HIGHLIHTS: TAZAMA PRINCE DUBE ALIVYOITEKA SHOO KWA HATTRICK YA KIBABE/KIBWANA SHOMARI MOTO UMEWAKA.

  Рет қаралды 19,644

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер
@BbasuleBasule
@BbasuleBasule 16 сағат бұрын
Nimekua Wa Kwanz Leoo Kama Dube Kawa Wa Kwanz Kupiga Hat Hatric Like Here Wananchi💚💛💚
@halimasawa611
@halimasawa611 14 сағат бұрын
Alhmdhulillah ndio neno kubwa 🙏🙏🙏Ya Allah tujalie ushindi kila match tutakanyo cheza
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 14 сағат бұрын
Hii ndo yanga tuliyokuwa tunaitaka good rotation from our coach.
@PaulDotto-d3r
@PaulDotto-d3r 16 сағат бұрын
Mungu nakuomba sana wananchi wana jagwani usimame imala point zilizopotea zilundi halaka kwa nguvu zako ❤❤❤❤
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 16 сағат бұрын
Daima mbele nyuma mwiko Alhamdulillah🙏 kwa ushindi wa Leo 💚💚💛💛
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 15 сағат бұрын
Hongera kwake yaani ingekuwa umakini zaidi ata angefunga hat trick 2 leo😂🎉🎉🎉
@amaniomar1755
@amaniomar1755 15 сағат бұрын
Hongera wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi
@FatumaAlly-z4s
@FatumaAlly-z4s 15 сағат бұрын
Allah awaangazie wanangu
@hafsamohammed3835
@hafsamohammed3835 14 сағат бұрын
Ushauri wangu wachezaji,jifunze kutoa mpira kwa mwenzako,mwenye nafasi nzuri ya kufunga.
@AziCure
@AziCure 15 сағат бұрын
Allahamdulillah 🎉🎉 Nyuma mwiko🎉🎉
@ElitrudaMsaki
@ElitrudaMsaki 6 сағат бұрын
Mlinifurahisha sana kwa zile dakoka kumi za mwanzo aisee
@RahmaMfinanga-yg1yb
@RahmaMfinanga-yg1yb 16 сағат бұрын
Sasa hii ndio yanga tulikua tunaitaka ban nguvu💪1
@TabuSebastian
@TabuSebastian 2 сағат бұрын
Alhamdulillah MUNGU MKUBWA 🙏🏼💚💛
@Nelysta_TV
@Nelysta_TV 30 минут бұрын
Iyo ndi yanga🎉🎉❤❤
@nolascomahundi313
@nolascomahundi313 15 сағат бұрын
mungu wetu sote
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 15 сағат бұрын
Ila endeleeni kukazia fitness Kuna muda wachezadi speed inapungua
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 сағат бұрын
Dube amekuwa wamotooo jmn.kweli maombi ni kila kituu
@YussuMaulid-x5p
@YussuMaulid-x5p 13 сағат бұрын
Wow mnatupa moyo yanga moto wazee jamani msawasahau 😊
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 сағат бұрын
Dube Mungu ni mwemaaa
@FaustarChanyama
@FaustarChanyama 11 сағат бұрын
Kazi aliyo ifanya ricado momo tumeiona 😂😂😂 inatosha kaka inatosha kaka😂😂😂
@charlesshekibula6070
@charlesshekibula6070 15 сағат бұрын
yanga juuu
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 14 сағат бұрын
Allaah Akbar
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 сағат бұрын
Kibwan umeupiga mwingi hongeraaa
@MalinoKadwame-u1c
@MalinoKadwame-u1c 13 сағат бұрын
Bravo chama langu
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 3 сағат бұрын
Ilove yanga
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 15 сағат бұрын
Bado pacome ni wa moto mnoo
@FilomenaRaymond
@FilomenaRaymond 16 сағат бұрын
Ila mpenja😂😂😂
@myself-T2
@myself-T2 16 сағат бұрын
🎉🎉
@elishawilliam4722
@elishawilliam4722 13 сағат бұрын
Ila kipa wetu ana shido ngingo
@jimmymungai522
@jimmymungai522 49 минут бұрын
Macho yangu au Ibrahim Bacca hakumpa mkono lineswoman?
@ericknassary5827
@ericknassary5827 15 сағат бұрын
❤️
@AnnaMzava-o2j
@AnnaMzava-o2j 4 сағат бұрын
tunamshkur mungu
@Reyy2406
@Reyy2406 3 сағат бұрын
Huyu kipa ni mzembe
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 3 сағат бұрын
Dr Aucho nae anaanza kupwaya ilo gori la pili lilianzia kwake aache kucheza kifaza akaze alafu uyo kipa awe makini sana atakuja kutuponza
@jbrainyjoel2632
@jbrainyjoel2632 2 сағат бұрын
Kupwaya unakujua ww kacheze ww
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 сағат бұрын
@jbrainyjoel2632 sana
@willymwasakyeni4393
@willymwasakyeni4393 13 сағат бұрын
Ila huyu khomen hata sijamwelewa hayo magoli yote aliyofungwa hapana bora hata msheri
@ElitrudaMsaki
@ElitrudaMsaki 6 сағат бұрын
A kk naye akaombewe aache ujinga.
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 сағат бұрын
Komeni atuache aise magoli ya ajabu hivyoo
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 11 сағат бұрын
Upuzi mtupu hamna boli hapa
@FATUMABACARCADANGE
@FATUMABACARCADANGE 5 сағат бұрын
huyu pakome noumasana
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 12 сағат бұрын
Mpira wa hovyo golikeeper aachia magoli kama haoni vile
@jbrainyjoel2632
@jbrainyjoel2632 2 сағат бұрын
Goli kipa yupi kaachia magoli kama hayaoni
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 11 сағат бұрын
Hamuoni ata aibu 😅Magoli gani hayo
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 сағат бұрын
Unaumia ukiwa wapi
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 сағат бұрын
Jinyonge bac
@jbrainyjoel2632
@jbrainyjoel2632 2 сағат бұрын
Nyie ya kubebwa bila penalty hamtoboi kenge wekundu nyie
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Сағат бұрын
@jbrainyjoel2632 unaumianukiwa wapi diaaa
@ramadhanifakikombo4010
@ramadhanifakikombo4010 2 сағат бұрын
Ona zai kzbin.info/www/bejne/qoWUe5mcq5hsb6Msi=_tOwKlZgezfiV1yt
@RahmaMfinanga-yg1yb
@RahmaMfinanga-yg1yb 16 сағат бұрын
Sasa hii ndio yanga tulikua tunaitaka ban nguvu💪1l
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 сағат бұрын
Kabisaaa wote wamefunguliwaaa,
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
SHEIKH KISHK AINGIZWA GEREZANI / MAXMUM PRISON KISUMU KENYA
40:35
Kishki Online TV
Рет қаралды 49 М.