Рет қаралды 80,189
May 16, 2017 Mtangazaji Geah Habibu kupitia Leo Tena ya Clouds FM ametuletea Heka Heka ya mwanamke ambaye alitoa ahadi lakini akashindwa kutimiza ahadi hiyo hivyo kupelekea wanawake wenzie kumjia juu Inadaiwa kuwa mwanamke huyo aliahidi kutoa beseni kwa ajili ya mtoto wa rafiki yake kwenye sherehe lakini hakufanya hivyo