No video

Herufi zinazoshirikiana kwenye ndoa.

  Рет қаралды 18,908

Allykk tv

Allykk tv

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 17 күн бұрын
Asante kaka ,laikin me na swali kwan herufiN na H waendan kwa sababu anakera sana me swali langu ni hilo please majibu kwa wepesi kama hanifai nimuache msumbufu mno🎉🎉🎉
@saidikobe1872
@saidikobe1872 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka Ally, Umenifanya kuwa mtu wakufatilia hisia Zangu maradufu Na huwa inakua kuwa kweli kwa asimia kubwa ubarikiwe sana kaka
@allykk1459
@allykk1459 Жыл бұрын
Asante.ubarikiwe pia
@saidikobe1872
@saidikobe1872 Жыл бұрын
Baada ya kuyaoga unaweza kukaa kwa muda gani ukaoga tena maji ya kawaida?
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Abarikiwe
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Mimi nilikuwa sikujuwi lakin tangu juzi kati nimfaham siku izi nafuatilia kipindi chake
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Siku hizi nashukuru ñajuwa kuzichambuwa herufi ñajuwa herufi za Moto na za upepo na maji na udongo na zinavyoendana
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 2 жыл бұрын
Kaka kazi zuri anafanya Huna ujanja ujanja kama hawa wapenda pesa hawarlezi yote ili wapate pesa. Asante kwa maelezo yako kazi nzuri
@allykk1459
@allykk1459 2 жыл бұрын
Asante
@tejalamapenzikindua779
@tejalamapenzikindua779 2 жыл бұрын
Hapa Nimekuelewa sana huu ufafanuzi.. Kwaio ni bora kuanza kupitia herufi tabia zake mwanzo mpaka mwisho.alafu kuchagua sahihi kulingana kujua faida na madhara kwake.. Asante sana Bro acha nianze Moja Ku note.. Mana watu hua twafatilia herufi zetu Tu.
@allykk1459
@allykk1459 2 жыл бұрын
Pamoja
@allykk1459
@allykk1459 2 жыл бұрын
Asante sana kwakuelewa
@LenatusPosiano-hi7tk
@LenatusPosiano-hi7tk 10 ай бұрын
Mzee asante sana kwa elimu yako leo nimepata jibu sahihi
@AnitaYoram-kf7fq
@AnitaYoram-kf7fq 7 ай бұрын
Ally mungu akubarki umenifafanutia vizri hap nimeelewa kabsa hujakosea hat kidgo kabsa
@user-vk5vi3es5g
@user-vk5vi3es5g 8 ай бұрын
Daaa kaka Asante sana Leo nimepata faida kubwa sana cjui mengi nimejifunza na nazidi kukufatilia ili ni jifunze zaidi
@user-xe2in6kw9b
@user-xe2in6kw9b 20 сағат бұрын
Je F na S zinaendan
@SamweliMwashilindi-fq1me
@SamweliMwashilindi-fq1me 7 ай бұрын
Ali mungu akulinde sio nabii wa janjaa.
@hannamakamba6108
@hannamakamba6108 2 жыл бұрын
Umetisha mkolelo
@user-ix9nd2jt8j
@user-ix9nd2jt8j Ай бұрын
Je mimi herufu a mume wangu heruf m hapo inakuaje
@NuruMohamed-uj9fg
@NuruMohamed-uj9fg 3 ай бұрын
Duuh mi kwangu sijui itakuwaje sababu mi naitwa nuru na mpenz wangu anaitwa said na tunapendana sana na tumeshafanya makubwa
@user-cv2ex5jx9c
@user-cv2ex5jx9c 18 күн бұрын
Herufi N (Ni sayari ya UDONGO) Herudi S (Ni sayari ya UPEPO, Nyota ya MIZANI 7) Apo utaangalia UDONGO + UPEPO =??? Or Je UDONGO na UPEPO Unafanyaje Muingliano na mambo yakaenda
@jamespeter3469
@jamespeter3469 6 күн бұрын
Naomba niulize swali ninamajina mawili lakini lakwanza ni m la pili ni j mke herufi gani sahihi kwangu?
@osiaaswile1393
@osiaaswile1393 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@annageorge43
@annageorge43 2 жыл бұрын
Leo umejifunza zaidi.
@mkamiajz1948
@mkamiajz1948 2 жыл бұрын
Naomba kufahamu kuhusu HERUFI Z
@allykk1459
@allykk1459 2 жыл бұрын
Inakuja taratibu
@user-jy7pk4oc7o
@user-jy7pk4oc7o 7 ай бұрын
Mzee asante san ila nilikuw nataka kujuwa vipi watu Wenye nyota Moja yenye kufanana katika Mausiano
@Rose-gv8fq
@Rose-gv8fq Жыл бұрын
Kama mimi niko n mpenzi herufi n c na nampenda saana
@Jahariyashum
@Jahariyashum 10 күн бұрын
Kama mimi niko n mpenzi wang herufi n s. Mimi.j.na nampenda saan
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 2 жыл бұрын
Wewe umesema ukweli
@balljmushi9599
@balljmushi9599 Жыл бұрын
Haaaaaaa,,,,tuombee Mungu tuu-+ndo nyota iliyo sahh kw majibu.
@dorisbosibori8126
@dorisbosibori8126 Жыл бұрын
Mimi ni y
@zamanjohn4612
@zamanjohn4612 Жыл бұрын
Mtafiti Ally KK hivi mtu ajihakikishie nyota yake ataiangalia ila ya mwezi wake wa kuzaliwa au ya herufi yake ya kwanazq ya jina au zote ni zake na je kwa wale wenye majina mawili mawili inakuaje
@mauasama43
@mauasama43 9 ай бұрын
jina la kwanza ndo muhimu sna
@zamanjohn4612
@zamanjohn4612 Жыл бұрын
Kweli mi najukubali
@EsterCharles-zt9hp
@EsterCharles-zt9hp Ай бұрын
Ester na msese
@SayiMageta
@SayiMageta 3 ай бұрын
N na t vp bro zinae dana
@user-vt2mp5cu6i
@user-vt2mp5cu6i Жыл бұрын
Samahan kaka nlikua ninaswal na je kama nyota zenu zote ni moja je inawezekana kuowana yaan mfano unayota ya mota alaf na mwanamke ananyota ya moto
@SayiMageta
@SayiMageta 3 ай бұрын
M naitwa tathlima je jina lang lik vp
@user-lw4ku3ui9p
@user-lw4ku3ui9p Жыл бұрын
Je nyota ya upepo na udongo zinaendana
@tejalamapenzikindua779
@tejalamapenzikindua779 2 жыл бұрын
Chakuongeza mtaalam editor hapo ukitaja kama herufi Ziwe zinatoka kwenye screen ili zitumakinishe kidogo ni ombi kama kwenye makundi hapo
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 2 жыл бұрын
Chukua pen uwandike , akili unayo kama hujasoma pole
@allykk1459
@allykk1459 Жыл бұрын
Tutalifanyia kazi
@janethlima3938
@janethlima3938 2 жыл бұрын
Mimi Nina herufi j Mme wangu f je kunachangamoto yoyote
@user-cv2ex5jx9c
@user-cv2ex5jx9c 18 күн бұрын
Wote ni SAYARI Moja (UDONGO) Ila J (Ni Nyota ya MBUZI namba 10) F (Ni nyota ya Mashuke 6) Mbuzi akila mashuke ananenepa na akikosa anakonda mnaendana apo Na mbolea ya mbuzi mashuke yanastawi zaidi🔥🔥🔥🔥
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 17 күн бұрын
​@@user-cv2ex5jx9ccongratulationsy dear😂😂
@saumuhizza2606
@saumuhizza2606 2 жыл бұрын
S na b inakuaje jaman
@user-cv2ex5jx9c
@user-cv2ex5jx9c 18 күн бұрын
Herufi B (Ni sayari ya UDONGO) Herudi S (Ni sayari ya UPEPO, Nyota ya MIZANI 7) Apo utaangalia UDONGO + UPEPO =??? Or Je UDONGO na UPEPO Unafanyaje Muingliano na mambo yakaenda
@annageorge43
@annageorge43 2 жыл бұрын
Asante
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 2 жыл бұрын
Kweli
@subiraamirisubiraamiri8216
@subiraamirisubiraamiri8216 Жыл бұрын
Asntee
@user-fb2tg9xm9b
@user-fb2tg9xm9b 5 ай бұрын
aya guys J niko apa aje V au mwenye nyota ya maji
@fikiranially110
@fikiranially110 2 жыл бұрын
Me ni herufi f nahitaji mawasiliano Ili ni watafute private
@allykk1459
@allykk1459 2 жыл бұрын
0765559042
@muhitiraissa3048
@muhitiraissa3048 2 ай бұрын
M na n zinaendana?
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 17 күн бұрын
Hapana haziendani coz we ni M ni moto N ni udongo Sasa udongo ukipatana na moto lazima uhaeibike so hamuendan🎉🎉🎉
@rahmaqasim5143
@rahmaqasim5143 Ай бұрын
Je wenye nyota ya punda wanaeza owana
@mariamdoto9769
@mariamdoto9769 2 жыл бұрын
Maana jina m niwe na mwanaume gani
@allykk1459
@allykk1459 2 жыл бұрын
Pitia clip ya A M Y utapata majibu.
@allykk1459
@allykk1459 2 жыл бұрын
Pia ina kuja tena A mpaka Z kufanya mapenzi tu utaelewa zaidi ENDELEA kufatilia.
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 Жыл бұрын
sasa maji siku yk ni ipi
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 17 күн бұрын
Jumanne
@steveboy1740
@steveboy1740 5 ай бұрын
Km herufi ya s na n
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 17 күн бұрын
S na n hamundani coz S ni upepo+n ni udongo =????? Hapo unapata nnn🎉🎉🎉
@steveboy1740
@steveboy1740 14 күн бұрын
@@MerlinaKubadesha je herufi s zinaendana na herufi j, f, I, h , s, m
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 14 күн бұрын
@@steveboy1740 hapo s haendani na h, j, f coz ni udongo na s ni upepo lakin pia s haendani na m coz ni moto lakin kuhusu s na s sijui pamoja na I sijui hapo.
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 14 күн бұрын
Hapo m na s wanaendana coz s ni upepo+moto na m ni moto hapo upepo uneza zima moto so wanaendana.
@kilindaselemani4828
@kilindaselemani4828 Жыл бұрын
VP watu wenye s,s vipi wanawenzakuhowana.kwani
@zamanjohn4612
@zamanjohn4612 Жыл бұрын
Mbona zipo sawa tu wote tabia ni upepo mtapeperuka wote
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 kabsai
Kwepa nyota ambazo ni adui kwenye ndoa ili usife mapema.
43:27
Allykk tv
Рет қаралды 4,1 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 8 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 22 МЛН
NYOTA ADUI INAVYOTESA WANAWAKE .
38:43
Allykk tv
Рет қаралды 1,5 М.
IFAHAMU NYOTA YA MIZANI NA MAAJABU YAKE KWENYE MAHUSIANO
7:24
AFYA YAKO
Рет қаралды 1,1 М.
NAIBU MPYA ACT WAZALENDO AANZA KAZI NA MSIMAMO MKALI
16:26
Marhaba Online TV
Рет қаралды 599
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA PUNDA)
1:05:21
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 21 М.
IKIWA HERUFI M NDIO JINA LILILOKULEA MWANAMKE USITAFUTE MCHAWI.
28:40
Wanaume wa herufi "I" hii ndio siri ya maisha yao.
13:13
Allykk tv
Рет қаралды 4,9 М.
IKIWA HERUFI S, NDIO JINA LILILOKULEA MWANAMKE.
30:37
Allykk tv
Рет қаралды 1,4 М.