Sometimes unaweza kuzungumza ukadhani unasifu na kupambia kumbe ndo unaharibu, Studiooooo kwako Shk Chizenga 🎉
@hamzakimaro37642 сағат бұрын
Baraza la wakwe!!!
@Issa-ud6sy3 сағат бұрын
Huyu Alhad,kwanini mnampa nafasi ya kuongea msikitini,huyu uislam wake una mashaka sana.kwa mtazamo wangu lakin.
@pavillioncry524153 минут бұрын
Ndefu ziko wapi
@RBMBAKARI-bv6wn33 минут бұрын
Lakini hapa tu anahadithia yaliyopita hakuna ubaya lolote lile ila huyu inaelekea bado ananguvu sana ndani ya bakwata
@mootelahamongus6333 сағат бұрын
Mkiambiwaga Huyo Alhad ni Mshia Hamuelewagi, Huyo Anamhusudu Hata Shekh Mwenzake Aliechukua Nafasi Yake Waziwazi na BAKWATA Inamfumbia Macho. Leo Yamewakuta!! Endeleeni Kumpa Nafasi Zaidi, na Nafasi za Kuongea.
@ismailsaid63182 сағат бұрын
Alhad yupo sahihi
@issazalala49072 сағат бұрын
Uyu jamaa bado ana maumivu ya kuvuliwa ushee wa mkoa 😂ndio mana ana ropoka Siri za Kambi pumbavu zake
@ustadhisimbula86222 сағат бұрын
Sasa kwani ndio mada hiyo kapangiwa hapo aongee au? Maana anatoa sir za baraza badala ya kuongelea umuhim wa kupiga kura anaongea mengine ya baraza
@yusuphrashidi-dr1kb3 сағат бұрын
Kaongea ukweli yote haya ni ya kweli
@Mahmud-g1p4 сағат бұрын
Sheikh wa maana kabisa ukiona unazungumziwa ujue una kitu sio bure maana mti wenye matunda ndo unapigwa mawe
@issazalala49072 сағат бұрын
Hata kama ni kweri kwanini aongee Leo lipo jambo
@abdallahkaskas6168Сағат бұрын
Mwamba ..😂😂😂
@saidmasoud9004Сағат бұрын
Mimi naona hakuna baya hapo. Yeye amechagiza. Kwani kuna ubaya kumshauri mgombea wapili asigombee na yeye akaridhia ili mufti Zubeir apite bila kupingwa. Sababu alioona uwezo mkubwa wa Mufti. Jee hapo ni kosa kusema?
@JumaHemed-k6u2 сағат бұрын
kama huyu alhad anatugombanisha waislam mchungen xana alafu huyu ndiye anae sapot mashia simwenzet jaman