HIGH SCHOOL ❤️《01》

  Рет қаралды 134,441

Boncena got Talent

Boncena got Talent

Күн бұрын

Пікірлер: 402
@ZebuuFilm
@ZebuuFilm 2 ай бұрын
Unyama ni mwingi sana sapoti zenu muimu sna kwake 🎉🎉🎉
@SafariJamal
@SafariJamal 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana Brother KP kusapotiana ndo kwenyewe,,,,,aisee nimependa hio🎉🎉❤❤❤❣️🙌🇰🇪
@KasimuPekos
@KasimuPekos 2 ай бұрын
ongera sana kp kwa kuweza kusapoti wenzako na kazi wote
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 2 ай бұрын
Team zebuu na kp tunataka plan B itoke haraka 😅😅
@khadijaacute
@khadijaacute Ай бұрын
huyu siy kp wala zeb ni feki anatumia jina tu jmn😂😂 angalien akaunt yake mtaamin
@philipmutua6643
@philipmutua6643 Ай бұрын
Unyama ndio nini?
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 2 ай бұрын
Kama wewe ni tim CHADO MASTER na uko uku kwa Ruta man Chichi man una enjoy na high school gonga like hapa alaf piga makofi matatu kwa team BONCENA Gt Kwa kazi nzuri 🎉🎉❤
@annaki318
@annaki318 2 ай бұрын
Unyama🎉🎉
@JohnMwabili-o7h
@JohnMwabili-o7h 2 ай бұрын
I can see "THE NEW GIRL" scripty in Tanzania... I'm happy to see this from NIGERIA 😍
@VedastusLeonard
@VedastusLeonard 2 ай бұрын
Mm n team manyanya na kma uko pamoja n mm gonga like
@VelmaAtieno-s9s
@VelmaAtieno-s9s Ай бұрын
Hae boncena nimependa❤❤ move za boncena, nawapenda natoka kenye
@rizikiMwafungo-ge7fh
@rizikiMwafungo-ge7fh 2 ай бұрын
Uyo mwalim anavo tembea amenikumbusha mwalimu wangu wa shule ya msingi mwasote iko mbeya alikuwa anaitwa mwalimu kitalima🎉🎉🎉🎉
@VeronicaIbrahim-wv4dg
@VeronicaIbrahim-wv4dg 2 ай бұрын
Tunao furahia kobelo kuwa humu kwenye move gonga like 🎉😂😂
@MorrisMunyaa-qd7io
@MorrisMunyaa-qd7io 2 ай бұрын
kobelo karimbu chule
@luisojr3480
@luisojr3480 2 ай бұрын
Kiukweli nimefurahi sana
@elizabethcatherine-jm8fr
@elizabethcatherine-jm8fr 2 ай бұрын
😂😂😂😂mm hapa nmefurahi sana 🇰🇪
@Love143y9
@Love143y9 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 penda Sana kobelo from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gracekayumba-z9l
@gracekayumba-z9l 2 ай бұрын
Bado rose mkenya
@Princescynth
@Princescynth 2 ай бұрын
Kubwa ukiwa kwa school uniform unapendesa sana....love you guys
@AnthonyMmbaga-nm4ir
@AnthonyMmbaga-nm4ir Ай бұрын
Kaka wewe ni team baba karobo na uko uku yaan baba yangu kipofu na watoto wangu gonna like apo
@NeemaEstella
@NeemaEstella 2 ай бұрын
Tembeya vizuri mwalimu
@ndikumanadiane7458
@ndikumanadiane7458 2 ай бұрын
Da Belina❤❤❤❤❤nakupenda sana❤❤❤
@annaki318
@annaki318 2 ай бұрын
Nimefurahii mama gumbwa Wa love bite wamemrudisha kwenye game🎉🎉🎉
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 2 ай бұрын
Team Ruta man High school iko sawaa ❤❤
@Engineer_onyi
@Engineer_onyi 2 ай бұрын
Maua ya ruta man kumleta kobelo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@AnthonySylver
@AnthonySylver 2 ай бұрын
Jaman nimefulahi kumuona kobelo kwenye hii move natumaini itakuwa hatali mwendo wa kufurahi tyu ❤❤❤ penda Sana kobelo🎉🎉🎉
@PeterNguno
@PeterNguno 2 ай бұрын
Kobelo akiwa ktk movie Huwa inapendeza sana nainjoy
@EstherLazaro-u2m
@EstherLazaro-u2m 2 ай бұрын
Walugulu kulonga usindile aaaaa usindile mwanoga
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Team ruta kazi safi...alafu kama we pia umegundua kama idea anatoa clam wengine nao wanafanya tujuane🖐hata kama mchezo ni tofauti ila idea ya utamaduni mambo na uongozi alafu mazingira ya shule,hope mmeona hilo# i come in peace msinitupie mawe🤟
@frankmwaikambo9784
@frankmwaikambo9784 Ай бұрын
@@aishaomar2287 acha uongo wewe. Angalia kazi sifia kwa alie andaa kazi hiyo. Acha comparison za kipuuzi kabla ya clam hazikuwahi kuepo kazi kama hizi??. Wabongo bana
@SophieMogiti
@SophieMogiti 2 ай бұрын
Tangu nifuatilie hizi movie za Boncena sijaipewa like ebu tuanze na hii hata like tatu👍👍
@isayamwanjoka3958
@isayamwanjoka3958 2 ай бұрын
Upewe like ya kz gan?
@isayamwanjoka3958
@isayamwanjoka3958 2 ай бұрын
Safii san mko vzr....nimeipenda style yako mwalimu ume act vzr mnoooo style ya misomisonda😂😂😂😂
@DeromaStar149
@DeromaStar149 Ай бұрын
Hongera sana kwa wote kazi ni nzuri inatufanya tusichoke kuiyangalia pia pongezi kwako #MADAM_NIT hakika umetisha sana🎉🎉🎉
@ميريم-ط1س
@ميريم-ط1س 2 ай бұрын
Huyu baisa nae mguu vip 😂😂😂mguu wataka kuvunjika jaman mganga wetu Sai ni mwalimu mmmh safari hii tutapoteana baisa😂
@sarahalonda1615
@sarahalonda1615 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@Awoshy
@Awoshy 2 ай бұрын
😂😂😂😂kutoka uganga mok ualimu😂 nikikumbuka zile nyimbo zake😂😂😂🙌
@Emilymama2boys
@Emilymama2boys 2 ай бұрын
😂😂😂😂ebu muache mtoto wangu mm😂😂
@mkasihamad7225
@mkasihamad7225 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@RachelRacheltemba
@RachelRacheltemba Ай бұрын
Kwann Happy kila move anateseka kumpenda Gumbwa😂😂😂😂😂
@KasimuPekos
@KasimuPekos 2 ай бұрын
Ongera kwa kazi luta man
@ErnestoWesamba-sg1js
@ErnestoWesamba-sg1js 2 ай бұрын
happy na gumbwa Tena wapi likes zao🎉🎉
@NeemaEstella
@NeemaEstella 2 ай бұрын
Unaharibu na iyo mwenendo Haipendezi tembeya vizuri mwalimu
@dtv6734
@dtv6734 2 ай бұрын
Oya Boy Unacheza Kamali Boy, Fresh Boy 🔥🔥🔥🔥🔥
@PillyNaya-j1m
@PillyNaya-j1m 2 ай бұрын
Jamani tuliokuwa tunaisubir high school like hapa🎉🎉🎉 kazi nzuri🎉
@Tonimtundu
@Tonimtundu 2 ай бұрын
haya my brother bayser miaka 💯 nakuku bali
@PaulHaule-ge6ez
@PaulHaule-ge6ez 2 ай бұрын
Kipepeo bhnaaaaa njooo hukuu
@TitusKurui
@TitusKurui 2 ай бұрын
Kama wewe ni team clam vevo na uko hapa kwa team RUTA MAN tafadhali tia like na utoke mbio
@dtv6734
@dtv6734 2 ай бұрын
Clam anaingiaje uku Boy .....!!!!😢
@fatmaomar_001
@fatmaomar_001 2 ай бұрын
@@TitusKurui 😂😂😂😂😂
@AshuraHassan-w3s
@AshuraHassan-w3s 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 ай бұрын
🎉🎉
@KhadijaKhadija-cz1yh
@KhadijaKhadija-cz1yh 2 ай бұрын
@@TitusKurui hongela.sana..jaman.naonanimwotobayisabayisa.ukohatalini
@JustinMusampo-o4c
@JustinMusampo-o4c 2 ай бұрын
Wakwaza kutoka Congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@jonnymwakera2241
@jonnymwakera2241 2 ай бұрын
Siku zote hukosi ucheshi bana, nkurank tuu saaaana baisa, like mingi kutoka #254
@VestinahAmoss
@VestinahAmoss 2 ай бұрын
Uyu Binti kajua kudeka kwKwelii♥️
@RaymondLunda-ue7oc
@RaymondLunda-ue7oc 2 ай бұрын
Uyu Binti kajua kudeka kwkwelii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 2 ай бұрын
Tokea...🇰🇪🇰🇪🇰🇪safi sana mwanafunzi ngumbo salute 🫡 ❤❤❤❤
@IanMutuku
@IanMutuku 2 ай бұрын
Kobelo bwanae unaongeza utamu flani kwenye movie, nipeni likes kutoka Kenya
@LinahFaric
@LinahFaric 2 ай бұрын
Lut boy jmn pend san nyie❤❤
@dalalimwalimufurnitures
@dalalimwalimufurnitures 2 ай бұрын
Kama umefurahia ujio wa kobelo gonga like tuondoke
@IdrissaBalqis
@IdrissaBalqis 2 ай бұрын
Kobelo siko mpakani w burundiii n Tanzania AO Kuna nyingine kobelo jmn 😢😢😢
@N.Euphrem
@N.Euphrem 2 ай бұрын
Kobelo Wanga Wa mugeni Wa Kijiji . Mukali uyo na Boncena 🎉
@hamisichau8975
@hamisichau8975 2 ай бұрын
Tuajuane hapa kwa alama tunaoanza kufutalia high school
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 2 ай бұрын
walking style ya baisa never disappoint 😂😂ila huyu kobelo ulipotelea wapi jamani huyu mkaka anatisha maua yake❤ na team Ruta wengine much love i love this ❤❤❤ bila kusahau new members kama huyu binti mfupi na confidence yake❤
@MadingaMadinga-140
@MadingaMadinga-140 2 ай бұрын
Mbon mnaludia vipengele bwan mnatuletea mamb ya love bite mbon., ((gumbwa na happy tuu))
@Mussa-j4i
@Mussa-j4i 2 ай бұрын
wakwanzaaaaa🎉🎉🎉🎉
@DegraciasIgunzichang
@DegraciasIgunzichang Ай бұрын
Nafurahi kuona super star wangu kobelo
@bonkeboswell5208
@bonkeboswell5208 2 ай бұрын
Oya byser ni nomaaaa na nusuuuu
@WycliffeMulindi
@WycliffeMulindi 2 ай бұрын
Pamoja tuendelee
@saidially5892
@saidially5892 2 ай бұрын
Ngoma kisaaniiiiii yaani Weeee, Kutoka kua mganga hadi Mwalimu😂😂😂😂😂😂
@LebonAlliance
@LebonAlliance 2 ай бұрын
Kazi zuri kabisa nainpenda sana usisheleweshe 🎉🎉🎉
@Awoshy
@Awoshy 2 ай бұрын
Ila Mwalimu Baisa kama tumeanza na nginjanginja basi lazima mtapoteana hapo shuleni😂😂😂😂 Sema humu kazeni udambwi mwingi kama wa Baisa wallah itazidi kuwa🔥🔥🔥 Ummy jamani tafadhali asikose😂
@shebehomary-cm1bt
@shebehomary-cm1bt 2 ай бұрын
Guys please learn how to appreciate our people who they are doing their best. Don't complain a lot they are doing fantastic job please support this team they need us all RUTA TEAM YOU ARE AMAZING AND I PERSONAL I LEARN A LOT FROM YOU ALL THEY WAY COMING FROM SAUDI ARABIA 🎉🎉🎉🎉
@DatashzyaMahamoud-p8q
@DatashzyaMahamoud-p8q 2 ай бұрын
Kwaiy watt wanasom kwa ajil y marafk
@AshuraHassan-w3s
@AshuraHassan-w3s 2 ай бұрын
Kwann mnapenda kumpangia happy na gumbwa kuwa kwenye mahusiano
@Dee_ano
@Dee_ano 2 ай бұрын
Oiiii sema huyu gumbwa km ni mwanafnz ni wale wanaohamishwa toka bush kuja mjini huwa wanasomaaa kinoma yaan katumwa na kijiji😂😂😂
@Lili-z6s3v
@Lili-z6s3v 2 ай бұрын
Unaongea ukl ndug yang wanaotoka bush Kuj mjini kimasomo wanabukua KL kl
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@HalmaaSaid
@HalmaaSaid 2 ай бұрын
😂😂😂
@AminaKhalfani-ib7sh
@AminaKhalfani-ib7sh 2 ай бұрын
Wangapi tuna Amin hiii mov itakuwa big up kuliko zote gonga like
@SusanJulius-cu8xp4vx4m
@SusanJulius-cu8xp4vx4m 2 ай бұрын
Mamae ckuwa nimeona miguu ya teacher nmecheka 😂😂😂😂😂😂 teacher rang'la
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@AsimbaYaa
@AsimbaYaa 2 ай бұрын
Wallay mko vizuri buana
@Hassansadick-pv7tb
@Hassansadick-pv7tb 2 ай бұрын
Kuna msanii anaitwa viola ningependekeza awepo ktk kipengele cha mwalim itabamba sana
@Awoshy
@Awoshy 2 ай бұрын
Aweeh mpk Gumbwa nae mwanafunzi khaaah 😂😂😂huyu mngemuacha awe baba yake Happy tu😂😂😂 Sema hii mmecheza👏🔥🔥
@GsamkaputaTv
@GsamkaputaTv 2 ай бұрын
😢 wakwanza Leo kutoka Burundi 🇧🇮 please naomba like zangu😢😢
@maregesipeter4998
@maregesipeter4998 2 ай бұрын
Nawakubali sana Boncena na Kobelo maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@UkhtyFatmah-he8vg
@UkhtyFatmah-he8vg 2 ай бұрын
Hakika Movie hii ya changamka bora kabisa 👌💐💐 afu nzuri sn Next épisode isikawe basi Luta man.
@dapheenndege7191
@dapheenndege7191 2 ай бұрын
Nmeona pastor Ezekiel kwa TV, kumbe pia waTZ wanamfuatilia..... Mungu awabariki sana
@TightnotChome-fn2jy
@TightnotChome-fn2jy 2 ай бұрын
Ruta kama rutaman nakukubali sanaa❤❤
@KidoBanks
@KidoBanks 2 ай бұрын
Huyu ndo happy nae mjua sio yule mvuta sigara
@gracekayumba-z9l
@gracekayumba-z9l 2 ай бұрын
Token apa mara happy kalia sana mbadilisheni uhusika sijui mpew nn
@princeJones11
@princeJones11 2 ай бұрын
The new girl in swahili dialect 🎉🎉🎉congrats team boncena❤❤king kali fans 👋👋
@JoshuaMachumbi
@JoshuaMachumbi 2 ай бұрын
Jamani jaribuni basi kuonesha uhalisia yani huyo dogo ndio mkuu wa shule duh hapana sio poa
@baraka-x2b
@baraka-x2b 2 ай бұрын
Ingependeza sna kipind mnashut wangekuwa na wanafunz wa hyo shule yan ile kuonekana tu ni mvuto tosha kipnde cha pil ningepnda iwe hvyo
@متعةالمشاهدة-خ2ظ
@متعةالمشاهدة-خ2ظ 2 ай бұрын
Maandazii🙄😂😂😂😂
@vailetiurasa5377
@vailetiurasa5377 Ай бұрын
New girl mpk high school ila mwambie huy ticha atembeee vzr
@SalimSalim-hm7fl
@SalimSalim-hm7fl 2 ай бұрын
Team ruta man kutok kenya🇰🇪 like kam zote🎉🎉🎉🤙
@webnet5652
@webnet5652 2 ай бұрын
Sapna anachezaga fasi yawa Boss❤❤❤
@kamweneentertainment6771
@kamweneentertainment6771 2 ай бұрын
Wakishua atakuwa
@BiyayaJuniour
@BiyayaJuniour 2 ай бұрын
Wow kobelo tilimu miss sana unyama sana
@arikibok4735
@arikibok4735 Ай бұрын
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@khido_tz
@khido_tz 2 ай бұрын
Happy na Gumbwa humu tena 😢😂😂😂
@MagrethSiao
@MagrethSiao 2 ай бұрын
daaah atar mafriends mmetisha sana nim madame happy❤❤ nawakubali sana team boncner
@rajabkayate4545
@rajabkayate4545 2 ай бұрын
Akia mungu awa wanafunzi wamekomaa😂😂😂mko poa sana peace 2 u all
@mussahosseni8229
@mussahosseni8229 2 ай бұрын
Gubwa anapigwa swag nae anapinga duuu si ingekua mie jmn yan sisubir anitongoze akiniangalia tu kwa jicho la mahaba nshamtupia swaga taar hooooooooo
@Jeremiahc224
@Jeremiahc224 2 ай бұрын
Wakwanza🎉🎉🎉
@mughishajohn3287
@mughishajohn3287 2 ай бұрын
nakubal hawatu wangu Ruta man na tean yake big up sana 💪💪💪🤙♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DAVIDCHENGE
@DAVIDCHENGE 2 ай бұрын
From Nakuru kenya...Napenda kazi yenu Safi..🇰🇪🇹🇿
@Lissemansimba
@Lissemansimba 2 ай бұрын
MIMA umekuwa mnene sana, alafu utakuja kupoteza mwonekano na sanaa ikakutupa pia punguza kula mrembo.
@Mr.chengine
@Mr.chengine 2 ай бұрын
😂😂 unasema ukweli mno na ww 😂
@AyubuKamendu-w4o
@AyubuKamendu-w4o 2 ай бұрын
Big up kwa kobelo
@adidjaVyumvuhore-tp3tc
@adidjaVyumvuhore-tp3tc 2 ай бұрын
Jaman kila Siku Gumbw n Happy n wapenz alafu hawapatan 😂😂kweny love bite,kweny my Heart Ruta Man asnt san kw kumuwek kobelo
@salumuwembo-fo5rr365
@salumuwembo-fo5rr365 2 ай бұрын
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@StephenNchagwa
@StephenNchagwa 2 ай бұрын
wow kazi nzuri
@Official-naynah-tz
@Official-naynah-tz 2 ай бұрын
Jaman baisa mguu vp amezoa mambo ya uganga😅😅😅
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Ata kama rangla kazidi😂😂😂
@bernadethayamwaka1365
@bernadethayamwaka1365 2 ай бұрын
Uyu bwana uyu mi akiwa tu kwenye mv mi hoi
@LinaDzame
@LinaDzame 2 ай бұрын
Nigerian movie (the new girl played in Swahili) congratulations Mr.Luta man🎉
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Mwalimu Isa kibokoyao😂😂😂😂😂
@josephinethoya
@josephinethoya 2 ай бұрын
Sabnah,kafanana na dad 😂😂😂,mmetisha guys🎉🎉🎉
@sarahkararinyakinyua3618
@sarahkararinyakinyua3618 2 ай бұрын
Kitu sijapenda ni mwalimu baisa kutembea Ka kiwete angetembea Tu vizuri kama gentleman
@Dk-Tz
@Dk-Tz 2 ай бұрын
Yes chuma hiapa. Respect sana 🎉❤
@dapheenndege7191
@dapheenndege7191 2 ай бұрын
Mwalimu anatembea kama bata😂😂😂😂😂
@Cheusi01
@Cheusi01 2 ай бұрын
Tupo na boncena got talent tunaendelea kukiwashaa❤❤❤
@DrogadomecânicoJl
@DrogadomecânicoJl 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@MathiasKapitao
@MathiasKapitao 2 ай бұрын
Nimeipenda hii Iko chonjo sana kazi safi sana luta😊👌
@jobolima231
@jobolima231 Ай бұрын
Nimeona Pastor Ezekiel ama macho yangu ndo mbaya
@LizzyBeb-m6s
@LizzyBeb-m6s 2 ай бұрын
Waw,, nmeipenda sana Kobelo ako Kwa kipindi ❤❤
@nagetz811
@nagetz811 Ай бұрын
Hhhhhh Illa hapa kwa gumbwa na happy Eb wapeni likizo kidogo 😂😂
@sultanrichardson5487
@sultanrichardson5487 2 ай бұрын
Wa kwanza Leo from Dodoma Tanzania
HIGH SCHOOL 《02》
32:28
Boncena got Talent
Рет қаралды 81 М.
MALAIKA Ep {1}
31:13
MZEE KICHECHE
Рет қаралды 427 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
MY HEART 《01》
28:09
BONCENA RUTA MAN
Рет қаралды 142 М.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,1 МЛН
NDOA《01》
23:48
Boncena got Talent
Рет қаралды 136 М.
MGENI WA KIJIJI  SEASON1
2:30:02
Boncena got Talent
Рет қаралды 1,8 МЛН
Revenge Of The Angry Goddess - Nigerian Movie
2:53:22
NOLLYWOOD MOTION PICTURES
Рет қаралды 600 М.
WHO AM I? [FULL MOVIE]#clamvevo #kiparabrand
3:23:53
KIPARA BRAND
Рет қаралды 267 М.
LOVE IS BLIND
1:22:17
hemedy chande TV
Рет қаралды 794 М.