Kaka Hassan, you're a hero of the year. Huo ujasiri wa kujiteua kuwa kiongozi na kuwanusuru wengine kabla Yako, huo ndio ubinadamu. MUNGU akubariki.
@kabulaphilipo79852 ай бұрын
Daaa! Mungu akupe maisha marefu kujichagua kiongozi, hafu unakuwa wa mwisho kutoka angekuwa mwingine angesema ngoja niwaongoze nitoke kwanza nikaombe msaada.
@joycemetili38762 ай бұрын
Poleni kaka..Ni Mungu amewasaidia mmetoka salama mpe sifa na shukrani
@bettyruhaza28562 ай бұрын
Hongera kwa roho hiyo nzuri Mungu akupe hitaji la moyo wako
@FroraFrankyekenya2 ай бұрын
Pole Sana ndugu Mungu nimwema 3:34
@janethkinyonto31812 ай бұрын
Poleni saana jaman Mungu mkubwa haikuwa rahisi aseeee
@HappyWasha2 ай бұрын
Mungu anakupenda sana kaka angu
@ruthmringo73602 ай бұрын
Tunashukuru kwa ajili ya hili, hakika Mungu ni mwaminifu
@GeorgeJohaness2 ай бұрын
Polen saw ndugu wetu mungu hawape maisha marefu
@MariaDaniel-g7q2 ай бұрын
Pole sana mung akulinde. 😮
@LilianZedekia-s9v2 ай бұрын
Eeee ee mungu waoka walio baki we hujawahishidwa watazame mungu kwa jicho la huruma mungu watanzania tunalis kwakweli😮
@Eskey.Matola2 ай бұрын
Du polen mungu apewe sifa
@JoyceMbonea-zp9gl2 ай бұрын
Polenii Sanaa jaman daah lnaumaa
@NadiaLienga2 ай бұрын
Daaah mungu mwema Kwa kila Jambo wee mwenyez mungu enderea kufanya wepes watoke wot
@DenisErasto-qe9vg2 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu mungu awa funike kwa damu yake 🙏
@ElgiusCylidion2 ай бұрын
Pole sana jmn, Mungu atusimamie ktk hili jmn.
@AmianaMavura2 ай бұрын
Mungu mkubwa kaka angu mtumikie kwa haki
@YunisiLukasi2 ай бұрын
Pole mwenyez mng akusaidie
@bornifacecharles22 ай бұрын
wanawake Wana sema haki sawa dada waambie
@BenedictoSinkonde2 ай бұрын
Ashukuliwe Mungu aliyetoa maarifa na msaada wa kuwaponya na mauti
@NapatNapat-x6i2 ай бұрын
Mungu akuvuwe hili na jengine yaaraby
@ShazmaIddi2 ай бұрын
Allhamdullilah jambo la kumshukur allha
@marthamsoma26642 ай бұрын
Mungu mkuu na mwaminifu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@RajabuSeif-y5p2 ай бұрын
Maskini.mungu anakupenda jmn.tuombe sana mungu
@WitnessChristian-t7i2 ай бұрын
Poleni na hongereni sana pia
@AmedMwita2 ай бұрын
Pole saana mwana yanga
@BanzaPamela2 ай бұрын
Poleni sana wote
@NassoroHaji-i8k2 ай бұрын
Pole sana kaka
@VailethKiwovele2 ай бұрын
Pole san hasan jmn mung mwema,
@FloraAckley2 ай бұрын
Pole Sana jaman
@AyoubMharuka2 ай бұрын
Mngu mwema poleni sana
@AksaRaphael2 ай бұрын
Barikiwa kaka
@mattarjaiskel46252 ай бұрын
Subhana llah
@avitusjovin2 ай бұрын
Daaa mungu akubalik sana jmn
@AishaYassin-e7r2 ай бұрын
Pole sana
@persiajosephat20212 ай бұрын
Mtumikie Mungu
@LestutaFelix2 ай бұрын
Pole San na umejipambania
@FrolaWaiti2 ай бұрын
💖💖💖💛💛
@ExcitedGlassRose-nz1ku2 ай бұрын
Allah awalinde skuzenu zikombali
@AmadiBosco2 ай бұрын
Daha poleni
@PriscillaOdalla2 ай бұрын
Mungu mkubwa pole kaka
@nghilamakaji22792 ай бұрын
Duu Mungu awape wepesi
@DottoAthuman-j8n2 ай бұрын
Vitiko
@kabujeasukile54622 ай бұрын
Poleni sana
@balkissMuhammad-sk1ic2 ай бұрын
Subhallah
@RashidiRashidikulyamba2 ай бұрын
Safi sana
@ShillohChoir2 ай бұрын
Amen
@JazilaOmary-l2i2 ай бұрын
Poleni nduzetu kwa jamga hili lataifa sote tumeumia ilamwenyezimngu ndio mweza wayote
@rashidichuri11492 ай бұрын
hakuna mbinu hapo nimipango yamungu tu.acha kujisifu mshukuru mungu
@SarmaRashidi2 ай бұрын
Ee mungu dunia inaenda wp
@FaridaBabu-z4f2 ай бұрын
Poleni sana ndunguzangu😂😂😂😂😂😂
@DottoAthuman-j8n2 ай бұрын
0:00 g
@AzizaCosmac2 ай бұрын
Poleni
@HUpendo2 ай бұрын
Sali sana kaka anguuuu
@angelraphael45002 ай бұрын
Huyu kaka mwacheni apumzike jaman😢😢
@HappyKokushubira2 ай бұрын
Mungu nimwema
@fatmaahmed86372 ай бұрын
MUNGU KAMJAALIYE YEYE KUWA SABABU YA KUOKOKA WENGINE.MUNGU AMJAALIYE SANA JUHUDI HIO SANA
@JeniMwambuwa2 ай бұрын
Dahaaa polen san😂
@Sesilialucas-pk4ze2 ай бұрын
Pole kaka But mwenyez MUNGU Yuko p1 nawe
@FaustinaAmsi2 ай бұрын
Pale kak
@MawazoPitajingi2 ай бұрын
Pore sans
@PendoDaniel-kg5zf2 ай бұрын
Polen
@RashidHamisiMrisho2 ай бұрын
Siku zako bado hazikutimia
@suleyshaban1332 ай бұрын
Polen jmn
@JoshuaJorm2 ай бұрын
Mung ahimidie
@PendoJulius-p1qАй бұрын
Video
@MusthaphaMagongo2 ай бұрын
Poa2
@RajabuSeif-y5p2 ай бұрын
Maskiniiii😢
@saraphinaJohn-k2m2 ай бұрын
Hapa tunazodi kujifunza kitu Wanawake mwanaume ni kitu muhimu sana
@nos.kilumile2 ай бұрын
Polen.mungu.awatee
@young_brother272 ай бұрын
Mliokuwa mbasema tunenepe ili tusitekwe mmesikia hiyo?😂 wembamba wameweka kutoka, wanene wakabaki ndani.. je, ingetokea la kutokea tungekuwa tunaongea hanari zingine
@SalmaJumanne-b5z2 ай бұрын
Polen San jmn
@jacklinengengena1042 ай бұрын
Mungu mkubwa sana endelea kuwa na moyo huo
@MusthaphaMagongo2 ай бұрын
Poren
@HamisiKondelaluswagila2 ай бұрын
p
@ZuhuraMasoud-d8g2 ай бұрын
We mtangazaj umevulugwa unaongea wewe Kwan yeye Ana mdomo si anaongea tunamsikia au ndo munatak kuweka uwongo wenu