Namshukuru sana Mungu kusema ule ukweli sikutegemea
@myself-T2Ай бұрын
asante Mungu,asante wachezaj wetu,asante viongozi na mwisho kabisa asante kwa mashabiki wenzangu tulioweza kufika uwanjani kuisapoti team yetu
@luwanda03Ай бұрын
Niliogopa kuangalia mpira. Nikaenda kulala ili kusudi nikiamka nikutane na matokeo tu. Leo tungefungwa kitaa kungekuwa kugumu mno. Asanteni sana kwa huu ushindi.
@PiusMaliloMalilloАй бұрын
Me nikaa amua kuckilza kweny radio... Eti Bora kusikia nnavy fungwa kuliko Kuona😂😂
@JohnBenedict123Ай бұрын
@@PiusMaliloMalillo😂😂😂
@evanamkondya4257Ай бұрын
Acha wogaaaah 😂😂😂
@radhiamussa1629Ай бұрын
Ukubwa nikuangalia hivyohivyo na roho mkononi 😂
@glorymlay580Ай бұрын
Mimi nilizima data na kuzima cm kabisaaaa nikakaa mahali ambapo sisikii kitu kuhusu mpira Nikawasha saa kumi na mbili nikakuta magoli 3 hahaaaaa❤❤❤❤
@AziCureАй бұрын
Allahamdulillah 🎉🎉🎉 Nyuma mwiko! Oya hyo kamba y Mzize,,,inabeba ladha y game nzima❤ The power😂😂 Accuracy 😂😂 Speed😂😂 Brilliant!!! we should measure the speed,,it's ICBM🎉🎉🎉
@am_mwinyiАй бұрын
Gusa achia twende kwao🔥🔥🔥🇹🇿💚💛🖤🏆⚽️🥇
@UmmyHamisi-ru2rwАй бұрын
Kocha ana vibe atar😂
@frida-oi6kwАй бұрын
Yani hatari😂😂😂😂
@ImamuAsiiАй бұрын
Mimi ndio furaha yangu kumuona kocha anachangilia namba hio
@UmmyHamisi-ru2rwАй бұрын
@@ImamuAsii km kocha wa Chelsea wa zaman Antonio conte 😆ana vibe atar 😆😆
@kolosii4351Ай бұрын
Hongera mashabiki wa yanga. Sio rahisi kujitokeza wakati timu yako ina point moja tu. Mfano wa kuigwa.
@chidyblake1017Ай бұрын
Another samatta in the making ....Mzize is a top striker who continues to improve his game everyday...He needs another top club for further development...All the best to him
@iconifcАй бұрын
Yanga ❤🇰🇪🇹🇿
@LilianTwariraАй бұрын
Utulivu na umaliziaji wa Aziz Ki kwenye ulee msitu. Perfect 👌
@KhalifaMuzdАй бұрын
😂😂😂😂 et Msitu
@SamwelTheophanesАй бұрын
@@KhalifaMuzd😂😂😂😂 msitu gani Sasa pale alikuwa pekeake
@KhalifaMuzdАй бұрын
@@SamwelTheophanessi ndio an mtu peke ake mpaka alijua yupo Offside😂😂
@fatmaomar8335Ай бұрын
Gusa aachia twende kwao yanga bingwa insha Allah 💚💚💛💛
@africanbabaz4739Ай бұрын
Wa kwanza mm like hpa
@putilegamagama6049Ай бұрын
❤❤Hongera mtani kwa mchezo mzuri na magoli mazuri, hii ndo maana halisi ya mpira burudani. Hongera sana❤❤ #TanzaniaUpendoDaima.
@innocentmmandago3029Ай бұрын
Tumshukuru Mungu
@sophiaazizingaiwa3857Ай бұрын
Mlisema ramovic Huwa hashangilii akifunga haya Leo mmemuona Ako na furaha😅#YANGAMITANOTENA 💛💚
@DoreenTesha-kk2kwАй бұрын
Mzize nakupenda Hadi naumwaa😂
@pacomezouzoua9175Ай бұрын
Maestro clement mzize🙌🙌🙌🎉
@boscokalinga5267Ай бұрын
Yanga Africa
@HabibaKhamisi-xo8tzАй бұрын
Mzize mmojaaaaa sawa na ateba 1000 🤣🤣🤣🤣🤣
@ItzzzTjayyАй бұрын
Tuliza matako wew
@abubakarimakange5278Ай бұрын
Kuonesha wewe ni bora usijifananishe na mwenzako kuna srikers wangapi bongo. Why not DUBE au MUSONDA
@@ItzzzTjayy na ww tuliza kamdomo hako leo kipigo tu huko tunisia mtashenyetwaaaa nyie mpk mnarudi huku mmechokaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PhilimonKabisaАй бұрын
Yanga sisi ni wamba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fatmasuleiman3885Ай бұрын
Yanga hii vijana mpo vzr sana mwenyezimungu azidi kuwalina msipate maradĥ
@DoryGeorgeАй бұрын
Mzize ana balaa
@Mari89wxАй бұрын
TOUCH, RELEASE, ATTACK 👉🏽✅✅
@BitalioChroniclesАй бұрын
Mungu tukupe Nini Baba, sema lolote baba wanao tupo tayari ❤🎉
@ExaudMoshaАй бұрын
Mzize😂😂😂😂
@ArnoldRwegasira-hp9gtАй бұрын
Dube noma goal mbili kausika kwenye mpango
@MnamataАй бұрын
Good
@Kimweri_tzАй бұрын
Goli la Mzize ni fantastic
@sebastiansalamba313Ай бұрын
Mi sikutegemea mwenzenu halooooo yanga
@fatmaomar8335Ай бұрын
Alhamdulillah 🙏kwa ushindi wa Leo
@selemanmcharazoАй бұрын
Good performance for our coach and our players for fighting but my request to be careful in defence for the team like Alhilal if you give One chance One goal and they are very strong defensive very difficult to make turn back you're need to be very clinical but Inshallah we believe we take all 6 remained points
@upendoluva2066Ай бұрын
Nashkr mungu kwa Kila tulichoomba na tumekipata .wachenzaji wetu tunawashkuru.
@MwaniPhАй бұрын
Hatar sana
@WakudamshYАй бұрын
Noma sana😂😂
@MuslihiShafiiАй бұрын
Al hamdulilah
@RajabuUzandaАй бұрын
Acha uhoga hao ndo wananchi Dua kwa MC wafungwe Ishaallah
@ShijaKagoke-oc2zuАй бұрын
Alhamdulillah 🤲🔰🙏
@radhiamussa1629Ай бұрын
Ma Shaa allah wachezaji wazidi kuwa wakatili langoninakuwa watulivu namakini ili tufurahi kwa magoli mengi zaidi qmbayo leo yangekuwa faida pia so safu ya ushambuliaji wajitahidi kuwa makini kutumia nafasi na pia makosa yanayopelekea tufungwa tujitahidi sana kuyafanyia kazi mengi yanafanana makosa yake na kuzidi kujilinda na kuzuia kwa pamoja wakati wa kushambulia maana timu zilizobakia ni tafu inabidi twende kimkakati pia wachezaji wazidi kujituma maana energy yakucheza full time bado ila naimani watatufaurahisha zaidi soon mechi zilizokakia ni do or die ni final za kipekee kutupeleka nchi ya ahadi
Goli la mzize kipa hakukuwa na ulazima wa kudaka uhai wako ni bora Zaidi brother
@salhasaid9667Ай бұрын
❤
@marthageorge5043Ай бұрын
💚💛💛💛💚
@KapondaZenaidaАй бұрын
GUSA ACHIA TWENDE KWAO 💚💚💚💚💚🔰
@rehemamahendeka-rm2ekАй бұрын
Wananchiiiiiiiii iiiiiiiih iiiiiiih iiiiiih,hizi ndizo RAHA/BURDAN ZETU,fa masihara weye,shkrn shkrn shkrn vzr mno vjn,hadi 2..30,weyeeeee hadi nimekumbuka lile neno letu lileeeeee "WAPE SALAMU",Hongereni vjn wetu.
@Marvel_tzАй бұрын
Yanga
@VeronicaMichael-q7tАй бұрын
Waoo
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Mchezaji wa Mazembe alikua analia nini😂😂😂😂😂 baada ya goli kuingia😂
@MICHAELNYONI-h7hАй бұрын
alikua anjuakita tokeann
@watupipoАй бұрын
Highlight ndegu Iko wapi
@jackmoshiАй бұрын
tp wazembe kweli
@Dully_starАй бұрын
Mmeridisha masindano eenh😊😊
@mohamedhamdoun5268Ай бұрын
Azam TV , ushindi WA yanga wanaumia , mpk sasa hatuoni marejeo ya mechii hii😂
@namdigumagwenge193Ай бұрын
Tumemiss Supu 😂😂😂🎉
@ClassicMedia-Tz1Ай бұрын
Younger
@najmakinya8779Ай бұрын
Tupeni full Mach
@augistinemasabo5313Ай бұрын
😂😂😂woyooo
@IsackCharles-j8uАй бұрын
Leo saa moja kunabomoabomoa, maasikari wa Tunisia wajiandae Kwa ulinzi viti vitavunjwa
@patrickndizeye2190Ай бұрын
Mazembe wameteseka sana😂😂😂😂
@frida-oi6kwАй бұрын
Dah ila uwanja leo ulitepeta kweli😢😢😢😢😢😢
@JeniphaRobertАй бұрын
Mbn Azam hawajalusha na nyie mmelusha mmetuwekea saut shidaa nini tunataka yenye sauti 💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛
@KizzyMahmudАй бұрын
Tulia kishandu
@JeniphaRobertАй бұрын
@KizzyMahmud 🤣🤣🤣 kosa langu nini
@TitoMorwoАй бұрын
Mzize afungiwe na caf kam tutapita maan adhabu zitakua nying kwa team zingine😂😊
@pacomezouzoua9175Ай бұрын
Yule DR khalid aucho ni kama ubongo/brain au injini ya timu yani cjui kama tutampata mbadala wa huyu mwamba jamaa ni top top quality player na akitokaga tu timu inakosa balance kabisa inaanza kuyumba😢
@frida-oi6kwАй бұрын
Inabidi aanze kutafutwa mwengine mapema sanaaa...maana uyo nae age gooo😢😢😅😅
@Fineboy-k2tАй бұрын
well said👏
@AyubuMsami24 күн бұрын
Yaani acha tu mchezo ulikuwa mkali sana kwangu
@edsonmakweta6347Ай бұрын
mimi ni SIMBA damu ila kwa YANGA hii tutulie tuu wanasimba wenzangu tusije tukauponza 😂😂😂
@madibasenior412Ай бұрын
Tunataka full highlights ya hii mechi ya mazembe
@MalinoKadwame-u1cАй бұрын
Kaz imeish haaao robo
@rosemaryluhwagoАй бұрын
Jamani Ali kamwe simuoni Yuko wapi semaji
@mwanahamisihatibu590Ай бұрын
Tunashukuru na tunamuomba Allah atujaalie mechi zijazo tushinde pia
@YusuphSiyumweАй бұрын
Jamani tutanenepa
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Tunaomba mechi zetu zilizobaki atangaze Gharib mzinga Tafadhali Sio mpenja wa malila
@seciliamchalo5627Ай бұрын
Kabisa tuna zali naye akitutangazia huwa tunashinda goli zaidi ya mbili
@SamsonFilbertАй бұрын
Dundo kali hli
@TonnyManeno-m1hАй бұрын
Jamani mbona hatuoni highlights Azam au yanga tv
@mwajumampokileomckapela7541Ай бұрын
Mmetuheshimisha kituo kinachofutaa MC Alger pambaneni mpaka kieleweke 💚🟢💛😌⚽
@FilomenaRaymondАй бұрын
Iga upalalaizi😂😂
@HabibaKhamisi-xo8tzАй бұрын
Makolo tunataka msime na mazembeee vibonde piaaaa😂😂😂😂 maan nyie huwezo wa kumfunga hamnaaaa
@hildaelkana7132Ай бұрын
Kocha kachachuka balaa
@AishaAmour-d3hАй бұрын
Ateba unamjua lkn mtu wang😂😂😂
@FrancisNgomaitaraАй бұрын
Sio kila mtu anapenda upuuz wenu wa masingeri upumbavu mtupu kwann msitupe highlit pekee
@SylvesterKameoАй бұрын
Binadamu tuna vionjo tofauti. Huwezi kupenda kila kitu au kuchukia kila kitu. Pia huwezi kumridhisha kila mtu. Binadamu tumeumbwa na moyo wa wa kupenda au kuchukia. Kuwa uvumilivu na kustahimiliana.
@kolosii4351Ай бұрын
Kama hupendi wengine wanapenda.
@HabibaKhamisi-xo8tzАй бұрын
Alhamdulillah 🙏🙏 maana nilikuwa sn hata hamu yakula nilikuwa na waza 🤔🤔itakuwaje matokeo
@GodfreyHiza-x1pАй бұрын
Ko mmeona mkituwekea goal la mazembe tutafaidi
@latifanura8787Ай бұрын
Jamaniiiii Mimi ndonaona natokeo muda huu kumbe nimepitwa namengi daaah ila mzize anajua kuwatesa wapinzani kwakwl mpka kamlza yule jamaa daah sio pw iyo ndogusa achia bhn piga kelele kwa yanga yakeeeee
@Muna-en4yqАй бұрын
Wana yanga wenzangu hili bao la tatu nani kafunga
@NassTwinАй бұрын
Hii sio highlight sasa. Maana mmeonyesha magoli yenu tu. Highlight inatakiwa kuonyesha magoli yote. Admin HANA AKILI
@ROMWALDPMBELEАй бұрын
😂😂😂
@SuleMuntalikilumbiАй бұрын
Kibonde wakwanza niwewe ulokula5
@Regi-g9xАй бұрын
Vibonde vya nyokooo
@amanizavalaАй бұрын
Utopolo mmekutana na vibonde
@scholarhaule9956Ай бұрын
Sawa lkn ww kibonde zaid tumekupiga mara4 mfululizo 😊
@kolosii4351Ай бұрын
Tumekubali sisi ni vibonde.
@frida-oi6kwАй бұрын
We kweli ukapimwe akili zako .....unazani tp mazembe ni kibonde kama wewe....
@ZenoMashakaАй бұрын
Njoo bas ww mzima😁😁
@HajiMbarouk-t8uАй бұрын
Fala kwel wew
@FrancylauАй бұрын
🙄🙄🙄 vinamuda bas n swala la muda tu
@Felixramadhani-m2vАй бұрын
fund
@WilliamOmbeni-c1vАй бұрын
Ujinga tu
@kafumutv.6082Ай бұрын
Mbona highlights hamuwekiii mnaboa.... Azam awek na nyie hamuwekiii ndio nn sasa..