HD VIDEO: BANDARI YA DSM YAVUNJA REKODI, MELI YENYE MAGARI 4,041 YATIA NANGA

  Рет қаралды 87,196

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Bandari ya Dar es salaam imeweka rekodi mpya ya kupokea meli kubwa yenye urefu wa mita 189.45 ikiwa na shehena ya magari 4,041 ikitoka Japan ambapo magari 2,936 yanakwenda nje ya nchi huku 1105 yakibaki Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania amesema Erick Hamis amesema haya ni matunda ya maboresho waliyofanya.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuanza kutumia Bandari za Nchi Kavu (ICD) zinazokidhi vigezo ili kupunguza msongamano wa magari bandarini.

Пікірлер: 142
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima mwamba wetu ulituheshimisha wa tz lakini nyota yako ilizima gafla bado tunalia Mungu akuweke pema Ameen
@olenyghosho7008
@olenyghosho7008 2 жыл бұрын
pumbavu sana,yeye ndiye kaijenga,au mnapa sifa za kipumbavu, RIP jpm
@hanschuma7734
@hanschuma7734 2 жыл бұрын
Salute kwa Magufuli mzee baba mungu akupunguzie adhab apo ulipo
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Rest in peace JPM. Maono yako kwenye nchi hii yataishi miaka na miaka.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 жыл бұрын
Tulipoteza kiongozi wa kipekee sana. WAPIGA dili sasa wanashindana kumtukana, kumkashifu Magufuli. Rest In Peace my beloved JPM
@nyambegamatoro6817
@nyambegamatoro6817 2 жыл бұрын
Rip the visionary father. Kazi iendelee. Congr. Our active minister.. harakisheni kukamilisha sgr na bwawa la JNHP mtaona makubwa zaidi.
@archnidquasar7314
@archnidquasar7314 2 жыл бұрын
Kazi ya mzee Baba kongore kwake aisee alikuwa na maono mapana 👍🏼
@williamsville3493
@williamsville3493 2 жыл бұрын
Pongezi ni kwa JPM kwanza ambaye ndo alipambana hadi kufikia hapo
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Alipambana nn?
@ethanethan4437
@ethanethan4437 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 kuma wewe ujui
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
@@ethanethan4437 Daah! Haya na wendawazimu nao mpo. Mkikatwa vidole msiweze kuchat itakuwa sawasawa pia.
@williamsville3493
@williamsville3493 2 жыл бұрын
@@ethanethan4437 Duu 🤣🤣🤣
@williamsville3493
@williamsville3493 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 Si mchezo
@adamyasin4089
@adamyasin4089 2 жыл бұрын
Kusema kweli kufariki kwa JPM dah tumekosa mengi NI sawa unaangalia movie mpya nzuri umeme unakata na hauna matumani ya kurudi ndo kilichotokea mpaka Leo umeme haujarudi
@andrewmanaku
@andrewmanaku 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Wala ujakosea aiseee
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
Mashaallah allah ibariki tanzania 🙏🙏🤲🤲
@patricialpatrick9927
@patricialpatrick9927 2 жыл бұрын
RIP mpendwa wetu hayati MAGUFURI na msemo wako wa hapa kazitu uliweza kutanua babdari ya Dsm hayo ndo manufaaa na kaz iendeleeee
@hanschuma7734
@hanschuma7734 2 жыл бұрын
Viongoz watanzania cjui wana nn vuchwan mwao kunamtu kaupiga mwingi kama Mzee magu hakuna na wala cjaona xaxa bado sana ckatai she us trying but not better then Magu mzee I salute you mzee
@gilbertidi9682
@gilbertidi9682 2 жыл бұрын
MAGUFULI, oyeeeeeee
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Kufariki Kwa JPM Ni pigo Sana kwasababu bado tungeyaona mengi Ambayo Hayapo Tanzania Yetu
@chidigangati7946
@chidigangati7946 2 жыл бұрын
Pongezi kwa jpm,mwamba wa afrika alieamua kupanua bandari
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 2 жыл бұрын
Anko Magufuli hakika umetengeneza msingi mwema kwa watanzania R.I.P
@zenj1986
@zenj1986 2 жыл бұрын
Kodi inayolipwa bado haitoshi, makato ya simu, basi punguzeni ushuru na kodi za mafuta ili wananchi wasiumie. Manake mwisho wa siku anayeumia ni mnyonge tu. Bakhressa, Mo, GSM, mawaziri, wabunge na wengine hawana hata habari ya kupanda kwa bei manake wanapata buree
@natual7572
@natual7572 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Mwambie spika ambaye amezuia hoja binafsi ya mbunge aliyetaka bunge lijadili mfumuko wa bei alafu spika kadai si jambo la dharura hilo.
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
Baba umenena nafikiri wachumi wanakuelewa👏🏾👏🏾
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
Hayo magari mya kague vizuri yasije yakawa na mabom ya uqren
@isaacmapunda2261
@isaacmapunda2261 2 жыл бұрын
Nashangaa kuona hakuna namna tunaweza kukagua hayo magari kwa haraka!!!. Boresheni miundo mbinu. JPM also aliona hiyo fulsa ya kipato na ajira. Mnaipoteza tena.
@wilfredmaimu1958
@wilfredmaimu1958 2 жыл бұрын
Mjomba jpm namkumbuka sana
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 2 жыл бұрын
Congratulations
@kaozyahighschool8436
@kaozyahighschool8436 2 жыл бұрын
Nice
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 жыл бұрын
Hongereni san
@officialtiptipp2420
@officialtiptipp2420 2 жыл бұрын
Hiyo bandar ajajenga bib tozo sawa kajenga baba yetu magufuli sasa kwann hamtaki kumpa heshima yake
@zawadix9574
@zawadix9574 2 жыл бұрын
Alijenga aka weka matofali wa china wame jenga
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 жыл бұрын
Nchi ya ajabu sana,
@wanzakleruu
@wanzakleruu 2 жыл бұрын
Cut the bullshit Millard ur doing the great job. I love the drone view my brother
@sweet16honey75
@sweet16honey75 2 жыл бұрын
Container kulikua na how many moves? na General cargo mulikua na how many Tons?
@sitaralaurent5810
@sitaralaurent5810 2 жыл бұрын
Big shai
@jescarjulius6028
@jescarjulius6028 2 жыл бұрын
Naomba kujua jina la hii meli
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 2 жыл бұрын
Bila JPM kupanua hiyo bandari hiyo Meli isinge kuja. Hata mkikwepa semeni tu ukweli. Tunahitaji ujasiri wa kufanya miradi mikubwa!
@dahero160
@dahero160 2 жыл бұрын
Jielewe wwe
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@dahero160 RIP CHUMA...DAIMA TUTAKUKUMBUKA....HATA KAMA WEWE HUTAKI HUO NDIO UKWELI
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 2 жыл бұрын
Sasa mnaposema eti asante Sana Raisi Kwa nini hamsemi Asante Sana Raisi JPM??? Mbona mwatuchananya???
@sabbob574
@sabbob574 2 жыл бұрын
RIP JPM 🙏
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 2 жыл бұрын
PIP JPM ndo nini ...huyo kasha kufa achana nae baadhi ya watu mnamuona kama vile akuwa binadamu kama sisi mambo ya ajabu
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@hamzaswaibu9470 RIP JPM CHUMA...ENDELEENI KUOGOPA!!!
@dickaugustino2214
@dickaugustino2214 2 жыл бұрын
Tupeni kazi basi,vjana tupo huku nje mnatoa masharti ya ajabu ajabu!
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Is good things
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 жыл бұрын
Yaani jumla ya magari yote hayo hamna gari lenye bei kubwa 🤣🙌
@kenedyndunguru9068
@kenedyndunguru9068 2 жыл бұрын
millard uyu rais anapongezwa kwann? awa viongoz wanafki mnoo wapongez upumbavu
@saidymatejoe2212
@saidymatejoe2212 2 жыл бұрын
Magal au viberid ivyo uber izoooo
@oswaldtemba2097
@oswaldtemba2097 2 жыл бұрын
TUMEVUNJA REKODI. Eti kwa kushusha magari mengi. Tuambieni hali ya mapato ikoje.Ni kweli bandari iko bize sana haijawahitokea.bidhaa zinashuka nyingi sana .Ufisadi umerudi kama zamani.bandari bubu za kiupigaji zilizofungwa na JPM,leo zinaoperati kimyakimya.wizi mkubwa unapitia kule.nobody is speaking. Wanatufool.viini macho hivi.nchi imepata nini?
@vickhongole6611
@vickhongole6611 2 жыл бұрын
Vunjeni record kwa mapato acheni utoto😏
@fikiriselemani100
@fikiriselemani100 2 жыл бұрын
Lakin ckwaugumu huu wa maisha.
@newking6497
@newking6497 2 жыл бұрын
Mbona kama naiona meli ndogo kuliko idadi ya magari
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Nenda kaione live hii ni camera mweuh wewe
@Rams660
@Rams660 2 жыл бұрын
Sawa mama anaupiga ndio lakini kwa sehemu ambazo Jpm alipambania muwe mnasema nyie, mbona yeye jpm alikua anasifia waliopita na kufamya vizuri?? Sisi waelewa tunajua kua asilimia 80% ya mnayofurahia nchini ni kwa sababu ya Hayati Jpm, fanyeni siasa za kisasa kumbukeni watanzania kwa sasa tunatambua kila kitu,,
@abdulmvungi9609
@abdulmvungi9609 2 жыл бұрын
Wewe kila kitu JPM kila kitu JPM
@andrewmanaku
@andrewmanaku 2 жыл бұрын
JPM ametueshimisha mpaka Sasa na hatotokea Kama yeye
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
@@andrewmanaku maoni ya hovyo mno hayo.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
@@abdulmvungi9609 Yaani hawa watu usiwalaumu... JPM alizuia media zisiseme chochote zaidi ya kumsifia. Haya ndio matokeo ya sifa miaka 6 alioongoza. Sijui angekaa miaka 10 ingekuaje? Hiyo 6 tu wakaanza kumtukuza eti mungu. Achana na hao vipofu. Tanzania haitarudia tena huo ujinga... Wagombea Urais lazima wawe veted kiuhakika ili kuepuka makosa Kama hayo yasijirudie tena.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 Mgombea Uraisi yupi unayesema awe VETED? Mafisadi wa Bagamoyo na magange Yao ndiyo yawe VETED. Mpuuzi bendable na upuuzi wako!!!
@hemedykayonko4109
@hemedykayonko4109 2 жыл бұрын
Video yenyewe mbona inaonhezewa2 dakika
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Ona sasa hata nafasi ya kupokelea mizigo mingine hakuna tena. Badala mlete meli ya mafuta ya mboga mnatuletea ujinga tupu. Sasa hayo magar yanamsaidia nini mwananchi wa chini.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Mpe maskini haki yake.... kwa kweli. 🤔
@kondoatown8765
@kondoatown8765 2 жыл бұрын
Yaani Tanzania bwnaa , hii Meli ilivyokuja hivi kila mlaji hapo ataka ale 🍺 mpk wanakuja kuondoka hayo mavikwazo watakayo kutana nayo hawo jamaa hawawezi rudi tena na meli Yao. Yaani historia itaandikwa na itajifuta sekunde , hii nchi hii aiseee !! Nyie tazameni.
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 жыл бұрын
Hata awatoi makadilio ya kodi watakayo kusanya wao wamekomalia imevunja lekodi
@williamsville3493
@williamsville3493 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mafisi camp
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 2 жыл бұрын
Viva ...
@mohdali2408
@mohdali2408 2 жыл бұрын
Hongera mama
@brightonsospeter5100
@brightonsospeter5100 2 жыл бұрын
Ningekuwa bibi wa tozo ningeomba talaka siwezi kuishi namme asie nipenda nalazimisha tu
@kingibwengo9949
@kingibwengo9949 2 жыл бұрын
Hayo magari sio yawizi? Kutoka Ukraine ?
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 2 жыл бұрын
Duh
@othamankaboss1734
@othamankaboss1734 2 жыл бұрын
Acheni kumpa sifa uyo mwanamke kazi imefanywa n mwengine ww musimpe sifa z bule
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 жыл бұрын
"Musimpe"😀😀😀. Ama kweli tusomeshe watoto
@ndekemwaifyusi8499
@ndekemwaifyusi8499 2 жыл бұрын
@@sahimm4767 Ubongo anao tatizo namna ya kuutumia. Yaani ana ona husda kusifiwa Alie hai.
@williamsville3493
@williamsville3493 2 жыл бұрын
@@sahimm4767 Kwani anachokisema ni uongo mkuu
@williamsville3493
@williamsville3493 2 жыл бұрын
@@hellendaniel3809 Kwani ni kipi alichokosea hapo 🤣🤣🤣🤣
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 жыл бұрын
@@williamsville3493 hampendi mpaka amekosea kuandika. Kwani wenzetu mnapochukia watu huwa mnapata faida gani?
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 2 жыл бұрын
Sijaelewa tunasheherekea meli kubwa kuja tz,nafikiri tungeelekeza nguvu kubwa kwa walala hoi .
@seifmohamed836
@seifmohamed836 2 жыл бұрын
Magar mengi lakn barabara hamna na mnashindwa kujenga barabara zajuu
@godfreyathumani9912
@godfreyathumani9912 2 жыл бұрын
Sijui langu lipo hapo
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Bandari yetu bado kuna urasim mnajisifia lakini tatizo bado lipo , bado wateja wengi wanakimbiria mombasa, mjitathimini
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 2 жыл бұрын
Mmmmm watatuletea mabomu nyie furahieni kwa kuwasaidia kukagua hao sio wazuri mbona hatujifunzi?
@djtwinstar254
@djtwinstar254 2 жыл бұрын
Fikeni kwangu pia washikaji 🙏
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Acheni ujinga JPM ndo kafanikisha yote ayo
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 жыл бұрын
Mwamba jpm
@titobudodimadata
@titobudodimadata 9 ай бұрын
0:51 je kodi inalipwa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 жыл бұрын
Na langu lipo humo😉
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 жыл бұрын
Pangua wafanyakazi wote wa hapo bandarini maana wanajua wanachokifanya, Wanapiga hela tu hapo
@emanuelnyab9872
@emanuelnyab9872 2 жыл бұрын
Inalipa mapato hiyo mizigo... Lakin pia mjenzi wa hiyo gati ni JPM
@othamankaboss1734
@othamankaboss1734 2 жыл бұрын
Umeona mzee uyo mama ana anachofanya ye anazunguka n ndege tu ana mpango wowote
@ototek8037
@ototek8037 2 жыл бұрын
@@sahimm4767 unataka sifa za nyerere apewe kikwete? We ndo huna akili mwambie mamaako afanye jambo litakaloacha alama ili nayeye asifiwe..kuendeleza miradi iliyokwisha pangwa sio ubunifu
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Wa Tanzania akili zetu fyatu Sana..Kikwete Alisemaga Tunaanza Sie watamalizia Wengine Watasifiwa Wao Ila Letu Wote moja sasa Kwa Sababu tu hamumpemdi.MTU Mnasahau Angeamua kuweka kapuni unafikiri ingeisha Hiyo..Tambua Uongozi ni Mnyororo..Nikukumbushe Terminal.3,Mwendokasi alianza Kikwete ila Alimalizia JPM alisifiwa Yeye na Hakuna Kikicho harbika Mambo.yamesongaa mbele..Treni ya Mwenndo Kasi mipango ypte Ilikuwa kwa Kikwete JPM akaja akamaliza.Barbara ya Arusha-Singida-Mwanza Ilikuwa Enzi za Mkapa Alimalizia JK shida...
@ototek8037
@ototek8037 2 жыл бұрын
@@aronatv47 achana na story za kisiasa..serikali kuhamia Dodoma ni mipango ya myaka ya 80, kujenga bwawa la umeme ni ndoto za nyerere..anasifiwa mtu mwenye kufanya maamuzi na kuyasimamia sio porojo kama kikwete. Watanzania wanaakili wachache kama wewe ndo mnasababisha wote tuonekae hatuna akili.
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
@@ototek8037 Sasa Nilichosema Na Hicho Unachosema wwe ni Kipiii..ni kilel kile labda kama Lugha imekuwa ngumu..Ila Uongozi ni Mnyororo ndio Hayo unayosema Sasa Aliwaza Mwingine Mwingine akafanya Kipi ni kipi Sasa..Yaani kwenye Project alie waza na Alietekeleza wote ni wa.moja tu bila Wazo utafanyaje Sasa..?
@peterjohn1969
@peterjohn1969 2 жыл бұрын
Unaweza kuta wamevunja lekodi ya kupitisha mizigo bila kulipia kodi iinchi MUNGU yupo ipo siku yenu
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
@Petro Yohana jielimishe kwanza
@peterjohn1969
@peterjohn1969 2 жыл бұрын
Sawa wewe ulie elimika nausijue ujinga ndio ulio kufikisha apo ulipo ongera
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
@@peterjohn1969 Jielimishe kuhusu Kodi bandarini.. ukitaka utapata takwimu.
@yunusabdulwallace3801
@yunusabdulwallace3801 2 жыл бұрын
Badala ya ku import machines kwa wingi tunaingiz magari ya kutembelea.poor africans
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 жыл бұрын
Hilo nalo wazo kama🤝🤝
@automotivetz1275
@automotivetz1275 2 жыл бұрын
Ya singapore ndo myakague kabisaaa
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
Lakwangu litakuja watakapo anza kukagua Japan.
@djtwinstar254
@djtwinstar254 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
We Chikenya ukome kabisaa just mind your Chikenya pumbaaavuuuu we we hate you
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 жыл бұрын
@@shinipapaya846 Wewe Shini huyo mkenya kakukosea nini?? Acha upuuzi
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
@mimi raia usafishe......kisha nakuja na shanga
@othamankaboss1734
@othamankaboss1734 2 жыл бұрын
Na wasipongezane tu tunataka kodi zipatikane n zilete matokeo chanya kw kuijenga nchi
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Yaani huyu mama anakusanya Kodi lakini wanatukamua tuu
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
Wana nchi wanakufa kwanjaa nyie mnaleta magari nani atanunua gari kulayake inamshinda
@tonnyojambo1731
@tonnyojambo1731 2 жыл бұрын
Hayo magari si yakuuzwa hapa, yanapita njia tu, kwenda Congo, Burundi, Rwanda na Uganda. Nchi hizo hazina Bandari wanatumia Badari yetu
@tonnymwanjota8211
@tonnymwanjota8211 2 жыл бұрын
Pia hayo magar ni ya watu binafsi ndo wameleta na mengine ni ya watu wa nje ya nchi.
@elishapaulo9749
@elishapaulo9749 2 жыл бұрын
Tatizo n mafuta oi
@christinachriss9231
@christinachriss9231 2 жыл бұрын
La kwangu lipo hukohuko
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 жыл бұрын
Unashukuru mweshiwa rais kwani kajenga yeye wakati kawezesha jambo hili Jpm au umekua kipofu...
@issayasosolo6033
@issayasosolo6033 2 жыл бұрын
Bado mnaendelea na ujinga huu wanmsongamano, Bandari kavu ya Kwara mlijenga ya Nini hasa msitufanye sisi wajinga,
@rashidbakari616
@rashidbakari616 2 жыл бұрын
Uchafu wa ulaya huo
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Macorona Yaliwafanya Watu Waje Kufanya Biashara Uku Sasa Magali Wakulima Wa Vijijini Awana Balabala Wanafaidika Nanini Au Tz Kama Daraja2
@ramanyige8106
@ramanyige8106 2 жыл бұрын
Tuliapa kutunza siri, tunazitangaza.
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 жыл бұрын
Kwa mwananchi wakawaida hali ni mbaya sana mafuta ya kula ndoo ndogo tsh70elfu vitu vyote bei juu mitozo kodi mlima na sasaivi usafiri umepanda bei sana coz petrol na disel ni balaa
@ROMTV5
@ROMTV5 2 жыл бұрын
Mh
@Silyvesta
@Silyvesta 2 жыл бұрын
Haha dump ya magali taka, zingatieni viwango vya magali.
@miketzee806
@miketzee806 2 жыл бұрын
Africa viongozi wetu sijui niseme kama wamerongwa ama ndio kuficha mianya ili wapige hela ndefu, yaani tokea tupate uhuru, Rais magufuli ndio kaja kafanya makubwa kuliko viongozi wote. Na vitu vya muhimu vinaamuliamuliwa na yeye, sijui viongozi wengine wanafanya kazi gani, Kuna mambo mengi sana ya kufanya, mfano mbunge fulani katoa maoni itengenezwe maghala ya mafuta ya taifa, na kuna mambo mengi sana ya muhimu kuliko kwenda kununua ndege halafu tuzipaki pale airport.
@angelajoseph235
@angelajoseph235 2 жыл бұрын
B
@djtiffa9664
@djtiffa9664 2 жыл бұрын
MAJINA 99 YA MWENYEZI MUNGU m.kzbin.info/www/bejne/n5SVaIaQib6SnNU
@mufidaabdul5387
@mufidaabdul5387 2 жыл бұрын
Kwanin nyie hamukai mukpanga 👩‍⚖️👉tulizen akili zenu kabla ya maamuzi yenu🤔 maeneo yenu mumeyabana halfu munabeba mizigo mikubwa na nakuyashindilia na kuwasumbua wateja👋ingawa nivinzur Tanzania kubeba mzigo mkubwa ila mujipange👩‍⚖️
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 2 жыл бұрын
ICD hapo nyuma zilitumika kukwepa kodi
@videozachupi1751
@videozachupi1751 2 жыл бұрын
Iyo recod ilio vunjwa ni Record ya wapi sasa mbona uja tuambia ni record ya Dunia au ya Africa
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
Nitumie namba yako
@djtiffa9664
@djtiffa9664 2 жыл бұрын
MAJINA 99 YA MWENYEZI MUNGU m.kzbin.info/www/bejne/n5SVaIaQib6SnNU
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
JE UNAHITAJI KUAGIZA GARI KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM? TIZAMA HII...
25:00
Why the Dutch Economy is Outperforming the Rest of Europe
8:38
TLDR News EU
Рет қаралды 148 М.