Nai penda kazi yako man mimi ni mu congo kutoka uvira
@AnuaryShedafaАй бұрын
@@STERING_MAKOTIpumbafu zako tumekusubir kwa hamu sana welcome back
@Duz-backOfficialАй бұрын
Tuli kumis sana makoti 🇨🇩🇨🇩 misisi
@hancebarikiАй бұрын
Mtungi wa gesi oyoooooooooooooo big up kicheee wangapi wanamkubali mwamba
@KichecheMakoti-y2jpachaАй бұрын
Nashukuru mashabiki zangu naona kazi inaendelea vzr 🙏🙏🙏🙏
@EmmanuelNiyoyita-g7gАй бұрын
Kicheche your back
@juvenalymwanalyela202Ай бұрын
Pamoja juve apa sumbawanga nakukubali sana
@Chqnilee96Ай бұрын
One love Kz nzuri mybruuh 🌹🌹✊🏾 Jitahidi kuepuka sifa 2mia sifa kujitahidi ✍🏾✍🏾✍🏾
@FredyJonathan-o9cАй бұрын
Tunashukuru kurudi kwako🙏🙏🙏🙏tulikumic sana
@FredyJonathan-o9cАй бұрын
Nakukubali sana brother kicheche Big up SANA Kwa kurud kwako tulikumic sana 🙏🙏🙏🙏
@KingkideboyАй бұрын
Daah kusema kweli 😢 sisi binadamu hatupendi kuona maendelea ya mwenzio ona kwa kujitafuta kwake kicheche duuh mungu atulinde pia karibu sana brother 🙏🙏 Sina hata shida ya like ila namkubali sana kicheche
@SalmaMgeni-h7oАй бұрын
Kwani alipitia nini😢
@mudjumurebenedictionАй бұрын
King of the generation vu from congo 🇨🇩vizuri sana
@SheyZay-j5uАй бұрын
Binadamu😢@@SalmaMgeni-h7o
@rebeccamwamin9848Ай бұрын
KING OF NEW GENERATION 💥💥💪✊ kweli project iko safi sana lini prty 2 nakukubali sana 🇨🇩🇨🇩
@JoaomarcelinoRumba-sz3qlАй бұрын
Kicheche bahaada ya siku nyingi kupita Leo ndo tunakuona,,,,,,,,kama wewe umefulaia Kwa kumuona kicheche kama Mimi gonga like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@movieclipworldwidetv3595Ай бұрын
Nilisikia hiyo akaunti yake ya zamani imechukuliwa na wakora ndio maana akatulia
@InnocentchutyPommesАй бұрын
Hata mimi n'a furahi sana kumuona mwamba wangu
@KichecheMakoti-y2jpachaАй бұрын
@@InnocentchutyPommesnashukuru kwa saport zenu wapendwa ❤❤❤
@HozanatzАй бұрын
😂 ndiyo🎉
@DimbaLauswaziАй бұрын
🎉🎉
@NathalieNachaАй бұрын
Karibu sana kicheche tuna kupenda sana from congo 🇨🇩🇨🇩 kila mu Congo kama ume furaiya ujio wa kicheche gonga liké Yako hapa
@Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mpАй бұрын
Kila atakae pita i comant siku jui aunijui ila nasema maneno ya ki nabii mungu abariki kazi ya mikono yako amen
@GloireStephanoАй бұрын
❤❤❤ Amina amina 🎉🎉
@EgnoNgimbuchiАй бұрын
amina
@vivien-valeurndirahisha763Ай бұрын
Amina
@forirombonabucaАй бұрын
Amina
@IrakozeJalia-y7jАй бұрын
Amin
@victoireisdorofficielАй бұрын
Tuna rudi tena 🔥❤️❤️❤️❤️
@justinog3105Ай бұрын
Nimefurahi sana kuona mzee kicheche tena❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ай бұрын
Kutoka mozambique nakukubali sana sana kiboko wangu KING MAKOFIYA❤❤❤🎉,Kazi mzuri endelea na kutufuraisha GOD Aku Bless
@MoiseJosueАй бұрын
Hongera mze makoti, nafurahii sana kukuona emerudi, Mungu aku linde,Pia kuwa makini sasa, Dunia ndivyo ilivyo mze, apa Congo tuna kupenda brother.
@mkkeed763822 күн бұрын
Weeeh mzeeh kazi safi 😅 Kumaaniah zako ..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Baudouin-TvАй бұрын
Wa Congo Dr tujuwane hapa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@abdalakizengabruxellesАй бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@safaribenjaminmuderhwa4757Ай бұрын
Tuko pamoja sana toka Drcongo 🇨🇩
@MuyengaSalehGastonАй бұрын
Mimi apa
@RHangi9 күн бұрын
🇨🇩
@jesusiscoming237Ай бұрын
Hii ndo tofauti kubwa kati ya kicheche na clam, clam anahitaji watu wenye uwezo mkubwa ili awe bora zaidi Ila kicheche yeye Kama yeye n bora zaidi hata umpe watu wa aina yoyote ile big up to kicheche, episode ya kwanza tu unapata funzo kubwa sana
@MobrymestzАй бұрын
Real
@abdulmutwiАй бұрын
Karibu kicheche Tena kama umependa kicheche kurud weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉❤❤
@SONGA_TZАй бұрын
KING OF NEW GENERATION KICHECHE nakukubali sana ahsante sana tumefurahi umerudi makoti 💛🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mpayufilmАй бұрын
Safi Sana 🎉🎉🎉
@EmmanuelAdolphe-n5fАй бұрын
BaBa karbu Tena kazini tuko pamoja welcome to comedy movies Africa tuta ku unga mkono tena❤❤❤❤❤❤😅😅😅
@kingcicero1708Ай бұрын
The wait is over, Kama auna uteam kati na Clam na Kicheche wela like za kutosha. One love from Mozambique 🇲🇿❤️🇹🇿
@issajuma4988Ай бұрын
Salam Alaykum Issa kutoka Mombasa K.e 254 hii movie iko vizuri Kushinda Ile ya sijafa Malaika iko na mpangilio mzuri na pia iko na mafunzo Big Up Brother
@DekelvaSoujaboy-mb8psАй бұрын
Na kukubali Sana kicheche Long time sisi wa kongomani tuli ku Miss sana welcome tena kwenye ubora wako from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉
@SouleymanSoumbehАй бұрын
Umekuwa umepoteya saaàaana mzeeee wetu kicheche
@SafimediamoviesАй бұрын
Haya tujuwane jamani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪WAKENYA wako wangapi hapa
@IamhartexАй бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EcboyofficialАй бұрын
❤❤❤❤
@NewmediakenyaАй бұрын
🇰🇪🇰🇪
@abdulmutwiАй бұрын
Karibu kicheche Tena kama umependa kicheche kurud weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉❤❤
@SafimediamoviesАй бұрын
Kabisa bro❤@@abdulmutwi
@bitishoriziki5585Ай бұрын
Karibu wangeni ki cheche tulikuwa na miss vidio zako nzuri sana KBS ndodunia hiyo mzunguko nakupenda sana weweee huwa Natu furahisha Kwa cheko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ God bless you and your family and all 👏🏼🙏🏼
@Matildafilms-e2pАй бұрын
Wote mnao sapot kakangu kicheche mungu awabariki Sana na family zenu na pia manao tusapoti kwa DUNIA na mimi pia Asante sana❤❤
@VincentBukokeАй бұрын
Waooooh kumb unaupend m pia napenda kazi yako
@denisotieno5972Ай бұрын
@maty-q7k love you beautiful girl
@SmithDidyb-r4sАй бұрын
I love u matty from🇺🇸
@fredrickchisanyo6663Ай бұрын
Maty ww unajua, tena sna. Tena sekta zote upo fit, kwenye ukatili upo good ata yaan duuuuuh 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😊
@zomasamweliАй бұрын
Vizuri sana maty kwa kumtakia mema msanii mwenzako kicheche mungu akubariki sana maty kwa upendo wako
@GuillainSengaGLN28 күн бұрын
Kicheche see you are coming back very close my brother, work hard, we are in Congo Goma 🇨🇩
@JonasJay-h3xАй бұрын
Karibu tene from🇨🇩🇨🇩
@audacenibaruta.Ай бұрын
Kazi ipo sawa hatakama hatupendi kukuona ukitengana hapa na hapa na wenziyo.
@Marcus92378Ай бұрын
Mimi nili juwaga tu ipo Siku uta Rudi kazini nîme furai Sana kukuona kicheche 🎉🎉🎉🎉from Congo 🇨🇩
@GospelPrince254Ай бұрын
Aki asante mungu kwa kuwezesha kicheche tena, nampenda huyu jama sana, lets subscribers to his new channel
@FrankKalenga-k6bАй бұрын
Hongela sana kicheche🎉
@MthugyStanyАй бұрын
Furaha kumwona tena 😂😂❤
@MarkOlubayoАй бұрын
Umerudi tena? Haki kazi nzuri sana na nko Kenya nakupata🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@ElisinghamАй бұрын
Welcome again kicheche watu wa Burundi tunakufuata5/5🇧🇮🇧🇮🇧🇮najua waburundi tuko wengi 👍👍
@Aishk71Ай бұрын
Kabsaa
@AbbudallahSaidiАй бұрын
Ubw kichech naon walejea ten ulipotea kwa mud mulef et kam kwel wamukubal kichech mzee wa ubw mim gong lk hap👍👍
@DanndannosdanielDannosАй бұрын
Niko DRCongo 🇨🇩 naomba like zenu 😊
@AchileBellasАй бұрын
Uzi fanye nini sasa
@ModricMussa-y5yАй бұрын
Kicheche uko vzr San wag nkuftlia move zko kaza br
@DanndannosdanielDannosАй бұрын
Walaiii ❤️❤️ karibu tena mzee kicheche
@arya-star5327 күн бұрын
Mimi nitaangalia kila movie utakayotoa nakukubal sana........bravoo bro
@Baudouin-TvАй бұрын
My favoris comédien kicheche well comme umbwa makoti ❤❤❤❤❤❤❤
@BreeztzАй бұрын
Dah bro kicheche tumekumiss Sana kaka dah ❤❤
@YuvessLeonardАй бұрын
Sana broo mungu akutangulie
@LodyLdАй бұрын
Makoti ana rudi tena kwenye game hum vizuri sana from Congo 🇨🇩
@mgandotvАй бұрын
Me ndo wa kwanza leo. Mnaomkubali kicheche lets go on
@Lucy-t7nАй бұрын
Mekumis sana kicheche nakupenda karibu❤❤❤🎉
@mohammedcutstv700Ай бұрын
Sound Iko poa sana inamvutia mtanzamaji ❤❤ nimefurahi ujio wako mpya let's go champion MZEE WA MAKALIO
@AbdulKarim-n8qАй бұрын
Unajitaid sana bro nakupa 🎉🎉🎉 yako ila pambana usilud nyuma
@heidelbergcellularrepairs8638Ай бұрын
from south africa tunaanza safari ya malaika
@SadockJoelАй бұрын
Hii kazi maliza mapema uanze nyingine ukiwa kwenye moody maana naona kicheche bado umepoa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤