Highlights | Tanzania 0-1 Burundi - Mechi ya Kirafiki 11/10/2020

  Рет қаралды 365,321

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

TANZANIA VS BURUNDI - INTERNATIONAL FRIENDLY: Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imepoteza mchezo wake wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Burundi kwa kichapo cha bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo pekee ni Saidi Ntibazonkiza dakika ya 85. Tazama baadhi ya matukio makubwa kwenye mechi hiyo
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 292
@fabriceingabire8736
@fabriceingabire8736 4 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ushindi wetu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🏾
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 жыл бұрын
Bujumbura 🔥🔥🔥🔥kzbin.info/www/bejne/iH-WhJVnZ7-Gb5I
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 4 жыл бұрын
Burundi 🇧🇮 yangu ba wachezaji wote oyeeeeeeeeee💪💪💪💪🥰😍🤩
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 4 жыл бұрын
Mme nifulahisha jamaa zangu uwiiiiiiii Burundi 🇧🇮 ♥ ❤ 👌
@zpii9317
@zpii9317 4 жыл бұрын
Too much congratulations to our swallows 🇧🇮🇧🇮 🇧🇮
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 4 жыл бұрын
Thank you 🇧🇮
@vanessak1272
@vanessak1272 4 жыл бұрын
NTAMBA.MURUGAMBA.NAWAPENDA.SAN🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@sittakibishi5019
@sittakibishi5019 4 жыл бұрын
Hongereni lakn cjaona Tanzania imeonyesha wap uwezo yaan zirooo kabsa bas tu,☺️☺️☺️☺️
@hgfduiop7421
@hgfduiop7421 4 жыл бұрын
Burundi🏃💜💜💜
@hasanimikeyo8893
@hasanimikeyo8893 4 жыл бұрын
Tanzania naona leo Instagram kumepoa bora ivo warundi wamewapa adabu
@nurdinalhaji7139
@nurdinalhaji7139 4 жыл бұрын
Timu ya manara na wachezaji wake wamefungwa
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 4 жыл бұрын
Timu ipo vizuri, ni bahati mbaya tu dk za mwisho mwamuzi kaharibu mchezo wa kirafiki kuwa karaha, Tumecheza vizuri sana, Burundi wameona, Tuendelee kutafuta mechi nyingi za kujipima.
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Sisi tunaweza league ya ndani tu, na Siasa lkn kimataifa Tupo vzr kwenye magazeti
@magesamatiku7364
@magesamatiku7364 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Duuuh 😲😳 mimi cshangai kufungwa ila naulza huo uwanja ni kwamkapa,,,,,Mbona uwanja umekuwa mbovu hvyo jmn
@mamahusnasandnusraskitchen5992
@mamahusnasandnusraskitchen5992 4 жыл бұрын
Burundi 💚💚💚💚👍
@johniekak8213
@johniekak8213 4 жыл бұрын
Good Job Burundi
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 4 жыл бұрын
Thank you 🇧🇮
@cizapaterne2709
@cizapaterne2709 4 жыл бұрын
Kawaida 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 4 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@suleysuley6889
@suleysuley6889 4 жыл бұрын
Azam tv kuna vitu ambavyo hatuoni kama skills zilizopigwa za kifundi sana zipo wapi ? Ingekua tanzania mgerudilia mara 100
@AMI-ip1lx
@AMI-ip1lx 4 жыл бұрын
Kabisaaaaaa
@ndihokubwayosaid2216
@ndihokubwayosaid2216 4 жыл бұрын
Kweli kabs wamefica😅😅😅
@andrepapykarubi8781
@andrepapykarubi8781 4 жыл бұрын
Abahungu bacu bakinye neza cane. Burundi oyeeee
@samsondecoman983
@samsondecoman983 4 жыл бұрын
Siombaya nibora tumefungwa tujue hatujaiva bado, tutulie, timu ninzurii.
@bhokedavid8932
@bhokedavid8932 4 жыл бұрын
Mkude angekua mchezaji wa Yanga mhhh tungekoma maana Manara angesema mpaka baasi
@franciscamahuru7073
@franciscamahuru7073 4 жыл бұрын
Huyo ni hamnazo manara
@mussasaleh1331
@mussasaleh1331 4 жыл бұрын
Umeona ee
@alexjohn1189
@alexjohn1189 4 жыл бұрын
Umeona ee wanachonga san hao simbusi
@alfredkalaba1614
@alfredkalaba1614 4 жыл бұрын
Yani Kapombe hata akibaki na Kipa yeye nikuliga krosi tu hawezi kufunga?
@peninadevotabsnrn6030
@peninadevotabsnrn6030 4 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 жыл бұрын
Bujumbura 🔥🔥kzbin.info/www/bejne/iH-WhJVnZ7-Gb5I
@blaiseirabaruta3644
@blaiseirabaruta3644 4 жыл бұрын
😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥🔥🔥🔥
@godfreydaniel6818
@godfreydaniel6818 4 жыл бұрын
Aaaaaaah wabongo bhana eti bora yanga na burundi
@muhammadmahmoud1068
@muhammadmahmoud1068 4 жыл бұрын
Halafu sasa hawa burundi wamekuja na coach msaidizi tu+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@willymico8628
@willymico8628 4 жыл бұрын
Azam hv hamjui maana ya highlights au n mm sijui? Highlights mnarudia mechi nzm
@mgduygucu
@mgduygucu 4 жыл бұрын
Samatta reyiz kafa toplarında çok iyi, Ademi atamazsa Samatta atar o atamazsa Lemos atar o atamazsa Tisserand o da atamazsa Gökhan atar 💛💙 Maşallah takıma
@dennisluben113
@dennisluben113 4 жыл бұрын
Bora hata ingecheza yanga na Burundi tungeshinda
@sadiasadia737
@sadiasadia737 4 жыл бұрын
Burundi oyeeee oyeeee. Hmmm hamutaweza. Kelele tu za wa tanzania zilikua nyingi ndomana
@pfranklyon1230
@pfranklyon1230 4 жыл бұрын
Tz Mmekula kicapo haahaaha Bujumbura oyeeee
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 4 жыл бұрын
Oyeeee🇧🇮
@abdalahmohamedi1806
@abdalahmohamedi1806 4 жыл бұрын
Timu yetu ya Taifa ikicheza ugenini inacheza vzr kuliko ikiwa hom
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign 4 жыл бұрын
Mi naona mechi ilikuwa nzuri, sema tu haikuwa bahati yetu. Kingine wachezaji wengi hawakuwa na utimamu mzuri kwenye mchezo pia golikipa alishindwa kupanga mabeki wake kwenye kukumbusha majukumu. Zaidi inabidi timu ya taifa tucheze mechi nyingi wachezaji wamelala sana yaani kama hawajitumi baadhi.
@samuelgoodlight9294
@samuelgoodlight9294 4 жыл бұрын
Umeongea kitu sahihi sana vijana wamepambana na wamecheza vizuri ni utulivu wa mastreka ulikosekana..
@mussasaidy6256
@mussasaidy6256 4 жыл бұрын
Yes uko sawa ndugu
@MusialaonyouTube
@MusialaonyouTube 4 жыл бұрын
Tanzania should be playing against Kagere Meddy RW🇷🇼 VS TZ
@jayc575
@jayc575 4 жыл бұрын
Lauryn 😂😂😂
@BYAUNDA
@BYAUNDA 4 жыл бұрын
Refa noma sana mjinga kakataa penalty ya Burundi. Ndiomaana awaendelei sijui wanasoma masomo ya ahina gani.
@dianeniyonsaba3477
@dianeniyonsaba3477 4 жыл бұрын
Burundi ayeeeeee
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 жыл бұрын
Bujumbura 🔥🔥kzbin.info/www/bejne/iH-WhJVnZ7-Gb5I
@abbasmuhunzi2232
@abbasmuhunzi2232 4 жыл бұрын
Inakuwaje mchezaji anaechezea nje na aliejipatia uzoefu mkubwa akachezeshwa dakika 5 tu. Mapigano Mwenye rekodi ya mechi tano za 2020 atawezaje kuwa na uzoefu kuliko Aishi ambae ni kipa bora wa mwaka mzima. Hakukuwa na sababu kumtoa nje Samata. Refa alikuwa anatafuta umaarufu duniani kwa kuuwa nchi yake kwa kumtoa nje Mkude.
@mgduygucu
@mgduygucu 4 жыл бұрын
Samatta reyiz için geldik 💛💙
@chemsaakimana19
@chemsaakimana19 4 жыл бұрын
💪💪💪🇧🇮
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 4 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@martinswai8031
@martinswai8031 3 жыл бұрын
Mtangazaji ebu rudia tena like neno gumu ulilolisema baada ya saido kufunga goli....sako nyoka ya sako bako
@jayc575
@jayc575 4 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪🏾
@hamidriday2352
@hamidriday2352 4 жыл бұрын
Jazeni tu wachezaji wakigeni katika ligi na matokeo ya ya timu ya taifa yatazidi kua hivi,wapi chama na kagere???
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 4 жыл бұрын
Chama na kagere siyo Wa watanzania hawawez kucheza timu ya Taifa
@hamidriday2352
@hamidriday2352 4 жыл бұрын
@@fatumachagudadui3138 Fatima naelewa sana medie in mrwanda na chama mzambia ile kitu nataka watanzania muelewe ni ligi yenu wageni ni wengi kuliko wale wa nyumbani na ikiwa hivyo timu ya taifa huwa maembe kama hiyo Taifa Star
@alexjohn8439
@alexjohn8439 3 жыл бұрын
Tanzania tutashka mkia2 revo zetu ni za vpl kwa kutegmea wachezaj wa kigen
@likemohd8957
@likemohd8957 3 жыл бұрын
We vp kwani chama na kagere ni wachezaji wa timu ya Tanzania usiwe mjinga ww
@anoldmbarama985
@anoldmbarama985 Жыл бұрын
Saido na mkude Leo wapo team moja
@isangojambau1067
@isangojambau1067 4 жыл бұрын
Wachezaji wa taifa Star hawana uwezo binafsi wa kufikiri nakufanya maamuzi sahihi kazi yao kubwa ni kukariri nafasi walizo pata zote nne zilikuwa za ushindi lkn mwalimu aki supplement tutegemee wanafunzi wake wata discontinue
@linajames2653
@linajames2653 4 жыл бұрын
Yaaani mnanikera sanaa
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Mabeki wa tz duuh! Mtakula 8 Tunisia
@eliudmaster2175
@eliudmaster2175 3 жыл бұрын
Ntibazonkiza baba laoooooooo🤣🤣🤣🤣🤣
@kennah03m
@kennah03m 4 жыл бұрын
Mdomoo tuu na hamuna loloteee tz hamna lolotee
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 жыл бұрын
BIDHAA ZA VIUNGO NA MIFUPA Tuna bidhaa hii iitwayo ARTHROEXTRA TABLETS Hii -Huongeza uteute (synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa -Huondoa naumivu ya maungio kama nyonga,magoti na mgongo n.k -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya (articulate cartilage) -Huzuia kulika kwa mifupa na maungio -Huondoa tatizo la athritis -Huongeza Glucose amine na Chrondroitin kwenye maungio Pia kuna ZAMINOCAL PLUS CAPSULES Hii -Mchanganyo wa Zinc,Calcium, magnezium na amino acidi(protini) -Huboresha mifupa na meno -Husaidia mfupa uliovunjika kupona haraka -Husaidia sana mfumo wa fahamu -Huwafaa watoto wanaochagua chakula kula vizuri -Huongeza hamu ya kula -Huwafaa sana wamama wajawazito kwani husaidia kupata mtoto na misuli ya ikulu kurejea kwa wepesi baada ya kujifungua. Pia kuna GLUZOJOINT-F -Huzuia maumivu ya viungo -Huzuia kulika kwa maungio -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya(artculate cartilage). Ushauri zaidi wasiliana nasi pia Whatsup +255712126669 Simu kawaida 0683147077
@sospeterkalinji736
@sospeterkalinji736 4 жыл бұрын
Apo ndo utaona kuwa wachezaji wa nje ndo wanabeba game za tanzania paxpo wao wachezaji wa tz hawwezi
@zeemaya6800
@zeemaya6800 4 жыл бұрын
Huyu ndio kipa wetu aliyechukua namba ya manula eenh? Basi sawa
@kimutattoo4067
@kimutattoo4067 4 жыл бұрын
Ooooooh My #TANZANIA🇹🇿🇹🇿😂😂😂
@ericksonodhiambo9964
@ericksonodhiambo9964 4 жыл бұрын
Tanzania shida yenu nini hata wimbo wataifa hamna habari nalo dah,Mnaconcentrate sana kwa simba na yanga mnasahau asilimia kubwa ya hao wachezaji si watanzania mtanyooka raundi hii. Wasenge.
@abisoluvanda2760
@abisoluvanda2760 4 жыл бұрын
Kilichoalibu uwanja nn?
@musamgulila577
@musamgulila577 4 жыл бұрын
Kampen
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 4 жыл бұрын
Hii ni stars au utopolo
@lazaroalbano1690
@lazaroalbano1690 4 жыл бұрын
Tanzania mpira hamna
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Mpira upo ila viongozi wana Mambo yao
@chaliiyawenger2331
@chaliiyawenger2331 4 жыл бұрын
Ni kweli hao tifuatifua na simba yao
@abubakarnabahani4994
@abubakarnabahani4994 4 жыл бұрын
Tanzania mpira upo tatizo nimeona shida umaliziaji butu
@abubakarnabahani4994
@abubakarnabahani4994 4 жыл бұрын
Magoli mengi tumekosa.
@husseinhamisi9166
@husseinhamisi9166 4 жыл бұрын
Refa mungu anakuoona
@gahimbaresaxon5445
@gahimbaresaxon5445 4 жыл бұрын
Hivi tanzania kuna team ya taifa ila mnatakiwa mkubaliane na Hali maana team ya Burundi sio lika lenu, Burundi oyeee
@eliyahango4278
@eliyahango4278 4 жыл бұрын
Burundi 1-0 Simba
@ngundachris7598
@ngundachris7598 4 жыл бұрын
Leta match yote bwana
@habibyusuf1755
@habibyusuf1755 4 жыл бұрын
Tz kwa mpiraa badoo sna
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 4 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@amocmanasi7810
@amocmanasi7810 4 жыл бұрын
mbona hata maxhabiki wenyew hawajaenda kushabikia
@happyjohn5882
@happyjohn5882 4 жыл бұрын
Walijua Burundi lazima watufngee hahaaaa
@linajames2653
@linajames2653 4 жыл бұрын
Ila WaTz bahati haikuwa yetu,Ila mlicheza vizuri
@silacecypirian3522
@silacecypirian3522 4 жыл бұрын
U
@ramadhanjuma1634
@ramadhanjuma1634 4 жыл бұрын
Bahati haikuwa yetu mpila vijana wamecheza
@guydarcynibogora602
@guydarcynibogora602 4 жыл бұрын
Tanzania team plays well but u got no chance....
@gakeboranda3223
@gakeboranda3223 6 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 4 жыл бұрын
tz wamecheza vizur
@edwardmaumau9455
@edwardmaumau9455 3 жыл бұрын
Timu yangu iongeze bidii watanzania tunaipenda sana
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 4 жыл бұрын
Tanzania tulikuwa na ubora mzuri sana lkn tatizo ni pale ambapo kocha alitaka afanye sub tu bila sababu ya sub hizo
@AMI-ip1lx
@AMI-ip1lx 4 жыл бұрын
Hamja rudia rudia kisa Tz imefungwa ila ingekuwa tz imefunga mgekera Na marudio Rudio
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 жыл бұрын
Yeah lazim iwe hivyo kwakuw temeshinda ss hm
@AMI-ip1lx
@AMI-ip1lx 4 жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 жыл бұрын
@@AMI-ip1lx Sawa nadhn ww utakuw Burundi honger pia
@pfranklyon1230
@pfranklyon1230 4 жыл бұрын
Umesemesha ukweli mpaka instagram kumepoa
@mussasaidy6256
@mussasaidy6256 4 жыл бұрын
Vijana wamecheza mpira mzur kwani bahati hakuwa yetu watanzania tusichukie jamann😆😆😆😆😆
@augustinomakoye2396
@augustinomakoye2396 4 жыл бұрын
Simba inawachezaji was kitaifa au ni wakununua kutoka nje?
@musamgulila577
@musamgulila577 4 жыл бұрын
Pitch ya uwanja imeharibiwa na kampen kbs
@amanimkambala6240
@amanimkambala6240 4 жыл бұрын
Kweli ccm mmetualibia uwanja
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 4 жыл бұрын
Kwampira wa magazetini vikombe vyote vyenu
@judithtz3509
@judithtz3509 4 жыл бұрын
Tanzania tufike mahali tuwe serious,wimbo wa Taifa unaibwa mtu anakosa utulivu,anahangaika kugeuka geuka na anacheka,loh!
@stevenhassan269
@stevenhassan269 4 жыл бұрын
Kumbe tumefungwa mbele ya waziri mkuu
@brunojoseph7059
@brunojoseph7059 4 жыл бұрын
Hahahaha hata me nashangaa bora hata raisi hakuepo
@bernardbenedicto1373
@bernardbenedicto1373 4 жыл бұрын
Mmmmmmmmmh nihatariii
@assadalawite9527
@assadalawite9527 4 жыл бұрын
Tanzania vijana wa ubwabwa, mpira umewakataa🤣🤣🤣 Uganda na Kenya mabingwa wa mpira East Africa
@andrewmoneni6362
@andrewmoneni6362 4 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
@ucktri1115
@ucktri1115 4 жыл бұрын
Ni kweli
@amosmeshaki2164
@amosmeshaki2164 3 жыл бұрын
68mins I think it is a
@wazirikipanga325
@wazirikipanga325 4 жыл бұрын
Wenye uwanja wao wameharibu wameweka uwaraza kibao
@antonymahembora7363
@antonymahembora7363 4 жыл бұрын
Bila shaka wengi mnaocomment hapa ata mpira hamjaangalia haha, kwa maoni yangu tz tumeimprove kimchezo kias flan tumehitahd kucheza mpira unaoonekana kias kwamba unaona kuna kitu tunatafta shida iliyopo n finishing tu hakuna uelewano mzur wa washambuliaji ila beki ,kiungo superb ,ndo matokeo lkn tulekebishe makosa tutafanya vzur kwenye mech zijazo
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 4 жыл бұрын
Mchezaji lazima awe na nidhamu in short mkunde hana nidham alijua waz ana kadi ya njano Tayar alipaswa awe na hekima na kujishusha mjinga Sana
@alexjohn1189
@alexjohn1189 4 жыл бұрын
Bora ww umeongea ukwel tatzo wanatetew san hawa
@melaniachambala3499
@melaniachambala3499 3 жыл бұрын
Ana damu ya kadi nyekundu huyuuu🤣🤣
@daruchiwinga207
@daruchiwinga207 4 жыл бұрын
Watu wanasubili simba na yanga ndio iliko jaa akili zao
@abbasmuhunzi2232
@abbasmuhunzi2232 4 жыл бұрын
Umefika wakati kocha wa Timu ya Taifa awe Mtanzania. Kocha hakuwa makini kupanga wachezaji.
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 жыл бұрын
Tz banah kwenye magazeti mna ucheza mwingi sana lakini uwanjani nisawa na yanga tu😂😂😂😂😂😂
@busta_malik5971
@busta_malik5971 4 жыл бұрын
Mdomo mwingii
@y.n.wsalim8253
@y.n.wsalim8253 4 жыл бұрын
Kabisaa bro
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Mmmh! Hapo simwoni wa kufunga magoli hapo labda Sammata
@emmadora7848
@emmadora7848 4 жыл бұрын
Mbona na yeye hajafunga?
@njauson1538
@njauson1538 4 жыл бұрын
David kisu ni manula anae chezea azam
@josephmafue3009
@josephmafue3009 4 жыл бұрын
Jaman mkapa unaona kilichotokea kwenye uwanja wako emungu ww pich amna tena
@michaedominic8718
@michaedominic8718 4 жыл бұрын
Wabongo tupo vizuri 2meshindaa kumbeee
@abbakarjuma5381
@abbakarjuma5381 4 жыл бұрын
Tumefungwa
@brendakolo9562
@brendakolo9562 4 жыл бұрын
WATANZANIA WACHENI MPIRA KAZI ZENU UMBEA TU KWENYE MEDIA
@kingsan2548
@kingsan2548 4 жыл бұрын
True
@sixnine969
@sixnine969 4 жыл бұрын
Tuletee mudasir yahya
@mustafamohd1514
@mustafamohd1514 4 жыл бұрын
Haikuachi salama
@husseinmakame8035
@husseinmakame8035 4 жыл бұрын
Watanzania tunataka twende wapi wakati nizamu empty,????Anaigharimu timu kwa upumbavu....
@abdulwahababdully3062
@abdulwahababdully3062 4 жыл бұрын
Ckubaliani nawe cz yale mambo hutokea cku zote na n majambo yakawaida ktk mchezo ulokuwa nje ya mchezo utaona kama n ujinga flan hv
@emmadora7848
@emmadora7848 4 жыл бұрын
Kabla ya hapo mlikuwa mmefunga mangapi?
@evamariadaudi5038
@evamariadaudi5038 4 жыл бұрын
Na huo uwanja Leo vepi mbona Kama hauko poa
@antondamian9677
@antondamian9677 4 жыл бұрын
Majamaa wana kanyaga sana
@amanimkambala6240
@amanimkambala6240 4 жыл бұрын
Huo uwanja sasa km wa morogoro
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 4 жыл бұрын
Bora hata angeingia chama
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@omarsaid9083
@omarsaid9083 4 жыл бұрын
Tukiachana na kufungwa huo uwanja tutauzungumzia mwaka gn🤣
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 4 жыл бұрын
Huo uwanja mbona vipara tumeshindwa kumwagilia maji?
@shedrackmwaipopo9427
@shedrackmwaipopo9427 4 жыл бұрын
Ccm sii walikuwepo hapo
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 4 жыл бұрын
kwa Tanzania yetu siasa imeingia mpk kwenye shirikisho la mpira
@shedrackmwaipopo9427
@shedrackmwaipopo9427 4 жыл бұрын
@@witneskilinda5034 sema serkili ikiamua Tff hana nguvu
@sammyrobertson5968
@sammyrobertson5968 4 жыл бұрын
Jezi ya ushindi kwa tz ni rangi ya njano
@sopheemdaki2389
@sopheemdaki2389 4 жыл бұрын
Huo ndo ukuma wenu wa tz
@kidotom2580
@kidotom2580 4 жыл бұрын
pumbavu
@pnshsq3039
@pnshsq3039 4 жыл бұрын
Que pedo ahi no hay covid o por que estan todos aglomerados?
@nampa8937
@nampa8937 4 жыл бұрын
Wtf por qué hay otro hispano aquí
@pnshsq3039
@pnshsq3039 4 жыл бұрын
@@nampa8937 vi el partido en one football y dije como de “estara en KZbin”?
@salumnassor9425
@salumnassor9425 4 жыл бұрын
problem of stars is finishing
@thomsonmduma7684
@thomsonmduma7684 4 жыл бұрын
Jaman mm nimeumia sana kufungwa na watu waliokuwa carantin sema hats refa amezingua sana na sijui tunafel wap maana mpirabtumecheza mwingi
Harambee Stars vs Burundi || Kenya vs Burundi ends 1-1
7:08
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 17 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 14 МЛН
SIMBA DAY: FULL HIGHLIGHTS:  SIMBA SC 6 - 0 VITAL'0  - 22/08/2020
26:41
Ehe Uko Uburundi Bwihanije Gabon /CAN2019
12:39
NICKO TV PLUS
Рет қаралды 89 М.
MAGOLI YOTE: YANGA SC 3-3 POLISI TANZANIA (VPL - 03/10/2019)
8:45
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39