Lema mungu akutie nguvu kazi yako imetukuka mungu atakupa dhawabu,
@davidsaloni47642 ай бұрын
Lema mungu akilinde maana wewe unajitaidi kututetea sana sema watawala hawasikii lakini mungu yupo anaona watawala na kazi yao wanao ifanya kututesa
@AizackKalenge-ro5rc2 ай бұрын
Lema thank you
@PhilipoMwita-b2x2 ай бұрын
Huyu mwamba anajua sana kujibu halafu kwahisia
@Felix-e6t4mАй бұрын
asante sana lema wasemee waarusha na wameru na wamasai kwa maana wamelala Arusha je na je
@AnnaFelix-p1z2 ай бұрын
Mungu hatoshuka kusema mwenyewe anatumia watu kusema na watanzania kwaiyo watanzania mungu kashuka kufunuwa yaliyopo Tanzania lakini tunapuuza maneno hayo ok shauli zetu watanzania
@nabimanyafesto50142 ай бұрын
Amen
@elbaricktv16322 ай бұрын
Mungu atasimama na sisi uchaguzi ujao itajulikana kat ya wazee wa ccm na vijana woote tunaotaka mabadiliko
@hopefully70902 ай бұрын
Mungu ajibu haya
@nabimanyafesto50142 ай бұрын
Asante
@agnesnicholaus842 ай бұрын
Mganga kafanyiwa uganga😅😅😅 safi sana kaka tlio soma quba tmekuelewa
@GabrielSky642 ай бұрын
Kabisa na huu utekaji unaoendelea 😅 watachimbua watu wengi Sana
@sammykateregga62382 ай бұрын
Nilitegemea Bunge letu lote liwe na matamshi kama haya ya Mhe Lema kwa kipindi hiki kyenye mkang'anyiko wa mazingira lakini bahati mbaya sijui ikiwa tuna wabunge katika mjengo wetu.
@AyubuChacha-u6u2 ай бұрын
Kweli mimi si mwanasiasa ila yamekuwa makubwa sana.kweli ndugu zangu.
@peterjohnson167Ай бұрын
Lema kame choka ki siasa duh
@williamgeorge-hd2tn2 ай бұрын
Uko sahaihi mheshimiwa
@TM-zs3rm2 ай бұрын
Hivi binge halingeweza kugombana kazi waatoka au kususia Bunge? KWa wote kunyamazishwa na utashi wanao?
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
MH:LEMA TAIFA LINAONGOZWA KWA MATAKWA YA CCM SIO SHERIA
@juliuskitomari30572 ай бұрын
Majibu konki kabisa,mtu mmoja ameongea mambo mazito kuliko wabunge 200 wa kile chama 😂😂
@olivakimaro70352 ай бұрын
Lema una akili sana
@chrisostomruta-cw3zf2 ай бұрын
Maswali mazito Yako wapi nyie waandishi mbuzi.
@SaidAlly-uh4qw2 ай бұрын
We muoga na mwakani usikimbie nchi we mwanaume kenge wee
@ngassajuliusmussachallya2 ай бұрын
Wee mpuuzi fulani tu hayajakukuta tu yanayosemwa siku yakikutokea utaona dunia yote inakuzomea. Aibu yako Jinga wewe. Mungu akulaani na kukuhukumu sawasawa na matendo yako
@ULUMBIADAM2 ай бұрын
S,A we ndio mkd wako
@SaidAlly-uh4qw2 ай бұрын
Kupoteza bando kwa kumsikiliza huyu mkundu ni matumizi mabaya ya bando
@GodfreyMwamasoАй бұрын
Jifunze kuheshimu watu wengine ili na wewe uheshimiwe