HAYA NDIYO MANENO ALIYOYASEMA MH .OTHMAN MASOUD,MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR

  Рет қаралды 8,766

RVS Online Tv

RVS Online Tv

Күн бұрын

Join this channel to get access to perks:
/ @rvsonlinetv
JOIN TO OUR WHATSAP GROUP AS MEMBER OF RVS:
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
#HABARI #UPDTAEHABARI #RVSONLINETV @RVS
Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
RVS SQUAD YETU
WAANDISHI NA WANA HABARI :
1. SALMA MASHAKA MAYUNGA
2.YUSRA SAID SHAABAN
3. ABOU BAKAR ( BABROMA )
4.CHRISTOPHER MARTIN
CAMERA MAN :
1.SEIF PUCHE
2.HAFIDH KHAMIS ( FII )
3.UST KHATIB SALUM
4. HARITH
5.HAFIDH OMAR
EDITOR :
1. SAID KOMBO ALI
2.SEIF PUCHE
HAO NDO WANAOTMBULIKANA N RVS ONLINE TV
== JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NASI RVS ONLINE TV ( +255 772 666778), ( +255 719 700015)
⚫️ Email: rvsteam2020@gmail.com OR rvsteamhabari2020@gmail.com
TEMBELEA WEBSITE YETU YA RVS ONLINE TV👇👇👇👇
👉👉👉👉: www.rvsonlinetv.com
FACEBOOK: / rvsteamhb
INSTAGRAM : / rvstv2020
TWITTER : / online_rvs

Пікірлер: 20
@mahmoodsurour9265
@mahmoodsurour9265 Жыл бұрын
Nimeshiriki chaguzo zote za vyama vingi CCM hawajawahi kuwa waaminifu na Wala hawatowahi kuwa waaminifu ni kwa sababu hawana imani ya dini yoyote roho zao ni korofi kuliko wajini
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
Wasemavyo kweli Bwana Mahmood Surour.
@solomonadams6337
@solomonadams6337 Жыл бұрын
Zege hailala inshaallah Uchaguzi unakuja nataka nione Zanzibar Sovereign States kabla sijaingia kwenye tumbo la ardhi sawa¿thanks
@mukhtaromar-g5p
@mukhtaromar-g5p 2 ай бұрын
Yani raisi anapita msikitini ana hubiri amani halafu hatendi haki. Na anaandaa mauwaji ya halaiki ya watu bila kosa. Allah tujalie tutoke kwenye mikono ya madhalimu ccm
@jumasalim6126
@jumasalim6126 Жыл бұрын
Huyu ndie kidume
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatu Allah ,mm napenda kuwapa nasaha zangu musije mukajitoa kwenye meridhiano bora nikheri kukaa naasie kupenda karibu kuliko kukaanae mbali .
@mahmoodsurour9265
@mahmoodsurour9265 Жыл бұрын
Nachompongeze huyu mtu ni muwazi na mkweli
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 Жыл бұрын
Mie namuomba Mungu juu ya kuwa mwingi Wa kusamehe nakumba wale walisababisha umaiti Zanzibar Mungu asikubali toba zao Bali
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
Huwezi kuamini kwamba mtu anajiita Muisilamu, kiguu na njia Misikitini kuhubiri AMANI, kumbe mnafik zaidi yake hapana!
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Sheria zibadilishwe kuwe na makamo wa Kwanza peke yake.
@edyboychamiliion1360
@edyboychamiliion1360 Жыл бұрын
kweli hawaaminiki kabisa hao
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 Жыл бұрын
Uchaguzi wa zanzibar sio uchaguzi wa kufanyika siku 2 ni uchaguzi wa kufanya masaa sita tu mshindi ameshajuulikana ,wapiga kura laki sita kwa ulimwengu wa sasa uliojaa teknolojia ni ajabu mwezi mzima mshindi hajajuulikana huo ni usanii mtupu,,mfano nchi ya israel kutokana na uchache wa watu wao kama ilivyo zanzibar wanapiga kura kwa masaa machache tu mshindi ameshajuulikana
@wakwetu2444
@wakwetu2444 Жыл бұрын
Unafiki wa CCM Hauna mfano.
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Жыл бұрын
Kuweini nz hekma sana katika kupokea maoni yawananchi maana wayu wana hamamatsu kubwa
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 6 ай бұрын
Ccmhaijakuwa,tayari,kuwaaminini,wazanzibar
@adamsoud4862
@adamsoud4862 Жыл бұрын
CCM madhalimu na wanafiki hawaaminiki tangu uchaguzi 1995 na wala hawafanyi kitu katu hao mwinyi akimbiwe misikitini kama salmin Amour hakuna kuwaamini CCM tena wanafiki ishara zote wanazo
@salimashambi7047
@salimashambi7047 Жыл бұрын
Sadakta zege hailali fanyeni kaz OMO hao wezetu hawa muogopi mungu kabisa
@wakwetu2444
@wakwetu2444 Жыл бұрын
Hawo hawatoaminka maisha yote.
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 6 ай бұрын
Haijawahikutokea,kiongozi,mwenye,roho,mbaya,kama,huyu,wamangapwani
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 Жыл бұрын
Tunakukubal
Hotuba ya Othman Masoud, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
30:16
The Chanzo
Рет қаралды 3,9 М.
Le parcours d'un roi - Le Maroc de Mohammed VI
56:03
Public Sénat
Рет қаралды 640 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 17 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
MUDA scam, Modi in USA, Trump vs Harris | Hafta 504 FULL EPISODE
2:06:21
OTHMAN MASOUD AFUNGUKA KUVAA VIATU VYA MAALIM SEIF
15:13
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 10 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 17 МЛН