No video

HEAVENLY ECHOES MINISTERS | Je Ukipata Hamsini? {Kilio Cha Sodoma} | Official Video

  Рет қаралды 422,758

Heavenly Echoes Ministers Official

Heavenly Echoes Ministers Official

Күн бұрын

Пікірлер: 154
@heavenlyechoesministersoff2745
@heavenlyechoesministersoff2745 2 жыл бұрын
Je ukipata hamsini e bwana utawaangamiza pamoja nao waovu Huenda wakapunguka watano katika hamsini je bado utauharibu mji huo ukiwapata thelathini eeh bwana mungu je ukiwa pata ishirini eh jalaliHuenda wakawa watu kumi je bado utawaangamiza Kilio cha sodoma na gomora kimezidi dhambi zao zimeongezeka bwana ashuka kutazama wanotenda je ni kiasi cha kilichomjia je waweza patikana miongoni mwa wachache wema wanoweza nusuru mji bwana akishuka je utapatikana mwema ama mwovu Kupitia mtu mmoja neema ya bwana ilipata sheheni duniani kwayo mema yalo ya mtu mmoja wengi waso wema waokolewa jitahidi uwe sababu ya kristo kupata taka rejea uhesaabiwe miongoni mwa wale wanoweza nusuru mji
@juelzligola
@juelzligola 2 жыл бұрын
Thank youuuuuuuuuuu🙌🏾🙌🏾❤️
@markjack8067
@markjack8067 2 жыл бұрын
Thaank yuuuu
@jaredomariba3800
@jaredomariba3800 2 жыл бұрын
Wonderful song, God bless you
@estherowino6762
@estherowino6762 2 жыл бұрын
Eeeeeeey! Powerful! May God continue using you HEM🙏
@florenceayodo5821
@florenceayodo5821 2 жыл бұрын
Want to join as a member
@elizaphankamando5605
@elizaphankamando5605 2 жыл бұрын
Mungu awazidishe ktk kazi yake ya kumuimbia, nataman niwaone laivu jaman karibu tanzania dar es salaam, nawapenda mno Mungu awalinde, awabariki
@faithowiti1901
@faithowiti1901 2 жыл бұрын
Amina. Composition 👌
@samwelijalalya9608
@samwelijalalya9608 2 жыл бұрын
Bass bravooooooo,, Sop nice, Ternal fantastic,,,, alto Good
@heavenlyechoesministersoff2745
@heavenlyechoesministersoff2745 2 жыл бұрын
Amina
@jameslazaro524
@jameslazaro524 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana Heavenly Echoes Ministers
@mariahokarimariahokari2968
@mariahokarimariahokari2968 2 жыл бұрын
My favorite choir congratulations 👏 bravo l can't stop watching from balaaa 💃💃🙏🙏wimbo mzuri Sana
@smilielizzy115
@smilielizzy115 2 жыл бұрын
Amen
@evemarendyKE
@evemarendyKE 2 жыл бұрын
Finally!!!
@markochiengyoungestbillion587
@markochiengyoungestbillion587 2 жыл бұрын
Kilio cha sodoma na gomorrah 🤗🤗🤗🥳🥳🥳🥳 super amazing and a blessing
@barackthomas8010
@barackthomas8010 2 жыл бұрын
Mtunzi wa wimbo huu Mungu amtakabalie neema na kumpa kibali machoni pake
@arrietnyatichi5376
@arrietnyatichi5376 2 жыл бұрын
Mwanzo 18:17-33 17 Bwana akanena, Je! Nimfiche Ibrahimu jambo nilifanyalo, 18 akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa? 19 Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake waishike njia ya Bwana, wafanye haki na hukumu, ili kwamba Bwana naye akamtimizie Ibrahimu ahadi zake. 20 Bwana akasema, Kwa kuwa kilio cha Sodoma na Gomora kimezidi, na dhambi zao zimeongezeka sana, 21 basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua. 22 Basi wale watu wakatoka huko wakaelekea Sodoma; lakini Ibrahimu alikuwa akali akisimama mbele za Bwana. 23 Ibrahimu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu? 24 Huenda wakawapo wenye haki hamsini katika mji, utaharibu, wala hutauacha mji kwa ajili ya hao hamsini wenye haki waliomo? 25 Hasha usifanye hivyo, ukamwue mwenye haki pamoja na mwovu, mwenye haki awe kama mwovu. Hasha; Mhukumu ulimwengu wote asitende haki? 26 Bwana akasema, Nikiona katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, nitapaacha mahali pote kwa ajili yao. 27 Ibrahimu akajibu, akasema, Basi, nimeshika kusema na Bwana, nami ni mavumbi na majivu tu. 28 Huenda wakapunguka watano katika wale hamsini wenye haki, je! Utaharibu mji wote kwa kupungua watano? Akasema, Sitauharibu, nikiona humo arobaini na watano. 29 Akazidi tena kusema naye, akinena, Huenda wakaonekana humo arobaini? Akasema, Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini. 30 Akasema, Bwana asiwe na hasira, nami nitasema, Huenda wakaonekana huko thelathini? Akasema, Sitafanya, nikiona humo thelathini. 31 Akasema, Tazama, nimeshika kusema na Bwana, huenda wakaonekana huko ishirini? Akasema, Sitaharibu kwa ajili ya hao ishirini. 32 Akasema, Bwana asiwe na hasira, nami nitasema mara hii tu, Huenda wakaonekana huko kumi? Akasema, Sitaharibu kwa ajili ya hao kumi. 33 Basi Bwana alipokwisha kuzungumza na Ibrahimu, akaenda zake; Ibrahimu naye akarudi mahali pake.
@igneseousongaga238
@igneseousongaga238 2 жыл бұрын
Aminaaa HEM what a wonderful song
@theophiluskiyeny264
@theophiluskiyeny264 2 жыл бұрын
I love your songs as usual. This ia the best BUT sio clear sana... Kuna kelele mob... A good compliment... The words are dope. God bless you
@jerusalemellypartyandevent5026
@jerusalemellypartyandevent5026 2 жыл бұрын
Amina ,,,my favorite ♥️♥️
@juniormayenzeofficiel4405
@juniormayenzeofficiel4405 2 жыл бұрын
I like this song
@meckywadyatv.9016
@meckywadyatv.9016 2 жыл бұрын
Amen.🙏🙏🙏
@wicklifeoiro1649
@wicklifeoiro1649 2 жыл бұрын
Amina
@bruceochieng5929
@bruceochieng5929 2 жыл бұрын
such a wonderful message people keep it burning Mungu awazidishie
@alvineolonde6154
@alvineolonde6154 2 жыл бұрын
Blessings.....
@AmenMinistersKenya7
@AmenMinistersKenya7 2 жыл бұрын
Amazing piece... Be blessed🙏🙏
@the_seventh_dayinformant7178
@the_seventh_dayinformant7178 2 жыл бұрын
How can I reach out you people
@johnjunior5555
@johnjunior5555 2 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@aliceakinyi2304
@aliceakinyi2304 2 жыл бұрын
Kudoz👏👏👏God bless you HEMs nawapenda sana🙏
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥💞 haleluya wimbo mzuri sanaa Mungu awabariki waimbaji nawapenda 🇹🇿
@sabbathotieno519
@sabbathotieno519 2 жыл бұрын
MUNGU AZIDI KUWABARIKIN SANA WATUMISHI, I'M SURELY IMPRESSED WITH THIS MINISTRY
@adams352
@adams352 2 жыл бұрын
Another piece of the year,a complete sermon..
@florenceayodo5821
@florenceayodo5821 Жыл бұрын
Full sermon it is
@teddyochieng4719
@teddyochieng4719 2 жыл бұрын
Great inspiration 👏
@markgerald2041
@markgerald2041 2 жыл бұрын
Nice song kindly accept our invitation to isiolo for the camp meeting we are really waiting for you
@markgerald2041
@markgerald2041 2 жыл бұрын
@Chelcy Heryn we sent the letter very early
@dianaogendi8100
@dianaogendi8100 2 жыл бұрын
My favorite ❤️❤️.. Amina @heavenly echoes,it's a blessing 😇
@tabithaadhiambo8012
@tabithaadhiambo8012 2 жыл бұрын
Awesome 👌 👏, The message is home.
@eunicenyabuto5689
@eunicenyabuto5689 2 жыл бұрын
Heard these song kwa function HEM may God bless you abundantly you're indeed God's chosen ones 🙏 Nawapendaaa🥰🥰🥰 had a blessed day because of you barikiwa sana🙏🙏
@heavenlyechoesministersoff2745
@heavenlyechoesministersoff2745 2 жыл бұрын
Amen barikiwa pia
@noelaatienootieno3426
@noelaatienootieno3426 2 жыл бұрын
Mungu aibariki Injili yake 💯
@juliusodira9406
@juliusodira9406 2 жыл бұрын
Godly message be blessed... kindly adjust your audio please
@evanceakodhe6785
@evanceakodhe6785 2 жыл бұрын
Uuuuwwiiii...... Bass hapo hapo!!! To God be the glory
@edithalolo6573
@edithalolo6573 2 жыл бұрын
Amen and Amen. Such a nice piece. May God continue guiding you through
@marcosulle5768
@marcosulle5768 2 жыл бұрын
Great song be blessed
@vincentd.odillah5699
@vincentd.odillah5699 2 жыл бұрын
𝑨𝒎𝒊𝒏𝒂 𝑨𝒎𝒊𝒏𝒂 𝑨𝒎𝒊𝒏𝒂
@noregamusimbi1335
@noregamusimbi1335 2 жыл бұрын
The bass group you nailed it 👏 i love it
@thomasjames392
@thomasjames392 Жыл бұрын
Enyewe bass did it well
@ruthjumah3008
@ruthjumah3008 2 жыл бұрын
Nawapenda my people, keep up the good...these songs bless me each day..always my motivation
@phelinndala2280
@phelinndala2280 2 жыл бұрын
Good what a such wonderful choir may God bless you all and continue giving u sweet voices for some of us to be saved through you
@producermartinmusicdoctor4665
@producermartinmusicdoctor4665 2 жыл бұрын
Nabarikiwa na ujumbe huu. God bless you HEM
@moseizzo4290
@moseizzo4290 2 жыл бұрын
Amen..be blessed 🙏🏾
@Owuorsamuel
@Owuorsamuel 2 жыл бұрын
The much awaited song is out. Very powerful message. Continue serving the Lord.
@raymondsingombe1694
@raymondsingombe1694 2 жыл бұрын
Blessings❤❤❤❤❤
@mogoinaom8026
@mogoinaom8026 2 жыл бұрын
Great work HEM may the blessings of heaven follow you all the days of your life 🙏🙏
@sinaisdachurch8940
@sinaisdachurch8940 2 жыл бұрын
I love this
@ireneshania1786
@ireneshania1786 Жыл бұрын
🙏mungu abariki evenly echoes ministers
@lightwayministers967
@lightwayministers967 Жыл бұрын
Wonderful move up up up🔥🔥
@georgeokello8288
@georgeokello8288 2 жыл бұрын
happy with my friend Kahindy toto alto jathum
@kahindysheryl5775
@kahindysheryl5775 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@wyclifflusi8994
@wyclifflusi8994 2 жыл бұрын
Wonderful composition from the Holy text, Holy Spirit inspired to give us hope that God will save His remnant from a falling world
@adventistshowtv3132
@adventistshowtv3132 2 жыл бұрын
Nice one
@TableTalksKE
@TableTalksKE 2 жыл бұрын
Amazing 💯 keep doing whatch ya doing
@benjuniorotieno4532
@benjuniorotieno4532 2 жыл бұрын
Amen.... Je utapatikana mwema au muovu?
@sophiasnantume2127
@sophiasnantume2127 2 жыл бұрын
NICE I LOVE YOUR SONGS😍😍😍😍
@dennislagat3000
@dennislagat3000 Жыл бұрын
Yes I have listen to as many songs from different choirs, but I have never met with such composition, with lot of words in stanzas but still keep you listening more than once
@YusufuNotrie
@YusufuNotrie 2 жыл бұрын
Amen.. my all time best HEM. May God bless you guys for this wonderful work
@user-cx2lh8gl1p
@user-cx2lh8gl1p Жыл бұрын
You will be among of those who will make the city to be saved or you will be found a sinner. A great questions that am supposed to ask my self.
@paulomahe9642
@paulomahe9642 2 жыл бұрын
Great gospel ministers
@danosso7583
@danosso7583 2 жыл бұрын
You guys are wow... you're gonna be greatly blessed I salute you
@nyatukarachael.
@nyatukarachael. 2 жыл бұрын
I'd suggest you consider adding English subtitles
@heavenlyechoesministersoff2745
@heavenlyechoesministersoff2745 2 жыл бұрын
Wisdom
@NaldaRodrigues.
@NaldaRodrigues. 2 жыл бұрын
Deus os abençoe!
@elviceomondi3191
@elviceomondi3191 2 жыл бұрын
Amen such a wonderful song 🙏
@tabitherobonyo4122
@tabitherobonyo4122 2 жыл бұрын
Amen there is a remnant in every generation
@yvonnenyangarisaokenye5848
@yvonnenyangarisaokenye5848 2 жыл бұрын
May God keep giving you power in spreading the gospel
@franklinesamoka4557
@franklinesamoka4557 2 жыл бұрын
The song is wonderful 🔥🔥 keep itburning HEM
@mokeiraedith2459
@mokeiraedith2459 2 жыл бұрын
Bless you HEM family for bringing me closer to God through listening to your songs❤️❤️
@esauogutu1702
@esauogutu1702 Жыл бұрын
Bass is 🔥🔥🔥 God bless your service heavenly echoes
@purityngige8651
@purityngige8651 2 жыл бұрын
Amen!!! May it be a prayer to all of us.
@jafwambogikeyo
@jafwambogikeyo 2 жыл бұрын
Great song, composition........ God bless you so much HEM, and may the name of Lord be praised the more
@Ow_Sam3382
@Ow_Sam3382 2 жыл бұрын
My favorite choir 🔥🔥🔥
@linahgatwiri9079
@linahgatwiri9079 2 жыл бұрын
Such a nice song I love it 💖🙏💯
@kevinchirchir9713
@kevinchirchir9713 2 жыл бұрын
Glory! Glory! Glory! to Him that blesseth us! Thank you HEM
@elijahmogoa340
@elijahmogoa340 2 жыл бұрын
It's the Bass for me😅🔥🔥
@vinlamar7384
@vinlamar7384 2 жыл бұрын
The show was nice God bless you
@jobogeto9250
@jobogeto9250 2 жыл бұрын
Glory to God for the far He has brought you guys and may He continue to use to inspire the world through your talents and so encouraging songs like this
@sonofmanofgod4252
@sonofmanofgod4252 2 жыл бұрын
Wooow. A good one.
@eddygriffith7088
@eddygriffith7088 2 жыл бұрын
Tunasubiri download icon
@fredongwenyi7344
@fredongwenyi7344 2 жыл бұрын
wonderful job hem be blessed. your songs are always amazing
@astoneashioya1646
@astoneashioya1646 2 жыл бұрын
I love music. If I was near I would definitely join this choir
@florenceayodo5821
@florenceayodo5821 Жыл бұрын
Same here
@kiriinyalawrence7134
@kiriinyalawrence7134 2 жыл бұрын
God bless you brethrens,🙏what a blessing item.....
@albertmdabuka4480
@albertmdabuka4480 2 жыл бұрын
Amen! At very best yet again. My favourite choir. I love the way you sing my brothers and sisters
@grandtunemusic
@grandtunemusic 2 жыл бұрын
Amen amen. May God bless you. 😊
@mburumwai1388
@mburumwai1388 2 жыл бұрын
Aminaa, this song has been added to my favourites list..May God bless you guys
@milkahmomanyi3801
@milkahmomanyi3801 2 жыл бұрын
May our good lord continue blessing you for this good work I love the energy you have amazing song love it 💕💕💕
@dorrennyakio5391
@dorrennyakio5391 2 жыл бұрын
Haiya aky Kwan nlikuwa wapi imagine I thought song ya hii chorus haijatoka bdo
@eileenlindahowidi407
@eileenlindahowidi407 2 жыл бұрын
God bless you friends..A blessing you are..
@edgarratemo7729
@edgarratemo7729 2 жыл бұрын
Powerful song indeed 🙏.
@joanbogomba9458
@joanbogomba9458 2 жыл бұрын
My favorite choir❤️❤️
@thepenielsministers2471
@thepenielsministers2471 2 жыл бұрын
Nice song guys. Keep imparting the Godly teachings to the people through these nice songs. The message is timely passed.
@heavenlyechoesministersoff2745
@heavenlyechoesministersoff2745 2 жыл бұрын
Thank you
@vanishongarora7886
@vanishongarora7886 2 жыл бұрын
Amen.God bless you for the good work.
@heavenlyechoesministersoff2745
@heavenlyechoesministersoff2745 2 жыл бұрын
Amen
@harunchai4862
@harunchai4862 2 жыл бұрын
❤❤❤
@solomonodhiambo8060
@solomonodhiambo8060 2 жыл бұрын
may God continue using you for the glory of his name
@Kobita001
@Kobita001 2 жыл бұрын
Finally
@DeeOseko
@DeeOseko 2 жыл бұрын
Beautiful rendition
@meshackhumiltoneyoung1185
@meshackhumiltoneyoung1185 2 жыл бұрын
Amen....God bless you guys for such wonderful pieces 🙏🙏
@traceypamela2286
@traceypamela2286 2 жыл бұрын
So sweet indeed ....🥰🥰🥰
@staceybrihanna2754
@staceybrihanna2754 2 жыл бұрын
it was great celebrating HEM@10 with you. continue blessings us with such beautiful songs
@heavenlyechoesministersoff2745
@heavenlyechoesministersoff2745 2 жыл бұрын
Amen
@apollookello9099
@apollookello9099 2 жыл бұрын
Glory be to God
@skeetermairura7621
@skeetermairura7621 2 жыл бұрын
Heavenly choir I love the song
@ogalojnr9169
@ogalojnr9169 2 жыл бұрын
🙏
@aluoch5338
@aluoch5338 Жыл бұрын
I love everything about this choir, the decency,the songs. May God bless you all
@Sir_mee
@Sir_mee 2 жыл бұрын
powerful song
HEAVENLY ECHOES MINISTERS | MKONO WAKE MUSA | OFFICIAL VIDEO_4K | TEHILLAH MIDEA
5:33
Heavenly Echoes Ministers Official
Рет қаралды 317 М.
HEAVENLY ECHOES MINISTERS | Jemedari Yesu | Official Song | #Sms Skiza 5964679 To 811
6:29
Heavenly Echoes Ministers Official
Рет қаралды 174 М.
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 72 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,5 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 8 МЛН
HEAVENLY ECHOES MINISTERS : BEST SDA MIX : Blessed 2024.
3:37:19
Heavenly Echoes Ministers Official
Рет қаралды 81 М.
Makaburi
7:05
Pillars Of Faith Ministers
Рет қаралды 1 МЛН
THREE REASONS THEY ARE MARRIED BUT STILL SINGLE - PR ELIZABETH MOKORO
1:14:13
Inspire A Friend Today
Рет қаралды 159 М.
BEST OF HEAVENLY ECHOES MINISTERS COMBINATION 2022
1:13:43
Heavenly Echoes Ministers Official
Рет қаралды 248 М.
Kisha nikaona  - Gift Amondi's send off , painful experience
5:05
THE REDEMPTION MINISTERS KENYA
Рет қаралды 3,4 МЛН
Ufunuo Choir -  Maisha Yangu  (Live Performance )
8:20
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 943 М.
HEAVENLY ECHOES MINISTERS | SINGO | Official Song | #Sms Skiza 5965971 To 811
5:19
Heavenly Echoes Ministers Official
Рет қаралды 767 М.