanjani waje waumin wako wooote na mashia waje alf ufanye nao mjadala kwa hayo unayodai ili waumin wako wapate kukuamin zaud😅😅😅
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
kuhusu kunyamaza maovu ya maswahaba waovu sijui imekaaje maana desturi ya ALLAH na QURAN haipo hivyo...waovu woote waliopita wametajwa ktk kur an na maovu yao yametajwa kinagaubaga..nyinyi mna imani za kuunda unda sana masheikh wa hovyo kabisa
@c.e.o_abdiroush
@c.e.o_abdiroush Жыл бұрын
Kuma ww mshia mkubwa Makafiri nyinyi2
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@c.e.o_abdiroush hayaa bingwa wa matusi kaingia ooh shia wana midomo michafu huu hapa vepee? ha ha ha haaa
@abuu_hassanaini176
@abuu_hassanaini176 Жыл бұрын
Mashia wachafu kama hilo lijalala kama jina lake nakilemba kama tairi ya trekta lajifanya jema kuma litukanaji kuwatusi maswahaba zetu acahanen na sisi , hatupo pamoja nanyi .
@i.dclassic116
@i.dclassic116 Жыл бұрын
Toa ushaidi wa maswahaba waovu
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Hela za Iran hizo zitawatokea puani,nyinyi ni waovu wakubwa, na wala sio waislamu
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
sheikh pia kaeleza uzuri kuhusu ali a.s kuruhusu nguzo ya dini kuvunjwa akatulia tulii.. mbona watu wa MUSA A.S walivyoachwa na HARUN A.S waliandaa sanamu la dhahabu na wakaiwacha DINI KABISAA( SIYO NGUZO YA DINI) wakawa wanaabudu SANAMU BADALA YA MUNGU na harun hakufanya kitu na MUSA alivyokuja akamuuliza mbona hukuwakataza?akasema walitaka kuniua...SASA SHEIKH UNAYEONGEA KAMA SHOGA HAPO hivi vitu hivi huvijui?
@mdoemhando3436
@mdoemhando3436 Жыл бұрын
Tumia lugha nzuri tu kama unakusudia radhi za Allah wala huna haja ya kutukana
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@mdoemhando3436 sheikh anajifanya kichwa ngumu na mapozi yake ya uongeaji hayo sijui vepee
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Nguruwe wa kishia hawana hoja kwa ahlusunna waljamaa
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@mohdkhatib223 asli ya ahlusuna wal jamaa ni nini na lini ?hebu tuanzie hapo kwanza tujue mumetokea wapi AHLUSUNA WALJAMAA
@abuu_hassanaini176
@abuu_hassanaini176 Жыл бұрын
Kwann ya husein kwann isiwe ya Allah ! washirikina nyinyi na hamna adabu na hao masheikh zenu tooooka jinga we
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
sasa sheikh akuue nani na una lipi la kuuliwa au unajikweza tuu..wewe watafute washia masheikh zao wameshasema wanahitaji mijadala na nyie siyo kazi kuwahutubia waumini ambao asilimia 90 hata wudhu hawaujui hata ukimuuliza wewe suni wa imam gani ?anaropoka tuu mimi suni shafii..hebu jielezee kwa nn shafii badala ya hambali?hata hajui wala hamjui huyo shafii ni nani hatari sana
@abuuyaasiriibrahimkyone.2911
@abuuyaasiriibrahimkyone.2911 Жыл бұрын
Kisu kimuvuka kikafikia mfupa, au mwiba umevuka kiatu sasa wachoma unyayo, maumivu ni makali kweli kweli. Jinga kabisa wewe. Sasa waropokwa kama harufu ya mzoga. Wewe jishia kubwa kabisa.
@saidkondo5112
@saidkondo5112 Жыл бұрын
Mara ngapi wanaitwa katika mijadala hao mashia wanakimbia, hawaji
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@saidkondo5112 wapo pale makao yao makuu mkakae mfanye mjadala au sehemu iliyokua huru na wahuni wenu pia inafaa ninyi mna tabia ya kujaza wahuni na kufanya fujo mijadala inakosa heshima na adabu
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@abuuyaasiriibrahimkyone.2911 hoja iliyopo ni kuwa mawlid siku hizi hazivutii bila kuwaalika masheikh wanaowatukana mashia hamuna ajenda wala mnachofanya zaidi ya matusi na shutuma kwa mashia ilihali hizo shutuma zinawarejea ninyi wenyewe
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@abuuyaasiriibrahimkyone.2911 mfano unafiki wa maswahaba umeandikwa ktk vitabu vya kisuni hayo mnasema mapungufu ya quran imendikwa ktk vitabu vya wasuni wenyewe pale mama aisha anaposema kuna sura imeliwa na mbuzi
@Ommyjames313
@Ommyjames313 Жыл бұрын
MashaAllah shukran
SHEIKH SAMIR SADIQ AKIILEZEA SUNNA
26:06
Yaa Salaam online
Рет қаралды 3,5 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 81 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 22 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,7 МЛН
Mmoja asilimu daawah inaendelea
1:19:52
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 5 М.
MZIWANDA KAWA MWANAFUNZI AFUNDISHWA
17:01
Asadiqmedia
Рет қаралды 4,4 М.
NYUNDO YA SAYYID SWALEH AL-AHDALY KWA MASHIA
24:09
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 7 М.
AZABU YA MTU ALIE ACHA IBADA YA SALA SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:32:32
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 81 МЛН