Allahuakbar Allah Amlipe kheri na baraka kila alie changia kuwa okoa Hawa watu Kwa Taufiqi ya Allah
@ModestaRichard-l6c4 күн бұрын
poleni sana wakazi wa kariakoo pamoja na familia za marehemu, bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, mungu awalaze mahali pema peponi AMINA 😢😢
@rahmaswale16718 сағат бұрын
Jamani huyu mama neema anauliza sana mimi nikijiangalia Kawa mtu mzima lakini ndoa hivyo kazi ya Mungu haina makosa Mungu awape subra
@naturelle10973 күн бұрын
Wote mlojitolea kuwaokoa wenzetu Mungu awabariki❤❤
@KamikaziSalma4 күн бұрын
Polenisana nduguzetu Allah awape subra 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ustadhisimbula86225 күн бұрын
Mtangazaji wangu bora sana tz mwana wa mashi mungu akutunze unajua kaka na mungu awasaidie wandugu zetu jmn😢😢
@mohammedrajabumwamba13224 күн бұрын
ANASAUTI NZURI SANA HUYI NDUGUYETU
@DjumaAsha4 күн бұрын
Allah awape Subra wahusika Aaaamin 🤲
@NassoroHaji-i8k6 күн бұрын
Daaah...kwa kweli nalia kwa huzuni na uchungu kwa kupoteza nguvu ya taifa poleni raia wenzangu..poleni watanzania wenzangu Allah awafanyie wepesi inshaallah
@MagunoMtanda6 күн бұрын
Kwakweli nihuzuni Sana watu tumelia Sana watanzania tumepata pigo la moyo Allah awape subla wafiwa wote na pia Allah awasamehe marehemu wote
@faidha236 күн бұрын
Amin Amin Amin
@FASSALEHALIB6 күн бұрын
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJI'UUN. NAMUOMBA ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA AWANUSURU NA ATUNUSURU KILA AINA YA BALAA NA MAAFA - AMEEN YAA RABB.
@rukiyamohammed29455 күн бұрын
SubhanaAllah😢😢😢😢Allah atujaalie mwisho mwema😢😢😢
@PeterMsina12 сағат бұрын
poleni sana
@Ayuminchasi5 күн бұрын
Subhanallah subhanallah yaa Allah wafanyie wepesi viumbe wako
@yohanaphediaphediantayagar59443 күн бұрын
Ukuuu na utukufu wa Mung ni vikuu na ni kinga ndani yetu
@sarahmana26636 күн бұрын
😢😢😢😢😢 Allah awapokeye mahala pema, na awape Subra na nguvu waliyo fisha, amiin
@FloraMchete4 күн бұрын
Mungu awasaidie hata ambao hawajapatikana mpaka sasa wapatikane kwa Mungu yote yanawezekani
@HusseinMustafaParmar2 күн бұрын
Kwa umaskini wa Tanzania inavyodai Serikali ya Tanzania ni Bora kuna matajiri wa kufadhili mipira na vyama vya siasa na katika majanga kama haya na kusaidia wenye shida
@evarimdecoration42565 күн бұрын
Poleni sana wote Jamani.. Ila jamaa katoka nje hajui hata mama anayemshukuru hakuwepo aliondoka siku kazama chini pole sana!!
@syliviasimon84154 күн бұрын
Mungu ni mwema
@salimaslalaamalekumwardah13185 күн бұрын
😢😢😢😢 poleni mungu atawafirijiya nyote
@HanifaOman-oo4pl6 күн бұрын
Jazakrllah khaillah kwa ukumbusho.
@habibaosman72236 күн бұрын
Ripoti nzuri Masha Allah
@TullejiboKenya3 күн бұрын
Poleni sana 🙏
@EliseMasoka5 күн бұрын
Pole sana kweli mungu awalinde
@sephaniangulo40356 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 E Mwenyezi Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi...
@SalumKeya6 күн бұрын
Allah atuepushe na mitihani wallah
@KuruthumBilali5 күн бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@naosson.65696 күн бұрын
MashaAllah..❤
@ArabOman-x7h6 күн бұрын
Mungu nimwema
@RamadhaniSechonge6 күн бұрын
Allah Akbar
@EmanuelRyoba6 күн бұрын
Ila nimestajabu sana kusikia rahma yote aliyoyaongea TikTok kumbe ni uongo tu
@user-vi5zj7yi1d6 күн бұрын
Ni huzuni kwakweli nililia Kama mzazi Mimi jmn duh kumbe muongo Mungu amsamehe sana