Dave is a good brother who still keep the Brocode act....the moment he realised that this lady ni dame wa beshte wake......akaquit. ...USIWAHI KULA DAME WA BESHTE WAKO....Brocode muhimu sana
@Declassified160Ай бұрын
Exactly
@euniceokia2841Ай бұрын
To my future hubby be happy wherever you are 😅😅coz a'm taking notes nkupenda ♥️
@josephmaina-vm1lcАй бұрын
Mi too I will be faithful to you my ice bunny 🐰💓❤😂
@euniceokia2841Ай бұрын
@josephmaina-vm1lc hahaa loyal test infact tunaita man stivo atu sanitize😂😂
@pamelamudogo5551Ай бұрын
@@euniceokia2841 😂😂😂
@bikoflavious2903Ай бұрын
Thank you baby girl 💞💞 nakupenda sana pia
@suleimankipyego5143Ай бұрын
😅😅😅😅😅nko hapa coast😅😅
@segolenebaraine6536Ай бұрын
Too young to be involved in adult matters. Huyu dame bado anadai ku-explore. Boychild hakuna ndoa hapa wallahi😢😢
@ItskafutvofficialАй бұрын
Guys co-parenting is the way. Men love your jobs.
@SailezKingBeeАй бұрын
Haya Tujuwane basi WANGAPI Tuko single Tunaenjoy bila stress Piga like tukisonga 👋😅
@josephmaina-vm1lcАй бұрын
🖐️🖐️🫂
@RuthKerry-dg4lfАй бұрын
Nataka mtu mimi 😂
@JamesGichogo-n4rАй бұрын
There was a time I was single, then I doubled them returned to single... So tuko...
@SailezKingBeeАй бұрын
@@RuthKerry-dg4lf Tuko wengi uku
@RuthKerry-dg4lfАй бұрын
@SailezKingBee 😂😂😂pia wewe ni single
@PatriciaMuingiАй бұрын
"you don't give me time",tumalizane nayo hii mwaka,2025 tunataka husband's who provide money not time.
@Juma-g5iАй бұрын
Hapo ni kweli
@charllottesafari1801Ай бұрын
Ni kweli.. we are done with that statement..
@marionmuturi5283Ай бұрын
She should now go get married to that man that gives her attention. Women with stupid and flamsy excuses of cheating.🚮
@BensonMuthomi-f9gАй бұрын
Exactly kushinda hapa akisema attention kitu Gani hiyo Malaya ni Malaya tu
@mungaikimani3328Ай бұрын
wacha kizungu mingi....ati farms or,.........😀😀😀😀😀😀hard economy,,,hard english...tu do aje
@kk-xl2ppАй бұрын
Mostly are complaining about time as if men are out looking others
@thukusimonАй бұрын
Kwanza sijai elewa vile husband unalala na yeye unasema hakupei time bt mtu mnaonana for a few hours a week or month ndio unasema anakupea atrention. Thats not an excuse. Kwani sapa huwa wanakula kama wamenyamaziana
@bikoflavious2903Ай бұрын
They ana reason kama mjinga ati " hunipei time " have never known what exactly do ladies want
@stephennjiruАй бұрын
A toxic person will never change, they just change victims and blame everything on everybody else.
@JohnMwangi-jv3ppАй бұрын
Noma sana
@duncanmuoki194Ай бұрын
Narcissist
@Mis_wanguiАй бұрын
Well said
@AmenyaSphereАй бұрын
Kwani, is it really that hard for women to take responsibility after cheating? It's like telling Ruto to resign-it just won’t happen. They’ll gaslight and try to justify why they cheated. Help us understand your manual. Anyway, for those who watawapitia, nitawapitia pia, I’ll appreciate you!
@eunicewanjiru9392Ай бұрын
Most people lack accountability. I think it is the shock of realising how rotten and disgusting you are.
@juliewambui261826 күн бұрын
Am woman and I can tell you for free that women can never and will never be accountable.i know that from observation and experience.
@GideonMuchiriАй бұрын
This man is really hurt by betrayal
@philicemaradiАй бұрын
Ladies pia kuwa elewa ni ngumu 🤔 1:Mwanaume akikaa Kwa nyumba wife nimecheat Kwa sababu Hanipei pesa 2: Kama Ako na kazi ,Nimecheat Kwa sababu Hanipei tym Surely ladies mnatakanga nini😎
@frankkitilimusingi1206Ай бұрын
Radi iwapige tu...ama?😅😅😅😅
@philicemaradiАй бұрын
@frankkitilimusingi1206 Yeah coz wanatuharibia xx innocent jina
@Gatwiri213Ай бұрын
Hta ukimpea doh na time atacheat akisema unasinya humpei time ya kumingle na friends
@arafanyambura3150Ай бұрын
Ladiessss ugh
@GladyKalekyeАй бұрын
Am a lady but for sure I don't understand this gender 🚮
@Martha-w6hАй бұрын
Yani unachukua pesa unapea mwanaume mwingine shame on you
@Smie_kinАй бұрын
Huyo dem hana akili
@CynthiachepetАй бұрын
Kumbafu sake
@millicentmukoya1292Ай бұрын
ukikosa kazi unachetiwa huna pesa...ukiwa na kazi unachetiwa hupeani time ...this my gender siwaelewi u cant have everything ..mkiambiwa mcelibate before marriage ndio atleast mkuwe na self control mnaona ni old fashioed thing sasa ona
@victorkiprotich7851Ай бұрын
At this rate. God have mercy. Soko ni chafu, lakini ni ku chafu zaidi inside families 😢
@brianmueke2424Ай бұрын
From the 26th minute, the guy's emotions are so raw and real, It's like a scene from a drama piece. This guy should try acting
@quintonirungu8763Ай бұрын
It is amazing how he captures people attention from the start before mjue where he is headed, good job bro,
@Pmutheu4352Ай бұрын
There is no mercy for those in marriage...no one is safe...juu uko faithful pande ingine unachezwa tu... 😭💔💔💔
@PurityMuriuki-t5pАй бұрын
Very single en peaceful ✌️ hii ndo life me nimechangua😂😂😂
@josephndungu3053Ай бұрын
Ulafu ukue una nyonga💦 you become more peaceful and peaceful😂💔
@lilyandama5930Ай бұрын
Nipitie pia😂😂😂
@Mis_wanguiАй бұрын
@josephndungu3053 hapo umesema kweli kabisa😂😂😂
@yvonne8186Ай бұрын
Madem madem ...wueh...mtafanya wanaume waogope kuoa ata 😢
@Smie_kinАй бұрын
Mi nishaogopa
@ericgathii1387Ай бұрын
Tushaogopa tayari. Ndoa haina maana tena😢
@lilyandama5930Ай бұрын
Nipitie pia dear
@isaackimani7502Ай бұрын
The only true tears from a woman are the ones she sheds alone on the pillow!
@millicentokwaroАй бұрын
Enyewe this year 2024 women carry the trophy 🏆 of cheating and letting men down with the same lame excuses of hanipei attention, time,I can explain jamani 😢
@stevenmutumbu2860Ай бұрын
Walichukua hio Trophy even b4 August can't wait for next Men conference.
@lillianatieno5362Ай бұрын
Jameni 😭😭😭 adi job ya boychild iko kwa limbo 😭😭😭 Wanawake muolewe tu na time kumbavu zenu
@fridahndungenzaumi6591Ай бұрын
God bless me with a responsible man
@popod177Ай бұрын
I have a responsible man..but anapisha wanaume wenzake,.na magari pekee...😂u garrit?forget abourrit..😂😂
@fridahndungenzaumi6591Ай бұрын
@popod177 🤣🤣🤣
@paulinefanuel3238Ай бұрын
Kwani wanaweke munatoa wapi wanaume loyal na bado munacheat tu aki😢😢
@preciousp.006Ай бұрын
Stivo can you start doing 1 year follow up - where are people now? Kulienda aje makasiriko yalipo isha?
@paulinefanuel3238Ай бұрын
Kabisa,pia mmi natamani afanye follow up one day tuone mtu kama alimove on
@philipjacknatunga4804Ай бұрын
Akugongeaye hayuko mbali😢😂😂
@CoCo-ol6muАй бұрын
Kikulacho ki nguoni mwako
@jacksonkarau4365Ай бұрын
Enyewe wanawake wengine hufikiria na matako yani mwanaume ata credo hawezi pata 😂😂😂
@Roxana-q5jАй бұрын
Hata fare haweziafford ni mjuluss tu anaoffer😅
@carolloisa2625Ай бұрын
Sasa niombe pesa kupea mwanaume shindwe😂😂😂kwani wanawake tunataka nini
@josephmaina-vm1lcАй бұрын
Mimi nifanywa Ivo nikajuwa Uyo msee nikamwambia arudishe iyo pesa tukawachana hapo hapo Wacha nikae single 🙆🙆
@cynthiatomАй бұрын
@josephmaina-vm1lc Nahurumia tu married men the way they thinks their wifes sleeps with them alone
@arafanyambura3150Ай бұрын
Shameful... nkt
@ericgathii1387Ай бұрын
Wanawake wametushida pia sisi. Acha tukae ivo
@nicholasbuyoya4290Ай бұрын
Hata hamjui mnatakaga nini 😢
@Elsali-d4gАй бұрын
Sorry bro it's painful 😢
@victorkiprotich7851Ай бұрын
I have never known why these ladies are envious when we talk to our mothers. Like??? 🤨
@arafanyambura3150Ай бұрын
Hizo ni tabia za mstuni... some ladies are a disgrace to womanhood.
@juliewambui261826 күн бұрын
It's very simple,so that they can easily isolate you and manipulate you.your mother will always have your best interest at heart and is able to discern when things are not right ,not to control you but she is the only person who would want to see you succeed.it is also worth noting that some women are jealous of the kind of relationship the son has with the mother,something they may not have experienced and would want to shift loyalty from mother in law to them.wives need to know that they will never be equal to their mothers in law and everyone should respect the other and stick to your lane.
@lindagreens914029 күн бұрын
So i take money from my hubby if i ever have one and give it to a broke side man??It can never be me i would rather save in a fixed deposit and get myself a piece of land this is too much.
@DAVIDIHUTHIAАй бұрын
Girls Girls Girls How many Times have I called you ,,,,my Girl just broke my expectation with her few days ago just because I told her I needed space .....I didn"t understand why coz all I wanted is some time atleast nirekembishe makosa yangu ......was this worth me to be heartbroken ,,,,,,,,,I will never date again .
@marinanekesa7308Ай бұрын
Na kwani sikuhizi muna confirm simu ya mtu mmoja pekee 🤦♂️🤦♂️🤦♂️
@karisgaitho1972Ай бұрын
Great decision bruh akwende kabisa😂
@WINNIEMAURICEАй бұрын
Bro endea DNA Kuna uwezekano mtoi si wako
@melkizedekikalanga3349Ай бұрын
Dada akili unayo ndugu yangu
@Steve_WashingtoneАй бұрын
The universal excuse for a cheating lady is, "You don't give me time"
@eveomachi3182Ай бұрын
Yaaan uchukue pesa kwa bwana wako umpee mwanaume mwingine 😢gaii akili mbofu kabisa
@MARTINOBIERO-he8sv27 күн бұрын
Manzee nashangaa na watu wengine. 😢fr
@LydiaAraniАй бұрын
Sisi wengine tunaachwa January to december
@josephmaina-vm1lcАй бұрын
Usijali tuko wengi 😂😂😂
@kk-xl2ppАй бұрын
Kama mm niliachana na bado nko
@jimwafula4733Ай бұрын
I didn't know BMS is tall like this, till I saw him standing next to that girl
@shemsakani753Ай бұрын
Aki BMS 😂😂😂ati kuna couple ingine inakuja washike mbio mbio. Today seems like a fertile day😂😂😂😂😂 BMS 🙌
@charity4908Ай бұрын
Inconsiderate young wives kwa mitaa ya Nairobi. Shameful.
@lavendamiheso1993Ай бұрын
Weeeeh ni mm tu sina shida na hizi attentions zenye zinaliliwa sanaaa😅 mm bora i respect him he respects me to i have everything in the house my mum and dad are ok my kid is ok and i am ok we are good to go i thank God whenever my hubby is back safe and healthy this days unasikia gari ilimchota he is dead oooh they rob him and killed him mm hadi akue na sidechic i dont mind bora our rules to remain the same na nisikose anything kasonge kasonge
Ooooohh God please give me a man that will be providing for me too😊 Yaani nipate mwenye ananifanyia kila tu si ntatulia
@GodwinMwanziАй бұрын
😂😂ATI it's a fertile day, customers ni wengi 😅😅😅
@marykagota9456Ай бұрын
Huyo sio wife.Run boy child.Aki boy child anateswa in relationship.
@edwardkamau773Ай бұрын
Am wondering if these are the same excuses am going to get when I go to work overtime?
@sylvesternanjinia2073Ай бұрын
'we can talk about it',,it's high time mtu atoe Ngoma imtoke sasa😂😂
@marywangari2555Ай бұрын
Ata hakutoa 1k ya kununua mbuzi
@augustusokaga93652 күн бұрын
Why do women dislike the people that care about them, yet they don’t want to go the the person whom they like?
@HubasaFamily254Ай бұрын
Stivo ebu achananisha watu wengi huku nje wasikuje kutuzalia Ruto mwingine 🤷🏿🤷🏿🤷🏿.. watu waachane kama conveyor!!!!!
@augustusokaga936517 күн бұрын
If she wants time, give her time; look for a woman who has brains
@Heretohelp-jd8dmАй бұрын
I can't fathom how annoying it is kuskia mwanaume akielezea what he has done for the woman as if women care.. WOMEN DON'T CARE WHAT YOU DO FOR THEM . THEY CARE ABOUT HOW YOU MAKE THEM FEEL
@mwendwakjulius8919Ай бұрын
Huyu nae ni wa wapi hana akili😢😢😢😢
@user-bo1pi5ux9bАй бұрын
Wahhhhhhhhh!!!! Wanawake kwani eve alitulaani
@eveomachi3182Ай бұрын
😂😂😂weeeeeeee
@eunicewanjiru9392Ай бұрын
Eve was faithful to her mans. Wenye mumelaaniwa, mulijilaani wenyewe.
@user-bo1pi5ux9bАй бұрын
@eunicewanjiru9392 this generation is on another level
@eunicewanjiru9392Ай бұрын
@@user-bo1pi5ux9b shida ni, this issue of rotten character cuts across all generations. If you have stuck around this channel long enough, you will establish that.
@pamelamudogo5551Ай бұрын
Attention italeta food kwa meza😅😅
@kk-xl2ppАй бұрын
According to her
@waitheramwangi3558Ай бұрын
wanawake na attention this year aki mumetuabisha kabisa sijui shida ni nn tukipata mwenye ako na time yako still utasema unataka pesa jezebel spirit ya umalaya kinembe itakutawala mama kitakuramba unaomba your hubby pesa utumie mwanaume shsmeon you
@pamelamudogo5551Ай бұрын
@@kk-xl2pp imagine
@pamelamudogo5551Ай бұрын
@@waitheramwangi3558 aki.wanatulet down
@karimimartha1621Ай бұрын
Maybe Kwa hawa inaleta
@crazykids5779Ай бұрын
Congratulations 🎉🎉for those who find true love this year,I and the person reading this we will try searching next year God's willing
@abeidjuma1855Ай бұрын
Huyo beste arudishe hio 8k haraka upesi
@MiriamOduor-el9suАй бұрын
Men you see the way mnakasirika ivyo mki pata wives wenyu wamecheat we ladies we feel that pain 10times after impregnating us and leave
@Roxana-q5jАй бұрын
Pain ya kucheatiwa na kuachwa na mimba haziwezitoshena juu wewe ndio utabaki na hio burden ya mimba , kuzaa na kulea na yule wa kucheatiwa anawezaenda na apatane na mwingine na asahau hio pain hio tu hio siku .
@denniswaihenya8869Ай бұрын
Bro ww ni mjinga huna number ya mother in law wako .
@simalajoseph1613Ай бұрын
At this particular stage, it looks like ladies found a new definition to what they allegedly refer to as "time"
@rosemarykihara9596Ай бұрын
Teng'era na wagua ndukehure(run away, even if you fall, dont stand to shake the dust) kimbia na hata ukianguka usisimame kujipanguza fumbi
@hamilitonandrew2829Ай бұрын
It's high time katiba ibadikishwe to favor a boy child. In this case hata the lady should be sued for obtaining money and misusing it.
@jeanpaulluanga6780Ай бұрын
Kama sijaskiya word go home park your things nakuwa sijaskiya raha 😂😂😂
@SharonMasitsaАй бұрын
Hapo Kwa kuachana ndio inabamba🤣🤣🤣🤣😁😁😁
@RoselyneBushuruАй бұрын
😂😂😂
@DianaKwamboka-di5vtАй бұрын
Indaaa😂😂
@Mis_wanguiАй бұрын
😂😂😂😂
@mwaurakamau8548Ай бұрын
Probably hata huyo mtoi si wako
@warigialifestyleАй бұрын
I always say this...kama huna nyota ya nd0a ata uonyeshwe heaven hakuna mahali utatosheka...people think its a joke but its the truth....tafuta nyota ndoa baadae
@jimmbatiaАй бұрын
This year our sisters are leading in infidelity we can't catch up 😂
@gracenyambura1620-tk9jdАй бұрын
Wacha nibaki tu single coz weueh 😢😅😂😂😂😂
@kk-xl2ppАй бұрын
Bona sasa
@suleimankipyego5143Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅kwa hiyo unajuwa kucheat😅😅
@gracenyambura1620-tk9jdАй бұрын
@@kk-xl2pp people ain't loyal out here
@gracenyambura1620-tk9jdАй бұрын
@@suleimankipyego5143 😂 😂 weueh nilipigwa character 5yrs ago I almost went mad..lost 6M relocated back to kenya bila shit with an autistic kid bila help from anyone...mc you nimsee nilipata hapa kenya car wash 😂 nikampenda nikampeleka majuu 😢 kiliniramba mbaya ...I don't think I want a son of a gun tena kunisumbua ....wacha nikule kende yenye nataka bola attachments 😂
@gracenyambura1620-tk9jdАй бұрын
Mapenzi shikamoo
@mamaboss123Ай бұрын
This show to be renamed HUNIPATII TIME. I need a seconder
@jacklinerima9884Ай бұрын
Stevo should check both phones mayb kijana anakula boss,,,i suspect him
@reubenaballo7347Ай бұрын
Brotherhood in crisis 🫣
@ndonyenancy2079Ай бұрын
Boy child is smart. Run my son and never look back. Woman the gold is gone and the street is waiting.
@stephaniekimani498Ай бұрын
Wow huyu boy child ni🔥🔥🔥🔥🙆🙆
@zenjibar64Ай бұрын
AMA kweli LIFE IS NOT BALANCE …..Ukipata mwenye pesa hana time , ukipata mwenye time hana pesa .
@HELLENATIENO-mt3cf23 күн бұрын
Kwqn the word hunipei time hukua tu mechi? that's too bad,,, meanwhile naomba mnipitie kindly❤
@nyokskinyah8246Ай бұрын
So saad.let her go akaolewe na huyu jamaa
@ibba8082Ай бұрын
Huyo Mtoy = DNA
@langatgeofry4688Ай бұрын
A woman will cheat on you and then blame you for pushing her to cheat,wanting you to feel sorry for her that she cheated. chase her out .
@chrissymon650829 күн бұрын
Mwanamke ni kama cancer anakukula pole pole
@mansango287027 күн бұрын
Cheating is sweet until you get caught
@ANNEBUOGA27 күн бұрын
Acheni niendele kuforce pesa
@QuinNaututuАй бұрын
Stevo plz whats this time.ladies want? Am a lady but idont have an answer. Stevo haribu kabisa
@agnesepete3367Ай бұрын
Hapo kwa kupea mwanaume pesa mnimark absent 😂
@martinmuturi1762Ай бұрын
Kwani warembo hutaka how many hours? A day has 24hrs . . . .banange 😂😂😂
@maulineillonda1383Ай бұрын
My querry too...huyu wangu akishinda off huwa nataka hata atoke
@EmpEmp-f2tАй бұрын
She's still young to know what exactly she wants in life
@FalutheАй бұрын
Chase excellence, boychild, chase excellence.
@purityjames3668Ай бұрын
Kindly nipitieni tuendelee na kugrow
@ElgahAdongo-r4uАй бұрын
Nipitie pia
@purityjames3668Ай бұрын
@EllyAngel72003-g nimepitia
@purityjames3668Ай бұрын
@@ElgahAdongo-r4u done nipitie dea
@purityjames3668Ай бұрын
@@ElgahAdongo-r4u done
@purityjames3668Ай бұрын
@EllyAngel72003-g done
@lightmanmwangaza9389Ай бұрын
There's nothing you'll ever do to satisfy this creatures time, attention, money, love . Give them everything but they'll still cheat cause that's just how they're created, built, made, wired, manufactured whatever the process.
@LilianCute-Ай бұрын
Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏
@Seranjoroge9244Ай бұрын
Upcoming KZbinrs, tupitianeni hapa pia sisi tugrow pamoja ❤❤❤
@MD_SHEENAАй бұрын
Nipitie pia
@lilyandama5930Ай бұрын
@EllyAngel72003-gnmekupitia fika pia
@lilyandama5930Ай бұрын
@@MD_SHEENAnmefika fika kwangu pia
@carolinemise4332Ай бұрын
Watu hupata wanaume wazuri wapi akii 😢😢
@EmmaculateAdamsАй бұрын
Nani amerealize wanawake wanacheat sana😢
@MargaretGithinji-j3kАй бұрын
Some are just revenging,,,marriage is not easy
@joanmasitsa4865Ай бұрын
Waaah then huwa najiuliza NI time gani yenye huwa tunataka yawa,,,,,stevo nilikwambia uniconnect n mtu hapa ukakataa do u want I die singo yawa jagong
@justusgwaromagangi7373Ай бұрын
Single mother atajua lack of antention ni nini after she is left without a husband. When the current husband is having a new woman, and she becomes a bother, when men will be dating her for her cochie but not her baby, then she will know lack of attention ni nini
@SurprisedBirdBath-qh2nnАй бұрын
Sasa attention gani mtu anataka jamani kuma 2 aky sometimes inashindikqna mwanaume kukusamea
@percydelany7654Ай бұрын
Nobody: Absolutely nobody: Stevo: unajua mnanibambanga na hizi love zenu😂😂😂😂 Me: stevo ongea ikutoke😂😂😂